Ekari moja ya nyanya inatoa tenga / box 800 hadi 1000 za nyanya..... kilimo kinalipa.

  Рет қаралды 6,291

Kilimosmartprojects KSP

Kilimosmartprojects KSP

3 жыл бұрын

Пікірлер: 31
@omaryselemani8009
@omaryselemani8009 2 жыл бұрын
Nakupata mwanangu.. 💥💥
@limbumbaabdallah7732
@limbumbaabdallah7732 10 ай бұрын
Tatizo hamtaji mawasiliano wala ofisi zilipo mazungumzo yanaishia hewani
@mapambanopeter5268
@mapambanopeter5268 Жыл бұрын
umewhi kulima ukazipata
@monicampokwa441
@monicampokwa441 2 жыл бұрын
Mbegu mzur nazipataje kutoka kwenu?
@estermazugu9351
@estermazugu9351 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@monicampokwa441
@monicampokwa441 2 жыл бұрын
Kwa mm ninataka kulima kuanza nawapataje?nipo kusin mkoa wa Lindi wilaya ya nachingwea
@kilimosmartprojectsksp
@kilimosmartprojectsksp 2 жыл бұрын
Ok 0767406211 namba ya mawasiliano.
@billmoneysuleiman2141
@billmoneysuleiman2141 2 жыл бұрын
Mbegu gani hiyo inatoa tenga 800 kwa hekali 1 miche elf6000 naomba niijuwe
@kilimosmartprojectsksp
@kilimosmartprojectsksp 2 жыл бұрын
Zara F1
@billmoneysuleiman2141
@billmoneysuleiman2141 2 жыл бұрын
Me nipo Zanzibar ni mjasilia mali mdogo nataka niekeze katika kilimo cha nyanya
@kilimosmartprojectsksp
@kilimosmartprojectsksp 2 жыл бұрын
Ok karibu kwa mawasiliano zaidi piga 0767406211
@kilimosmartprojectsksp
@kilimosmartprojectsksp 2 жыл бұрын
Piga 0767406211 kwa maelezo zaid
@user-ls2uj3fl1o
@user-ls2uj3fl1o 4 ай бұрын
No yako naomba
@user-ft8vo2tl2b
@user-ft8vo2tl2b 6 ай бұрын
Kilimo cha nyanya sio mchezo
@user-ft8vo2tl2b
@user-ft8vo2tl2b 6 ай бұрын
Yani uwe na uzoefu wa kulima zaidi ya mala kumi
@najimseven1230
@najimseven1230 3 жыл бұрын
Naomba kujua ile mbegu uliyopanda katika episode zilizopita ni aina gani, naomba
@kilimosmartprojectsksp
@kilimosmartprojectsksp 3 жыл бұрын
Inaitwa ZARA F1
@kilimosmartprojectsksp
@kilimosmartprojectsksp 3 жыл бұрын
Sisi kwa upande wetu kufunga mfumo wa umwagiliaji tunapunguza hadi 3.5m
@najimseven1230
@najimseven1230 3 жыл бұрын
@@kilimosmartprojectsksp sawa
@najimseven1230
@najimseven1230 3 жыл бұрын
Ndo kwanza nina m1.5, naiweka ikitimia ntakuagiza
@kilimosmartprojectsksp
@kilimosmartprojectsksp 3 жыл бұрын
@@najimseven1230 ok karibu sana
@billmoneysuleiman2141
@billmoneysuleiman2141 2 жыл бұрын
Nataka hizo dawa ambazo mtu anaweza kulima kipindi cha mvua
@kilimosmartprojectsksp
@kilimosmartprojectsksp 2 жыл бұрын
Dawa zipo nyingi tupigie kwenye namba 0767406211 utapata maelekezo yote
@billmoneysuleiman2141
@billmoneysuleiman2141 2 жыл бұрын
Mimi nataka kuwekeza katika kilimo cha nyanya je kwa heka 1 niwe na mtaji kias gani?
@kilimosmartprojectsksp
@kilimosmartprojectsksp 2 жыл бұрын
Piga namba hii kwa maelezo zaidi 0767406211
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 2 жыл бұрын
@@kilimosmartprojectsksp Nitapiga
@samihasaid7627
@samihasaid7627 3 жыл бұрын
Namba zako za sm au ofisi zenu zipo wapi au nipigie 0686494729
@kilimosmartprojectsksp
@kilimosmartprojectsksp 3 жыл бұрын
0767406211
@castomwanasilanda2511
@castomwanasilanda2511 2 жыл бұрын
@@kilimosmartprojectsksp naomba kuuliza kuhusu kilimo
@kilimosmartprojectsksp
@kilimosmartprojectsksp 2 жыл бұрын
@@castomwanasilanda2511 karibu
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 15 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,2 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН
ЧУТЬ НЕ УТОНУЛ #shorts
00:27
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
NAMNA RAHISI YA KUFUNGA MFUMO WA UMWAGILIAJI WA MATONE /ANGALIA HADI MWISHO.
8:42
Kilimosmartprojects KSP
Рет қаралды 1,7 М.
MKULIMA ATOA SIRI YA KUFANIKIWA KUMBE NI SEHEMU NDOGO SANA TUNAKOSEA.
7:09
Kilimosmartprojects KSP
Рет қаралды 565
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 15 МЛН