Hannah the gifts are all yours, but next time jua kujifungulia gifts zako, not someone else bbygal, your funs wamecomments Sana kuhusu uyo dem kiherehere sna. Anakaa roho chafu kabisa.
@jacklinekinya98004 ай бұрын
Alf kanakaa kuskia wivu 😢
@khayalalzaabi984 ай бұрын
Ann mostly friends ua jealousy only Mary ua naona ako honest
@ruthkatheu5974 ай бұрын
@@jacklinekinya9800was t say so
@gladysnjeri-17814 ай бұрын
Sana aiii tunaongea ukweli
@Jessy-3534 ай бұрын
You guys kama Hannah mwenyewe ameita huyu girlfriend wake amsaidie kufungua gifts,who are you to judge... Let her be... Hannah happy belated birthday. Next time mfungue hizo gifts tu na huyo bbygal.
@maureenwambui94913 ай бұрын
Hadi anapima nguo😅😅😅😅
@Cecilia-kj8iu4 ай бұрын
Mm hakuna makosa naona qwa huyo dame she just helping her to open it nothing bad nimeona amefanya
@Nasnas9454 ай бұрын
Wooiye hata mimi ndio naendelea ku watch, sijaona ubaya wake, she is just helping❤
@harrietajiambo2294 ай бұрын
Imagine mm pia nashangaa watu wakimrushia mawe na vile anasaidia mwezake jmn
@ceciliakariuki159Ай бұрын
Ako na kiherehere
@Msomale4 ай бұрын
Why are you guys hating on that girl !? She's so excited for her !?? She's just happy to be there!?? Msi judge aki !? 😊spread love and not hate 🎉happy birthday hannah ❤😍
@rhodahapondi94774 ай бұрын
Why are peope hating on the beautiful ikoh. If she is there, its because Hannah wanted there. Anytime people call others viherehere it comes from a place of insecurity/ low self worth. Heal
@joanne_idewah2 ай бұрын
Thanks for this comment😊
@Joy-pleasant4 ай бұрын
You guys ikoh was just helping her come on...pretty sure hakuwa na any bad intentions besides video ikianza hannah ndio alimshow amsaidie stop hating kindly
@nevencenyakweba72814 ай бұрын
Thank you...am also wonder why people are hating on her na vile ako happy for her....l wouldn't mind a friend helping me open gifts
@GetrudeMghambi-lx5rd4 ай бұрын
Kwanza nakapenda nakaitaga twiga
@mercyptiso11884 ай бұрын
True
@juliejuliet36084 ай бұрын
Ni vile tu hapei mwenye gift time😅😅
@mercywawira62064 ай бұрын
True 💯
@Bjsglam4 ай бұрын
Hananbenta amepewa gift za teddy bears the helper angewacha azifurahie then yy achukue ashike, sasa yy amechukua ameihug kabisa una ona hanna anatamani kuishika ,vitu zingine ni common sense alafu helper anaenda kwa gift next n a bado hanna na anafurahia the other gift .ni sawa hanna amemuita lkni sio akue ivo sasa helper ndio the first to touch the gifts not good but its something petty ya kukasirisha watu tunasonga tu
@user-vi3th5et8z3 ай бұрын
Stop being harsh on her kwani alikukosea Ikoh is so good and a good friend to Hannah
@cynthiamuthoni4 ай бұрын
Hako kanyakanga kako na kiherehere😂😅you might think the gifts were meant for her
@user-kr5ct6dk1d4 ай бұрын
Umeona pia😂😂
@breanamercy14414 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@karumbawinniegathoni36384 ай бұрын
