No video

EXCLUSIVE NA MZEE LIKOMA

  Рет қаралды 43,640

Kp&Zebuu Media

Kp&Zebuu Media

Ай бұрын

#comedy #kp #kpnazebuu #lastcard #lifestye #love #likoma

Пікірлер: 157
@PaulMalesi
@PaulMalesi 3 күн бұрын
Nakukubaligi sana mdg wang likoma
@MamanEstherEsther
@MamanEstherEsther Ай бұрын
Bigup sana mzee kiloma kwa uchekshaji wako😂😂😂
@PRESENTER-VINCENT
@PRESENTER-VINCENT Ай бұрын
Kp wa Aquino naombeni Kazi ya utangazaji, au uandishi katika acount hii nipo vizuri najiamini na kipaji changu..
@user-ie8om7kh5w
@user-ie8om7kh5w Ай бұрын
Mzee likoma pokea salamu zangu kutoka kenya pongezi sana kwa kazi zako unazozifanya❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Priscadzidzamasha
@Priscadzidzamasha Ай бұрын
Oooh hongera sana likoma kwa kipaji nawapenda sana team kp na zebuu ❤️ 🇸🇦
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 Ай бұрын
Daa yupo tofaut kabisa
@Innocentfilm
@Innocentfilm 22 күн бұрын
Jambo dungu aomba subscribed Yako
@stellatwaah3242
@stellatwaah3242 Ай бұрын
Likoma pongezi kwakoo Mungu akuongoze kila latua uendayo🙏🏻🙏🏻
@user-ms7ls8ud5p
@user-ms7ls8ud5p Ай бұрын
Mm nakumpenda sana nahitaji uwe mume wangu ❤❤❤❤❤❤
@abdulhamidyhamady762
@abdulhamidyhamady762 Ай бұрын
mamb0
@MayengDulu
@MayengDulu Ай бұрын
Likoma ni kambila gani❤❤❤🎉🎉🎉
@idiidi-rq5gk
@idiidi-rq5gk Ай бұрын
Msukuma
@user-ip6xg6jx3g
@user-ip6xg6jx3g 18 күн бұрын
Mtangazaji unaonekana kama umempenda mzee likoma. Usione aibu. Muambie tu unampenda.
@pesaspy_tv
@pesaspy_tv 13 күн бұрын
Afosi mazingira tu 😂😂😂
@JohnOsoro-yp9ey
@JohnOsoro-yp9ey Ай бұрын
Ooh nakukubali Sana likoma kwa KAZI zako nawafuatilia kutoka nchini Kenya
@user-vy8es6gi4f
@user-vy8es6gi4f Ай бұрын
Wow uko vizuri sana Mzee likoma❤❤❤
@BalikiLukali-w6c
@BalikiLukali-w6c 19 күн бұрын
Daa nakukubali man
@DM.2200
@DM.2200 Ай бұрын
Wa kwanza leo et na kukimbilia kote kusoma coment nimeumbuka mimi 😅😅 ila likoma huyu na na likoma mzee mbona kama vitu viwili tofauti 😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 Ай бұрын
Siamini pia😊
@munamamaj9622
@munamamaj9622 22 күн бұрын
Mwanzoni nilkua nikidhani kua ni mzee kweli hadi pale nilipokuja kuona movie ya wamangush 😂😂😂😂
@Bintnailah
@Bintnailah 2 күн бұрын
Mzee likoma hata kwanza sijaamini kama ni wewe wooow🎉🎉naja niwe mkeo sasa😂😂unichekeshe chumbani❤❤❤
@Mailachebet
@Mailachebet Ай бұрын
Waaaah mzee likoma mm nko apa nko Kenya nakupenda jamani
@shabaniathumani2284
@shabaniathumani2284 Ай бұрын
likoma hongera saana kumbe likoma ni wa kukaya tuliko simiyu nyanda
@RaphaelMutua-iv4qy
@RaphaelMutua-iv4qy Ай бұрын
Big up likoma from Kenya mchekeshaji kweli
@ELIZABETHAPELES
@ELIZABETHAPELES Ай бұрын
Likoma mm nakupenda sana
@user-zo8lz3wm7n
@user-zo8lz3wm7n Ай бұрын
Mmmmmmm machalee kumndesaa😂❤❤❤❤❤❤
@Nyotajada
@Nyotajada Ай бұрын
Maaajaabuuu 😳😳
@user-qo8eu1br6f
@user-qo8eu1br6f 25 күн бұрын
😂😂😂
@MARIEKINSEMBEOFFICIEL
@MARIEKINSEMBEOFFICIEL Ай бұрын
