Leo nikafika mpema from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇴🇲🇴🇲 nipeni hata like 10
@IlaliNdikumana-lm1cc4 ай бұрын
Usijali
@bombatv9094 ай бұрын
burundi wapi uko
@flavafleury4 ай бұрын
Buja tupooo 🇧🇮✅
@anordsimbagoye76044 ай бұрын
Chukua
@komboitembe96724 ай бұрын
Vp
@Life257media4 ай бұрын
Jaman hadi nasikiya ayibu jamani🙈wa 114 nilizani nimewayi😂😂😂 naomba like hat moja jaman 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@jazminewatanzi18544 ай бұрын
Nampenda bbi mkubwa wa Malangalila😂😂😂
@huzaimahassan4 ай бұрын
Mister manyanya amebambisha sana umu ndani kicheche hongera sana Mzee umejua kuwapanga
@Justivany4 ай бұрын
Huyu msomi 😂😂😂 makofi kwa like 😂
@MauaMauatemb03 ай бұрын
Due anahitaji maua yake🎉🎉🎉
@user-xk8sq6uk5c2 ай бұрын
👏👏
@user-oe5ze5uq8m4 ай бұрын
Mimi wa kwanza kutoka kongo nipe like zangu kama unamupenda kicheche 🎉🎉🇨🇩🇨🇩
@deborahmidiburo35414 ай бұрын
Tuko wote🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@user-oe5ze5uq8m4 ай бұрын
Asante sana Wangu
@user-kr1yo4eq3j4 ай бұрын
Nimekupa lik kam shemj yangu
@user-oe5ze5uq8m4 ай бұрын
@@user-kr1yo4eq3j kkkkkkkkk sawa ainashida Wangu weye uliowa Congo ?
@Zamzamo.4 ай бұрын
mimi hata nikiomba like tatu sijawaifikisha
@martinezsiwale44194 ай бұрын
Huyu mwamba wa mathematical anajua saana sana keep that talent bro
@user-wd6oi3hz7p4 ай бұрын
NDUGU ZANGU NAONA KCHECHE AMESHA JIREKEBISHA AKATISHI TENA TAMTHIRIA NAHISI MWAZO KUNA SHIDA ILI MTOKEA😂😂😂😂
@janethmdachi53344 ай бұрын
Ila huyu madaftari anajua sana kuigiza nampenda mnooo 😂😂❤❤
@user-cu9mo3rf4t4 ай бұрын
Mimi Wakwanza Léo 🎉❤
@user-oc7sx8nq6f4 ай бұрын
Wa kwanza kutoka South Africa jamani nipeni like zangu
@najishija4 ай бұрын
No 1 Leo naombeni like 5 tu na nipo single pia
@hermansang93834 ай бұрын
Uko single ukiwa maeneo gani pia me nko single and I need a serious lady ❤❤❤
@daudiomary3734 ай бұрын
Welcome dar-es-salaam kimara tukusitili
@lazaromwambene45164 ай бұрын
Oyoo msomi anauwa sana kiongozii😢😮❤
@user-ke1ox6zl6k4 ай бұрын
Lakini huyu mke mkubwa wa malangalila ni mzuri nyinyi❤❤❤🎉🎉🎉🎉 nampenda sana
@jazminewatanzi18544 ай бұрын
Siku mmoja huyu msomi ataniuwa miye jamani 😂😂😂😂
