Wewe enock bela nimekukubali yaani kwamajibu yako tu nizaidi ya kufika high school pongezi sana
@lahiliuwiringie9413 жыл бұрын
Muzul we mwanaume nakukubali Sana IPO siku Allah atakusaidia utafika mbali zaidi ishalla nakusapoti Sana mishabiki wako 💖💖
@shijaalchard62363 жыл бұрын
nice bro challenge is the way to success
@frdausmwawughanga90473 жыл бұрын
Mashallah ngangana kakangu m mungu ndie kila kitu
@spicebaha23963 жыл бұрын
This man was the best wakiwa na mbosso
@ibrahimkatana84163 жыл бұрын
Napenda muziki wako enock pambana kaka mengi yataongewa lakini mungu yuko kaka
@blackchair_chairman13073 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuzidishie zaidi ... Twakupenda Sana uku Kenya 💝
@josephkalamazoo79793 жыл бұрын
Nakubali Bella umekomaa akili na inshallah Mungu akufanikishe kwa kila juhudi zako za kimaisha
@ahmadnassor73753 жыл бұрын
Enock anajua kujieleza. Straight to the point . nice
@mathiasmalando26683 жыл бұрын
Daaah brother upo vizurii sana unabusara hongera kwa hilo
@sadaalphonce3193 жыл бұрын
Sada Alphonce.Enock hongera Sana upovizuri kujibu maswali yako umenifurahisha Sana mungu akujalie uzidi Kusonga mbele Saudi🙏🙏
@AnnKk-sj8ij3 жыл бұрын
Usife moyo dogo,kuna kuanguka na kuinuka but cha misngi ni wewe mwenyewe kujiamini.Kusemwa kupo but usiangalie hao ma haters still we love your music and God who lifted you from grass to fame he's still their+254🇦🇪
@matatamaxwel62693 жыл бұрын
I love this guy....he is soo humble and clever too
@abwenasibu91923 жыл бұрын
Una jibu fresh sana mwamba🧏🏾♂️ Una jibu clear...
@naimanimo49253 жыл бұрын
Wow his smart upstairs the future is bright for you big up 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@dorkasialimasi81753 жыл бұрын
Anafanya vizuri enock ujuwa bro
@Crokfarm_Hse3 жыл бұрын
This is guy is brilliant! May the almighty God bless and grant you the wishes of your heart!
@erickndizeye25603 жыл бұрын
Huyu jamaa nimempenda sana kupitia hii interview.He is true,open and Humble.
@erickdeodati57703 жыл бұрын
Umekua Sana kiakili mkali
@johnkasikile55193 жыл бұрын
Kijana kakua safi sana
@zeyanaharmisuleiman6963 жыл бұрын
Yupo clear and specific sana huyu jamaa, anajibu vizur
@user-fr3fl5pq6d3 жыл бұрын
Pambana kakangu Usimwangalie mtu katk Maisha,,,, Rizk utoka kwa allah,, Nasi binadam
@zou74703 жыл бұрын
True✌
@feyramsozclass40153 жыл бұрын
Yani enok muelewa Sana ndoinavyotakiwa kumuweka mungu mbele sio wengine wanaongea kiujana ujana
@najatijafari91073 жыл бұрын
ukweli mi naisubiri iyo nyimbo mpya ya kwa hamu saluti kwako Enock Bella
@saraphu2543 жыл бұрын
Mimi ni mkenya lakini huyu Enock Bella namwona Kama ndugu yangu kabisaaa... Natumai siku moja Inshallah nifanye kazi nzuri naye
@fadhilikiyungi6093 жыл бұрын
Nakukubali kwa wazo laki kuhusu enork bela
@saraphu2543 жыл бұрын
Pamoja tuzidi kumpea support
@silviaahuga18473 жыл бұрын
Am from Kenya . Kiukweli unapoit I was giving up on my business now am strong to move on Thank you 😊
@hamisimahundu90463 жыл бұрын
Kwanza Hongera Enock mm mwl wako tangu nikufahamu ukiwa shule Unubini ulikuwa na kipaji,siku zote mafanikio huja na changamoto,songa mbele kijana wangu,Unaweza.
@brucejmichael40963 жыл бұрын
Naimiss yamoto
@annaanyango65103 жыл бұрын
Bella yes good story is to struggle so don't give up from kenya 🤜🤛👏👏👏
@abezosneverdie57063 жыл бұрын
Leo ndo siku pekee kumuona na pia kusikia maongezi yenye utulivu mzuri kama huu yaani jama ametulia sana kwenye kujibu maswali na hata muojaji naye alikuwa vizir big up enock
@israelnibigira60163 жыл бұрын
Lazma ufike mbali maana uko humble sana mimi shabiki wako toka bdi
@moseskapyuku1143 жыл бұрын
Sanaa enock pambana kaka
@zedymoris82933 жыл бұрын
Dogo uko vizuri,unajua kujieleza pambana mdogo wangu.
