No video

#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 298,130

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

#EXCLUSIVE: KUMBE SCORPION ALIYEMTOBOA MACHO SAID SIYE ALIYEFUNGWA? SAMJET ATOKA GEREZANI, AFUNGUKA
Unakumbuka tukio la Scorpion? Yule mwamba aliyedaiwa kumtoa macho na kumsababishia kilema cha maisha cha kutoona kijana mwenzake aitwaye Said Mrisho?
Jina lake halisi ni Salim Njwete Salum, alijulikana zaidi kwa jina la Scorpion kutokana na tukio la kudaiwa kumtoboa mtu macho.
Salim alikamatwa na akahukumiwa kifungo cha miaka 7 jela.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 824
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@meesipro6799
@meesipro6799 Жыл бұрын
Daaaaa
@petermboje5839
@petermboje5839 11 ай бұрын
Yuko mtaani nimbus kweli kwa serikali yetu
@JosephSinkala-jn5np
@JosephSinkala-jn5np 11 ай бұрын
​@@meesipro6799❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@mohamedmacha
@mohamedmacha 6 ай бұрын
​@@petermboje5839 'nimbus' ???
@albertmhina1018
@albertmhina1018 5 ай бұрын
9
@OnlyRuky
@OnlyRuky Жыл бұрын
Namuamini 💯 since interview ya kwanza kwa MangeApp Kaka inatosha interview usifanye TEENA siyo rahisi binaadamu woote wakuamini ishi kwa amani as long unajua ujafanya,Fanya saana ibada muachie Allah na jitahidi saana kujilinda kwenye maisha ya unapoishi huku uraiyani kumekuwa kubaya saana wasije kukutafutia kesi nyingine
@ed3ezekiel388
@ed3ezekiel388 Жыл бұрын
Too much sadness 😞 bro hata ukijielezea zaidi binadam hawakuelewi wala kukuamini but remember Mungu anabaki kuwa Mungu hajawahi kubadilika yy ndiye anajua ukwel itoshe kaka 🙏
@Kidia-yt3bm
@Kidia-yt3bm Жыл бұрын
Mkuu hii naikumbuka ni kweli kesi yako ilikuwa na public interest watz walikuwa wanaifuatilia kwa karibu kutoka ingekuwa ngumu,pole sana kama hukuwa ni wewe,cha kushukuru mungu umetoka salama na afya yako,chapa kazi sasa
@winnifridaashery4449
@winnifridaashery4449 Жыл бұрын
Pole sana yaani ht mimi ni mmoja walioshangaa wewe kufanya hilo tukio.Siku zote ktk haya maisha Kila kitu Huwa ni Muda tu.Kwa hyo muda umefika wa watu kujua kilichotokea.Mungu atakulipa muda uliopoteza kaka yangu na pole tena na tena binadamu ndivyo tulivyo.
@flimbueni
@flimbueni 4 ай бұрын
Na baadhi yá watu waliongezea chumvi kwa kusema walikuwa wana bifu lá kuchukuliana mke.
@badaral6167
@badaral6167 Жыл бұрын
Pole sana kaka kweli we Muslim allah kasema tuwe wenye kusubili na wewe umefanya ivyo allah akulipe zaidi
@gorettimtungwe9011
@gorettimtungwe9011 Жыл бұрын
Nilikataa kuamini kwa kweli ilikuwa ngumu kwa Sababu ya shindano like nilikuona wewe ni mstaraabu
@aliamjad2683
@aliamjad2683 Жыл бұрын
Pole sana kaka kila afumgwaye sio wote wenye makosa iyo ni mitihani ya allar
@aishatarimotarimo2689
@aishatarimotarimo2689 Жыл бұрын
Sio kila mmoja anayefungwa gerezan ni mwenye makosa laa!! Mungu akupe umri mrefu na uendelee na moyo huo wakusamehee
@florencebudoya3814
@florencebudoya3814 Жыл бұрын
Dunia hii too sad. Hata Yusuph alifungwa gerezani kwa kusingiziwa. Thank God haki yako uliipata. Haki ya mtu haipotei.
