No video

Fatma Karume: Kuna tofauti Jinsi Watanganyika na Wazanzibari Wanavyojitambulisha

  Рет қаралды 11,106

The Chanzo

The Chanzo

3 ай бұрын

Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 206
@tours15
@tours15 3 ай бұрын
Hongera sana Dada Fatma huo ni ukweli usiopingika.
@fafanua
@fafanua 3 ай бұрын
Mzanzibari forever!
@HassanAli-tw1jf
@HassanAli-tw1jf 3 ай бұрын
Kweli wataganyika hawataki kuitwa wataganyika
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 3 ай бұрын
Dada Yangu Fatma umesema maneno ya haki tupu, Mungu akubariki,
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 ай бұрын
❤❤❤ Asante maneno mazuri Leo. Aunty Fatma
@adnanjanuzaj3630
@adnanjanuzaj3630 2 ай бұрын
Thank u mom hatutaki hasa muungano na wao better tujiunge na wauganda c wanafiki na tutafaidika na oil field sote na KATERERO pia
@user-mm6fe9vz2p
@user-mm6fe9vz2p 3 ай бұрын
Yes, you and lissu both of you, you are right 👍
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 3 ай бұрын
Wazanzibari hawautaki Muungano ccm inalazimisha Muungano udumu, Muungano hauna faida kwa Zanzibar. Ccm inalazimisha, huu ni Ukoloni Tanganyika kuitawala Zanzibar.
@hamilsaleh-zo3hp
@hamilsaleh-zo3hp 2 ай бұрын
Umeonga, na maneno yako ni mazima sana
@rastapeace9616
@rastapeace9616 2 ай бұрын
Shangaz hongera point zako nimezikubali tena wafahamishe uzr wafahamu sisi mbona jamaa zetu hatuna ubaya nao tunawapenda ila wao ukwel baadh ya wengine wanataka sisi tugombane shangaz hongera mungu akupe umr mrefu hebu pata 100 kwanza
@user-rg1wy6ft5l
@user-rg1wy6ft5l 2 ай бұрын
Hongera mama waeleze hao kwamba Zanzibar ni nchi na Tanzania ni Muungano tu
@user-bl4vy5bo4f
@user-bl4vy5bo4f 3 ай бұрын
Muongo fatma karume sis wazanzibar hatutaki mungano
@d15355
@d15355 3 ай бұрын
bwege wewe unamwakilisha nani? jiwakilishe nafsi ako usiseme sisi sema mimi
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 3 ай бұрын
Sasa ayo ni mawazo yake usimwite muuungo mpe tu ni upi msimamo wako katika hilii
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
​@@user-et9vf2ro2k🤣🤣🤣🤣 kumbe kamwiita muungano 🤣🤣🤣🤣 na sio bwege 🤣🤣🤣🤣 umejua kunichekesha 🤣🤣🤣🤣🤣
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 2 ай бұрын
​@@d15355ww cio mzanzibar tafta ulipochomokea
@rashidissa5887
@rashidissa5887 2 ай бұрын
Usitumie neno" sisi". Wewe una agenda nyingine. Wengi twapendelea kuwapo Zanzibar na Tanganyika na serikali ya Tanzania. Jumla 3.
@rastapeace9616
@rastapeace9616 2 ай бұрын
Shangaz hongera kwel hatutaki zanzibar wetu waimeze duuh point zako ww umebobea ktk kaz yako mwanasheria
@wajuba9323
@wajuba9323 2 ай бұрын
Mimi ni Mtanzania kutoka Tanganyika. Watanganyika hatuna mioyo ya ubaguzi kinachokibaliwa kwa pamoja mioyo yetu inakuwa pamoja hivyo ,huo uzanzibar kwenye mioyo yenu ndo ubaguzi halisia.
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 ай бұрын
Kila Wananchi ana haki ya kujivunia kwenye Nchi yake. Ukisafiri ndio utajuwa wewe ni nani kwenye Nchi za watu.
@wajuba9323
@wajuba9323 2 ай бұрын
@@awatifalghanim1106 point yako inasimamia wapi ?
