Exclusive|| Mbunge aliyesema watu waingie kwa pasipoti Zanzibar "Msimamo wangu huu siwezi kuugeuza"

  Рет қаралды 19,458

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

2 ай бұрын

Mbunge wa Jimbo la Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa amesema msimamo wake kuhusu watu kwenda Zanzibar kwa paspoti bado uko vilevile isipokuwa awali watu wengi hawakuelewa maneno yake lakini alichokimaanisha ni kuweka paspoti kwa lengo la kuvilinda visiwa hivyo.
Mohamed ameyasema hayo leo Jumanne, Mei 7, 2024 alipozungumza na Mwananchi Digital Bungeni jijini Dodoma ambapo amesema kumekuwa na watu wengi ambao wamekuwa wakienda Zanzibar kutoka mataifa ya jirani bila paspoti kwasababu ya utaratibu uliopo sasa hivi.
Aidha katika mahojiano haya Mbunge huyu pia ameeleza kuwa angetamani Watanzania wote wapewe pasi za kusafiria punde wanapozaliwa ili kurahisisha usafiri kwenda maeneo mbalimbali pamoja na kulinda visiwa vya Zanzibar kwani utaratibu huo unatumika nchini Uchina pamoja na Uingereza.

Пікірлер: 449
@user-no2ut7yd3e
@user-no2ut7yd3e 2 ай бұрын
Haki iwe pote Tanganyika na Zanzibar tutumie posipoti.
@Pemba680
@Pemba680 Ай бұрын
Mmbunge mzuri sana Allah akuweke
@user-kx5dt5ih2i
@user-kx5dt5ih2i Ай бұрын
Tope tupu
@ramadhanibahati2829
@ramadhanibahati2829 2 ай бұрын
Good kiongozi, umeeleweka
@NoufelSalim
@NoufelSalim 2 ай бұрын
Hujakosea,kiufupi waingie na tuingie Kwa passport kwisha kabisa.umeongea point xn
@samsonogunde4508
@samsonogunde4508 2 ай бұрын
Nakukubali Zanzibar Lazima Mlinde Nchi Yenu, Muungano ni Kesi Nyingine na Nyie Watanganyika tafuteni Nchi yenu Hakuna Tatizo na Hakuna Ubaguzi hapo.
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp 2 ай бұрын
Watanganyika tutafute nchi yetu!!!?? Ama kweli! sawa iko siku tutaipata Tanganyika yetu, jeuri hiyo isi kusahaulishe nusu ya wapemba wamelowea huku.
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 2 ай бұрын
​@@DavidSemu-gu6wpWazanzibari tupo kila eneo duniani so uwezo wao unawaruhusu bc wataishi uko
@East_Africa_120
@East_Africa_120 2 ай бұрын
Tanganyika ndio nini
@abdifaraji2883
@abdifaraji2883 2 ай бұрын
Sehemu yote ya pwani ilikuwa miliki ya Zanzibar tumenyang'anywa na Wajarumani na Waingereza wakati wa vita vya pili vya dunia, na sehemu hii ikitwa Mrima. Mpaka leo ukitokea Posta kuu, karibu na mahekalu ya Wahindu kuna kipande kidogo sana kinaitwa Mtaa wa Mrima, yaani Mrima Steet. Sijui kwanini jina hili limefichwa pale. Nadha Watanzania wasijue historia ya huu Mwambao wa Arika ya ashariki. Nalotaka kusema ni kuwa kuoana baina ya Wazanzibari na Watanganyika kulikuwa hata kabla ya huu Muungano. Nyumba nyingi hapo kitumbini karibu na Msikiti wa Ijumaa zilijengwa na watu kutoka Zanzibar. Hata bandari ya Mombasa ilikuwa Zanzibar mpaka 1963 kabla ya uhuru wa Zanzibar Kenya ilipoidai na Jemshid akaridhia iwe milki ya Kenya. Inashangaza kuona watu wakisema Wazanzibari wamejaa mpaka Katavi. Nakumnika katika miaka ya hamsini kule Kitoroni karibu na Ndagaa Wazaramu na Wanyagatwa na Wandengereko lijigawa makundi mawili, kundi moja wazawa, yaani wale mababu zao wamezaliwa Zanzibar na kundi jingine likiitwa wakatamaji. Wakatamaji walikuwa ni watu wasiozaliwa Zanzibar. Mlezi wangu alikuwa mkatamaji aliyezaliwa huko Nyamisati kabila yake ni mnyagatwa. Jifunzeni historia ya Mwambao wa Africa ya mashariki kabla ya kuropokwa, hasa Viongozi wanaotoka huko Madongoporomoka wanaoleta jeuri na kashfa.
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Ай бұрын
Sisi nchi yetu ipo hatuna haja ya kuitafuta. Na ndio nchi hiyo hiyo inayokuleeni nyie.