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Жыл бұрын
Alisingiziwa na mke wa potifa
@luluzegema5782
@luluzegema5782 5 ай бұрын
😭😭😭😭
@sesilianjala3306
@sesilianjala3306 4 ай бұрын
Yaan ulikuwa kwenye mawazo yangu. MUNGU atampa HAKI yake
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Жыл бұрын
Daaa mm nilikulaani sana kumbe huna kosa daaaa MUNGU aliyekuleta duniani atakulipa
@elardurasa67
@elardurasa67 Жыл бұрын
Aise kama sio huyu jamaa basi jela wapo wengi wasio nahatia
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Wapo wengi sana 😭😭😭
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Uhakika wamejaa tere
@janaakimu6171
@janaakimu6171 Жыл бұрын
Hii ndio BONGO bhana
@estermahenge5972
@estermahenge5972 Жыл бұрын
Kbs😭😭😭😭
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 Жыл бұрын
Ndiyo mahakama zenu hizo mnazozilipia kodi na matozo
@mkmn4723
@mkmn4723 Жыл бұрын
Mm Mungu Allah ndiye ajuae ya sirini pole Kwa yule aliepoteza macho maana hata sura hawez muona Tena Allah amuhifadhi kapata ulemavu ampe na mwendo inshaAllah 🙏 yarab 🤲
@nadiafahad3926
@nadiafahad3926 Жыл бұрын
Aamiyn thumma Aamiyn
@ahmedkandoro9594
@ahmedkandoro9594 Жыл бұрын
Aise Pole Sana , mimi na kufahamu . Hunaga ukorofi , wizi wala dharau. Kesi kama hizi zipo nyingi Sana . Watu wanafungwa kwa dhulma na kuonewa . Story yako inafunzo kubwa sana.
@zawadmohammad2682
@zawadmohammad2682 Жыл бұрын
nikweli kabisa kwa tunaomfaham vizuri tunamuelewa Sana , alikua mpiga Vita vitendo haramu wizi,utapeli kwa kweli alikua anatuokoa pole ana Kaka Allah atakulipia
@jescangwaya9885
@jescangwaya9885 Жыл бұрын
Duh!! Mungu wetu wewe ndo unaejua kila kitu. Tuepushe na balaa na mikosi sisi na vizazi vyetu. Pole Kaka km hukuhusika km ulivyosema kwa kinywa chako. Ifike mahala ukweli uwe bayana ili mwenzio nae aelewe ukweli na yaishe!!
@ommy_singano
@ommy_singano 5 ай бұрын
Aamiin
@sanoureyaliwadoakaroyo1696
@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Жыл бұрын
Nimesikiliza kwa Makini Nimekuelewa Sna Haya Yalisha Nitokea Mim Mwaka 2006 Niliwekelewa Kesi Ya Kulawiti Mtoto Nusu Nipate kifungo Cha Miaka 30 Ila MUNGU Aliingilia Kati Ssa Haya Anayo Simulia Uyuu Mwamba Ni Kweli kuna Watu wanawaekelea Wezao Kesi ili Kuwabiria Maisha
@artist_mtulivu7799
@artist_mtulivu7799 6 ай бұрын
Huyu jamaa anavyo jieleza tu hafananii na kufanya tukio la design hiyo, next time watumie ata chartGPT
@hassanrashid9436
@hassanrashid9436 5 ай бұрын
​@@artist_mtulivu7799kweli kbs
@KUPASteven
@KUPASteven 5 ай бұрын
Sio wanaokwenda jela wote Wana hatia kwa kweli nimekuelewa wete
@adammtimali4071
@adammtimali4071 5 ай бұрын
mimi nimekuelewa
@asmartonline5030
@asmartonline5030 5 ай бұрын
Huyu jamaa muonekano na anavyoongea ni tofauti na nilivyokuwa namuwazia........... wallay hahusiki.........
@theprogrammer3351
@theprogrammer3351 Жыл бұрын
Mimi nakuamin sana ndugu yangu... Ikiwa ww ndyo uliyeleta amani Pale bakharesa relin ungewezaje kufanya hvyo... Ulivyokuwa unalinda ww wahuni walifyata mkia..... Kwa watu wanaojua vizuri matukio ya bakharesa basi watakubaliana na mm....
