Mashallah sheikh mada nzuri ya kutumia miski shukran sana kwa masomo mazuri haya
@MwanamiruruRamadhaniabda-xt4sv10 ай бұрын
Mashaallah Mashaallah ostadhi
@hildababyabdullah56275 жыл бұрын
Shukran sheikh kwakutujuza
@mwanamisirama18368 ай бұрын
Ma shaa llah
@iddmareja65585 жыл бұрын
Jazaqaallahu kher
@magengekovu29473 жыл бұрын
Jazaqaallahu kheir
@bebisheni43803 жыл бұрын
Asante shekhe mwenyezi mungu akubariki
@umaimaalharthy35815 жыл бұрын
Sheikh nakukubali sana shk jazaqallahu kheir.
@imamutvonline23255 жыл бұрын
Allahu mma Aamin yaa rabbi
@umaimaalharthy35815 жыл бұрын
Shukran sana
@monicahrazzy70234 жыл бұрын
Shukran sheikh kwa mafunzo
@nasraabdi15294 жыл бұрын
Shukran shekhe
@tumahmoha34785 жыл бұрын
Shukran jazakallah khair
@imamutvonline23255 жыл бұрын
Allahu mma yaa rabbi
@mwajumamussa95504 жыл бұрын
Asante kwa somo zuri, mafuta ya misk kwa MTU alielishwa uchawi na anasumbuliwa na tumbo, anatumiaje?
@RahmaFadhili6 ай бұрын
Mashaallah
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
SUKRAN USTADH KWA KUTUELIMISHA ALLAH AKULIPE KHERI
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
Mmharufu yake ukipita karibu natamani nipige kelele kichwa kinauma Inategemea na miski puazangu zinaweza kustahamili
@RiyadhTvOnlineZnz5 жыл бұрын
@@zayyatiyussuf9566 huwenda ukawa na matatzo
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
@@RiyadhTvOnlineZnz yani nayachukia baadhi ya Mafuta mtu akinisogelea kajipulizia pua zikahis ikiwa ndio hayo ambayo siyapendi natamani kulia yani mda huo huo nambadilikia lakini huwa nahisi usingizi nikilala nikiamka bas lakini asiwepo huyo mtu karibu na Kunabadhi ya udi huwo ndio ndani natoka sikai naumwa nakichwa kuliko hayo Mafuta
@RiyadhTvOnlineZnz5 жыл бұрын
@@zayyatiyussuf9566 Allah akufanyie wepes Insha Allah Jitahd na Dua na Adhkar Mbalimbali
@zayyatiyussuf95665 жыл бұрын
@@RiyadhTvOnlineZnz In shaa Allah Shukran Amin Allah akustri na ww na kila mitihani fidunia wali akhera
@RamaMwacharo-qn1og3 ай бұрын
Shukran kka yetu
@madinaabc48253 жыл бұрын
Allahamudullah
@faizahamim99355 жыл бұрын
Asalam aleikm w w manshallah sheikh wetu kwaku tuelimisha naomba kuuliza nitakapo soma ruqya nita anza kuchanga kweny maji ao kuyasomeya kwanza yenyewe ndo baadae nichanganye na maji ?
@mpondamedia24164 жыл бұрын
Wa alaykumu ssalaamu warahmatu llahi wabarakaatuhu changanya kwanza kwenye maji ndio uyasomee no zangu 0652 286323
@user-dn6bb1cp5s3 ай бұрын
Mimi hedhi yangu inatoka kidogo kidogo nimetumiya siku saba leo sifahamu nini shida
@bintbanj39904 ай бұрын
hapo kwenye maumivu ya kichwa kwel kabisa ndo dawa yangu nikitumia tu kichwa kinakata hapohapo
@VickKulekana-si1ib10 ай бұрын
Ni kwel nilishawai kuyasikia Sana wakiyasifia
@agustinomsangi5543 Жыл бұрын
Nayapataje?niko ars
@chudimasoud9604 Жыл бұрын
Upo wapi nikufahamishe original utayapata
@swaumally42484 жыл бұрын
Kuna ile misk rangi ya maziwa vp kuhusu hio sheikh
@getrudamartin24092 жыл бұрын
Tumia misk nyeupe n nzur sana
@uweismohammed69595 жыл бұрын
Twayyib
@EmmanuelMwakenya2 ай бұрын
Kaka naeza pata hio mafuta
@pendomtobela523810 ай бұрын
Mie nayahitaji nitayapata wapi?
@mwanamisirama18368 ай бұрын
Nkuletee???
@venishajohn34585 жыл бұрын
Miski nyeupe au nyeusi?
@jaliakamote54854 жыл бұрын
Yoyte mradi tushaambiwa misk.
@mpondamedia24164 жыл бұрын
Nyeupe
@getrudamartin24092 жыл бұрын
Misk nyeupe
@getrudamartin24092 жыл бұрын
@@jaliakamote5485 nyeupe n nzur sana
@zujjhmrombo78614 жыл бұрын
Vp kuhusu kutoa uchawi mwilini au tumboni
@aminahassanjuma44174 жыл бұрын
sheikh hii misk hailet athari yyt kwenye uke ukitumia kusafishia baada ya heidh
@mpondamedia24164 жыл бұрын
Haileti tumia pamba baada ya kuoga na kujikausha mwili
@mpondamedia24164 жыл бұрын
haileti
@bimlatyjuma44943 жыл бұрын
Mtume Muhammad alituhusia tusitumbukize kitu chochte ndani ya uke bali ukimaliza hedhi itie kwenye kitambaa ujifutie. Naikumbuka hyo adith