@NassorMohammed-oy7bc
@NassorMohammed-oy7bc 2 ай бұрын
Kazungumza vizur
@khelefmatelephone9653
@khelefmatelephone9653 2 ай бұрын
Hongeraa muheshima
@MainlandFc-xc3bi
@MainlandFc-xc3bi 2 ай бұрын
Good dear brother, umeongea vizuri sana
@ZuenaSharifu
@ZuenaSharifu Ай бұрын
Good
@phabiankagoma5144
@phabiankagoma5144 2 ай бұрын
Kwa hoja hizi nadhani Tanganyika kama Nchi inahitajika.!!!
@iddihassan2677
@iddihassan2677 2 ай бұрын
Ssi wazanzibar tutaingiya tanganyika na pasport na watanganyika mtaingiya zanzibar kwa paaport
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 2 ай бұрын
Ni vizur sana itakua poa
@GoodTeck90
@GoodTeck90 2 ай бұрын
Bwege wewe ..... hata unachoongea hukijui ...... Zanzibar ina Immigration department ??!! au ina Wizara ya mambo ya nje ??!! ...... Sasa kama hawana nani atamkagua mwenzie kati yenu na sisi ??!!
@BennyJumah-hd8yf
@BennyJumah-hd8yf 2 ай бұрын
Kichwa kisicho na a kilo ni mzigo kwa shingo
@jumannemumbi9911
@jumannemumbi9911 2 ай бұрын
sasa ukiangalia uku Tanganyika wazanzibar wapo wengi Sana na wamejiwekeza Sana apa inakuwaje
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Ай бұрын
Wewe mnyamwezi utaludi kwenu kisiwa hicho hakikua nawatu zaidi ya wakoloni kiliitwa kisiwa ausio
@YusuphHamadi-wy7rt
@YusuphHamadi-wy7rt 2 ай бұрын
asalam alaiku muheshimiwa mbunge nakusapoti uko sahihi
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 2 ай бұрын
Tanganyika irudi ili ku ondoa yote hayo
@user-re6bk6cd6o
@user-re6bk6cd6o Ай бұрын
Good leader 👏👏👏
@user-km5eg5ze6m
@user-km5eg5ze6m 2 ай бұрын
Huyu ndo kiongozi hodar
@happyjeremiahmhuli4043
@happyjeremiahmhuli4043 2 ай бұрын
Upo sawa kwa hilo.Ila Tanvanyika ni pakubwa na pia tupo wengi.
@princematumbo
@princematumbo Ай бұрын
Huyu mmakonde mtumwa huru ana shida sana,luck of education
@helencyprian8745
@helencyprian8745 2 ай бұрын
Ujue unalipwa kwa kodi zetu watanganyika
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 2 ай бұрын
Hili swala la ushoga nilishangaa nchi kama Zanzibar kuna mashoga
@saidsuleiman9018
@saidsuleiman9018 2 ай бұрын
Shoga babu yako
@emmanuelmruve821
@emmanuelmruve821 Ай бұрын
Kwa ujinga wangu tu nikitoka Arusha kwenda kilimanjaro lazima niwe na passport kwasababu wanalinda mlima wao
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 Ай бұрын
Kweli kwa ujinga,maana muungano wa nchi,ni arusha na Kilimanjaro,
@hajihassan5433
@hajihassan5433 2 ай бұрын
Mimi sioni ubaya Tanganyika ni kubwa mara 470 kuliko Zanzibar ni muhimu kuweka utaratibu.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 ай бұрын
Utaratibu ni kuwa na serikali tatu, hivi ni watanganyika wangapi wanaingia Zanzibar? Mambo ya funika kombe mwanaharamu apite hayana tena nafasi!
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 2 ай бұрын
Wale Wa Mpango Mkakati haqatamuelwa/watampinga
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 2 ай бұрын
Passport ianzie pemba na unguja kwanza
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 ай бұрын
Huyu mbunge mpuuzi na aliyejaa chuki! Eti mwanamke kufunua nyweke ni sawa na mwanamke kuwa uchi na anavutia zinaa. Sasa kwa nini anaingia kwenye vikao vya bunge, maana humo Bunge i kumejaa wabunge wanawake wenye kuacha kichwa wazi, hivyo kila siku kwa kuwaona wanawake hao anafanya nao zinaa, mpuuzi kabisa! 18:03
@user-gy5og1ts9n
@user-gy5og1ts9n 2 ай бұрын
Ndio mie mtanganyika lkn ss watanganyika tumezid kuharibu tabia na huruka ya kizanzibar inasikitisha kweli Bora aseme tyuu.
@Worldunite
@Worldunite 2 ай бұрын
Wazungu kutembea na vichupi jee? hawaharibu tamaduni zenu huko?