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 3 ай бұрын
ingekua ni muungano kweli basi ni sawa ila huu ni ukoloni wa tanganyika kuidhibiti zbar na kufaidi matunda ya zabar na wazanzibari hatukubali asilan
@d15355
@d15355 3 ай бұрын
wacha ubwege wewe
@abbtsa3060
@abbtsa3060 3 ай бұрын
Matunda gani hayo ambayo tanganyika inapata
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 3 ай бұрын
@@abbtsa3060 asojua mana usimpe maana utamtukana nyinyi mnakusanya kodi kwetu ila sisi hatukusanyi kodi kwenu hilo ni moja tu yapo mengi
@mussakhamis5201
@mussakhamis5201 3 ай бұрын
Acha kukurupuka ww km kweli mnatupenda mbn mpk leo mmezuia mafuta tusichimbe mbn nyinyi mmechimba gesi
@d15355
@d15355 3 ай бұрын
@@mussakhamis5201 wacha fitna na yale makampuni yanayochimba kule deep sea ni ya nani? sio yameruhusiwa na hussein mwinyi? soma wewe sio unakurupuka tu?Samia sasa hivi rais ina maana hilo nalo hajaliona? kuagiza kuchimba anaogopa? kuna mtu anamuogopa wakati yeye ni rais? rudi kwenu Pemba wewe
@adnanjanuzaj3630
@adnanjanuzaj3630 2 ай бұрын
Love u Fatma K
@ericmoramagige3407
@ericmoramagige3407 3 ай бұрын
Wazanzibar kama , mnataka kubaki Wazanzibar, sepeni tuu, hatuwataki
@fakijecha
@fakijecha 3 ай бұрын
Kwan yiny anae kutakeni nan
@ima_tamymy3972
@ima_tamymy3972 3 ай бұрын
Kwani nani anawataka nyie😅
@user-gr9pu6gu9s
@user-gr9pu6gu9s 3 ай бұрын
huku zanzibar kuna watanganyika wengi sana wasisepe ila waishi kwa utatibu tu
@abubakarshamuhuni3894
@abubakarshamuhuni3894 3 ай бұрын
Hamtutaki wakati kujiiita watanganyika hamuwezi
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 3 ай бұрын
​@@abubakarshamuhuni3894haya basi jiiteni wazanzibar,hivi utengano utawasaidia nini?hivi mmewahi waza,kabla ya kuja wakoloni huku je tuliishaje?
@usafiaps318
@usafiaps318 3 ай бұрын
Miss Fatuma Kama Vile Watanganyika Walivyokua Wamejisahau Utanganyika Wao Na Hata Zanzibar Ilijisahau Ya Kwamba Haitambuliki Kimataifa(Haina Kiti Katika Umoja Wa Mataifa).Inatambulika Kama Nchi Tu Kwa Maneno.Hivyo Tanganyika Idai Tanganyika Ndani Ya Tanzania Na Zanzibar Idai Zanzibar Ndani Ya United Nation.Ili Tuongee Lugha Moja.
@afropanorama4730
@afropanorama4730 3 ай бұрын
kichekesho cha mwaka icho,usipate tabu kuhusu zanzibar,cha msingi rejesheni tanganyika yenu
@salma0000
@salma0000 2 ай бұрын
Tatizo lenu watanganyika ni kuwa hamjui historia wala kinachoendelea, nyie mnaabudu pombe na kiti moto tu, ngono na ngoma ndio maana unaandika ujinga.
@mohdsaid8744
@mohdsaid8744 2 ай бұрын
Maneno ya kweli kabisa
@user-ss8iu3mx4q
@user-ss8iu3mx4q 2 ай бұрын
Kwa Nini hawa wazaliwa Wana wasemea watu na hawa waliosemwa wazanzibara walianzishwa kwa makosa muungano wapo wanawazazi wanajuwa wasiojuwa wazaz awasemee pia waasisi mmoja alisema moja hatujasikia aseme ajuavyo amani muhimu sana mipaka mipaka walipewa waizraeli tu duniani
@hamilsaleh-zo3hp
@hamilsaleh-zo3hp 2 ай бұрын
Umeongea, na maneno yako ni mazima sana
@natafutamatatizo4382
@natafutamatatizo4382 3 ай бұрын
WATANGANYIKA NI VICHWA MCHUNGWA, YAANI HAWAJIELEWI KAMA MISUKULE🤣🤣🤣👀
@ibrahimmaulid2704
@ibrahimmaulid2704 3 ай бұрын
Shangazi Fatuma au bi Feety punguza makeke bby😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😮😮😮😮😮😮😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤❤
@edwardmwandu3564
@edwardmwandu3564 3 ай бұрын
Hoja yake ni KWAMBA sisi watanganyika hatujitambui halafu wao wazanzibar wanajitambua... Kama ni Moja ya part ya Tz kwanini muuze ardhi yetu ya Tanganyika. Kiukweli Bora huu muungano uvunjike tu
@afropanorama4730
@afropanorama4730 3 ай бұрын
nani kauza ardhi ya tanganyika?