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc Жыл бұрын
Mie mzee wang ni mfanyabiashara pale pia alisema hvyo
@kapwalymwaisemba5725
@kapwalymwaisemba5725 5 ай бұрын
Bro nataka nije unifue
@hassansaid3833
@hassansaid3833 Жыл бұрын
Mm naamini kabisa huyu sie aliofanya tukio na polisi wanajua hilo kuwa huyu sie mtuhumiwa na walimtoa sadaka tu. Na ndio maana unaona hukumu ya miaka 7 wakati tukio lilikua ni shambulio la mwili na Robaly kifungo chake kingekuwa miaka 30 au 37 Huyu bwana kweli walimtoa kafara tu
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Robaly ni nini
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 Жыл бұрын
@@nancyg8664 kabali yaani kumkaba mtu nijambo dogo ila kesi yake ninzito mnoo
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 Жыл бұрын
@@abdimohamed3953 kabali jambo dogo nawakati mtu anaweza kufa
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 Жыл бұрын
@@maloomaalmnsj5111 nisahihi athar yake nikubwa lakin kinamna wengi wanavoichukulia katika makuzi ndio maana nikasema nijambo dgo ukiangalia lakin kesi yake ni nzito
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Dah pole sana kaka mshukuru sana Mungu ujafia jela au kufungwa maisha Mungu ni mwema pole sana kaka
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Жыл бұрын
All in all mungu amekusaidia umemaliza kifungo salama...
@frankvianey2438
@frankvianey2438 Жыл бұрын
Hii ni case ngumu asee,huwez kujudge chochote kwa sababu hatuujui ukwel wowote ila Mwenyemwez Mungu ndio atakaye hukumu
@agnessnkandi5229
@agnessnkandi5229 Жыл бұрын
Lini
@michaelally5213
@michaelally5213 Жыл бұрын
Du Pole nilipokuelewa Mimi ni pale ulipoliacha hili jambo Kwa mungu yeye ndiye ajuae.
@AmirAmir-gj5zr
@AmirAmir-gj5zr Жыл бұрын
Pole sana brother mitihani tumepewa ss binaadamu
@einsteinmboje4730
@einsteinmboje4730 Жыл бұрын
Jamaa Unaona Kabisa Hayuko Na Hatia Na Yuko Very Smart ,Wanasaikolojia Tunamuelewa , Scorpion Sio Yeye Kabisa
@user-ng1po1dh4z
@user-ng1po1dh4z 5 ай бұрын
Pole sana, tena pole sana. Maelezo yako ni sahihi, isipokuwa Binadamu akishaaminishwa uongo, kumbadilisha siyo rahisi. Tunaamini sisi walio wahi, kubandikwa kesi tusiyohusika. Wewe ni kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote, atakulipeni ajuacho yenye. 😢😢😢😢😢
@janaakimu6171
@janaakimu6171 Жыл бұрын
Kwa hakika MOLA ndio HAKIMU wa yote Azidi kukufanyia wepesi inshaAllah 🙏🙏 ALLAH AQBAR_MUNGU MKUBWA🙏🙏
@allysalehkhamis73
@allysalehkhamis73 Жыл бұрын
Dah pole sana kaka inauma sana Allah akufanyie wepec kaka
@allysalum1112
@allysalum1112 Жыл бұрын
Mimi nimekuria vingungut buguruni yotee naiua uyooo jamaaa namjuaa arikua sunguu sunguu badaee arikua baussa kimbokaa sio uyooo uyooo mtoto skopioni arikuaa mwizii atari kashakufaa tatizoo ririopoo uyooo saidii katoborewaa machoo tuu angekua anaonaa angemtabuaa vizuri tuuu mtumiwaa wakee munguu atakuripaa baussa wetu kimboka baar bai nait
@saidhamza5318
@saidhamza5318 Жыл бұрын
Duh
@bahatimaganga1324
@bahatimaganga1324 Жыл бұрын
Sasa km alikuwa baunsa wa bar..basi anaweza kufny mambo ya ajabu kwasababu baunsa anamshahara gn
@magorymara5515
@magorymara5515 5 ай бұрын
Wanakijiji wanakwambia siyo yeye wewe umeng'ang'ania kuongea utumbo nyie ndo hutoa ushahid wa uongo​@@bahatimaganga1324