@Sheba4651
@Sheba4651 2 ай бұрын
Nyie watanganyika hamtembei na vichupi, bora hao watembea na vichupi. Nyie mnavaa nusu utupu na kuuza utupu kwa bei rahisi, angalau wazungu hawauzi utupu
@Worldunite
@Worldunite 2 ай бұрын
​​@@Sheba4651ulijuaje sie watanganyika hatuvaagi chupi? Unatutukana?, labda wewe ni mzoefu wa haya mambo
@Worldunite
@Worldunite 2 ай бұрын
@@Sheba4651 we ulijuaje kwamba sie wabara hatuvai vichupi?
@frankraphael7546
@frankraphael7546 2 ай бұрын
Nikweli mh ana Manisha z ni nchi uko vizuri Tanganyika yetu jamn
@salmaabdu5011
@salmaabdu5011 2 ай бұрын
Muheshimiwa umezungumza maneno mazima kwa utetezi juu ya wazanzibari tunateseka sana juu ya wageni waliojazana zanzibar mabaa hayasemeki machangu dowa kila kona
@nestarnestar4520
@nestarnestar4520 2 ай бұрын
We umeona ma bar tu hujaona swala watoto wa kike kuingiliwa nyuma ya maumbioe ety kisa kutunza bikra mpk kuolewa, kwann iwe nyuma ya maumbile ongeleeni hilo ndo Jambo la msingi sio muongelee bar,
@stewartdyamvunye-wz6rn
@stewartdyamvunye-wz6rn 2 ай бұрын
England, Scottland Yard, Wales ni nchi za Uingereza zimeungana! Pole sana. Rudi darasani urudie masomo na mtihani wa Historia na Jiografia ili uwe vizuri zaidi.
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 2 ай бұрын
Scotland Yard?do you know what's?
@EnekiGauni
@EnekiGauni 2 ай бұрын
Huyo mbunge ni mbaguzi kwasababu yy hajui kwamba tumekuw kwajina Moja Tanzania. Ahojiwe selikari ni moja, hakuna T bira Z nahakuna Z bira T . Yuyo ni mdini .Ajui kama Afrika tuna dini yetu, na tunatumwa na dini . Kuna nchi nyingi Afrika waass walikataa sana unini
@alexmalindo8179
@alexmalindo8179 2 ай бұрын
Jamani wana CCM wenzangu kwa nini tusiwape hawa watu nchi yao. Ili tuone hayo maendeleo wanayo sema wameyakosa kwa sababu ya muungano.
@sabrinaali9750
@sabrinaali9750 Ай бұрын
Tunatamani nutupe ata leo hii hatui kwanini mbatung'ang'ania , mmekua ving'ng'a kwa zanzibar kwanini tuachieni tunaotaka wenyewe kwa sauti pana sana
@SuleimanMussa-x5i
@SuleimanMussa-x5i 22 күн бұрын
Amuwezi kutupatia na kma muna weza tupeni leo tuna itaji
@mishindurya9075
@mishindurya9075 2 ай бұрын
Hana hoja kabisa unasema kisiwa ni kidogo ssa mbona kwa watu wataka uishi?mbona huku umiliki ardhi lakin kwenu hutaki wasema walinda kusijae na ss pia ni wengi msije huku muondoke dar mbaki huko..
@iddihassan2677
@iddihassan2677 2 ай бұрын
Wabara zanzibar yetu ndogo mnatujz t
@user-qj2fz8uq3j
@user-qj2fz8uq3j 2 ай бұрын
Harafu nyie mbona mnapojazana hawasem
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 2 ай бұрын
​@@user-qj2fz8uq3jbakini kwenu
@MilloWamilonga-ft8ir
@MilloWamilonga-ft8ir 2 ай бұрын
Wazanzibari wote ni kutoka bara sasa sijui unaongelea kitu gani wewe mbwiga. Halafu karibu wazenji wote wapo bara hadi mikoani huko mkiitwa wapemba, Zanzibar bila bara hacienda na ndio maana chakula kikuu ni MAPEMBE Michele uliopitwa na wakati (expired) halafu ndio kitovu cha mashoga mkifuatiwa na Mombasa. Passport nyie ndio itawaathiri sana kuliko bara. Achana na bara ni maji marefu. Tangu mapinduzi ni kiongozi yupi ambae ni mzanzibar asilia?
@ShamisYussuf
@ShamisYussuf 19 күн бұрын
Mashalla
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw Ай бұрын
Ukifanya hivyo wa Zanzibar msiningie sas Tanzania muende huko kenya
@abdisalamjamal2128
@abdisalamjamal2128 2 ай бұрын
Huyu Mbunge asitutukane kwani hawo madada poa wengi wametoka Tanzania bara(Tanganyika)mbona madada poa kutoka Zanzibar wamejaa Daresalam.tafadhali aombe msamaha kwa matusi kwa kiongozi kama huyu.
