No video

EMBARAMBAMBA HATARINI KWENDA JELA AU KULIPA 6.4 MILLION | HATUA KALI ALIZOCHUKULIWA NA KFCB (Part 3)

  Рет қаралды 48,705

Mseto East Africa

Mseto East Africa

Күн бұрын

#Part_3 #Embarambamba #KFCB

Пікірлер: 305
@user-nn6nh9ks2o
@user-nn6nh9ks2o 5 ай бұрын
Kenya need law like this because nchi yetu imepotea njia sana,,pia kwa media matusi imezidi wanafaa wafuatulie hizo maneno.
@user-mb7oe3pg3y
@user-mb7oe3pg3y 5 ай бұрын
Embarambamba naye alipita mipaka😢
@carolineOuru-oi9nc
@carolineOuru-oi9nc 5 ай бұрын
For sure but I think sai amejifunza
@davidolao5292
@davidolao5292 5 ай бұрын
Cheza na kila kitu lakini sio jina la mungu Baba wetu
@NicodemusKithi-xe7mg
@NicodemusKithi-xe7mg 5 ай бұрын
Uliimba kibiashara but haukumwimbia mungu..beba msalaba wako ju unaibisha wakristo
@rosendunge4217
@rosendunge4217 5 ай бұрын
Wewe kula usherati yako..this is now Kenya laws ⚖ that should be ❤❤..mjinga wa mwanamme..na unalaumu itumbi ,kwani ukienda uchi itumbi ndie alikutoa nguo saitani hii..umepewa dawa yako sasa..well done serikali..heri malaya wa koinange kuliko uimbaji wako
@user-ks3il8ym9z
@user-ks3il8ym9z 5 ай бұрын
Akili yake haiko sawa😅😅
@estherwairimu8760
@estherwairimu8760 5 ай бұрын
Let me me tell you imagine umekubarishwa. Kucheza navitu zote zadunia hii but Mungu ni 🔥🔥
@Elimadonna
@Elimadonna 5 ай бұрын
Kabisaa nebukadinezaru
@Wilky254
@Wilky254 5 ай бұрын
Prisi pris pris samea hii chinga halijui halijofanya... Na mungu amusamehe pia... Na asirudie Tena 😳😳 Tabia Mbayaaa..
@mickymikobi1920
@mickymikobi1920 5 ай бұрын
Ufalaaaa cheza na Mungu ujue serekali yetu inaeshimu MUNGU Baniiii wewe 😂😂😂😂
@Elimadonna
@Elimadonna 5 ай бұрын
Leo ndo nimejua Kuna remnants wamcha Mungu serikalini ya Kenya ❤ thank you serikali ya Kenya kwa kutusaidia kulitetea jina la Mungu❤❤ much love
@redmwiks
@redmwiks 5 ай бұрын
Those who invite him to church events should repent for creating a monster. He was never a gospel artist....apambane..
@jaredatoli5784
@jaredatoli5784 5 ай бұрын
The men of God who invite him are to blame...hao sasa ndio shida.
@vincentgitiva8849
@vincentgitiva8849 5 ай бұрын
Anatumiwa na watu fulani kusambaza coded message, mama Otis is pure comedy but this guy aadhibiwe tu
@tigermose6491
@tigermose6491 5 ай бұрын
Amekosea mwenyezi mungu, Jamii ya Kisii and Kenyans
@munyokimakau.