@samchima88553 жыл бұрын
ßela una jibu maswali vizuri sana kaka
@comfortablezone-n9m3 жыл бұрын
Enock mi nakukubali xana
@mansourmkanakuta66413 жыл бұрын
Angepata menejment mzur akawa ana dondosha ngoma back to back bas angewakimbiza
@allyselemani38053 жыл бұрын
Pamoja sana broo
@adammwita31503 жыл бұрын
Yap, majibu ya akili👏👏
@frankluhambati3713 жыл бұрын
Jamaa anajua kujieleza vizuri
@gamaliertemple30703 жыл бұрын
Uko vizuri ki majibu
@anifabakari4882 жыл бұрын
We unaongea kama mwanaume kweli huna unafki big up brother Allah akuzdshie
@afsaomary64223 жыл бұрын
nakubali sana nyimbo zako dogo
@kibwanambegu95723 жыл бұрын
Namkubal jembe langu, Enock D base
@mjubaog82583 жыл бұрын
Heshma kaka salut kwako pambana sana 1 day yes
@hallyhissa43013 жыл бұрын
Sikuwai kaa hata siku moja msikilza uyu jamaa Leo nimejifunza uyu anahakili San tofauti na nilivokuwa namzania
@emmanuelkhisa84532 жыл бұрын
254:::ndo ome,ila 😂 Enocky n mshikaji 😍 wangu tena mkweli.
@costantfaliala38423 жыл бұрын
Upo sawa kabisa
@saidykalilwa98233 жыл бұрын
Smart Answers
@hussenyassin34993 жыл бұрын
Nakubal mkuu unajib vizur mung atakubar shabik yak mkubwaa san
@bejakatana38253 жыл бұрын
Enock uko sawa kujibu maswali bt katika maisha kuna changamoto hongera sana kwa kujipa moyo bro naimani utafika katika malengo yako
@makokamakoka3413 жыл бұрын
Dogo unaakili sana aiseee na kwa akili hiiii utafika mbali sana
@arqphn44673 жыл бұрын
Wa kwanza leo naombeni like
@ifgodsayyes.nobodycansayno17963 жыл бұрын
UZIFANYIE NINI MFATE ENOCK AMA MTANGAZAJI AKUPE BIZO LIKE
@loicekazungu12972 жыл бұрын
I love this guy
@makambakutv77172 жыл бұрын
Saf Sana..boy
@minabuelysee83 жыл бұрын
Enock namiss mziki wako
@kasokotakhalfani50742 жыл бұрын
Nimekwelewa sana
@marymayapira44133 жыл бұрын
Bela umenifuraisha
@mansourmkanakuta66413 жыл бұрын
Yuko vzur Sana enock ni kichwa Sana uyu mshkaji Ila nnapenda Sana saut yake akiimba
@user-ok8xj3dg1z3 ай бұрын
J'apprécie ces chansons depuis le Bénin 🇧🇯.Mais je ne comprends pas la langue.😢
@officialdemand63583 жыл бұрын
Unajua kujibu maswal vzr
@ngwanasongowelero71532 жыл бұрын
Mmmh pole sana
@owenomwanawayesu69612 жыл бұрын
Hekima kutoka kwa Mungu Kaka.
@mansourmkanakuta66413 жыл бұрын
Enock kaongea vizur Sana Sana Tena huez Amin jins anavyoongea Kama vile aliandika
@vincentotieno11152 жыл бұрын
This guy is humble, bro just focus on ur vision Mungu anakuinua.
@kaifablue59623 жыл бұрын
Umekomaa kiakili dogo.mmpe like
@giftmuthomi55813 жыл бұрын
Jikanze kkangu mungu akonawe
@mayungamanjebe43953 жыл бұрын
Interview nzur hiii enock bella
@esterdoriye43043 жыл бұрын
Sema huyu kaka mzur
@winfridamwamban10783 жыл бұрын
Hongera
@kingsuleiman72013 жыл бұрын
Enok upo vizuri kwenye kujibu
@user-dm5gx1jo3c3 жыл бұрын
Napenda unavyojib maswali kakangu
@joshuaerasto19383 жыл бұрын
Nakubari mwamba
@shantellemwanakombo37033 жыл бұрын
🔥
@salvatoryevaristo74433 жыл бұрын
Nakukubali man
@sauljob23963 жыл бұрын
This is the only language I want to know how to speak. Swahili.
@mgstarmuu11393 жыл бұрын
Fact🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@muindimusyoka78873 жыл бұрын
Namkubali sana huyu......ameweza tu sana
@ayshaaisha76303 жыл бұрын
Mashallah nimependa majibu yake alafu ana majivuno anaupendo nawezake yupo ps
@danmash29123 жыл бұрын
+254 nakutambua xana dogo maswali imejibu vilivyo , i like your humbleness big up man
@chrismwendemwende4100 Жыл бұрын
Uko sawa Mai dia🎉🎉🎉🎉
@mosesmaundu9343 жыл бұрын
From 254 si ujoin harmonizer .....
@aggyvocalist50022 жыл бұрын
You speak nicely. With maturity. May you grow and be very successful.
@hamsokalos29153 жыл бұрын
Yah man u r so bright bro u av got something special in u bro.....so the moral of the is don give up keep on fighting bro