@Sheba4651
@Sheba4651 2 ай бұрын
Uongo
@christineaimtonga9872
@christineaimtonga9872 2 ай бұрын
Lakini je kitambulisho kinamaanidha nini?
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 2 ай бұрын
Big up kaka
@NassorMohammed-oy7bc
@NassorMohammed-oy7bc 2 ай бұрын
Sawa
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw Ай бұрын
Kwani ulilazimishwa kuwa bunge wa Tanganyika na kukataa kwahiyo ulingombea bungee ili upie ulete hbr zako za hovyoo rundi kwenu jinga wew
@SuleimanMussa-x5i
@SuleimanMussa-x5i 22 күн бұрын
@@ChristineElias-bn4dw iyo hoja ya muhimu kwetu linden Tanganyika nyenu tulinde znzbr ytu
@user-vv4wo5fu9t
@user-vv4wo5fu9t 2 ай бұрын
watizame hawa wazanzibar msiupende utumwa nia yenu kuwarudisha Warabu hili muwatumikie
@user-kf6po4ux2n
@user-kf6po4ux2n 2 ай бұрын
Mh keep it up
@user-fk5sf5ju5k
@user-fk5sf5ju5k 16 күн бұрын
Kwa nini hilo msilimalize Viongozi wa zanzibar au hamjiamini
@user-sy4wf5ll4o
@user-sy4wf5ll4o Ай бұрын
Bora tutumie paspoti anae Toka bara zanzbar pia watumie
@user-gu1ij5ke9y
@user-gu1ij5ke9y 2 ай бұрын
Mh.mbunge anajenga maswali mengi sana dhidi ya maelezo yako,
@GoodTeck90
@GoodTeck90 2 ай бұрын
Kwani MAFIA siyo Kisiwa ??!! Kwa hiyo Zanzibar tuende kwa Passport ila MAFIA tuende bila Passport ??!! .... Kama siyo ubaguzi ni nini ??!! ..... Wenzenu Mafia wamekaa kimya hawana mambo mengi ila nyie ndiyo shidaaa
@emlongetcha88
@emlongetcha88 2 ай бұрын
😂😂🤣🤣 Binti akiwa kichwa wazi... Anapata hamu ya kufanya ngono 😅😅😅. niaJabu (nywele tu unatamani ngono duuu!!)
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 ай бұрын
Usllete udini
@hajinassor6369
@hajinassor6369 2 ай бұрын
Wew huna ujualo Bora unyamaze
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 Ай бұрын
Katika vishawishi vya kufanya mapenzi vipo vya aina nyingi,na hivi vishawishi vipo kwa mwanamke na kwa mwanamme katika miili Yao,Leo nitakupa kwa upande wa mwanamke tu,kumbuka kwenye kupenda Kuna sababu nyingi zinazokushawishi uanze uhusiano na mpenzi wako,kwa mfano umempenda mtu kwa nywele yake imekuvutia uwe na yeye kimapenzi au kwa macho yake au bodi yake jinsi alivyo,na ndio maana tukahimizwa kufunika miili ili kuepusha kutamania kwa haraka
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv 2 ай бұрын
Tanganyika tumelala usingizi wa bono...watu wa Zanzibar ndiyo wenye faida kubwa na Tanganyika
@Sheba4651
@Sheba4651 2 ай бұрын
Uongo
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 2 ай бұрын
Watu wa vijisiwa hivi vidogo vidogo dunia nzima wagumu sana .