@salma0000
@salma0000 2 ай бұрын
Tatizo nyie watanganyika mnajifanya mna akili sana mnajua zaidi kumbe hamna kitu.
@mohdsaid8744
@mohdsaid8744 2 ай бұрын
Unazungumza uzuri kabisa dada
@fahadomar5809
@fahadomar5809 2 ай бұрын
Weye ndio dada na ni dada mzalendo wa Zanzibar na unajua historia ya Zanzibar Alafu sisi wazanzibari hatutaki muungano unatubana bora uvunjike na tuwe majirani wema
@dicksondkaganga1290
@dicksondkaganga1290 3 ай бұрын
Mkianza ubaguzi unaweza kukuta Mzee KARUME alikuwa MNYASA! Mimi ngoja nipite tu kwangu mimi uvunjike usivunjike sioni TOFAUTI!
@unclepumpuu5920
@unclepumpuu5920 3 ай бұрын
Hikma unazaliwa nayo. Shes correct 100% wengine ni roho mbaya na wabaguzi.lissu hafai anachochea watu wasio kuwa na uelewa wa juu
@LazaroELucas
@LazaroELucas 2 ай бұрын
Mimi sioni umuhimu wa muungano ila kama kunamtu anaujua umuhimu basi naomba hayo madini maana mm ninachokiona niujanja ujanja .
@bethkonga7944
@bethkonga7944 3 ай бұрын
Inafikilisha kuona wa zanzibar wanaanza kutetea mpaka haki za watanganyika kwamba eti wadai tanganyika yao kumbe watanganyika walishatambua tanganyika ni jina la kikolon bali tanzania ni ni zao la mawazo yetu tukiwa hulu afrika tuvunje mipaka ya ukoloni tutaendelea
@user-pm7yo3xi3h
@user-pm7yo3xi3h 3 ай бұрын
Muongo jina la Tanganyika si la kikoloni ni jina lenu limetungwa na wanapigania uhuru wa nchi yenu. Mjerumani aliita nchi yenu German East African Company. Company.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 3 ай бұрын
Hayo si mawazo ya wananchi kwa vile zaidi ya asili mia 99 ya wananchi hawakupewa fursa ya kujieleza juu ya muungano wala hawakuwa na habari ya muungano
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 3 ай бұрын
Mimi nadhani kwa Sasa basi tunaweza kuuungana na Nchi nyengine kama Morocco 🇲🇦 au Somalia 🇸🇴 ndio nchi Zito mingi za kuungana. 🤣🤣🤣🤣
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 ай бұрын
Hamfahamu lugha ya Kiswahili mpaka leo miaka 60 hamjuwi mko wapi Kwenye Muungano 😂😂😂 mnataka wa Morocco na Somali wasofahamu lugha yenu😂😂😂 heeee lakini waarabu watajuwa kufanya Muungano wa haki.
@bethkonga7944
@bethkonga7944 3 ай бұрын
Basi uvunjike tu
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 3 ай бұрын
Huwezi kujitambulisha kama mtanganyika bila uwepo wa serikali ya Tanganyika. Kizazi baada ya muungano hawawezi ku appreciate jina Tanganyika vinginevyo ianzishwe serikali ya Tanganyika.
@hashimsalum7025
@hashimsalum7025 3 ай бұрын
Selikari tatu ndiyo suluhisho kila nchi itamkwe kwa utaifa wake, hakuna hasie hitaji utaifa wake tu, kama zanzibar ni nchi yenye mamlaka yake, basi tunataka tangangika yenye mamlaka yake, kisha iwepo tanzania yenye mamlaka pande zote na iliishapendekezwa kwenye muundo wa katiba mpya tatizo liko wapi?, zimeundwa tume mara mbili zikiongzwa na watu makini kabisa, na mapendekezo yakatolewa kwanini hayatekelezwi, suruhisho ni katiba mpya tu, tunakwama wapi? Tuache porojo tuunde katiba mpya iliyopendekezwa basi.