@user-pe2vq5td6m
@user-pe2vq5td6m 4 ай бұрын
Hapo umeongea na wachukia Hawa subgusungu ata kuwaamini Ni kazi sanaa​@@bahatimaganga1324
@wilsonchallange4420
@wilsonchallange4420 Жыл бұрын
Dah.! Nimesikitika sana huyu Jamaa inaonesha hakuwa na hatia
@Thebaddest255
@Thebaddest255 Жыл бұрын
Uwezi sema hana hatia😂 kwa kumuangalia sura yake au maneno anayosema tumwachie mungu tyuuu
@ashrakswaleh2116
@ashrakswaleh2116 Жыл бұрын
Sio yy coz jmaa ana uwezo mkubwa hawez tumia kisu kumtoa macho
@jacklinejackline8607
@jacklinejackline8607 Жыл бұрын
Pole Salum Mungu atalipwa kwa mambo uliyo singiziqa
@marumafurniture3565
@marumafurniture3565 Жыл бұрын
Allah atakulipa kwa kutumikia kifungo ambacho sio haki yako ila mchukuru mungu kwa icho kilicho kukuta maana aujui alikuepusha na nini uraiani
@jozeeshirima9231
@jozeeshirima9231 Жыл бұрын
Pole sana kila jambo linalo mpata mtu lina kusudi so mshukulu mungu kwa hilo
@kilungumsabaha3891
@kilungumsabaha3891 Жыл бұрын
Duuh! Pole Sana Kaka yaaani unavyojieleza vizuri mi nimekuelewa binafsi Allah atakufidia muda wako
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 Жыл бұрын
Dah!,sijui hii nchi ina laana tu au ?, iweje mtu anaeleza kitu lakini hata kusikilizwa au hakifuatiliwi. So sad😭.
@kanalimwenga3563
@kanalimwenga3563 Жыл бұрын
Kuna Siri nzito apa muhanga kipofu mwenye jina kafa Mungu ibariki tanzanis
@nuryatmussa9966
@nuryatmussa9966 Жыл бұрын
Jamani😢 Mwenyez Mungu akupe subra namoyo wakusamehe pia
@innocentlusajo9303
@innocentlusajo9303 4 ай бұрын
Dan 2 ni level ya Van Dame. Nimesikiliza Kwa makini maelezo haya , hii kesi Haikua bahati mbaya. Kweli ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya. Hittler alituambia uongo ukiongelewa mara nyingi sana watu wanauamini. Pole sana kaka.
@camillasiwa6506
@camillasiwa6506 6 ай бұрын
Ndugu yangu, pole sana, Polisi fanyeni kazi kwa ueledi, mnaharibu future za watu, hakika hukumu ya Mungu itawaandama hap Duniani na Ahera pia. Muogipeni Mungu saaana saana, Mwenyezi Mungu hataniwi hata kidogo. Kaka tuko pamoja katika kujenga upya taswira na uchumi wako, na Mungu akakusaidia
@antonykomba6631
@antonykomba6631 Жыл бұрын
It's a heart rending story kwa kweli. Binafsi I was brain washed kwamba wewe ndugu yangu ndiyo scorpion mwenyewe! Kumbe the real culprit easily slipped through the noose. POLE SANA KAKA na muhanga pia Said
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 8 ай бұрын
Ikiwakweli hujafanya mwenyezi mungu atakulipia nakama ulikusudia kumfanyia weye bc kwauwezo wke mungu atamlipia bwana said mwenyezi mungu ampe umri mlefu inshallah
@mussakilo4916
@mussakilo4916 Жыл бұрын
Dah nilikuchukia sana ila kwa maelezo tu na muonekano wako hakika haukufanya jambo hilo dah Pole sana
@agnesignas4398
@agnesignas4398 4 ай бұрын
Dddd4 did 3ßßee2eaà11qqawq1àaàaà
@rogersmasofa6549
@rogersmasofa6549 Жыл бұрын
Hata Mimi nilishangaa sana aisee 😭
@josephgervas5191
@josephgervas5191 4 ай бұрын
Pole sana Salum,, nilikuchukia sana na kama kweli ipo hivyo basi wengi sana wamefungwa kwa kusingiziwa. MUNGU akupe nguvu zaidi na akubariki sana
@abbacushabba4110
@abbacushabba4110 Жыл бұрын
Bro, the best mtafute shaidi haliona matukio hao life siku hiyo ya kutolewa Macho
