Huyu mtoto nampenda kitabia she's very humble, god bless you zuchu mtoto wa khadija kopa
@muhammadsaidi48722 жыл бұрын
ALLAH ATUONGOZE USHIKE DINI YAKO YARAB AMIN
@swalehkhamis5082 жыл бұрын
Mashetani wamemtawala kila sehemu, mola atupe muongozo mwema. Amin.
@naimamunishi12412 жыл бұрын
Like kwa zuchuuuuuuuuu akeeeee ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤unapendwa kwel mama,unafight sana zuchu genious girl
@ramlamasika96642 жыл бұрын
She's so courageous
@pedrorachidekalamaga92332 жыл бұрын
Love you Zuchu 💓💓💓💓🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@saidibrahim23752 жыл бұрын
zuchu namba 1
@awatifalghanim11062 жыл бұрын
Mbosso na Baba La.. walichangamsha sanaa...
@janetahmed69482 жыл бұрын
Zuchureee🥰🥰🥰😍
@davidmrisho75882 жыл бұрын
Hongera zuhura mungu akutangulie
@brothertilldies2 жыл бұрын
Queen👸
@awatifalghanim11062 жыл бұрын
Wanolala mapema basi jana walikawiya kulala...Walopanda kwenye stage walikuwa wanafurahisha woteeee...Yule MDada aloimba akasema nivuwe ama nisivuwe (nguo) Ahhh yule angeharibu SHOW yote Zanzibar. Lakini ilikuwa SUPER...MASHAALLAH.
@aa-bk3ej2 жыл бұрын
kupedwa laha sana zuchu
@vbnmmnbv52922 жыл бұрын
Love Zuchu more🥰🥰🥰
@rahimasalim26692 жыл бұрын
Hongera sana Zuchuu. Imeweza sana.
@htx18732 жыл бұрын
Zuchu ataakija huku marekani, I can’t wait 😜 Akijaa lazima nikamuone mungu akipenda
@Lassana7552 жыл бұрын
Nchukue marekani
@htx18732 жыл бұрын
Nigekuchukua ila visa mtihani ,,
@andulilemwakihabha20482 жыл бұрын
Zuchuuu ❤️❤️
@florencekaranja87362 жыл бұрын
Zuchu hongera unajitahidi sana......
@saquinaalisufo22662 жыл бұрын
Nakupenda zuchu🇲🇿
@ujudiameir42842 жыл бұрын
Asante sana na ww kwa kuja home mungu akubarik kazi zako zote 🙏
@stellah38442 жыл бұрын
Zuchuuuu🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hanifanabulime74622 жыл бұрын
wallai zuchu really you're super woman baby girl big up I love you so much ❤❤❤❤❤
@hamisitembo80762 жыл бұрын
Zuchu wewe unatisha sana umewafunika wote sarut kwako❤️🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️🎼🎺🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@franciscomasungulwa35752 жыл бұрын
I love the way you respond intelligently..
@kizitoantigon84792 жыл бұрын
🤣🤣🤣ingekiwa ibraah daah angejisifuje
@panchovalentino59222 жыл бұрын
✍️Zuchuuu Zichune 💪💪💪🔥🔥🔥🔥🙌🙌👏👏👏💯💯💯
@adamnasib79282 жыл бұрын
Hakika pengo la kunduboya pale wcb limezibika Zuchu ni fire
@sharrifidris34222 жыл бұрын
Hahaha...kunduboya
@tumainikomba90082 жыл бұрын
Mgomv wew😄😄😄😄😄
@sikudhanjuma39872 жыл бұрын
Si vizur
@abubakarmohammed73392 жыл бұрын
Mama Samia "he is on the phone" mm naelewa sio lugha yetu, all in all Hongera you disove it and more
@giftgodson56032 жыл бұрын
Eti you disove haha wee ndo unakijua hicho kilugha?
@abubakarmohammed73392 жыл бұрын
@@giftgodson5603 sio lugha yetu
@mohamedh.mhando57442 жыл бұрын
😀😀😀😀😀 yaani heri ungekaa kimya
@abubakarmohammed73392 жыл бұрын
@@mohamedh.mhando5744 sababu zakukaa kimya
@kimmseinvtz2 жыл бұрын
Sikiliza vizuri amesema “Mama Samia is on the phone”.
@joookahjokah84302 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@abdulraufmohammedsalum68062 жыл бұрын
🏆
@paulmawirakinyu26882 жыл бұрын
me namshangaa mwanaume anayejaribu kushindana na zuchu na kumkatisha tamaa Kama mwijaku
@yussufhussein19542 жыл бұрын
Mwijaku waya zikichwazinagusana yule asikusumbue
@rahimasalim26692 жыл бұрын
Huyo hasidi.
@jaraburukoka75282 жыл бұрын
Mm nakereka zaidi na ostaz juma hvi kweli hyo mwanaume yuko timam kabsa au nn shda yake
@issamussa33312 жыл бұрын
Zuchuuu
@mariellerashidi46492 жыл бұрын
😘Queen
@saumusanjiama69912 жыл бұрын
❤
@peaceisrael81582 жыл бұрын
Mikusanyiko...
@ramayonline22812 жыл бұрын
Zuchu
@King_Of_Everything2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
@abdallasuleiman64142 жыл бұрын
Cha msingi mbosso tumuoze zuchu 2....hivi hamuoni kama wanaendana😜
@watuhuru61282 жыл бұрын
Umewakomesha washambenga wanazani wazanzibari wana roho mbaya kama wamakonde mcheza kwao hutunzwa eti ooo uwanja hauja jaa mlitaka washuke malaika wcb kibokoooooooo na wazanzibari kiboko
@manyaramanyara88722 жыл бұрын
Konde Gang worldwide #🐘🐘🐘
@maxwellsanga36622 жыл бұрын
konde gang from wasafi
@edithalagwen84652 жыл бұрын
Zuchu kanenepa🤗
@khalekichambo11312 жыл бұрын
Msifurahie kukusanya umati kumbukeni corona haijaisha. VIP sold out na mkaongeza tena na tena sasa hio ni VIP au third class ya Azam boat? Zuchu alipania kua star kwahiyo anachapa kazi hata kama inaenda kinyume na maadili ya dini yake which is really sad. Angemuiga mamake kaimba miaka yote lakini hajajidhalilisha kimavazi au ku act kihuni kwenye video kama kakosa dini
@swalehkhamis5082 жыл бұрын
Mola akutoe katika mateso hayo, ukumbuke dini yako na mola wako.
@amirmohamed27292 жыл бұрын
Zuchu hujaswali inshaa utamwabia nini mungu wako
@issaissah88322 жыл бұрын
Shetani ana fanya kazi yake
@cesiliamwapinga92912 жыл бұрын
Yaaani
@busarajacob41242 жыл бұрын
Unaimba vzr lkn wanaokusifia we n mzur wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
@nemlukumay73402 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@busarajacob41242 жыл бұрын
Au we unakaonaje kakilala asubuh kaamke bila kupaka make up hyo cku watakimbia wananzengo😋
@nemlukumay73402 жыл бұрын
unajua ukweli ni jambo zuri kweli anaimba ila sura kanyimwa jomoni hizi makeup zinasitiri wengi sanaaa