Mimi nawafatilia vizuri Saana kuanzia bindi nyoka Adi Léo PLAN B nafataka épisode yote Niko Congo GOMA ila shauri tu kp usi achane tena Ama kufukuza wa wenzako kama vile suraj awe wa mwisho tuna furai kuwaona wote pamoja kuachana sio vizuri
@user-yj7wr4ob4i
@user-yj7wr4ob4i 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂🎉😂🎉jamani unaokopa maji sana wewe
@lornahmulitani2798
@lornahmulitani2798 Ай бұрын
❤❤❤❤looking gud mzee likoma
@emanuelwilliam-r5c
@emanuelwilliam-r5c 20 күн бұрын
Big up likoma
@LUCYKHALAI
@LUCYKHALAI Ай бұрын
Muzee likoma hongera nakupenda sana kakangu wewe hunichekesha sana❤❤❤❤❤❤❤
@LizyRiichard
@LizyRiichard Ай бұрын
Mzee likoma mbn hujataja lyulu lugela moja hongela Sana ali
@user-dv2wl3gh4n
@user-dv2wl3gh4n 26 күн бұрын
When he play like old man😂😂😂he look thin but here he look fat ..I love you guys keep it up
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz Ай бұрын
Mashaallah likoma umependeza
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 Ай бұрын
Sauti ya mzee likoma ela mwili tofauti
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy Ай бұрын
😂😂😂 ni yeye mwaya 😂
@AbbasiNandonde
@AbbasiNandonde Ай бұрын
Atoe kionjo kama kweli mzee likoma
@FlavianSteven-e9i
@FlavianSteven-e9i 21 күн бұрын
Kaka likoma na kaka pk naomben na Mimi mniuge kuigiza kak ninakipaj
@SamuelAloo-qv3kg
@SamuelAloo-qv3kg Ай бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪 mzee likoma
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 Ай бұрын
Nakukubal San likomaa😂😂
@alka-bKsg
@alka-bKsg Ай бұрын
Nisapotini n'a mimi bro
@azizaumutoni7773
@azizaumutoni7773 Ай бұрын
Anapenda na kamuzo 😂😂😂
@SaadaNdekeja
@SaadaNdekeja 20 күн бұрын
Kumbe mzee likoma ni handsome hv mashaallah
@ElizabethMwikali-xb9zl
@ElizabethMwikali-xb9zl Ай бұрын
Likoma pokea salamu zangu kutoka kenya
@evalyinesalama2535
@evalyinesalama2535 Ай бұрын
Hongera sana broo Mungu akutangulie kwa kazi nzuri ❤❤❤
@user-ps5rr4ij8t
@user-ps5rr4ij8t 16 күн бұрын
Mbona huyu mtangazaji hatumuelewi mara acheke mara kitu gani unapenda kwenye mwili wako sa ndo nin maswali gan hayo😅😅😅 mwambie tu amekuvutia😅
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 21 күн бұрын
Jamaa yupo vzr❤, huyo ni WA kwetu shy.
@ZawadiKatana-yh6ep
@ZawadiKatana-yh6ep Ай бұрын
Sheila mwanangu 😂😂😂😂
@user-rg8fq8fc3k
@user-rg8fq8fc3k 26 күн бұрын
Mwambie likoma nampenda sana
@odetteniyoyunguruza6494
@odetteniyoyunguruza6494 21 күн бұрын
Kumbe nikijana!!!!!
@Johar903
@Johar903 Ай бұрын
❤❤❤❤ umenenepa sana imependekeza sana
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy Ай бұрын
Nilijaribu mahusiano nikaachwa kisa pesa 😂😂😂 ila likoma hahahha
@BahatiHumwa-iy4in
@BahatiHumwa-iy4in 15 күн бұрын
Kumbe ni mwenetu wa ushetu
@elishathecomedy1221
@elishathecomedy1221 16 күн бұрын
Naomba nani inta nyuyuuh
@Edith-rq3mm
@Edith-rq3mm 20 күн бұрын
Hiyo cm unayoweka mdomon ni maiki ama
@wemasangasanga757
@wemasangasanga757 Ай бұрын
Yaan mimi nilijuaga kweli likoma ni mzee
@nurusaid4698
@nurusaid4698 Ай бұрын
Na Yuapendeza Kuliko Ata Kijana 😂😂😂😂😂
@felisterbudodi5367