@munyokimakau. 5 ай бұрын
Thank you kfcb,,huyu ata bible hajui,,,no wonder anaiba uchafu
@Elimadonna
@Elimadonna 5 ай бұрын
Leo Niko na sherehe🎉🎉🎉🎉 thank you our God fearing Kenyan
@cheroojeroo5939
@cheroojeroo5939 5 ай бұрын
Yani siku ya nyani kukufa miti yote utikinga 😮😮 Mzee ana LA kusema
@Elimadonna
@Elimadonna 5 ай бұрын
Leo ndo nimepata nguvu ya ku comment kwa embaravara
@FaridaGati
@FaridaGati 5 ай бұрын
Omba mungu akusamehe
@kaydazkenya
@kaydazkenya 5 ай бұрын
Mtu jinga sana
@protusmuliro2796
@protusmuliro2796 5 ай бұрын
This guy embarambamba is very innocent plz yani huyu ndo muimbaji pekee atasamehewa na mwenyezi mungu
@sophiahrichard2674
@sophiahrichard2674 5 ай бұрын
Huyu hata ajui verse 😂😂😂😂😂
@ayuma4747
@ayuma4747 5 ай бұрын
But anaitwa makanisa na anapanda madhabau... Tumepotea
@Ruthie-K
@Ruthie-K 5 ай бұрын
😂😂😂😂. Na ati anaimba gospel
@vanierdesludge7156
@vanierdesludge7156 5 ай бұрын
He didn't know it was wrong😊😊 forgive him bana,,, hawa wanamuukumu ndio wanatumia jina la mungu ata vibaya zaidi kuliko hii jambazi ya kisii🤣🤣🤣
@samuelokonji8982
@samuelokonji8982 5 ай бұрын
Imbarambamba, undanganya, how can u play with most High God? Pata kichapo sasa, even Ur friend anatakikana awekwe ndani, imgn unapita pahali unaskia watoto wakiimba hiyo upuzi wako, wakenya msichange,afadhali hiyo mchango pelekeni orphanage homes. Thank you, Bak to the studio willy😂😂😂😂
@Elimadonna
@Elimadonna 5 ай бұрын
Wakifunga huyo watafute huyo mwingine so called William
@PeacekidBONGOMusic
@PeacekidBONGOMusic 5 ай бұрын
Love your neighbor as you 😂😂😂😂😂
@macdonaldotieno5010
@macdonaldotieno5010 5 ай бұрын
Aweke ndani kabisa
@marywayuwa5867
@marywayuwa5867 5 ай бұрын
Uyu Ebarabamba ako na ujinga sana ni nyimbo ngani kwa hakili zake hio n kuchezea mungu
@collinsyegon9978
@collinsyegon9978 5 ай бұрын
First one to watch, wapi likes
@khadijahali6856
@khadijahali6856 5 ай бұрын
Options ni 2.Its either alipe 6.4m ama afungwe 7yrs. Sasa kama hana 6.4m then afuate the 2nd option asituumishe kichwa mjinga huyu unaimba na hata hajui verses za kwa bible.Kupotosha watoto tu kwenye jamii
@user-of7ms8is3s
@user-of7ms8is3s 5 ай бұрын
Truly, i say to you if money is making you to mock God you are in the wrong side. 😊
@Elimadonna
@Elimadonna 5 ай бұрын
Wah! Nilikuwa naumia macho yangu nikiona video zake
@bettynjoroge9003
@bettynjoroge9003 5 ай бұрын
Siku zote mungu adhihakiwi,Imba vitu vyako but respect God,Kwanza hiyo song yesu ninyandue hiyo ndio gani!
@simonkibunyi6238
@simonkibunyi6238 5 ай бұрын
Even a bible verse hajui
@hoseanyanyuki-lf8hr
@hoseanyanyuki-lf8hr 5 ай бұрын
their is no reason to condemn this man didn't judge even the judge did not judge💌💌💌 to embarambamba
@simonkibunyi6238
@simonkibunyi6238 5 ай бұрын
We are also told you will know them by their fruits.
@djfbikenya2695
@djfbikenya2695 5 ай бұрын
Mungu apewe Heshima
@naominashipai8427
@naominashipai8427 5 ай бұрын
Huyu mtu hana Akili. Aki Mimi simpendi na sio kwa ubaya
@billjames1216
@billjames1216 5 ай бұрын
What wrong has he done???must he worship the people u worship?????kwendeni huko nkt
@EuniceMogoi-lk2my
@EuniceMogoi-lk2my 5 ай бұрын
Wewe ndo huna akili
@shakila3982
@shakila3982 5 ай бұрын
​@billjames1216 usimtetee cos akona makosa, makosa yake ni kuiba nyimbo kwa madai ni gospel mbali ni kumtukana Mwenyezi Mungu, sasa kusema yesu ninyandue sio matusi? Kusema nimwangie ndani? Mara imesimama, niko uchi, what is that?
@billjames1216
@billjames1216 5 ай бұрын
@@shakila3982 Mungu wake sio mungu wako Shughulika na mungu wako naniii ww mungu wa ukweli ndio nani???unamjua ??