Nimeona pia😂😂😂
@mercysalen894 ай бұрын
weh,adi anaharibu unboxing.next time akae nyuma ya camera
@carolynejames-qj3nw4 ай бұрын
Walae vile kanakaa kanyonde
@user-sp1ch2fr3p4 ай бұрын
Huyo dem akona kiherehere ni kama gifts ni zake 😅si poa pea hanna ajifungulie gifts
@maureensings45424 ай бұрын
Thats why hanna had her help opening the gifts and not you😂😂😂ebu breath in and out kama yoir fellow humans na uache wivu
@joycewambui61384 ай бұрын
Sio wivu bt mtu anafaa kujifungulia gifts zake..huyo dem next time asifanye hivo,ati mpaka anasema ati nguo ikose kutoshea hannah.....thats a big no
@dorinoluoch16914 ай бұрын
Ako na kilembelembe sana....happy birthday Hanna
@iam_mary14 ай бұрын
Akiii iyo kiherehere huyo dem ako nayo
@iam_mary14 ай бұрын
Huyu dem anakufungulia gifts mbona
@sumsum4834 ай бұрын
I was looking for this comment,ameudhi sana btw who opens people's gifts?Hannah hapo napo huyo dame amekufanyia injustice
@iam_mary14 ай бұрын
@@sumsum483akiii adi mimi ameniboo hafai kuwa hapo ata
@user-ji7st9gi8y4 ай бұрын
Hannah benta,your helper hapo akona kiherehere sana as if gifts ni zake,mtu asaindiangwi kufungua gifts zake na anakupeleka mbio sana,hizo chocolate asijaribu kuzikula si zake,then the person who gifted you those red sneakers you can talk to him/her muende mahali alibuy for exchange instead of selling
@margaretodira58224 ай бұрын
Hannah is okay with that who a you to complain
@thirasue4 ай бұрын
Wewe Kuna Yako gani umepeana to write this paragraph?some people with entitlement 🚮🚮🚮🚮
@nancievillan074 ай бұрын
Huyo dem ukonaye hapo anaboo...kiherehere sana....anaharakisha kufungua gift as if ni zake 😏😏😏😏😏
@marywanga49594 ай бұрын
Navenye ako na mwili kama msumaaaa
@Gracious-4 ай бұрын
@@marywanga4959eiishiii was msumaa.necessary😂😂😂
@marywaruguru21823 ай бұрын
Nimekupitia nipitie dear❤
@ioicemauda46044 ай бұрын
Mama kiherehere next time dont try that gifts mtu hujifungulia mwenyewe najua utasoma coments
@mercynekesa-gd2uy4 ай бұрын
Tell her
@shiqxD4 ай бұрын
😂
@DeleonLisah244 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-fo3eu6zg1n25 күн бұрын
Mbona
@evalenemumbua18554 ай бұрын
Comment section wamekasirishwa na huyu opener 😂😂😂wewe opener wait for your own ....
@Goddesss0014 ай бұрын
😂😂😂
@lispahmurage94284 ай бұрын
Enjoy gal,you deserve all the happiness,
@paulinenkatha77994 ай бұрын
Guys wacheni hizo,sioni ubaya wa huyu dem she is just helping plz.
@mercywawira62064 ай бұрын
Kiherehere ya uyu dame iko Wapi si watu mko na wivu she's a vibe,akinyamza mseme ako na wivu mwendaga atia
@lillypendo41374 ай бұрын
I wonder too😊
@hellenkarisa6394 ай бұрын
amemsaidia wanasema ako n kiherehere angekaa kando wangesema ako n wivu watu nanii wacha tu😂😂😂😂😂😂
@mercywawira62064 ай бұрын
@@hellenkarisa639 Aki Watu sijui wanatakanga ajy😅
@rachelmuch57883 ай бұрын
Sijaona gift ya Baba T
@raymoshmikidadi872 ай бұрын
Yuko nacho.. Hana natural reaction.. It's for the camera tu