@felisterbudodi5367 Ай бұрын
Kumbe mkaka mzuri hiv
@azizaumutoni7773
@azizaumutoni7773 20 күн бұрын
Mimi apa tuzae nae ❤😂😂
@user-fs8ho9ks4x
@user-fs8ho9ks4x Ай бұрын
Eeeeh mze likoma kijana munzuri sana
@FlavianSteven-e9i
@FlavianSteven-e9i 21 күн бұрын
Kaka niambie na Mimi mniuge kuigiza kak ninakipaj 😂😂😂😂
@user-lx3zg4db1y
@user-lx3zg4db1y Ай бұрын
Nakupa mauwa mengi 🎉🎉🎉sana
@user-op7tg4wq2g
@user-op7tg4wq2g Ай бұрын
Mzee likoma bado kijanakumbe🎉🎉
@ATHOKIMUSIC
@ATHOKIMUSIC 27 күн бұрын
Hongera sana kaka ang
@Zubaiba
@Zubaiba Ай бұрын
Mzee likoma kumbe ni kijana jamani😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@user-qo8eu1br6f
@user-qo8eu1br6f 25 күн бұрын
Tena mdogo 😂
@lucyrif-np8ik
@lucyrif-np8ik Ай бұрын
likoma tunakupenda sana kutoka kenya
@izakiel72
@izakiel72 Ай бұрын
Pia mimi siamini😂
@EmmanuelNdahya-ud5nj
@EmmanuelNdahya-ud5nj 21 күн бұрын
Ally matondo yuko wapi mkuuu
@user-fd5pb1dt4j
@user-fd5pb1dt4j Ай бұрын
Mzee likoma Wewe ukifa uwozi movie ya KP na zebuu inapoza
@NeemaKigu
@NeemaKigu 21 күн бұрын
Mwambie likoma naomba kazi yag ndani nitashukusana ombi langu ukilikubali
@stellatwaah3242
@stellatwaah3242 Ай бұрын
Likoma me mchagaa nakusali sana❤
@user-jn1cg5is2p
@user-jn1cg5is2p Ай бұрын
i thank en support the team fully...the lady is really looks alike with Kp
@michaelspencer-uw6wu
@michaelspencer-uw6wu Ай бұрын
True that bro😅
@edwinjhilbajojo2429
@edwinjhilbajojo2429 21 күн бұрын
Mtangazaji mwulize jina Likoma Limetokana na nini.
@rashidsaidsleiman231
@rashidsaidsleiman231 2 күн бұрын
Hata ww mtangazaji mbona hapo mnaendana sana na likoma
@christianapyuza2570
@christianapyuza2570 22 күн бұрын
Kamnyweso 🤣🤣🤣🤣🤣
@bboytv5861
@bboytv5861 7 күн бұрын
Oya kula huyooo mbona anakuulizia sana
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 Ай бұрын
Kumbe huyu ni kijana tu ...anajuwa kuigiza na anajua tena ❤❤❤
@Innocentfilm
@Innocentfilm 22 күн бұрын
😂 kweli
@IsmailMadrelya
@IsmailMadrelya 18 күн бұрын
Mtangazaji jifunze kuhoji vitu vya maana
@FajmaHilali
@FajmaHilali Ай бұрын
LIKOMA KAMA UNATAKA MKESEMA KUNAMTOTO MZURI WAHESHIMA😂😂😂😂😂
@user-cf4pc5dz8t
@user-cf4pc5dz8t 21 күн бұрын
Namba likoma
@RauAyub
@RauAyub 29 күн бұрын
Kumbe mzee kijana😂😂😂😂😂
@SuhaylaAazeem
@SuhaylaAazeem Ай бұрын
Mzee likoma nakupenda pokea salamu zangu kutoka Kenya
@user-dn3sn2fk9v
@user-dn3sn2fk9v 21 күн бұрын
Guys me sitaki kuamini Mzee likoma ni kijana 😁😁😁😁😁 aaaah aise unajua kuigiza na unajua Tena
@DannyKnorr
@DannyKnorr Ай бұрын
Kikweli ongera sana likoma kumbe wewe nikijana😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@yudamasuke408
@yudamasuke408 4 күн бұрын
Oyaaaaaa 😢
@edwinjhilbajojo2429
@edwinjhilbajojo2429 21 күн бұрын
Asante san kw kutuletea interview ya mzee lipoma,,,tuletee na ya dibozi manicure.
@christianapyuza2570
@christianapyuza2570 22 күн бұрын
Roll model wa likoma org. Hi kwake apewe maua yake🌹🌹
@EvodiaDominic
@EvodiaDominic Ай бұрын
mimi hapa nakupenda bwana Ally
@KipalaChampwinto
@KipalaChampwinto 23 сағат бұрын