@rizikisam64814 ай бұрын
😂😂😂😂
@eliyadavid36294 ай бұрын
Ni hatari sana 😅😂😂😂😂
@janethmdachi53344 ай бұрын
😂😂😂😂hat mm namuelewa san
@MeryMpmba4 ай бұрын
Kabisa yupo vizur mnoo
@zeinabathman58754 ай бұрын
😂😂😂 ugwaadulism
@Yantaball_244 ай бұрын
Wanaopenda Scene Ya Vai na Manyanya Gonga Like
@goldsilver5893 ай бұрын
Malaya ww itakuwa 😅😅😅
@Warsann3 ай бұрын
Romeo and juliet 😂😂😂
@MauaMauatemb03 ай бұрын
Me 😊
@mariammwanzalila90103 ай бұрын
😅😅😅😅
@ramlatshabani52354 ай бұрын
😂😂😂😂 ila mauwa wallah unajua kunichekesha hivy unavyovaa na Hilo pochi 🙌🙌
@IssaBrighton4 ай бұрын
tuwakubari burundi munaigiza vizuri ata mimi mugizajo wamakamba
@evelynoscar51044 ай бұрын
Sema kaka msomi anajua sana pumbavu zake😂😂😂😂😂
@user-ke1ox6zl6k4 ай бұрын
Jamani huyu mauwa na urembo wake si kituko kabisa hiki 😅😅😅
@djsalumtotombaya4 ай бұрын
Like Apa from Burundi 2nawapenda wote na tunawasalimia kwa jina la jamuur ya Tanzania😅😅 Asante
@user-dg1sc1uw6z4 ай бұрын
Tunakukubali ndugu kicheche
@user-fn3jb7de5p4 ай бұрын
wakwanza kutoka malindi kenya..nipeni likes kwa wingi
@MudivatoJuma4 ай бұрын
Wakwanz me jamn Leo kicheche ni noma sem ooooooooooog
@chusseboywcb28084 ай бұрын
Ndani ya familiy ya mzee kicheche wawe watoto awe baba wote awachekani upwiru umewakaba😂😂😂😂
@achiaamina37734 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimechekeshwa na hao wachawi wa wili ,,walivo ondoka
@OfficialeugennyPro61304 ай бұрын
Familia Ya Kicheche Official Music Video Link 👉🏾 kzfaq.info/get/bejne/sK6qh9V_sbfXiWg.html
@Efootball20284 ай бұрын
Weka like kama unamkubali kicheche 🎉 from USA 🇺🇲🇺🇲 wakwanza leo 🎉 asilimia ngapi unampa kicheche kwaii movie 🎉🎉🎉
@MwajumaIddy-nk1gn4 ай бұрын
Naomba tuongee private
@Efootball20284 ай бұрын
@@MwajumaIddy-nk1gn usijal nitumiye namber yako kama utojali
@zippybeibe4 ай бұрын
Wa kwanza Leo kutoka sirari boder wapi like zangu
@user-ge8pf6rr5g4 ай бұрын
Oy wakwanza mm leo neno moja kwangu🎉
@user-vf9sk3ij8s4 ай бұрын
Kila hatua Dua Leo ni Bora kuliko jna hakika haiboi haikeri sijutii kuwa sayar ya 3 sabab na enjoy na hii kitu hat sitak like natk episode y 11
@MalakiThompsonAkyoo4 ай бұрын
Unacheka nini???? Aya cheka kidogo....😀😀😀😀, Weka mbali na watoto..
