No video

#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 6,273

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

#EXCLUSIVE: DAKTARI MTANZANIA ANAYEMILIKI HOSPITALI TANGA, AFUNGUKA ALIVYOBOBEA KUPANDIKIZA UJAUZITO
Dkt Joseph Mbelesero ni mkurugenzi mkuu wa Safi Medic's hospitali ambae ni daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama
Hospital hii inatoa huduma za akina mama na watoto na kwenye upande wa ugonjwa wa akina mama wameongeza wigo wa huduma ambapo kwa sasa wanatoa huduma za akina mama kwa maana ya clinic za akina mama wajawazito, operation na kuzalisha wakina mama wajawazito na vilevile wanafanya huduma za ugumba na uzazi kwa wanawake ambao wanamatatizo ya kupata ujauzito kirahisi .
Global tv imefanikiwa kufanya mahojiano nae na kusema kuwa mpaka sasa hivi wamefikia kwenye lengo la kupandikiza mbegu za mwanaume kwenye kizazi cha mwanamke nia ni kuendelea na huduma za kupandikiza katika kiwango cha kupandikiza mtoto katika uzazi wa mwanamke yani IVF
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 26
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@janekapinga6793
@janekapinga6793 Жыл бұрын
Hongera hongera hongea sana sana Mberesero's jamani,Jose Mungu akutangulie mno mno
@SharonKaduma
@SharonKaduma 6 ай бұрын
Gift from God unaenda Unalia unatoka na tabasamu Mungu akulinde kwaajili ya watu wengi
@user-lu5js8lv2n
@user-lu5js8lv2n 2 ай бұрын
Hongereni sana huduma zenu ni safi.kama jina la hospitali❤❤❤❤❤
@jimmymberesero7350
@jimmymberesero7350 Жыл бұрын
Hongera sana Dr. Joseph Mberesero na Hongereni sana watoa Huduma wa Safi Medics kwakukabiliana na Changamoto za Ugumba sababu zimekuwa ni nyingi kulingana na mabadiliko ya kiamaisha hivyo MUNGU awabariki na kuzidi kuwapa Afya Njema ili muokoe Familia nyingi kwakuziendeleza sababu ili Taifa loendelee linahitaji Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora...✔️💯
@magdalenvalerian686
@magdalenvalerian686 Жыл бұрын
Congratulations dear Joseph.. umeweza kuendeleza kile kilichoanzishwa na mwenyekiti wa bodi na Marehemu mama.. Mungu akuongoze hapa patakuwa pakubwa zaidi na kufikia jamii kubwa at large ...
@salmazahor170
@salmazahor170 Жыл бұрын
Tanga moja iyoo tunajivunia kiukweli na sptl yetu hii na ndio tunapojifungulia Iko vzr Sana
@nancyabraham-ht4dw
@nancyabraham-ht4dw Жыл бұрын
Perfect hospital na Wana huduma nzuri Sana congratulations Dr mberesero....
@yasintatemba2202
@yasintatemba2202 Жыл бұрын
So proud of you kaka yangu Mungu akutunze kwa ajili yetu ndugu zako na jamii yote
@gladysyonah2849
@gladysyonah2849 Жыл бұрын
Hongereni sana.. huduma zenu ni nzuri sana. Mungu azidi kuwapa kusonga mbele
@mkuluwaukae2221
@mkuluwaukae2221 Жыл бұрын
Mberesero's ukoo maalum sana, Hela wanayo kwakweli Kimotco&kapricon etc
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 Жыл бұрын
Hongera sana Safi Medics, huduma zenu ni bora kabisa
@neemabarua7760
@neemabarua7760 Жыл бұрын
Hongera Dr Joseph Mberesero
@jafarysalukele6410
@jafarysalukele6410 Жыл бұрын
Hongera mzee mberethero!
@joycemberesero9599
@joycemberesero9599 Жыл бұрын
Big up Bro
@shifaacharitablehealthcent7545
@shifaacharitablehealthcent7545 Жыл бұрын
,shifaa ingekuws
@aishasaidi8408
@aishasaidi8408 Жыл бұрын
Hata kama ya ilikuwa ya mama yake je asingekuwa na moyo wa kuiendeleza isingekuwa hapo ilipo mpeni ongera yake
@ameedamilja7992
@ameedamilja7992 Жыл бұрын
Hospitali ni ya Mama yake sote tunajua asiseme ni yeye alianzisha. Mamake asingekufa angekuwa angeimiliki wapi?
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 Жыл бұрын
Kwani wewe kinakuuma nini? Acha chuki wewe. Kwa kauli zako hizi kufanikiwa sahau. Furahia jambo zuri la mwenzio na huduma kwa jamii. Hayo mengine hayakuhusu
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
Amesema waasisi wa hospital ni wazazi wake, hujamsikia?
@mangiavalerian6785
@mangiavalerian6785 Жыл бұрын
Kwanii shida ni nini? Kama ya mama yake na mama amefariki yeye akirithi kuna shida? Si anaendeleza mradi wa familia? Acha hizo chuki za hovyooo
@lovenessemanuel9439
@lovenessemanuel9439 Жыл бұрын
Hongera Dr jose
@safiasaid6715
@safiasaid6715 Жыл бұрын
Ndo hosp yetu kubwa tunaitegemea mjini tanga Mungu awe nawe dokta wetu.
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 10 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН
Look at two different videos 😁 @karina-kola
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 4,5 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 15 МЛН
MJI MPYA || Ifahamu Kange Uzunguni ndani ya jiji la Tanga
2:35
IJUE HISTORIA YA VITA KUU YA  NYUKI TANGA
7:40
Global TV Online
Рет қаралды 9 М.
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 10 МЛН