@yegonhillary3267
@yegonhillary3267 5 ай бұрын
I fully agree with you
@alicejumaa89
@alicejumaa89 5 ай бұрын
Naomba ufungwe miaka hamsini usiharibu watoto wetu kwa upuzi wa crossdressing. Na ushoga. STUPID
@josephkinyanjui-xd8si
@josephkinyanjui-xd8si 5 ай бұрын
Mzade niaje .....kusema ukweli story yake ni ngumu sana hapo ni mungu tuu
@NaomNaom-pi5nd
@NaomNaom-pi5nd 5 ай бұрын
Ata mungu alikasirika na hizo nyimbo zako kwanza ya uninyandue
@johnkimani7944
@johnkimani7944 5 ай бұрын
It's a shame to the Kenyan Gospel singers...then he sings about Kiptum who perished in a road accident and he's riding dangerously again.... what's he advertising. U don't deserve another chance
@ekiruekiru8728
@ekiruekiru8728 5 ай бұрын
Yani ulishiba hadi ukamsahau Mungu kimekurambaa sasa
@johnmeshack4431
@johnmeshack4431 5 ай бұрын
Afugwe maana ata ajiheshimu ata kidogo 😂😂😂😂
@gichanabenard8376
@gichanabenard8376 5 ай бұрын
God isn't your mother nani,,Respect to God is a Must.
@CohlinzCohlinzkogei
@CohlinzCohlinzkogei 5 ай бұрын
Willy M Tuva you will rep Jesus for in Mambo mseto E Africa 🌍 becoz of Asking a good verse in Bible in jesus Name
@Daudisalim71
@Daudisalim71 5 ай бұрын
Me i heard of Embarambamba 14 years ago Kwani hakuna wachungaji wamemzunguka na kumshauri ....huyu anyongwe
@soigeidiiot
@soigeidiiot 5 ай бұрын
I think...... for now you have trended.... ukianza muziki safii... utafika juu sana
@calebtuei504
@calebtuei504 5 ай бұрын
Sio maneno mingi embarambamba awekwe ndani kwanza ndio atuambie vizuri
@Lynnmwanzia
@Lynnmwanzia 5 ай бұрын
Huyu ata hajui any verse na anajiita Gospel artist
@nathanwaka6761
@nathanwaka6761 5 ай бұрын
Huyu JAMA apigwe mawe mpaka akufe hata jela haitoshi. Unaezaje tukana Mungu,
@mercywambui6392
@mercywambui6392 5 ай бұрын
Anaujinga sanaa
@kaydazkenya
@kaydazkenya 5 ай бұрын
Alipewa two options, kama Hana pesa the other option fits him very well😏😏
@carouselkedesigner8582
@carouselkedesigner8582 5 ай бұрын
You would only say that if you never found yourself in such incidents 😢
@user1836-u8l
@user1836-u8l 5 ай бұрын
Angepewa mambo matatu ndio ikue ngumu zaidi
@trizahmacharia2939
@trizahmacharia2939 5 ай бұрын
​@@carouselkedesigner8582he knew what he was doing,jinga sana
@stephenwanyama7394
@stephenwanyama7394 5 ай бұрын
Hii fala ifungwe mara moja
@kelvinkarani3804
@kelvinkarani3804 5 ай бұрын
mzee amekosea sana kuvua nguo c poa kwa jamii
@terrywatahi1203
@terrywatahi1203 5 ай бұрын
Huyu aangaliwe mental...😢😮😂
@lexynafuna
@lexynafuna 5 ай бұрын
Wauze tu wakisiii 😂
@giddymentor9671
@giddymentor9671 5 ай бұрын
Hauwezi Cheza na jina ya Mungu..He is a Jealous God
@saidibaya5327
@saidibaya5327 5 ай бұрын
Makoti ya chui chui ww wazimu tena sna
@lucygikonyo2437
@lucygikonyo2437 5 ай бұрын
This crazy
@KipngenomikeKorir
@KipngenomikeKorir 5 ай бұрын
Atolewe huyu jamaa hasiimbe tena
@user-zo9fi5zg7z
@user-zo9fi5zg7z 5 ай бұрын
Aki huyu mtu 😂😂😂
@annnjane1697
@annnjane1697 5 ай бұрын
Dont blame this man, he need deliverance. Being in jail does not change this man, he need God or may be mental support.