@shamzone388
@shamzone388 Жыл бұрын
Ndugu yangu usisikitike kumbuka Nabii Yusuf alifungwa na mwisho akawa ni Nabii Kwa hiyo allah alikujalia uwe kifungoni kukuepusha na shari fulan mungu ndie anaejua zaidi
@WagulimbaOGonline
@WagulimbaOGonline Жыл бұрын
Naam Mungu akitaka iwe Inakuwa
@kararaera8161
@kararaera8161 Жыл бұрын
Handsome kbs 🇷🇼🥰🙏Mungu nimwema siku zote
@johnstartv5455
@johnstartv5455 Жыл бұрын
Niliumia saana nilipoona huyu jamaa kakamatwa "maana mimi nilikuwa namfahamu huyo Scorpion" ni alikuwa mtu mbaya balaa,na polisi walikuwa wanamjua hakika,ila aliyelikuza ni Makonda ,
@manmgomi3042
@manmgomi3042 Жыл бұрын
Mbna ukwenda kutoa ushaidi
@keifatuke99
@keifatuke99 Жыл бұрын
Makonda alikuwa anakurupuka na mambo
@SebastianJugle-lb7ob
@SebastianJugle-lb7ob 8 ай бұрын
Nilipoamini ukufanya kosa nipale alipopanda gari ya magereza ukawa unacheka unajua bana ukiwa una kosa unaona kama nimasiara kwa iyo utakua unacheka kwa masikitiko maana uamini kinachotokea polisi tujitaid kuongeza umakini
@erycah
@erycah 5 ай бұрын
​@@manmgomi3042unafikiri ni kitu rahisi hivyo
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 5 ай бұрын
Mbona huku paza sauti?
@rogathematuro2690
@rogathematuro2690 Жыл бұрын
So sad pole sana kaka
@zuwenaharunali
@zuwenaharunali Жыл бұрын
Very smart bro❤
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Kamanikweri ujafanya ilotukio Allah atakulipa na kamakweri umelifanya pia Allah atakulipa jua kwa Allah akunaujanjaujanja ..mawilitu2 moto au pepo
@arafatgullam
@arafatgullam Жыл бұрын
Kweli kabisa
@williamjohn7907
@williamjohn7907 Жыл бұрын
kweli kabisa
@tatukigua5456
@tatukigua5456 Жыл бұрын
Pole sana my brother
@user-wk1ix1gm1p
@user-wk1ix1gm1p Жыл бұрын
Pole sana kaka , mungu aendelee kukupa subra , umeumizwa Na kuharibiwa maisha Na kutokuaminika tena
@kapwalymwaisemba5725
@kapwalymwaisemba5725 5 ай бұрын
Dah so sad ila MUNGU atamsimamia tuu
@aloycemwakatala2796
@aloycemwakatala2796 Жыл бұрын
Kama ulifanya kweli au hukufanya Allah atakulipa, hakuna mwenye nguvu hapa chini ya jua bali mpo wapumbavu kidogo mnaojiona miamba acheni ujinga wenu.
@dennismungai4632
@dennismungai4632 Жыл бұрын
Pole Sana kamanda ndo dunia ilivyo ,,
@lukindombuleti8174
@lukindombuleti8174 Жыл бұрын
Grobal,huyu jamaa alietobolewa macho alikuawa mwizi kinyama,ameshaua sana,ameiba boda boda sana,na tukio lilianzi Kigogo baaada ya kupora pikipi wakakimbilia Buguruni,na huyo Maya huyu jamaa alietobolewa macho anamjua vizuri maya Kipofu mwizi na Maya mwizi tena ni walikuwa kundi moja walikuwa wezi baraaa kaka,Huyo Sam namjua kuanzia Ifakara muulize Lipangalala au ukumbi wa Chatu,muulize master Malunda
@ismailgumbo289
@ismailgumbo289 Жыл бұрын
Subuhan Allah! Pole shekh wangu Allah atakukipa tu hapa hapa dunian juu ya hayo ukiotendewa, dunia haina haki hata kidogo
@minaelnathanael1846
@minaelnathanael1846 Жыл бұрын
Eeh Pole sana Nadhani uswali swala tano kwa sasa. Mungu atakusimamia maisha yako hutapata tena Janga linguine maishani kwa vizazi vyako vyote
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 Жыл бұрын
Dah, jamaa kweli hakuhusika, maelezo yake yamenyooka, ila kutokana na mihemko asilimia kubwa ya watu hawakutaka kuamini...!...pole kwako na pole Kwa muhanga...!
