Atukuzwe Mungu Milele atupaye Kushinda, kazi Ni Moja tu kumtukuza Sasa na Hata Milele. Mbarikiwe Sana 🙏
@MtawalaasarafinaАй бұрын
Wimbo nzuri sana waije ga moyo wangu
@gonsalvachristianmatembo80412 ай бұрын
Safi saaan, hongereni sana ndugu zangu kwa kazi nzuri ya uimbaji. Video ipo vizuri na sauti zimenolewa vyema. Mungu awabariki zaidi. Big up saaana Mwl. Kiatu na shemeji.
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Ahsante sana mtumishi....
@AnnatayariMaembe2 ай бұрын
Kazi nzuri imetulia hongera zid kumtumikia bwana❤
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Amina
@laurentinalaurent8952Ай бұрын
Hongereni sana jamani🎉❤🙏
@jacklinejapheth89512 ай бұрын
Hatar Master wataelewa tu wenye vichwa vigumu class Yako ni juu sana Master
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Ahsante sana mtumishi
@abelmochama6802 ай бұрын
Kwa kweli kazi nzuri sana ❤❤ Always following you people feel blessed. From Nairobi Kenya 🇰🇪
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Ahsante sana kiongozi
@abelmochama6802 ай бұрын
❤❤❤ wimbo umetulia sana 🎉🎉
@blandinabugomba92262 ай бұрын
Hongera sana ila ungeimba solo Yako kwanza wewe
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Usijali kazi zinakuja
@optatlymo7092 ай бұрын
Nimeishiwa na maneno ya kutosha; itoshe tu kusema hongera na asante kwa kazi nzuri inayogusa mioyo ya watu
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Ahsante sana Baba. Maombi kwetu ndo Kila kitu
@octavinaalphonce68982 ай бұрын
Ningekuwa na sauti nzuri ningeomba nami niimbe siku moja nanyi ila ndio nina bati la.msauzi
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Hilo Hilo bati tunaliweka sawa😂😂😂😂
@mutongoreprostudios2 ай бұрын
Hilo bati lanaweza kufanywa kigae. Mvua inapiga ndani kimyaaaaa
@martinsiay9702 ай бұрын
❤❤
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
🤝
@mariamwinyi-pi9cn2 ай бұрын
Aaaah wajina nimekubambaa😂
@vincentkatabi10632 ай бұрын
Kaka Uko vizuri Sana. Barikiwa sana najivunia kuwa mkatoliki.
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Aminaa..
@MARIAGORETHDIHOMBO2 ай бұрын
Unyamaaa mwingi sanaaa keep it up 💪💪💪
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
🤝🤝🤝🤝
@mikerichard202 ай бұрын
Mungu awabarik sna kaz nzur❤️❤️❤️❤️🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Aminaa tubarikiwe soote
@evaalute25562 ай бұрын
Hongereni saaaana 🎉🎉🔥🔥🌹👏🎉👏👏
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Shukrani sana
@VedastusBada2 ай бұрын
Hongera sana kwa utume uliotukuka
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Ahsante sanaa
@Blessedhopefamily2 ай бұрын
Kama mana itokayo kondeni.
@meshmusyoka64492 ай бұрын
Amazing vocal
@vairethmhoza2 ай бұрын
EE MUNGU UWATUNZE HAWA WANAO KWA KAZI HII NZURI YA KUKUTUKUZA WEWE ULIE JUU❤AMINA.
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Aminaa
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Aminaa.. Nawe pia Ubarikiwe pamoja na familia yako.
@JoelyPhinias2 ай бұрын
nyimbo za kisabato
@waromokello2 ай бұрын
A beautiful song
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Ameeen
@viaurfk2 ай бұрын
Safiii sanaaaa
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Aminaa
@ferdinandikubila36692 ай бұрын
Mungu azidi kuwa nasi ktk uimbaji ili tumtukuze yeye tuu.
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Aminaa mtumishi Tuendelee kubarikiwa sote
@mariamtepa17402 ай бұрын
Hongera Sana mtunzi. Big up. Mungu azd kukikuza kipaji chako.
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Ameeen tubarikiwe soote
@winfridahmipata81322 ай бұрын
Big up sanaa dada na shemeji Mungu awapeleke viwango vingine❤❤❤
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Aminaa
@philbertmutongore5282 ай бұрын
Iko poa sana,best quality in the market
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
🤝
@veronicanyangwilamalindila2 ай бұрын
Hongereni sana, matendo ya Mungu hutisha . Mbarikiwe🎉🎉🎉
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Aminaa tubarikiwe soote
@GETRUDAWILLISON-je5if2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
👏👏
@otimarymashaka74622 ай бұрын
Big up dada Sifa kazi nzuri sana👏
@AnthonyKiatu2 ай бұрын
Aminaa
@lukobe_choir2 ай бұрын
Muumizi wa mziki mzuri Kiatu family mnaupiga mwingi sanaaaa