@Elimadonna
@Elimadonna 5 ай бұрын
Nani hata kwa bibilia kulikuwa na Sheria ukikiuka Sheria za Mungu
@juliusmwaka8767
@juliusmwaka8767 5 ай бұрын
Itumbe ni mkisii sio Aluyah
@puritdana
@puritdana 5 ай бұрын
Hyo mtu sio kisii ni mkale
@alexkarani3660
@alexkarani3660 5 ай бұрын
Coming from TikTok just to have the full story wapi likes 😅😅
@MsetoEastAfrica
@MsetoEastAfrica 5 ай бұрын
Karibu sana
@Mboamose
@Mboamose 5 ай бұрын
Ukipewa😮kipawa kitumie vizuri, MUNGU yuko radhi kukusamehe dhambi na makosa yako ikiwa utatubu.
@maurinethambo9605
@maurinethambo9605 5 ай бұрын
Embarambamba usijali hata njera kuna matope mengi sana na pia kuna waimbaji utakua ukiongoza choir ili uwachene na huo ujinga wako 😂😂😅
@ledeajoasu3119
@ledeajoasu3119 5 ай бұрын
In Jesus mighty name namuombea usiku na mchana ufungwe kabisa ndio ujue Mungu Sio rika yako kwenda kabisaa
@user-tz8zu2gt6u
@user-tz8zu2gt6u 5 ай бұрын
Huyu jamaa aende jela ni fala sana
@olivermulanda5572
@olivermulanda5572 5 ай бұрын
This is end time may God help us saa hii amenyenyekea
@viviananyangoowino333
@viviananyangoowino333 5 ай бұрын
And they are putting God's name in their stupidity 😢
@nelsonoisebe
@nelsonoisebe 5 ай бұрын
Embarambamba anajua chenye walikwa wanafanya
@macdonaldotieno5010
@macdonaldotieno5010 5 ай бұрын
Kumbe yeye ni mkatoliki...na wakatoliki wote hajui lolote kuhusu Mungu
@nyatururecords
@nyatururecords 5 ай бұрын
Watu kama hawa wanazidi kupotoeha jamii Kwa maslahi yao ya kujitafutia umaarufu wakijinga
@LABANKIPROP-yl2mi
@LABANKIPROP-yl2mi 5 ай бұрын
Pray sir,,, and change a little
@LucyMueni-bf1lm
@LucyMueni-bf1lm 5 ай бұрын
Madiko yasema,,,,WATU WANGU WAPOTEA KWAKUKOSA MARIFA
@jamesg.muhohok7553
@jamesg.muhohok7553 5 ай бұрын
Ushetani.
@user-it2ek4ot3j
@user-it2ek4ot3j 5 ай бұрын
High level of primitivity
@theophiluskyalo9907
@theophiluskyalo9907 5 ай бұрын
Osai ndeke ya muthanga 😂
@mariapauls3049
@mariapauls3049 5 ай бұрын
Pwah,maolane fine kana ndaani pamoja?
@selphineonyango2591
@selphineonyango2591 5 ай бұрын
Huyo haimbi Gospel,..Anaimba uchi
@trizahshelly
@trizahshelly 5 ай бұрын
Hukuwa sawa kutoka mwasho kaa ulime uachane n mambo n mziki
@user-nk4vd9cl7d
@user-nk4vd9cl7d 5 ай бұрын
Huyu n short wire y Media West there time uuui
@ledeajoasu3119
@ledeajoasu3119 5 ай бұрын
Ezekiel kaza kamba kabisa let others learn from him we can't afford to be playing with God like this he deserves honour
@antonykariuki2069
@antonykariuki2069 5 ай бұрын
Ebarambamba aki achana na usanii ukarime
@user-db3hf6ug7u
@user-db3hf6ug7u 5 ай бұрын
Wewe!!!usiache western hatuna Hugo ujinga
@lilianluvanda900
@lilianluvanda900 5 ай бұрын
Anyoroshwe sawa sawa umavi arejeshee kisii
@isaacrono7054
@isaacrono7054 5 ай бұрын
Mchawi huyu wa kisii ...hajui anachofanya
@user-db3hf6ug7u
@user-db3hf6ug7u 5 ай бұрын
Hata Hana point willy Tue i Hugo mtu hapo
@nelsonoisebe
@nelsonoisebe 5 ай бұрын
Embarambamba leo kimekuramba kwa upuzi wako.kula ujinga wako sasa... umealibia Jamii ya wakisii sifaa
@user-py4wd3mh5w
@user-py4wd3mh5w 5 ай бұрын
Embarambamba umeharibu jina la Kisii,unatoa nguo gesobono mwanamume kamili mwenye umeimbiwa asubuhi umeelewa chenye nimekuambia,waah hakuna siku nimependa nyimbo zako No huna jina vitu zenye unaimba ni uwazimu tupu.