@ALLNEWSTV856
@ALLNEWSTV856 Жыл бұрын
Aliyetobolewa macho ndiye alikuwa anamiliki genge la wahuni na ndio ananunua simu za wizi buguruni kwa hiyo hiyo ni bifu yake na hao hao wezi waliokuwa wanaiba simu na kumpelekea so alivyoshambuliwa na anajua kabisa huyo jamaa ndiye alikuwa anazuia wizi akaamini kabisa kuwa ndiye yeye. Kiufupi simuonei huruma kabisa kwa sababu watu wengi waliibiwa simu kwa sababu yake. Allah amemlipa hapahapa duniani. Ukibisha nenda kwa mnyamani kaulize historia ya huyo aliyetobolewa macho
@DM_15
@DM_15 Жыл бұрын
Polesana kaka Mungu atafidia mudawako uliopoteza
@omarihazali3558
@omarihazali3558 Жыл бұрын
Pole Sana brother, ni mtihani ya Dunia. Mshukuru umetoka. Ganga maisha, Mungu akujalie maisha yaende vizuri. Inasikitisha Sana mpaka Macho zi yametoka licha ya kwamba sikufahamu. Pole sana
@user-ui7lb5yc2l
@user-ui7lb5yc2l 8 ай бұрын
Pole Sanaa kaka, mungu akulinde ndio Dunia, kama mtu ujawai singiziwa kesi usiombe itokee utahisi Kila binadamu mbaya kwako.
@lgdnce8309
@lgdnce8309 Жыл бұрын
kweli pole na pole kwa yule ametobolewa macho kweli jela kuna wengi wamesingiziwa kesi afu mm nakujuwa myaka mingi huna iyo tabia huna
@ibrahimluambano2464
@ibrahimluambano2464 Жыл бұрын
Nakukumbuka sana Mdogo wangu nilikuwa nawe...bagamoyo..hotelin weee ni Rahim sana ..ukiwa na wenzio ..kwenye campaign ya dume na wenzio wangine walikuwa wanasoma Ifm Pole sana Mungu.hana choyo ipo siku.. Mungu hajawaikuficha bayana..utalipwa tyu na Allah
@fredymwakikono1575
@fredymwakikono1575 Жыл бұрын
Hizo done mbili si mchezo, achana na black belt, huyo mtu ni hatari na nusu, ila pole yake kwa yaliyompata.
@ramadhanihafidh7732
@ramadhanihafidh7732 Жыл бұрын
Pole sana kk, kweli wewe ni muislam kk, Allah akuzindishie imani na ukufanyie maisha mepesi, ila usirudie kutangaza kondom hii ni laana,..na haya mateso ni msahama kutoka kwa moja wako
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 Жыл бұрын
Nani ajuaye siku ya uovu inapokuja.Mungu atutetee
@carolakinasha2106
@carolakinasha2106 Жыл бұрын
Nimefurahi sana kusikia upande wa Samjet. Nilishtuka sana na ilikuwa ngumu kuamini Samjet wa Dume Challenge angeweza kutenda ukatili wa hali ya juu hivyo. Mimi kama mmoja wa majudge wa Dume Challenge naamini maelezo haya kwa kuwa namfahamu kwa kiwango kikubwa Samjet. Namtakia kila la kheri katika maisha yake yaliyobakia. Pia namtakia amani bwana Saidi ambaye naye ni muhanga wa ukatili wa hali ya juu.