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 2 ай бұрын
Ahaaaa😅
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 2 ай бұрын
Hata shujaaa wao pia alisema hivo hivo watu hawa wavijisiwa hivi vidogo vidogo bila ya kujua ni nchi kamili yenye mamlska yake
@saadaliy3979
@saadaliy3979 2 ай бұрын
Sahihi
@SalamaM-jv9lf
@SalamaM-jv9lf Ай бұрын
Wewe unae sema Zanzibar Kuna njaa mbona mmejazana tele munauza njugu kwaiyo kwenye njaa wapi kati ya Zanzibar na tanganyika
@Frankgamanuel
@Frankgamanuel 2 ай бұрын
Huyu Mbunge yuko sahii Hila anakwepa kunyooka Mi naitaji kuwa kwenye huo mdaalo please Naomba hukiwepo Nami nikaribishwe
@abuually7797
@abuually7797 Ай бұрын
Kila mzanzibari ni mtanzania lkn.sio kwa kila mtanzania ni mzanzibari itoshe kusema hapo hakuna muungano ni uhuni tuu
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 2 ай бұрын
Tazama mifano ya nchi za kiarabu oman na dubai watu wanasafiri na vitambulisho tu sio pasport najivunia kua mtanganyika huyu yupo lama netanyau
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 ай бұрын
Aysha:Natanyahu ni muuaji na mkorofi.huwezi kumlinganishe mbunge wa Konde na Natanyahu.Wazo la kuingia Zanzibar kwa kitambulisho kama passport ni jambo la maana na lenye misingi ya kiusalama wa WaZanzibari
@user-rk9gr9yf3i
@user-rk9gr9yf3i 2 ай бұрын
Kweli Mitanganyika mingi ni mikiristo ikija Zanzibar inajifanya waislam na hili pia tatizo
@aliferuzi1537
@aliferuzi1537 2 ай бұрын
BRO KAULI YAKO POTOFU KABISA YAANI UMEFELI
@AfricaQueen
@AfricaQueen 2 ай бұрын
@@aliferuzi1537 Ndio Ubaguzi wao Mkubwa 🤔Na Wamesahau Kama Sio Muungano wangekuwa na Hali mbaya Zaidi nyambavu huyu mwache mungu ampige makofi 🫣
@user-xv4tl8iv4l
@user-xv4tl8iv4l 2 ай бұрын
UKRISTO UMEANZIA ZANZIBAR UKAENDA TANGANYIKA.
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 2 ай бұрын
We ni mkundu unaefirwa na babaako,umezaliwa na kahaba aliyepandikizwa na hanisi,choko wewe
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 2 ай бұрын
Mwambie mungu wako mwarabu,maku wewe
@muhammadmassoud3576
@muhammadmassoud3576 2 ай бұрын
Hayo ni maoni yako ni mpaka serikali ikubali maoni yako.
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 2 ай бұрын
Acheni ubaguzi una lengo baya kwani hao aliowaona Zanzibar hawana passport kwa nini ana mashaka na watanganyika???
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo 2 ай бұрын
Wewe ni mpuuzi na mwendawazimu!Lete hoja juu ya hoja zake
@LUBAINAMOHDRAJAB
@LUBAINAMOHDRAJAB 2 ай бұрын
Zanzibar ilikuwa na passport kabla ya Muungano. Kwani kuna tatizo gani na ni visiwa vyao. Wapeni haki yao Tanganyika ibaki kuwa Tanganyika na Zanzibar ibaki Zanzibar muungano utakuja kwa mambo maalumu. Leo Zanzibar imekua jaa kila baya unalikuta watu wabaya wanapenda wakafanyie kule. Kwanini hamkutaka kuungana na kenya uko au burundi mkataka Zanzibar?
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy 2 ай бұрын
Hauna Story.Muulize karume
@aproniamasatu5810
@aproniamasatu5810 2 ай бұрын
umeongea point hata mimi mtanganyika sipendi muungano na Zanzibar na kiukweli nachukia muungano
@EliauMtishbi-os5ky
@EliauMtishbi-os5ky 2 ай бұрын
Mtanganyika kwenda Zanzibar hakuhitaji passpot ila huyu jamaa itabidi hata mzanzibari waje Tanganyika na Passport .
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 2 ай бұрын
Hilo sio tatizo.
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 2 ай бұрын
Nanyie kamanihivyo nanyie wazanziba muingie na pasipoti tanganyika
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 2 ай бұрын
Hatuji haswa huko tuje kufanyia nini tukishavunja muungano hatuji
@allymganga3223
@allymganga3223 2 ай бұрын
Mbona uzungumzii wazanzibar wanaomiliki ardhi bara na wanaoishi maisha yao ya kudumu bara unazungumzia upande moja na kutolea mfano nchi zingine
@saidmohammed9832
@saidmohammed9832 2 ай бұрын
Huo upande mwengine zungumza ww
@Silay1034
@Silay1034 Ай бұрын
Hilo suala la kumilik ardh syo hoja la msingi na wala syo ubaguz bali hilo linatokana kwa mujibu wa sheria katiba ya Zanzbar inasema asokuwa mwenyeji haruhusiwi kumiliki ardh na katiba ya Tanganyika inaruhusu mgeni kumilik sasa ubaguz uko wp
@AlnordGozonga-gw2sb
@AlnordGozonga-gw2sb 2 ай бұрын
Huyu jamaa point ress kweli Huyu kabugia
@frankremishoy5778
@frankremishoy5778 2 ай бұрын
Zanzibar inavutiya kuweni na nchi yenu
@bellalygeomecky1145
@bellalygeomecky1145 2 ай бұрын
Safi
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 ай бұрын
Mbunge wa Konde ni mzawa hasa na ni mtetezi wa Zanzibar.