@profs.a5412
@profs.a5412 3 ай бұрын
Hivi mnaonaje wazanzibar na watanganyika tuungane pamoja tushinikize haka kamjumuiko kavunjweee?? Maaana mi nikiangalia wanao taka haka kamjumuiko ni wachache saana , raia wenge wa Tanganyika hawakataki haka kamjumuiko!!😂 Ila wale wachumia matumbo wanaofaidi wanalazimisha haka kamjumuiko kaendelee kuwepo . Oya wazanzibar tuungane basi kuvunja haka kamjumuikoo😂
@wajuba9323
@wajuba9323 2 ай бұрын
Hapo kaona kama kaongea vya maana kumbe mavi mavi tu
@KhamisiSalimu
@KhamisiSalimu 3 ай бұрын
Sisi wazanzibar hatutak mungano kila mtu kwao ,
@d15355
@d15355 3 ай бұрын
sema mimi mpemba sitaki muungano halafu rudi kwenu chake chake hapa kwetu hatukutaki sio kwenu hapa unguja
@mshiraziahmad9633
@mshiraziahmad9633 3 ай бұрын
Kila mmoja akiwa na serekali yake ndio ushavunjika huoo😂😂
@d15355
@d15355 3 ай бұрын
@@mshiraziahmad9633 wana hila hawa wapemba wameuandama muungano sababu wameona ndio kitu pekee kinachowazuia wastawale wao, muungano ukivunjika maana yake ukija uchaguzi wakishindwa kihalali hawatakubali watafanya mapinduzi na sababu kutakuwa hakuna jeshi la JWTZ kuwazuia watafaulu tu,elewa kuwa wamefanikiwa kupenyeza watu kila pahala nchi lengo lao kuu ni kuuwa muungano tu.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
​@@d15355tena🥱
@Grataaaaa
@Grataaaaa 3 ай бұрын
Una​@@d15355 wew vp pimbi last ccm inakuuma
@salmaabdu5011
@salmaabdu5011 3 ай бұрын
Wazanzibari tunashindwa kufahamu kwanini watanganyika hawaitaki tanganyika yao wamengangania Tanzania na kuukana utanganyika , Wazanzibari wazawa hatuutaki hata kuusikia mungano ukiona mzanzibari anataka muungano huyo ni mhamiaji huo ndio ukweli
@d15355
@d15355 3 ай бұрын
waunguja hapa tunautaka we mzawa lakini asili yako pemba muungano huu ukivunjika tunafuata kuvunja kati yetu sisi wa unguja na nyie mrudi kwenu pemba hatuwataki
@Awatee
@Awatee 3 ай бұрын
​@@d15355unagombania ardhi wakati ukifa ata sehemu ya kuzikwa ni ndogo
@nobody07241
@nobody07241 3 ай бұрын
​@@d15355muunguja wa wapi wewe? Zanzibar kwa pamoja hatutaki muungano. Sijui kama si mbongo wewe unajidai uzanzibar .
@FahadAbubakari
@FahadAbubakari 3 ай бұрын
Ni kweli kabisa tuwe wakweli hakuna upendo wa dhati Kati ya wapemba na waunguja , wazanzibar wakiunguja na wazanzibar Wikipemba kila mmoja anamtazama mwenziwe kwa Macho ya kiaina ila tunapowakataa watanganyika ndo hujifanya tupo wa moja ila ki haki lillah ukweli twaujua, vijana wakipemba hukatazwa kuoa waunguja na waunguja hukatwaza kuoana na wapemba ila ikija kisiasa twasema sie waunguja kila mzanzibar kwa nafsi yake nje ya siasa anajua hilo, mtu ka huyu Fatma karume tuongee kilillah wapemba wangapi humuona si katika wanawake wakizanzibar Hana silka wala madhehebi yakiislam , tuwe wakweli sawa watanganyika yawezekana hatuwataki ila baina ya mpemba na muunguja tunapendana kidhati au twawa wamoja inapotokea kuwapinga watanganyika.
@d15355
@d15355 3 ай бұрын
@@FahadAbubakari hiyo ni kweli hatupendani na mtego wao binafsi nimeshaujua we ukiona adui yako anakusisitizia kitu usizani anakupenda hivyo,jua anakupeleka uingie kwenye 18 zake akumalize,hawa wapemba walikuja na kila hila ya kwanza waliambiana wazae sana ili watuzidi wingi waunguja,baada ya kuzidi wakaona bado kinachowazuia wasitawale ni muungano endapo utaondoka watashinda kwa kula kutokana a wingi na wasiposhinda watapindua sababu jeshi la JWTZ halitakuwepo watachukua tu nchi kama kanali bakar wa anjuan kirahisi sababu kwenye vikosi vyote wapo wamejipenyeza hatutawaweza, na wakishaanza kutawala itakuwa ni zamu yetu sisi kulia wapemba wanatutawla na watuambia nyie mlitutawala miaka mingapi? 60? wacha na sisi tutawale hadi ifike hiyo 60, itakuwa imekula kwetu
@bethkonga7944
@bethkonga7944 3 ай бұрын
Kama ni mbinafsi hata upewe dunianzima utaona haitoshi utataka na pepo yote upewe ww ndio chanzo cha uasi
@maranduleshira3727
@maranduleshira3727 3 ай бұрын
Kufanyike referendum. Kura ya maoni wananchi waamue wanachotaka. Kama upande mmoja ukasema hawataki muungano basi naiwe hivyo.
