Mashaa Allah hizi ndio asrrar na karama za wazee Mola akuafikie iqbal na qabul.
@rashidamzungu2389 Жыл бұрын
MashaAllah
@ameeranassor1619 Жыл бұрын
MashaAllah tabarakAllah, umenikumbusha mbali kweli na hizi kashata,back 1996 niko daresay la kwanzwa kiswandui nilipewa kashata hizi ,nikamshika mama yangu alike na yeye, basi akamwita yule dada alonipa atufundishe kuzipika, yule dada alifanya uchuro akajaza samli makopo mawili unga ukawa haujishiki akasema fanyeni madonge kama laddu mkiamka asubuhi zitakuwa zishanganda, wapiiiii. I will try this inshaaAllah
@salmaalkyumi6030 Жыл бұрын
Jazaki llahul kheir ukhty ❤️
@salma5187 Жыл бұрын
MashaAllah ❤
@arnafjaffarry5472 Жыл бұрын
My mother's farour ♥️
@wowmammakitchen Жыл бұрын
Nice 👍🙂
@umsalim6515 Жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah queen, ahsante kwa upishi mzuri, Allah akuhifadhi sis ❤️
@rugeyyemuhammad1549 Жыл бұрын
Mashaallah Allah akubarik
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Amin
@agripinatula Жыл бұрын
Nice
@asyajumajuma8446 Жыл бұрын
MashaaAllah ukhty upishi mpya MashaaAllah Allah aibarik mikono yako. Na hizi kashata ukhty zinaweza kukaa muda mrefu yaaani nakurudishia kama mwezi .Shukran
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Zinaaka sana
@rayaalkhayfy2026 Жыл бұрын
Mashallah asante sana napenda sana mapishi yako ❤💗❤❣️🧡
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Shukran
@amneamne2492 Жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah shukran habibty. Mungu akuweke.
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Amin yarabi
@yasminali6381 Жыл бұрын
Mashallah Allah abarik mikono yako Amiin
@juwairiamussasuleiman2029 Жыл бұрын
Mashaallah mimi mwenyew naandik sim haiminiki
@fatmajamal581 Жыл бұрын
Ma sha Allah habibty nauliza maziwa yanachemka kama muda gani?
@maliahfarid4851 Жыл бұрын
Umepika kwa dakika ngapi
@shaikhadubai4437 Жыл бұрын
Mashallah tabaraka Rahman Niki tizama upishi wako Unanikumbusha upishi wetu Wa asili wakiunguja japo viko vitu Unageuza lakini sikama wa pishi Wa siku hizi
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Hahaha sigeuzi dear inategemea na tulipo tokea na wapitupo that's all. Thanks.
@mariambintsaid381410 ай бұрын
Hili pishi ni la kiasili?
@afiafaiz6466 Жыл бұрын
Aa... Kma Sina ghee naeza Tia blue band
@alfonsochavez1168 Жыл бұрын
hili ni pishi la kizanzibari ? sikuwahi kulisikia?
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Hujaangalia video na hujaskiliza sauti ndio mana.
@user-dr7jn4op8g Жыл бұрын
Hazinuki ungawadengu ukizila Dh upishi mpya sjawahi kuona
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Angalia video vizuri nimeelezea kuhusu hilo utajifunza na wewe dear.
@shymahyunus2953 Жыл бұрын
Please hbbty tuekee in terms of kilo kama ni nusu ama robo ama ni vp hzo gram wengne zinatuchanganya
@queenshibaskitchen9130 Жыл бұрын
Habibty kila kitu kipo Google hunahaja kujichanganya. Kwa mfano 500gms ni sawa na nusu kilo au 250gms ni sawa na robo kilo nihivo tu