@hakimhakim9631
@hakimhakim9631 2 ай бұрын
safi sana,wabara wanaivamia zanzibar
@onelovetz7935
@onelovetz7935 2 ай бұрын
Tunataka Tanganyika naninyi nje kwa pasipoti
@mkanjimamkanjimamkanjima2043
@mkanjimamkanjimamkanjima2043 2 ай бұрын
Hujakosea kabisa muheshimiwa passport muhimu kwa tanganyika na Zanzibar. Kwahiyo ssa ni wakati sahihi wa kuidai tanganyika
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 2 ай бұрын
Wenye Nia Ovu/Wapotoshaji watajifanya hawamuelewi/watampinga🙌
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw Ай бұрын
Sas Tanzania na china zinaingilianaje wew mnafiki xn
@user-ue2nz3vc4j
@user-ue2nz3vc4j 2 ай бұрын
Kwani ile ilikuwa passport su karatasi ya mchele hahahaah😂
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 ай бұрын
Karatasi ya mchele lakini wewe huujuwi hata umekaa vipi huo mchele. Kwani wewe unafkiri passport ni kitambaa 😂😂😂 hata USA 🇺🇸 passport yao ni karatasi.
@zabronmshana3277
@zabronmshana3277 2 ай бұрын
Tukubali TU kuwa mzanzbar sio mtanzania na mtanganyika sio mtanzania tukiwaita watanzania ni makosa kwakuwa upande matinabu Bure na mwingine kwa malipo utanzania unasimama wapi?
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 2 ай бұрын
Wa Zanzibar wako zaidi ya milioni 6 lakini wengi hawa ishi zanziba
@habaritz8262
@habaritz8262 2 ай бұрын
Huyu jamaa yupo sawa kweli si swala la ubaguzi ila ni ubinafsi ....
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 ай бұрын
Sasa sie wa bara ndio tume waharibu,, 😂😂😂 umesahau utandawaz
@mohammedbakar4142
@mohammedbakar4142 2 ай бұрын
ID VERY IMPORTANT zanzibar tokea mwaka 1976 watu walikuwa wanaigia zanzibar kutoka tanzania bara walikuwa wanakuja na vitambulisho na walikuwa wa kiripoti kwa Balozi wa nyumba 10 wabunge dodoma waweke kumbukumbu kuwa kulikuwa na passport za mchele walikuwa zinatumiwa kwa pande zote mbili yani ya karatasi na ipo na picture ya mtumiaji miaka ya 1976 yani wanataka kutujazia majambazi immigration tanzania bara na zanzibar muhimu kuzibiti uhamiaji
@Kokhaako
@Kokhaako 2 ай бұрын
Passport irudi Zanzibar ni ndogo mno inahitaji kulindwa.
@IssaMohamed-mp4hj
@IssaMohamed-mp4hj Ай бұрын
Nanyie mkija tanganyika mje kwa paspot
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp
@PasicalAmbokileMwakilas-ms2jp Ай бұрын
iv wazanziba wana mashamba je waende shambani na paspot mtu ulie na paspot unarusiwa kua nashamba sehemu unayoenda na paspot je hakuna kitu chakumtalisha mtanzania . Lahasha kama Zanzibar nikuzur sana kaa pekeenu wazanziba kusanya wazanziba mukae huko. Muje kwapaspot Kwan paspot nn. Kwani tabia ya madadapoa hiyo tabia wameitoa WP na nitabia ya wap ko nitabia ya watanganyika. Ww jamaa unamaneno matamu Zanzibar kilakitu bule mafuta beichn petroli dzel yataa oo
@abdisalamjamal2128
@abdisalamjamal2128 2 ай бұрын
Huyu Mbunge ameonyesha dhamira yake ya kutumiya Passport kuingiya Zanzibar kama ni hivyo basically kuwe na Passport tafauti ya Zanzibar na ya Tanzania Bara(Tanganyika).it will be impossible to enter and exist within your own country. With the same Passport.
@user-vv4wo5fu9t
@user-vv4wo5fu9t 2 ай бұрын
Hiyo zanzibar kuna njaaa alafu mnataka watanzania waigie na paspot
@ibrahimame9805
@ibrahimame9805 2 ай бұрын
Sio watanzania sema vichogo
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 2 ай бұрын
Alhamdulillah Zanzibar hatuna njaa licha ya kuwa hatulimi yaan hata mafuta bei chee mfano petrol Tanganyika ni 3800 na Zanzibar ni 3200 ona maisha yalivyo mepesi kwa Zanzibar 😂 hata magari huku Alhamdulillah
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb 2 ай бұрын
Maji Zanzibar ilikua bure sasa sio bure tena leo tunalipa kila mwisho wa mwezi
@mohamoudhussein4570
@mohamoudhussein4570 2 ай бұрын
Mbona wakati Bunge Wakijadili mambo yasiyokua ya Muungano hamutoki nje ya Bunge na Posho munachukua? Kama huo sio Wizi ni nini?