@mercy-vb7wx4 ай бұрын
Nilikuwa ni type kiherehere wacha kufungua gifts za wenyewe there is joy in opening own gift. Nikakumbuka ni KZfaq
@Brenda-uq6rs4 ай бұрын
Hanna huyu dem anajitawala aje ni kama gift ni zake next ukiwa na gift jifungulie mwenyewe kako na kiherehere sana....anyway im happy for you hanna you are a vibe❤❤❤
@DeleonLisah244 ай бұрын
Kanaudhi😂😂😂
@claraann78564 ай бұрын
Kumbe umeona
@turufinest59384 ай бұрын
Ikoh anaboo na kiherehere ,ako kila mahali kama mkono ya choir master nkt
@marywaruguru21823 ай бұрын
Nipitie dear❤ nimekupitia
@juliashiro96494 ай бұрын
Wauh Hannah you are such a vibe❤
@Serah_Dixon4 ай бұрын
New subscriber. The gal is kimbisharing us. Happy birthday 🎉
@missp43624 ай бұрын
Tell this lady aache kiherehere mwenye gifts ajifungulie
@Cecilia-kj8iu4 ай бұрын
All of us are God's image acheni kuchukia huyo dame she just help Annah to open her gift hajafanya kitu baya hata cjasikia akiongea vibaya
@elizabethnyanchamaomwenga74184 ай бұрын
Watu mlisema hannah akupewa gifts hapa n wapy naulizia
@BridgitKemori-gs8so4 ай бұрын
My love for this gal,💜so kind loving appriciating anything she was given💖💖
@kate_kayler4 ай бұрын
Y'all should chill on the bitterness towards ikoh. They are good friends and shooting KZfaq video ya unboxing si rahisi ofcos she needed assistance kuunbox haraka that's why ikoh is there. Kenyans kenyans.
@maggyqueenkailly884 ай бұрын
Kanabooo sanaaaa
@marymulwa62354 ай бұрын
Uyo dem anakaa wivuuuu ama naona zangu ...
@JamilaKhamete4 ай бұрын
Anaboo utadhani gifts n zake
@edwinvita53834 ай бұрын
I can see that too
@jecintawanjiku79134 ай бұрын
Anataka agawie gifts
@marynjeri77354 ай бұрын
She's not happy for her friend..the face tells it all
@jayatieno4 ай бұрын
Mwache uongo, she's happy for her friend and that's why she gave her gifts too, they're close,you others don't allow your friends to touch your gifts,leave her alone😢
@faithann38574 ай бұрын
Happy birthday Hannah may this new year be full of blessings, happiness more money and good health happy birthday ♥️♥️ lakini I wasn't happy with the gift that your best best friend give you...na vile we huwagift na roho moja😮but keep up with your good heart mwaaa💜💜💜💜
@nyarangalucy22354 ай бұрын
hannah i came across your channel today but you are a good person love you so much
@filaminenjeri27254 ай бұрын
Congratulations hannah ...waiting for the teddy bear pranks unaingia ndani unamove mikono na miguu
@saumuwakesho47174 ай бұрын
Hanah unakuaga na roho ya kutoa mungu akubariki
@lilianwakhu88674 ай бұрын
Happiest birthday hannah ❤❤❤❤❤❤❤❤we love u sanaaaaaa🎉🎉🎉🎉
@claudiahmaina31274 ай бұрын
Aaaii huyo dem anakera sana
@karenkiki45534 ай бұрын
Huyu msichana mkonde akona shingo refu next time wacha kukimbilia kufungua gifts sio zako... You are all-over pthooo
@faithwairimu83664 ай бұрын
😂😂😂😂woiye
@tracyrophine33664 ай бұрын