@Expedito2512
@Expedito2512 3 ай бұрын
Referundum gani tena zaidi ya rasmu ya Warioba?
@user-xl4io3or7r
@user-xl4io3or7r 3 ай бұрын
Watanganyika hawawezi kujiita watanganyika kwa sababu serikali ya Tanganyika haipo. Kila taifa hujitambulisha kwa serikali yao.
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 3 ай бұрын
Tanganyika ni nchi yao ilaa iloo jina Lao wenyewe hawalitaki basi wajiite wanyasa mana hawawez kujiita Watanzania maana hiloo ni koti la Munganoo nje ya Mungano hakuna Tanzania..Mimi Mzanzibar nipo ndani ya Tanzania na Watanganyika Nyie Ni watanganyika Mupo ndani Ya Tanzania
@husseinmilao5789
@husseinmilao5789 3 ай бұрын
Well say, lakini je uliwahi kumshauri baba ako ambe alikua anauwezo wa kutekeleza hayo mawazo yako, mana kama kosa basi alifanya babu Yako, in away your dad was supposed to clean up that mess which was created by you grandpa. Therefore, it's 'better to zip up on union matters, bcoz you a part of it so must take a full punch on your face.
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 3 ай бұрын
Jambo lakujitambuwa halihitaji karume ni nyny wenyew
@user-qe9ot4kl9u
@user-qe9ot4kl9u 3 ай бұрын
Unajikuta msomi kumkosoa mtu kwa makosa ya wazazi wake 😂😂 acha uboya
@chris_jabari
@chris_jabari 3 ай бұрын
Kwahio Tanzania si nchi bali ni Muungano si ndo manaake? Kwamba hakuna nchi duniani inayoitwa Tanzania?
@user-rv3pw3cz5z
@user-rv3pw3cz5z 3 ай бұрын
Niko dar ila naomba nambazake
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 3 ай бұрын
Ila sasa huo uzanzibar usaidie muondokane na ufukara sasa,sio muishie kujisifu kuwa sie wazanzibar
@idontknowwhoami3066
@idontknowwhoami3066 3 ай бұрын
Wazanzibar wote wasenge tu, hatuwataki
@dondallas6683
@dondallas6683 3 ай бұрын
Usiseme ivo Don't Punic
@fakijecha
@fakijecha 3 ай бұрын
Usisahau msenge ndo anae kuwongozeni
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 3 ай бұрын
Hhhhhhhhh bro Acha matusi mungu hapendi
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 3 ай бұрын
Na bado,subiri 2025
@user-qv3rf9mc7g
@user-qv3rf9mc7g 3 ай бұрын
Kumbe msenge mtamu ndo mana mna mng'an'gania hamjielewi mkiitwa watanga nyika mna kasirika
@driquesmariques9794
@driquesmariques9794 3 ай бұрын
Muungano ni mzigo, hauna maana yeyote
@bethkonga7944
@bethkonga7944 3 ай бұрын
Tatizo kubwa la africa ni ubinafsi tunamsifia nyelele hatuyaishi ya nyelele nyelele alikua hana mipaka kwenye akiliyake alikua na ubinadamu
@victaboy7273
@victaboy7273 3 ай бұрын
Wazanzibar wanaogopa umeme utazimika kwao
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 3 ай бұрын
Kwan munatoa bure umeme 😄
@victaboy7273
@victaboy7273 3 ай бұрын
@@OmerSuley-gl7go kumbe hujui.