@user-ip2vw7dj1g4 ай бұрын
wa kwanza leo jaman naombeni like hata 5 tu
@maryndungu7734 ай бұрын
Mshenzi mm wa kwanza 😂 nipeeni.like za manyanya
@_beatusbaraka4 ай бұрын
😂😂Manyanya fundi
@mohammedkidody56184 ай бұрын
Anajw sana😂😂😂
@user-lt1kd7zo1k4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Kuna sehem ya mwili inaitwa ugwadurisation ira msomi unatisha
@user-or4ls1lv8g4 ай бұрын
Yani huyu msomi Mimi namkubali ❤❤
@user-nq5fi5mz4y4 ай бұрын
Da msomi ni balah sana
@FloraMwelu4 ай бұрын
Msomi hatari sekunde hamsini adi hamsini na tano🤣🤣🤣
@eliyadavid36294 ай бұрын
We acha tu 😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-gy3wo2ez4d4 ай бұрын
Mnapenda ngono nyinyi😂😂😂
@user-gy3wo2ez4d4 ай бұрын
Mnapenda ngono nyinyi😂😂😂
@user-gy3wo2ez4d4 ай бұрын
Mnapenda ngono nyinyi😂😂😂
@mohammedkidody56184 ай бұрын
😂😂😂
@nizzohance_tz4 ай бұрын
Mbavu nene kilio mwamwanu 😂😂😂😂
@bonventureimbuga5224 ай бұрын
Wa Kwanza Leo
@Realmario_074 ай бұрын
Jamani Leo nimewahi naomba like hata tano
@user-sr4wp4mt2f4 ай бұрын
❤❤❤msomi yupo gud sana
@zawadichengokatana47504 ай бұрын
Huyo msomi anajua kunikosha roho waa yani anavyo mpa mister huyo vai mpaka anaingiliana mwenyewe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamani hongereni sana nawapenda sn ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@RizikiSikitu4 ай бұрын
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tupooooooooo tunajiamini kwa kicheche 😅😅😅😅😅😅
@AbdulkadirYahya-ub3nl4 ай бұрын
Msomi ww noma saana broo kaza buti utafika mbali
@nancyg86644 ай бұрын
😂😂kiukweli scene ya vai naipenda sana yan narudia mara mbili mbili
@PrettySalmah-tt8bh4 ай бұрын
Mauwa yupo wapiii😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe hakuw hat mbali mauwaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sylviabaha22664 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@GyaviraLaurean4 ай бұрын
Aka kalevi nakapenda haswaaaaa.... Kanapiga makofi na kuflah mda wotee
@OZWIMsabato4 ай бұрын
😅😅😁😁 Msomi sasa ndonoma. Hongereni san kwakaz nzur
@user-xu8gn8jq8s4 ай бұрын
Wapili jamani watu wa Burundi 🇧🇮 like zenu plz 🙏
@user-zt4qb2fg5l4 ай бұрын
Nakubali kicheche❤
@marycephas73024 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kicheche jamani 😂😂😂
@leylahkhassim-sy5vv4 ай бұрын
Wa kwanza leo🎉
@user-df5co6no5x4 ай бұрын
Huyu msomi wa mchongo anajua kinyamaaaa
@user-iv7dm3xw9v4 ай бұрын
Umeona eeh anajua hadi anakera anavyoeleza sasa kama vile kweli msomi😂😂😂😂😂😂😂weee etii haya nunaa cheka kidogoo 😂😂😂😂vaiii
@mohammedkidody56184 ай бұрын
Kweli kabisa😂😂😂
@geoffreynyabigo75654 ай бұрын
Huyu mwana Dada fai waaaaah ni mrembo, Mimi ni 🇰🇪 nataka Awe mke wangu,
@samiuhassan81534 ай бұрын
Wa kwanza leoo
@sheddyalex90574 ай бұрын
halafu kicheche kafanana na huyu mlevi aisee akivua kofia. 🤣🤣
@NuruFreddy4 ай бұрын
Yaani msomi anavyoongea na vai khaa ningekuwa mim ningekataa anataka uvivu😂😂
@Riziki1434 ай бұрын
Good job kicheche for 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-kc7ib7oi5m4 ай бұрын
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 oya 🎉🎉
@Gloriarespiki4 ай бұрын
Aliyetunga hii story Yuko vizur big AP team kicheche🎉🎉🎉❤
@HamadiHamisi-lw4dt4 ай бұрын
Siwakwanza Wala Wamisho😂😂Niwakati Kati Leo Naomben Like Zenu Hatakama Nimbili Kwa Hajili Yamtu Kwa Katikati😂😂😂😂😂😂..