Haka kanaangukia teddy bears na si zake naskia kukaekela kofi. ..hiyo kiherehere itaisha
@ruthkimaru3284 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@JamilaKhamete4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 anaboo
@dollykinanu40294 ай бұрын
😂😂😂😂
@julietaleutu96154 ай бұрын
😂😂😂😂
@LucyNjihia-dw7rg4 ай бұрын
I just love hanabenta coz her love for others is always genuine and she is so real,keep winning girl🥰🥰🥰🥰🥰
@fayhkokie8 күн бұрын
Uyo dem akona kiherehere sana jifugulie gifts zako annah
@MaryKavemba-lc6bz23 күн бұрын
Hi hanana .uko aje mimi niko mombasa nilikuwa naomba unisaindiye na 50k niweze kuazisha biachara kazi nilifukuwa niko naangaika niko na watoto watatu ..kama unaeza nisaindiye nipata kazi naomba unisaindiye tafadhali nakuomba
@danielawanzala59124 ай бұрын
This lady is taking things mbiombio kiherehere tuliacha ushago yawaaaaaa l come in peace though 😅😅,
@carolinentinyari46734 ай бұрын
Ata mm ameniboo
@Purityakam4 ай бұрын
Mi ata naskia akiniboo tu
@adamkithinji98524 ай бұрын
Me naskia kugonga ako ka skeleton kofi..😂
@nevencenyakweba72814 ай бұрын
@@adamkithinji9852 waah be kind kidogo tafadhali
@jaelnafula8124 ай бұрын
Kanasinya aki hawajamalizana na moja kamerukia ingine na si zake mcheeew
@marymurimi91184 ай бұрын
Huyo dame Ako na kiherehere 😂😂😂
@suzanwandai26484 ай бұрын
I saw the same thing,,uyu si ikohrose
@mismatuseed95504 ай бұрын
huyo sio rafiki lol😂😂😂
@jeropkutto39754 ай бұрын
😂😂😂sana kiherehere kama bibi ya chief
@marceilobiero40634 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂niuee@@jeropkutto3975
@trizanyambu974 ай бұрын
Sanaa😂😂
@teddybearthuo95984 ай бұрын
Mimi kama teddybear i love them dolls❤❤❤
@edwinahmary98724 ай бұрын
Congrats gal
@maggienjerie42474 ай бұрын
Hanaah huyo dame hapana....
@shanynjihia99954 ай бұрын
I luv everything about the video buuuttt uyo mdame aki....😢😢😢 Naskia urudie video tena ukiwa pekee yako,pole pole bila haraka❤ Anyway happy birthday benta🎉
@mercynekesa-gd2uy4 ай бұрын
Anabooh
@Harrietmmbone-ek9qk4 ай бұрын
Walai anasinya
@joycewanjiru-ty2jg4 ай бұрын
Ameboo
@hassanzzz4 ай бұрын
Mnasinyika na mwenye alimuita hajacomplain😂😂...
@marywaruguru21823 ай бұрын
Nimekupitia nipitie pls dear❤
@MaryKeylah-li8ml4 ай бұрын
Wow we are all happy for u.... happy plus 1 now.... enjoy
@Gracious-4 ай бұрын
ak tho' kwa gifts anyway happy birthday hannah
@carolynejames-qj3nw4 ай бұрын
Na si huyu Dem akona kiherehere sasa yy do anafungua ni kama ni zake
@Winnjoynewti9bb4 ай бұрын
Hannah usipeana kitu hapo ,naskia ako kadame kakisema izo tunachukuwa , Usipeana your blessing mamii
@ruthkatheu5974 ай бұрын
kanabore
@ruthkatheu5974 ай бұрын
angefugua pekee aki.. madem n walewale
@user-wu2xi7ci3vАй бұрын
😂😂
@sarahnekesa-hk4fw4 ай бұрын
Happy birthday baby gal 🎉🎉
@regz89464 ай бұрын
Uyu dame na yeye aii
@sherylgabriella4 ай бұрын
Na kwani tuliambiana tununue Teddy bears🤣🤣😂
@user-vd1zj9je5k4 ай бұрын
😂😂