@graciousmedia8235
@graciousmedia8235 3 ай бұрын
Watauziwa
@Keyjop
@Keyjop 3 ай бұрын
Ubinafsi tu wenzetu bora watawaliwe na mwarabu na wasipewe chochte ila sio kuungana na watanganyika
@Idoman493
@Idoman493 3 ай бұрын
Sisi Sio wenzenu wezio ni Watanganyika 😂😂😂
@mohamedmasoud8956
@mohamedmasoud8956 3 ай бұрын
Ila wasitawaliwe na watanganyika
@yunusmsofe8957
@yunusmsofe8957 3 ай бұрын
Imefika hatua huu muungano uvunjwe kila mtu abaki kwake!!! Kwa kawaida huu muungano watanganyika hatufaidi chochote kutoka zanzibar ila tuna fear factor za kijinga ambazo ni za kiusalama
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 3 ай бұрын
Mi natafuta fursa za kimaendeleo bana! Mungano hata haunishuhulishi, na km Mtu Hutaki mungano si Utulie kwenu! Penye asili Yako! Mungano waachie Serikali
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 3 ай бұрын
Kinacho wasumbuwa ni ubinafsi WA utawala lakini umoja huwa unanguvu mkiwa peke yenu mtaoigwa kama mbwa Koko mpo malioni moja
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 3 ай бұрын
Watanganyika hamjitambui TU ila siwalaumunmana ndivyo mulivyo aminishwa kuwa nyny ni watazania
@nouraynaasheikhunkabir3749
@nouraynaasheikhunkabir3749 3 ай бұрын
Qatar wapo Milion Moja na wako pekeyao na wanaishi vizuri tyuu 😂😂😂
@jakuvuai1428
@jakuvuai1428 3 ай бұрын
Ni hiyo milion moja nyie mpo laki 2 jumla yetu sisi ni laki 8 tu
@d15355
@d15355 3 ай бұрын
@@jakuvuai1428 rudi kwenu wete wewe hatukutaki huku usitusemee semea nafsi yako
@nouraynaasheikhunkabir3749
@nouraynaasheikhunkabir3749 3 ай бұрын
@@jakuvuai1428 Hahaha 🤣🤣 akili yako ndio unapofikisha hapo ?? Kwahiyo uko kazuramimba upo ukahesabiwa wewe na familia yako kuwa wazanzibar??🤣🤣🤣
@eliassabbath2480
@eliassabbath2480 3 ай бұрын
Haya bas niwaombe nyie wanzanzibar tuungane tuvunjee aka kamuingano hata sisi watanganyika hatukataki
@mariamjamali1444
@mariamjamali1444 2 ай бұрын
Muungano una tugawa nyie wazanzibar mna nchi yenu na watanganyika pia tunataka tanganyika yetu! Serikali yetu na mamlaka yetu kamili!
@cineplus-tv255
@cineplus-tv255 3 ай бұрын
asilimia 70 tumezaliwa Ndani ya Tanzania
@mussakhamis5201
@mussakhamis5201 3 ай бұрын
Huwezi Kua mtanzania km hujatokea kwny moja kati ya hizi Tanganyika Zanzibar Sasa km ww umezaliwa na Tanzania sw ila ss tunatambulika km wazanzibar
@cineplus-tv255
@cineplus-tv255 3 ай бұрын
@@mussakhamis5201 ​ @mussakhamis5201 we ndio hujielewi unaishi kwa kivuli dunia inakua kijiji we unakaa una jikumbatia mwenyewe ushamba na umasikini wa akili
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Kwanini muungano uvunjike ila kufanyike marekebisho tu wafuate Kstiba ya Warioba tuondoe mzozo
@abdulmagido5444
@abdulmagido5444 3 ай бұрын
Dada Fatma usemi kweli wewe uhutaki na wengi wazanzibar hawataki muungano kabisa ili mradi sote atujielewi tumeungana kwa sababu gani? Mambo mengi ya msingi yanayowafanya jamii kuungana wazanzibar hata moja hakuna mnalolitaka na sisi watanganyika we are easy people huwa atuujadili muungano. Huu muungano upo prolonged due to external power could be kanisa or anything else na hauwezi kuvunjika huu muungano you zanzibarian your to conservative that why hakuna mzanzibar anayejitambulisha kama ni mtanzania hakuna anayejuwa faida za muungano
@Mr.carsluxury
@Mr.carsluxury 3 ай бұрын
Have u ever ask urself that y Zanzibar has their own government but Tanganyika has no government but there is government of Tanzania the truth is Zanzibar has no power to do things on their own ur dependency u depend everything from Tanzania such as military and etc ata president of Zanzibar Tanganyika ndio tunaamua uyo president wa Zanzibar ajakulia uko Zanzibar marehemu Mzee mwinyi asili yake ni mkuranga
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 3 ай бұрын
Yeah we know this why you have to find your country
@d15355
@d15355 3 ай бұрын
@@user-gd2xj3xd1b your country is called WETE know that plz
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 3 ай бұрын
Watanganyika hawajitambui. Hawajui historia wala hawana uzalendo na uchungu na nchi yao. Ndiyo maana wazanzibari milioni 1 wanawatawala watanganyika mpaka kwenye level ya wilaya ambayo siyo sehemu ya mambo ya muungano.