@chunaridhi6687
@chunaridhi6687 Жыл бұрын
Samjet dume challenge hata me nilishangaa sanaa duh!! Dunia hii
@latifamangula6798
@latifamangula6798 Жыл бұрын
Pole sana kaka ang kama ulisimama kwenye kamba ya M,mungu bc mungu ndio kila kitu hata manabii walipata misukosuko kama yako au zaid yako, inshaallah mungu atakulipa
@kaimasawe1919
@kaimasawe1919 Жыл бұрын
Asante MUNGU usiye shindwa na Jambo...umeamua kukiweka wazi Jambo hili....ni wengi wamefungwa kwa kusingiziwa yupo Yesu kristo mtetezi wa wanyonge...Amina
@nunuuali5316
@nunuuali5316 Жыл бұрын
Aisee we kaka kama kweli sio wewe Mungu ndo anaujuwa ukweli ila nilikuchukia nikakulaan kwa unyama uliofanyika nilitaman hata na wewe utobolewe hayo macho,Mungu nisamehe kwa kweli🙌
@consolatablasi6212
@consolatablasi6212 Жыл бұрын
Hata mimi nilisikitika mnoo
@Othmansheby
@Othmansheby Жыл бұрын
❤❤❤Mwalimu wangu Toka siku nilisikia sikuamin na Unaanza Dua nakujua ulitufunza upendo ujasiri karate nami nikawa mwalimu wako wa sanaa ya uigizaji hila wewe ni Mwalimu wangu nitakutafuta Kaka nafurai sana Allah ni mwema❤❤❤❤❤
@yassinshekh2936
@yassinshekh2936 Жыл бұрын
Mmmmh Mimi Kwa mazungumzo yake tu ninapata mashaka
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 Жыл бұрын
Kivipi tujuze
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 Жыл бұрын
Brother Mungu atakulipa don't give up just forget it anza maisha yako upya sahau yote ya nyuma
@cherrylioness1595
@cherrylioness1595 Жыл бұрын
Muongo huyu
@NeemaMinga-pl8ty
@NeemaMinga-pl8ty Жыл бұрын
Pole Kwa yote uliyopitia bro, kisa chako kimenigusa pole pole pole sana. Wakat wa mungu utafika.
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 Жыл бұрын
@@cherrylioness1595 kwanini unasema mwongo
@blackqueen3532
@blackqueen3532 Жыл бұрын
I feel you bro.....wafungwa walio wengi ni kesi za kusingiziwa
@jimmymbella997
@jimmymbella997 Жыл бұрын
Pole sana bro kwa yote, mchezo wa martial arts sio kwaajili ya kufanya matukio na kuumiza watu, watu wanauchukulia tofauti sana hii michezo. Mungu atuongoze sana aiseee...
@danielkihoza7330
@danielkihoza7330 Жыл бұрын
Kwema blaza
@danielkihoza7330
@danielkihoza7330 Жыл бұрын
Samahan niliitj kuongea na ww
@amiimussq4833
@amiimussq4833 Жыл бұрын
Rai yangu kwa waandishi Habari wasiwe na mihemuko ya mambo kwa kuyaangalia upande moja na kuyakuza tutaaleta vita ktk hii nchi
@anathjuma6813
@anathjuma6813 Жыл бұрын
Usiongee Tena,acha hiyo interview iwe ya mwisho.......ubaya utalipwa kw ubaya....kila mtu atahukumiwa na Mungu Kama wamemaliza...stay blessed...
@skjjsj1889
@skjjsj1889 Жыл бұрын
Kk pole kwa yaliyokukuta lkn pia wasamehe kwa waliokutaja Malipo hapa hapa Huyo aliyefanya hilo tukio mungu amemwuangamiza na huko aliko anayapata malipo aliyoyafanya
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Жыл бұрын
Kusema ukweli uyu kaka nilikuwa namfatia kwenye mashindano ya dude kondom na alishinda,alikuwa kaka mcheshi mpole na mwenye furaha lakini alipo ambiwa kamtoboa macho uyu said sikuamini kabisa na wala siamini mbaka sasa
@GracieTyno
@GracieTyno Жыл бұрын
Very handsome guy.
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 Жыл бұрын
Aliyefanyiwa tukio ni kipofu, hawezi kutoa ushahidi, anayedaiwa ndie Scorpion halisi naye amefariki. Basi tuache yaishe tu.
@zuhurasajiliwa9655
@zuhurasajiliwa9655 Жыл бұрын
Nimelia sana 😭😭pole sana kaka
@charlesmasesa89
@charlesmasesa89 Жыл бұрын
Pole broo mungu nimwema mm nilisikia hilitukio nikiwa mkoani sikufaham wala haunifaham nilijiuliza sana kipindi media zinatutangazia harikuniingia akilini tumshuru mungu kwakua ukweli umejulikana pambana na maisha achana media haohao ndo walikua wanatuchochea tuamini ualifu huo media zinaendeshwa kwa pesa walipewapesa wakakuumiza
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Kuna watu wengi wako ndani bila makosa wachache sana
@godfreylushiku3081
@godfreylushiku3081 5 ай бұрын
Pole sana SamJet...Mungu arakurejezea miaka iliyopotea gerezani na kukufungulia njia ya mafanikio.