@hannahbenta4 ай бұрын
❤❤❤thank you babe n Kama mlijua nko lonely
@MargaretRobert-nk9bi4 ай бұрын
Nilikua very keen on tiff Dolly's gift to Hanna ye ndo alimltea achocolate she doesn't love and perfume hako kabag nilikamari ....uyo si beshte..jajui what Hanna loves.. it's the high time Hannah ujue watu wanakupenda though thanks to her
@simp_witherika4 ай бұрын
I also marked it wakamba hukua roho chafu sasa tiff shually chocolate na perfume 😅😅
@tinahtish44654 ай бұрын
@@simp_witherikas anakuanga mkisii ama😂
@maggiedotty67274 ай бұрын
New subscriber here, Happiest birthday girl
@njambikuria88024 ай бұрын
Uyo dem si atulie
@thikafinesse2244 ай бұрын
Ikoh akona kiherehere😂
@user-jl6gh1rf3o4 ай бұрын
Why are you all hating Ikoh...ako sawa...msm mbona hamkuitwa msaidie.......bitrr souls
@charitykanyi4 ай бұрын
But that's bad let's talk the truth
@janey8614 ай бұрын
I wonder... madem wanakuwanga na wivuuu sana
@Lizmusagwa54054 ай бұрын
Wooow ❤❤❤❤🥰🥰
@emmahmokeira52334 ай бұрын
uyo dem atulie ufu,gue gifts zako pole polepole aii
@jacqiewaeni40164 ай бұрын
Ghaaaiiii huyo dem n kimbelembele akiii.....hao ndo huitwa destiny distractors.....jealousy is filled allover her face
@zilsashamuturi27794 ай бұрын
Aki anabore
@dorisgaichugi41374 ай бұрын
First celebration birthday, then destiny obstacle ina appear pap,,
@sharonfelix90674 ай бұрын
2:03 i clearly hear hanna telling her friend to open it for her,,so why are people hating on her,,hanna wanted her to be there so you should all stop hating on her...hating people you don't even know clearly shows low self esteem or jelousy
@vallerieasiko43062 ай бұрын
Hannah nipe plug ya hio trouser umeva....I looooove it
@user-qy6ls3bx4u4 ай бұрын
Happy belated ❤
@ruthwangai36124 ай бұрын
Me watching na sijai pokea a gift from anyone 😢....count yourself lucky....best wishes girl 💘
@Yaahphilip48463 ай бұрын
usijali mko wengi
@janewakaba29804 ай бұрын
If kiherehere was a person huyo dame zii anakaa kama gifts ni zake adi anaendea next gift... karibu zote ndiye anatoa😅😅
@BeatriceNjoki-dl7he4 ай бұрын
You deserve it baby girl 🎉🎉
@AkaleLodoket8 күн бұрын
Huyo Ako na keherehere,mwambie gifts ni zako
@faithnyasetia14524 ай бұрын
awwww aki the bags are sooooo cuteeee🎉🎉❤❤❤❤❤😊😊
@gloriakiarie4 ай бұрын
I believe there's a special joy in opening your own gifts.
@margretnanjala29144 ай бұрын
True
@carolynekadesa4 ай бұрын
Sure 😂😂😂
@kahigascholar96314 ай бұрын
I was afraid of reading such a comment 😂😂😂
@mom.c.jofficial85974 ай бұрын
Exactly with your own privacy!!..
@mom.c.jofficial85974 ай бұрын
@@kahigascholar9631😂😂😂
@gracemelegance66234 ай бұрын
I love your friends so intentional ❤❤❤❤ happy birthday gal.
@marywaruguru21823 ай бұрын
Have subscribed dear nipitie ❤
@hehhsj3104 ай бұрын
😂😂huyu n ule dem WA willy Paul WA yes I do 😅
@cellyncelly554 ай бұрын
I wish u opened the gifts alone...ako kasichana kako na kiherehere saàaaaana huh!!!!!!!!