@cineplus-tv255
@cineplus-tv255 3 ай бұрын
mimi sina mpango na tanganyika mimi ni mtanzania
@mussakhamis5201
@mussakhamis5201 3 ай бұрын
Hujielewi ww
@cineplus-tv255
@cineplus-tv255 3 ай бұрын
​ @mussakhamis5201 we ndio hujielewi kaa unaishi kwa kivuli endelea kuishi dunia inakua kijiji we unakaa una jikumbatia mwenyewe ushamba na umasikini wa akili
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
​@@cineplus-tv255😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 nimeipenda hiyo 😅😅😅😅😅😅
@adnanjanuzaj3630
@adnanjanuzaj3630 2 ай бұрын
Nilikuchukia b4 but now unanipa raha zinazonizidi
@samsonkatigiri2344
@samsonkatigiri2344 3 ай бұрын
Wazenji mnajichanganya sana,kwa kuifanya zanzibar kuwa nchi,siku watanganyika wakiamua kuidai Tanganyika yao kama mnavyotaka mtajuta,zitakuwa nchi mbili maana yake kuja Tanganyika mtatumia passport,mambo ya kumiliki Aridh Tanganyika itakuwa mwisho,mkumbuke nchi yenu ni ndogo,hayo mafuta yaliyowafanya mbadilishe katiba na kuitambua zanzibar kama nchi,mjue magari ya solar na umeme yanakuja kwa kasi,mnazaana,baada ya miaka 200 ijayo mtakosa pa kukaa,eneo litakuwa dogo,tabia nchi inaongeza maji baharini eneo linazidi kupungua,sasa nawashauri .mapema kubalini serikali moja ambayo kila mwana nchi atakuwa na haki sawa baada ya miaka 50,tukiwa nchi moja hatajulikana mtanganyika wala mzanzibar wote tutakuwa watanzania,na hiyo itakuwa bora kwenu.
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 2 ай бұрын
Lini utataka utanganyika WAKO sisi watanganyika tunalala
@user-bl4vy5bo4f
@user-bl4vy5bo4f 3 ай бұрын
Laanatullah fatma karume
@d15355
@d15355 3 ай бұрын
laana babako kwanza
@user-bl4vy5bo4f
@user-bl4vy5bo4f 3 ай бұрын
@@d15355 we tunakujua so mzanzibar na ndio man huna uchungu na uchafu unaokuj kufanywa Zanzibar na watanganyiak na ndio man unawakingia kifua
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 3 ай бұрын
Hunauwezo wakumlaani laana mwenyejutoa ni mungu tu
@user-bl4vy5bo4f
@user-bl4vy5bo4f 3 ай бұрын
@@user-gd2xj3xd1b umesoma ukaona anaetoa laana ni mungu? Lete dalili
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 3 ай бұрын
Vp teena tunaalaaniana
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 3 ай бұрын
WATU WENYE AKILI TIMAMU ,IWE NI WAZANZIBAR AU WATANGANYIKA HAWASHUGHULISHWI NA HAYA MAMBO YA MUUNGANO ,WANAOSUMBULIWA NA UTANGANYIKA NA UZANZIBAR NI WATU WANATAMAA NA MADARAKA ,USITUGIMBANISHE KWA TAMAA ZENUUU
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 3 ай бұрын
Wewe huna uzalendooo
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 2 ай бұрын
ETI Mimi mtz WAKATI uliyeungana nae hakutaki tunalazimisha muungano
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 3 ай бұрын
Tutapambania muungano mpaka mwisho acheni ujinga wa kugombanisha WaTz
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 3 ай бұрын
Utapambana na nafsi yako kwanzaa
@severinkinunda5269
@severinkinunda5269 3 ай бұрын
Zanzibar siyo nchi. Rejea Montevideo Convention on the Right and Duty of State.
@joctanmtambi895
@joctanmtambi895 3 ай бұрын
Acheni habari ya uzanzibar na utanganyika wote ni watanzania na tuwe na rais mmoja tu
@alihaji215
@alihaji215 3 ай бұрын
Mfumo uwe tunautaka wazanzibar
@user-gd2xj3xd1b
@user-gd2xj3xd1b 3 ай бұрын
Uzanzibari wetu ni muhimu sana kuliko utanzania (muungano)
@d15355
@d15355 3 ай бұрын
@@user-gd2xj3xd1b sema upemba wetu ni muhimu kuliko muungano usitusemee sote halafu pemba ni pemba ujue sio zanzibar
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 3 ай бұрын
Na wewe acha kuwa bin adam Kuwa mnyama. Wazanzibari hawataki chama cha bara ccm.