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 2 ай бұрын
Hakuna sheria inazuia wabunge wa Zanzibar wasijadili mambo yasiyokuwa ya Muungano La pili hiyo bajeti inayotumika kwa mambo yasiyokuwa ya Muungano ni bajeti ya Muungano pia sio bajeti ya Tanganyika
@zengomikomangwa9264
@zengomikomangwa9264 2 ай бұрын
Huo Muungano wa Englnk havinauhusiano na Muungano wetu. Huyu ni 100% mubaguzi. Naukweli hautaki Muungano. Anaudini nk.
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 ай бұрын
Na uwe ubaguzi 100% Zanzibar. Waachiyeni Wenyewe Zanzibar na mambo Yao. Kwa nini inakukereni sanaaaa. Imekuwa kila kitu wanacho taka kufanya ubaguzi ubaguzi. Imekuwa hamna kazi ya kufanya.
@Grataaaaa
@Grataaaaa 2 ай бұрын
Jinga wew kwani x mnatanganyika yenu vp nyinyi mbumbu tafteni tanganyika yenu
@user-hl9xu4vo1q
@user-hl9xu4vo1q 2 ай бұрын
Kwani kaz ya kitambulisho ulaia kaz yake nini?
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 ай бұрын
Uko sahihi kaka mimi wa bara, nakuunga mkono
@abashamad9929
@abashamad9929 2 ай бұрын
Bora iwehivo
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 2 ай бұрын
Wajifunze somo la historia kwanza ndo wataelewa nini ni kipi😂
@Darian2550
@Darian2550 2 ай бұрын
Kumsikiliza huyu jamaa ni kupoteza muda, anapenda kulinda chake lakini vya watu anavitaka... Hapa anaongea akiwa Tanzania bara na hataki watu waende kwao.
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 2 ай бұрын
Mimi ni mtanganyika naunga mkono Zanzibar waru waende na passport sababu ni 1/kulinda visiwa vya Zanzibar 2/kuongeza thamani hasa sehemu za beach maana uhuni umekithiri baharini. 3/kusafisha madada poa maana asilimia 99wanatokea tanganyika. Visiwa vinatakiwa kulindwa kwa wivu mkubwa mno mno. Tuache mihemko ya kisiasa zanzibar inapaswa kulindwa.
@jumannemumbi9911
@jumannemumbi9911 2 ай бұрын
kwa koment hii wewe sio mtanganyika watu sasa hivi wanaalibika Ata kupitia social media ndio inaalibu jamii zetu
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 2 ай бұрын
@@jumannemumbi9911 nimezaliwa Tanga hospital ya Bombo nimekulia tanga chumbaageni na Dar es salaam kinondoni district/ kijitonyama nimesoma tanga na Dar pia, then nimesafiri na mpaka sasa nipo nje lakini nitarudi nyumbani nimejenga dar na sasa ninajenga tanga huko Zanzibar sina hata kiwanja wala biashara ila ndugu wapo wanaoishi huko na wao pia hulalamika kuwa siku hizi zanzibar sio kama zamani uhuni ni mwingi mno na hasa husema wanaofanya uhalifu nyumbani wote wanakimbilia huku na hata waliokosa soka haramu la kuuza miili yao nyumbani sasa wapo huku wengi wao wakijaribu kupata bahati za kupata wazungu so bro mimi ni mtanga mtanganyika, hatupendwi kuambiwa ukweli zaidi hupenda kusifiwa sifa za kijinga kuwa bongo ulaya sio! Tuwe wazalendo tuilinde zanzibar ni faida kwa wote iwe i mzenji au mtanganyika sisi wote ni wamoja na ndio maana passport yenu ni moja na lugha yetu ni moja, usiwe kama mama mwenye mtoto mwizi akiambiwa mwanae muizi anasema haiwezekani siku amepigwa ameuwawa kwa wizi anasema mwanae ameuwawa na majambazi au ameonewa ila ndani yake hulia nilikwambia mwanangu za mwizi arobaini sasa unaona. Kuwa jasiri kuusema ukweli au kukabiliana na kweli tupu, ikitokea useme amepata alichokipanda kwa muda mrefu na kifo ndio mavuno yake. Haitakuumiza sana ukiwa mkweli.
@IssaMohamed-mp4hj
@IssaMohamed-mp4hj Ай бұрын
Unaliwa nini wamapokuja Bala nawao waje na paspt
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 ай бұрын
Ulaya wameungana husafiri Bila viza Leo hii Huyo mbunge toka ujijikigoma kama mtumwa Leo hii anatuomba viza 😂😂
@user-fm1kj4hm4n
@user-fm1kj4hm4n 2 ай бұрын
Zanzibar tukifanya masihara bas muda usio mrefu itazamishwa na wageni Mh, M'bunge upo sahihi tena ww ndo unasimamia makubaliano ya Muungano
@BrunoShao-je2yv
@BrunoShao-je2yv Ай бұрын
kwa unavojieleza tu ni mbaguzi mbona ninyi mnamiliki ardhi huku bara?