@user-wi2cr6ls5v4 ай бұрын
Benta siku igine huyo dem asikuwe hapo anaruka haje na gift yamtu nauko hapo ww ndio unafaa kushika kwaza
@user-ed4uc5xw9f4 ай бұрын
Hannah huyo dem pliz anabore kwami gift ni zake
@kezziahmukami54614 ай бұрын
Happy birthday gal
@nida45094 ай бұрын
She really knows how to appreciate even though some gifts don’t make sense at all Hanna has such a golden heart hata kwa birthdays she gets expensive gifts to her friends ❤💜 Sheryl Gabriela shame on you… hiyo ndio present ya kuletea mtu while she came big for you on your birthday ? Trash
@mercyruiyi87054 ай бұрын
Aki if you know teddy bears esp that big then you should know how expensive they are.again Hanna is happy that all that matters
@missruthmungai88874 ай бұрын
@@mercyruiyi8705huyu n kama hajai nunua Teddy bear
@naomimagalo55064 ай бұрын
@@mercyruiyi8705woye 15k uko
@EverAtetwe-2544 ай бұрын
@@mercyruiyi8705very true Teddy bear are very expensive tell her
@janetdarius75984 ай бұрын
Me nashangaa pia kwan izo teddy bear mtu atazikula, wenye wametuma izo that's wastage of money si wangenipea io pesa ak
@DaisyNjoki-cz3mq4 ай бұрын
Shelly presents made u soo happy the only present have seen u excited
@Miaravibes4 ай бұрын
Aww! You have such good friends,,,in the meantime nipitieni plz 🙏🙏
@peter-km9hl4 ай бұрын
Na si huyu mdame ako na kiherere Wish zingekuwa zake but wivu is all over her eyes
@user-mh5ld4fp6y4 ай бұрын
Hii skeleton inatupeleka mbiombio imetoka wapi😏😏 If you’re reading this acha kiherehere gifts sio zako
@faithmuturi50774 ай бұрын
N gifts sio zako 😂ako na kiherehere sana
@shiromumshiro30604 ай бұрын
😂😂😂anafaa akuwe ameketi akikula kimbelembele front akae kando hataki tuone
@zolyminah60474 ай бұрын
😂😂😂weeh aty nini😂
@naomngusye32624 ай бұрын
Mbna nikama amujui hivi vikode vina kiherehere sana,shingo na mikono the same
@SizzyBraham4 ай бұрын
ak Kenyans😅😅😢
@guccikidd69344 ай бұрын
Huyo dem mwingine kiherehere 😂😂
@mercymicheni95272 ай бұрын
new sub from Obinna much love hanna
@johnkibui4864 ай бұрын
Watching from tv ikabidi nkama apa . Aki huyo Dem Ako na kiherehere ama ni muhahe na vitu sio zake😏. Mpaka video ikianza Ako mbele ya Hanna en she's tall
@chepkoechbirgen26554 ай бұрын
Everything is perfect. But huyo msichana apunguze kiherehere waaah ...
@ritahgakii54474 ай бұрын
Akii tiff aliku gift perfume na ulimpea laptop this life no balance😢
@jessicamaina74664 ай бұрын
Wow all the best
@catherinewachira47944 ай бұрын
Ikoh everytime chewing😅😅😅
@essymungai2294 ай бұрын
Beautiful gifts❤❤
@marywaruguru21823 ай бұрын
Nimekupitia nipitie❤
@doreeningutia58314 ай бұрын
Kiherehere ndio mbaya. Ni birthday yake?
@spicynicky4 ай бұрын
Nice gifts
@shiqsk15564 ай бұрын
Ikoh ndo maana uliwachwa iyo kiherehere yako mtu hawezi kaanisha nayo ni mingi kuliko ya mwenye gifts unaboo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@juliamugo9674 ай бұрын
Happy birthday ❤you deserve it Hanna
@edwinvita53834 ай бұрын
Weee si huyo dem ako na kiherehere si ata atulie jameni😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂behave you girl
@ShillahNekesa-sv5uc3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂mbn mko n makasiriko n uyu dem
@MercyMurithi-oz8zi4 ай бұрын
The helper yawaa
@brianoruenjo92354 ай бұрын
Sherly Gift was Gorgeous
@elizabethmukala8684 ай бұрын
Next time unbox alone huyu ako na kiherehere anaharibu video
@Phoebenyakachcomedian14 ай бұрын
Hiyo viatu unaweza enda shop ubadilishiwe number.. congratulations girl
@MashBradley-su7xl23 күн бұрын
weeh, c pesa hupenda kwenda tu kwenye kunazo, so happy for you gal, may also God remember us and happy birthday
@unicemasaku25654 ай бұрын
Mm Ann naomba hizi bags umetoka gifts pliz I will appreciate