@hamilsaleh-zo3hp
@hamilsaleh-zo3hp 2 ай бұрын
Umeonga, na maneno yako ni mazima sana
@d15355
@d15355 3 ай бұрын
MUUNGANO HUU UKIFA WAPEMBA wote na chama chenu cha ACT hatuwataki nanyinyi muondoke mrudi kwenu mkafanye siasa huko hapa hatuwataki sababu nyie na sisi hatujaungana mmejileta tu huku.
@nouraynaasheikhunkabir3749
@nouraynaasheikhunkabir3749 3 ай бұрын
Tatizo lenu wengi munahisi wazanzibar kuja bara na wabara kuja Zanzibar kumeanza baada ya Muungano , Rudi mukasome muache mihemko, watu kabla ya Muungano wanaishi na kufanya biashara za kwenda na kurudi
@d15355
@d15355 3 ай бұрын
@@nouraynaasheikhunkabir3749 kasome wewe muungano ukifa na nyinyi mrudi kwenu pemba hapa unguja ndio zanzibar pemba sio ni umasikini tu uliowakimbiza kwenu kuja huku sisi na nyie hatujaungana mujiandae ukivunjika huu muungano hamna chenu rudini kwenu WETE
@nouraynaasheikhunkabir3749
@nouraynaasheikhunkabir3749 3 ай бұрын
@@d15355 basi apo ndio unajiona umekomet jambo la maana kabisa eee🤣🤣🤣, acha makasiriko pambana na njaa yako, ulivokua na umasikini na njaa unahisi kwamba wakirudi kwao hizo nyumba na maduka utamiliki wewe ?? 😂😂😂Yaani huna kazi Wala pakukaa unatishia ukivunjika murudi kwenu , Upate kugombania maduka na nyumba zao ??
@d15355
@d15355 3 ай бұрын
@@nouraynaasheikhunkabir3749 sio kwao hapa wana kwao walipanda boti wakaja huku,wao na sisi katu hatuivi chungu moja,muungano ukivunjika watataka watutawale wao sio sisi tutawale na kitu ambacho hatutakubali kutawaliwa na wao,muungano ndio unaofanya sisi na wao vita visizuke tukibaki wenyewe hapa nchi haikaliki kwa vurugu bora wakazifanyie kwao WETE hizo vurugu sio hapa
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 3 ай бұрын
@@nouraynaasheikhunkabir3749kweli hawa viumbe wana ubinafsi wa hali ya juu 😅😅😅😅😅
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 3 ай бұрын
Zanzibar imebaki kama symbol tu kwenye muungano na tanganyika ilishakufa Taifa ni moja linaitwa Tanzania,,,na hivyo ni visiwa viko chini ysa Tanzania,,maana visiwa vya unguja na pemba sio Nchi tena kamili,,,pigeni kelele sana mbona habari ndio hiyo......
@mussakhamis5201
@mussakhamis5201 3 ай бұрын
Unajidanganya na acha kuongea icho kitu Siku wazanzibar watakaposema wamechoka na muungano ntakuja kujuta watanganyika cz zanzibar kbl ya uhuru ilikua ni nchi tena inayotambulika km nchi Ss nyie jichanganyeni muone km tanganyika itasimama
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 2 ай бұрын
Ww Huna nchi ukiulizwa nchi yako ni ipi unasema muungano asili yako huitaki
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 2 ай бұрын
@@FeisalDoctor-wr8ws Nchi yangu ni Tanzania na Asili ni Muafrika
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 2 ай бұрын
@@ambokileasheengai1140 kumb ata nchi yako huijui tanzania hio ni jamhuri ya muungano ww nchi yako huijui mfano muungano ukivunjika utasema nchi yako ni ipi.
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 2 ай бұрын
@@FeisalDoctor-wr8ws si mpeleke hoja bungeni na muache unafiki kama hamtaki ndoa,,,,,,ya kudumu hiyo hamtoki
SIJARUDISHIWA LESENI | FATMA KARUME | KUHUSU FAMILIA
11:47
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 33 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 14 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 9 МЛН
Mazungumzo ya Fatma Karume na Zuhura Yunus wa BBC
28:44
Salim Kikeke
Рет қаралды 62 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 380 М.
KUHUSU KATIBA KABUDI AFUNGUKA MBELE YA LIPUMBA KUVUNJA KATIBA NI NENO ZITO
13:46
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 10 МЛН