jaman mm napenda anavyoigiza kama mzee likoma unanifanya nifurahi tu unavyoongea
@evalyinesalama2535
@evalyinesalama2535 Ай бұрын
Naomba kazi ya kuigiza
@Jeyb07.
@Jeyb07. 24 күн бұрын
Mbona mtangazaji anauliza maswali yasiyokuwa na msingi yaani vitu vya maana hamuulizi,, mimi nilitegemea atamuuliza - Jina la likoma limetokana na nini lakini hajamuuliza -Ulijuana vipi na queen mpaka mkaanza kufanya nae kazi -Maswali kama hayo mtangazaji sijui ni mgeni na h Nimefurahi sana kuona mtu wa home kabisa ni maarufu mara zote nilijua mastaa wanatokea mjini na sehemu zilizoendelea lakini nimefurahi kuona likoma anatoka wilaya ambayo mimi pia natokea tofauti ni kata tu dah hongera sana wakwetu
@NuraAbrahman
@NuraAbrahman Ай бұрын
Dah kumbe lipoma bado mbichi kabisq
@DeboraJames-pd8ne
@DeboraJames-pd8ne Ай бұрын
Huy dada hajui kuhoji
@frankyunia1809
@frankyunia1809 Ай бұрын
Wewe Dada nakupenda sanaa namba tuwasiliane ❤
@christianapyuza2570
@christianapyuza2570 22 күн бұрын
Kipochi Nene 😂😂😂
@DennisKorir-kl3up
@DennisKorir-kl3up Ай бұрын
Maajabu 😅😅😅
@FlavianSteven-e9i
@FlavianSteven-e9i 21 күн бұрын
Flavian
@sniperboy131
@sniperboy131 Ай бұрын
Rikoma mbona mwembamba na kuna muda mnakuwa wote nayy😅
@priscahchege2114
@priscahchege2114 29 күн бұрын
In love with him 😅
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 20 күн бұрын
Pesa ndio uchawi wa kizungu.mtu haruki
@user-wi1fk5wx8f
@user-wi1fk5wx8f Ай бұрын
Likoma mama Muuza anasemaje
@user-lv4mb4yx5b
@user-lv4mb4yx5b 22 күн бұрын
Mimi ni Tomaso jaman siamin mbn kule ni mwembamba
@marleymukangwa8955
@marleymukangwa8955 Ай бұрын
Maaaajabu!!! 😅😅😅😅
@munamamaj9622
@munamamaj9622 22 күн бұрын
Ila uzee ndio unamfaa sana huyu
@JafariNyabenda-g2o
@JafariNyabenda-g2o 25 күн бұрын
Mzee likoma kumbe si Mzee. Halafu na sauti yake alibadili na kujifanya kuwa Mzee.ila nampenda Mzee likoma. "Jafari master Chengheng Bujumbura"
@munamamaj9622
@munamamaj9622 22 күн бұрын
Mwanzoni nilikishani ni mzee kweli hadi pale nilipokuja kuona wamangush
@HassanBambaza
@HassanBambaza Ай бұрын
Sasa mbona ukiwa unaigiza mzee likoma huo mwili hauonekani sema nakukubali sana maaaaajabu
@khadijashabani9684
@khadijashabani9684 2 күн бұрын
❤❤❤
Mfahamu KISAI wa LAST CARD
18:56
Kp&Zebuu Media
Рет қаралды 12 М.
Кадр сыртындағы қызықтар | Келінжан
00:16
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
MrBeast
Рет қаралды 148 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
00:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 23 МЛН
MZEE LIKOMA &MWANAE_JIOKOE😂
4:29
LIKOMA
Рет қаралды 88 М.
MR MWANYA AMCHAPA KOFI MOTOWN SANYA MIMI SIWEZ KUIBA LAKI MBILI
32:30
EX CHALLENGE AIME.🔥😃😃@Officialsonjordan
6:46
Son jordan
Рет қаралды 815
MTANGA NA BAMBO ,WAUZA MISHKAKI YA NYAU ,HII KIBOKO KABISA
6:38
MTANGA COMEDY TZ
Рет қаралды 613 М.
CHUCHU KANIPONZA KWA KWELI
8:09
Mr Uky
Рет қаралды 55 М.
MTANANGE
10:47
LIKOMA
Рет қаралды 127 М.
Mfahamu Norah wa Kp na Zebuu |Maisha |Mahusiano, afunguka kila kitu
12:56