@djbushmeatfans9825
@djbushmeatfans9825 5 ай бұрын
Huyu jamaa.sijawai mpenda.hata siku moja
@Bizzbeats1
@Bizzbeats1 5 ай бұрын
Wacha a delete hizo ngoma zote apart from his comedy ,hiyo itaksaidia sana wasanii wanaokosa maadili,sheez
@elizabethnduku6006
@elizabethnduku6006 5 ай бұрын
Mkisii tu ni mkisii
@BetyNjue
@BetyNjue 5 ай бұрын
Huyu mtu simpendi na nyimbo zake zinafaa kubanwa kabisa
@georgekimemia9272
@georgekimemia9272 5 ай бұрын
Grown up child!!
@koskeyeric1019
@koskeyeric1019 5 ай бұрын
Asamewe Tu but getumbe awekwe ndani
@esthercheptoo6558
@esthercheptoo6558 5 ай бұрын
Kabisa! Embarambamba tulikuwa tumemzoea hata kama anafanya makosa. Asamehewe na asirudie. Lakini that Getumbe character! Huyo achukuliwe hatua
@javanngotangoma3617
@javanngotangoma3617 5 ай бұрын
Makosa ni makosa
@user-is3qo1wk1h
@user-is3qo1wk1h 5 ай бұрын
It might be true Mungu alimwambia then,, the devil wuz also there and he wuz like "Not on My watch, that's not happening "
@bernardkirimi2913
@bernardkirimi2913 5 ай бұрын
Huyu afungwe, Aibu mbaya sana.
@jayjay4313
@jayjay4313 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂Kenya kwa watani wetu wa jadi. Hii mutu tupeni sisi huku machizi tumewazoeaaa. Haya wote Semeni cheeeeze 📸😂😅
@user-sv7iz4bl5r
@user-sv7iz4bl5r 5 ай бұрын
You will change in Jesus name let people mock you but my friends people change mungu yeye amemusamehe do the same
@pastorgideontruzindaminist8746
@pastorgideontruzindaminist8746 5 ай бұрын
Embarambamba
@Elimadonna
@Elimadonna 5 ай бұрын
Yes tumekusamehe lakini usipo njua jinsi unavyo paswa kumwabudu Mungu utakula kichapo ingine Mungu hadhihakiwi,hata nashindwa ulikuwa mshirika wa pastor mgani huyo??????????
@princefreddie
@princefreddie 5 ай бұрын
Kwani huyo anaongea nini
@lydialimera
@lydialimera 5 ай бұрын
Mara ya kwanza mm kuona sijawai kukupenda hata
@radifestus148
@radifestus148 5 ай бұрын
Stop blaming your friend Getumbe
@carolineOuru-oi9nc
@carolineOuru-oi9nc 5 ай бұрын
Aki embamba siku moja utaniua....😂😂😂😂
@heritier5119
@heritier5119 5 ай бұрын
Kavaa nguo za kichawi
@user-jz3py1dr1c
@user-jz3py1dr1c 5 ай бұрын
Just try to be concious
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Embarambamba finally introduces His wife & 5 Children  for the first time/ untold story of embaa
11:44
SAMMY K HITS CREATION MEDIA 96k views 4 hours ago
Рет қаралды 719 М.
Jowie Irungu ahukumiwa KIFO kwa kumua mwanabiashara Monica Kimani
14:38
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 336 М.
Sababu ni Mapenzi : Mzungu akabiliwa na umaskini Malava
4:08
KTN News Kenya
Рет қаралды 254 М.
Wako wapi?: Tunamwangazi mwanamziki Nyota Ndogo
27:32
KTN News Kenya
Рет қаралды 21 М.
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45