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 2 ай бұрын
Hakuna tatizo lakini hoja ingekuwa kwa pande mbili. Pande zote waingie kwa passport. Mimi sioni maajabu ya mimi kwenda Zanzibar na hata ikibidi wapewe passport yao. Kila mtu akae kwake. Tumechoka na malumbano ya muungano. Mtu wa kawaida hawezi kuona faida za muungano. Sasa tumepata bahati ya marais wa Zanzibar ni rahisi kwao kufanya maamuzi magumu ya Tanganyika na Zanzibar.
@user-ry8xf1no2s
@user-ry8xf1no2s 2 ай бұрын
Nimekuelewa kiongozi
@Worldunite
@Worldunite 2 ай бұрын
Juzi wazungu wamenunua nyumba na wamepewa kibali cha kuishi LKN WABARA HAWARUHUSIWI KUNUNUA NYUMBA ZNZ
@user-cq4lp5rv1l
@user-cq4lp5rv1l 2 ай бұрын
Una uwezo wa kununua nyumba wee mwehu si utfute kiwanja uko elf 50
@Worldunite
@Worldunite 2 ай бұрын
@@user-cq4lp5rv1l mmedai wenyewe kuwa "wabara wanne tu wanaweza kununua kisiwa cha zan,ibar, ila km mie nanunua eneo huko znz wewe ntakujengea kibanda cha uani na hiyo elfu 50 uliyotaja, mi ntakulipia bili ya maji na umeme, waonaje?
@AliAbdalla-lb8su
@AliAbdalla-lb8su 2 ай бұрын
Ww muongo wabara pia wanajenga
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 2 ай бұрын
Yeye anaingia bila passport, wabara tuingie na passport!
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 ай бұрын
Wasipodhibitiwa watazidi kuharibu jina la Zanzibar
@allyomary2271
@allyomary2271 2 ай бұрын
Huu uzanzibar na utanganyika tusipokuwa makini utavunja muungano kwa sababu upande mmoja unanufaika sana na muungano huu na upande wa pili unatumika kunufaisha upande mwingine suala hili litazamwe kwa kina sana kuleta matokeo chanya
@user-zj4ii6uf7t
@user-zj4ii6uf7t 2 ай бұрын
Ndo maana sisi watanganyika tunamakodi mengi yanayotuumiza watanganyika,kumbe upande mwingine wanatunyonya watanganyika bila hata huruma, viongozi wetu mna zambi ninyi!!!
@user-zj4ii6uf7t
@user-zj4ii6uf7t 2 ай бұрын
Kututesa watanganyika kwa Kila kitu,kwa Mungu mtaenda kujibu
@KudraWanguvu-em1xw
@KudraWanguvu-em1xw 2 ай бұрын
Naww ukija huku bala uingie na passport
@NOORMOHAMED-sg9lo
@NOORMOHAMED-sg9lo 2 ай бұрын
Nyie msiingie kabisa . Nyie hampo zanzibar . Nyie Kwenu ulaya na oman. Na arabuni. Ndiyo mnatuchekesha mkiongelea ubaguzi na visiwa kuchukuliwa.
@hollymore4904
@hollymore4904 2 ай бұрын
Bwege
@salummohamed2689
@salummohamed2689 2 ай бұрын
Hata kama watalipuuzia leo liaibuka kesho, kesho kutwa na siku zijazo na baadae watasubiri tuwe wengi ili tudai tanganyika yetu halafu wakubali kwa aibu.
Wabunge waja juu kuambiwa Zanzibar ni sawa na mkoa
17:05
Weyani Tv
Рет қаралды 38 М.
Dakika 47 za moto hoja ya Mdee bungeni,  mnyukano mkali watokea
47:32
Mwananchi Digital
Рет қаралды 75 М.
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 178 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 18 МЛН
Задержи дыхание дольше всех!
00:42
Аришнев
Рет қаралды 3,6 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 37 МЛН
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 56 М.
Jussa atuma salamu nzito kwa ZEC na Rais Mwinyi
53:20
Weyani Tv
Рет қаралды 10 М.
WAFANYABIASHARA DARAJANI SOUK WALIA NA RAISI MWINYI
6:50
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 12 М.
ACT Wazalendo waapa kushinda uchaguzi 2025
1:33:02
Weyani Tv
Рет қаралды 9 М.
UTATAMANI KULIA: MSICHANA WA MIAKA 27 ALIVYOPELEKA UISLAMU KIJIJINI KWAO
7:05
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 178 МЛН