@ElvisBoy2574 ай бұрын
Mugonge like Mashabiki za kicheche tujuane❤❤
@MauaMauatemb03 ай бұрын
😢
@dhahabukalama26354 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂ila maua na maurembo yake kweli ni chizi 😂😂❤❤
@sylviabaha22664 ай бұрын
Umeona mavazi yake😂😂😂😂😂😂
@user-qs7wn6be7c4 ай бұрын
Wq kwanaza Leo ❤😂
@BLACKJINI14 ай бұрын
Wa kwanza leo From 🇨🇩🇨🇩 Nipeni likes zangu rafiki🎉
@alphamulokozi354 ай бұрын
Wanaomkubali Kicheche Weka like hapa, twende Sawa
@bensonmbevi88284 ай бұрын
From kenia 💯💯💙
@aminahhuawei11334 ай бұрын
Hahahahahahaaa hii kituu nihatariii sana mzee kichèche na wanawe bwanaa 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Jamani mtatuvunja mbavu achen upwiru na ugwadu lizimu😂
@user-gy3wo2ez4d4 ай бұрын
Uyu nessi yupo vzur nimeona mambo mazur anayo😂😂😂
@iamjkboy-kr4tl4 ай бұрын
Ubwa mimi nipeni likes zangu kutoka mwanza🎉
@oscardinhokasereka39604 ай бұрын
Kisha kumu vumbuwa Luther Man kwenye Kibenteni, nîme vumbuwa mutahalamu mwengine Mr Manyanya mathématique kwenye familia ya kicheche.watching from Eastern DRC🇨🇩💪💪💪
@jovithatibatekeleza65984 ай бұрын
Chapombeeeeee😂😂😂
@mrromano2434 ай бұрын
😂😂😂 wakwanza mimi
@G3toBoiz4 ай бұрын
Ata me leo nasema sipatag like leo nataka like zangu kama sivyo nazima video tutaangalia kesho mkalale
@user-ky1so4wu5q3 ай бұрын
Huyu msomi ananipea raha yeye n mlevi ht mmbo y EX cwazi tn😂😂😂❤❤
@eliyadavid36294 ай бұрын
Dah! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Msomi katisha sana 🔥🔥🔥😂😂😂😂
@jovithatibatekeleza65984 ай бұрын
Msomi big up😂 madaftari😂😂😂
@Slovemkizi4 ай бұрын
Mpaka raha saiv unawahi kutupa burudani chapchsp❤❤❤❤
@TheresiaTemu-ye1lm4 ай бұрын
Daaahhh kicheche kweli unawezaaaa hongereni
@user-up4ft8jx6z4 ай бұрын
Wewe msomi umetixha sana ukikaha ivo razima ufike mbali
@user-hc5dd8sj6s4 ай бұрын
Wakwanza apa
@tetri-numz964 ай бұрын
😂😂😂 Dada Vai mbona hueleweki 😂😂
@hanifahkhamiss84854 ай бұрын
Akishapewa maneno na msomi hana jibu zaid ya hichi ndo cha mwisho😅😅😅
@mohammedkidody56184 ай бұрын
😂😂😂
@topaztz76013 ай бұрын
Msomi ni wa moto sana, Namkubali mno🔥🔥🔥🔥
@rajabjuma14504 ай бұрын
Nmechelewa Leo lkn naombeni Like zangu
@user-mc3gc4uz8d4 ай бұрын
Upwirosis😂😂😂😂 and ugwadurism 🎉
@user-yx8vv7kc1z4 ай бұрын
Uyu msomi ananikosha ile mbaya
@danielmenza92634 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@AUTRISFILMPRODUCTION4 ай бұрын
Nipe like zangu Kenya 😅😅😅😅
@user-qj8jw4bt3d4 ай бұрын
Leo ndo nimemuangalia vizuri TOMBOY ana kasura flan ila akimaind kimbiaaaaaaaaaaa😅
@DaCaty4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@philipmutua66434 ай бұрын
Tifa sipendi upole wako kwa hii tamthilia... anyway ❤❤❤❤
@vicklove79854 ай бұрын
Majilani ku act nako mnaeza ila kingereza zero ❤😅
@freezy-jx7eo4 ай бұрын
Kwan kiingereza lugha yetu au🙄🙄
@elizabethgeorge71314 ай бұрын
Just a language like any other languages ama ww unakijuwa Kifaransa ama Kichinku??? 😒😒😒