@sadasaid4408
@sadasaid4408 Жыл бұрын
Pole sanaaa kaka Salum jomon, mshukuru mungu Msamehe huyo side,
@mbonijabu1164
@mbonijabu1164 Жыл бұрын
Pole sana kaka wanaokwenda jera sio wte wana hatia pole broo Mungu kakuponya
@sifasadiki5082
@sifasadiki5082 5 ай бұрын
Hivi walishindwa fanya DNA test ,kwenye zile nguo za saidi mrisho .Mana ingeonyesha fingers print za huyu salimu na wangecompare .Na penye ukweli uongo hujitenga
@hamisimsosi6237
@hamisimsosi6237 Ай бұрын
Hii dunia Ina Mambo mengi unaweza kupewa jambo BAYA wakati siyo lako😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 Жыл бұрын
Mimi tangu siku ya Kwanza nilikuwa Siamini kama wewe ULITENDA jambo hilo. Allah anajua
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Hata Mimi pia
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 Жыл бұрын
Naweza kuelewa hii confusion ya majina ya Salumu itakuwa ilichangia na kwakuwa tukio lilikuwa baya Sana kulikuwa na pressure ya Serikali kutaka kuona Kuna mtu anawajubika. Kwahiyo hii story naweza kusema ni kweli. Mahakama ilipaswa kufanya utafiti zaidi, na walipaswa kumsikiliza mtuhumiwa.
@dicksonwanyama1689
@dicksonwanyama1689 Жыл бұрын
Big sad pole sana brother
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Жыл бұрын
Bro watakiwa usafishe jina lako Pia wakulipe fidia ya muda wote Uliosota magereza, Police wa bongo ndio kazi yao Kuwabambikizia watu makosa ya uongo because there are so lazy Kufanya upelelezi, so they find easy options which is lies poor 👨
@summanelson5523
@summanelson5523 Жыл бұрын
Kesi za mahakamani inategemea sana wakili wako. Ukiwa na wakili mzuri hata kama ueua atakutoa tu. Kuna watu walioona hilo tukio na walitoa ushahidi kuwa scorpion ndiye aliyetoboa macho Saidi. Ila Mungu hadhihakiwi malipo ni hapa hapa!!!
@siwonikewilliam9146
@siwonikewilliam9146 Жыл бұрын
Sasa yeye sio scorpion
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
kama sio yeye kwanini ndugu zake hawakutoka kulalamika kuwa waliomshika sio yeye scorpion??? wangelalamika mitandaoni kama vile alio wadhulum walilalamika serkal ingelichunguza zaid na kumpata mtuhumiwa halisi kaka unaweza jisafisha ila tumwachie Mungu tu ndio anajua ukweli wako na hao waliofanyiwa unyama inamaana hata marafiki zako au majiran zako washindwe kusema unasingiziwa ? yaani kuna uwalakin hapa
@chuchudodo8315
@chuchudodo8315 Жыл бұрын
Sio wote wanaweza kujieleza kwenye media kwenye matatzo kama haya hakuna ndgu ataesimama na ww
@bigmzazee2961
@bigmzazee2961 Жыл бұрын
Nashkur kukuona mwanangu unaafya teacher samjet
@arafatgullam
@arafatgullam Жыл бұрын
Muongo huyo
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 4 ай бұрын
Saw! Tuombeane uzima na ije ifahamike. Polisi mnapaswa kujibia hili jpo sitarajii kutokana na utendaji wenu uliojaa ukakasi.
@zezenuvel7612
@zezenuvel7612 8 ай бұрын
Pole dear pole sana na kumbuka kuna sababu ya kila jambo penye Shari ukivuta subra na kumuamini Allah ndani kabisa kheri ipo
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 10 МЛН
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,6 МЛН
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 13 МЛН
ALIYEHUKUMIWA KUNYONGWA, AKAACHIWA ATAMANI KURUDI TENA GEREZANI..!
24:37
Global TV Online
Рет қаралды 544 М.
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 10 МЛН