FATWA | Nini hukmu ya Mtu aliyefanya Zinaa ndani ya Mwezi wa Ramadhan?

  Рет қаралды 41,727

FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV

FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV

3 жыл бұрын

#FATWA

Пікірлер: 56
@labuni7329
@labuni7329 2 жыл бұрын
Allah atunusuru na dhambi ya uzinifu... na awape mashekhe wetu moyo wa kuzidi kutoa elimu... aameen
@najimseven1230
@najimseven1230 2 жыл бұрын
Ameen
@hodhoj609
@hodhoj609 2 жыл бұрын
Mashaalwah napenda sana dini yangu ya kiislamu ni dini ya ukweli na yenye miongozo mizuri
@nadiromar8679
@nadiromar8679 2 жыл бұрын
Mtihan cn Allah atusame makosa yetu
@sumayyahally866
@sumayyahally866 2 жыл бұрын
Subhannallah Allah atunusulu kwa zinaa siku zote za maisha yetu lnshaallah
@yasinkasimu1621
@yasinkasimu1621 2 жыл бұрын
Aamin
@hamzahamisi5510
@hamzahamisi5510 2 жыл бұрын
Ameen tuma ameeen
@rashidmwaita5163
@rashidmwaita5163 2 жыл бұрын
Allah atunusuru na kila aina ya ma aswi
@azizamohammed7353
@azizamohammed7353 Жыл бұрын
Asalam alaikum warahmatullah wabarakat. Ikiwa ulikua kwa heidh.alafu ufanye romance mwezi wa ramadhani lakini mume asikuingie je ni vipi hivo.Allah atusamehe
@mwanaashasuleiman6346
@mwanaashasuleiman6346 2 жыл бұрын
Shukrani jazil
@user-bn7bo2ej4o
@user-bn7bo2ej4o 4 ай бұрын
Shukran ostaz
@allykeita704
@allykeita704 2 жыл бұрын
Ukweli nipo huku chuo nimeanguka dash nahisi hukum moyoni
@rashidissa6362
@rashidissa6362 2 жыл бұрын
Allah atuhifadhi inshaallah
@RamadhaniMshana-cv1hi
@RamadhaniMshana-cv1hi Жыл бұрын
Allah atujalie funga yenye kukubalika na atuongoze kwenye swiratal mustakim
@husnaothman6243
@husnaothman6243 Жыл бұрын
Napenda sana kuijuwa dini yangu ya kiislam❤
@fatmaali8838
@fatmaali8838 2 жыл бұрын
Jazakallh kheir
@paulshikashika192
@paulshikashika192 2 жыл бұрын
Shukran sana
@yusuphmashallah3732
@yusuphmashallah3732 3 жыл бұрын
Hakika nmejifunza vitu Ving alhamdullilah
@mustaphazubery9050
@mustaphazubery9050 2 жыл бұрын
Shukran sheh Allah atakulipa na atuepushe site🤲🤲🤲
@officialbirali9217
@officialbirali9217 2 жыл бұрын
Mwenyezimungu atusamehe
@ummubukharothmn2183
@ummubukharothmn2183 2 жыл бұрын
Allah atusamehe madhambi yetu
@mauasaid5581
@mauasaid5581 2 жыл бұрын
shukran utaz
@arebdyjorginho8154
@arebdyjorginho8154 3 жыл бұрын
Mashaallah
@abdallahhamadi8448
@abdallahhamadi8448 Жыл бұрын
As salaam alaykum warahmatullah wabarakaatuh
@ibrahimkhamis1820
@ibrahimkhamis1820 Жыл бұрын
جزاك الله خيرا شيخ 🍇🍏🍇
@troubleabhat2190
@troubleabhat2190 2 жыл бұрын
ALLAH ATUEPUSHE NA MITIHANI MIOVU ATUEPUSHE NA VISHAWISHI VYA IBLISS
@fathymahadam7513
@fathymahadam7513 2 жыл бұрын
Amin
@shurmymeer3287
@shurmymeer3287 2 жыл бұрын
Yaa Rabi🙏💔
@omanmct135
@omanmct135 10 ай бұрын
Aaalllah atu sameh atupemwisho mwwema
@minaziparasu9074
@minaziparasu9074 5 ай бұрын
Naam sheikh Batashi vp Nchi ikiwa inafuata sheria zakiislamu. Mzinifu kafanya uovu huo ndani ya Ramadhani nn hukumu yake.jee atapata nahukum yakupigiwa Bakora ama mawe kwamwenyendoa.Naomba ufafanuzi tafadhali
@FatmaHamad-nt8og
@FatmaHamad-nt8og 4 ай бұрын
Niko swali je katika mwezi mtukufu w ramadhani uko katika hedhi kisha usiku wake ukafanya zinaa y kujitoa manii kwa mkono pia dhambi lipo
@abubakaromar4867
@abubakaromar4867 2 жыл бұрын
A:allaikum, nina suali. NINI MAANA YA KUKURUBIA ZINAA. NA MFANO WAKE
@ijumpwimbwi1200
@ijumpwimbwi1200 2 жыл бұрын
Hairuhusiwi
@azizamohammed7353
@azizamohammed7353 Жыл бұрын
Asalam alaikum warahmatullah wabarakat. Na ikiwa ulikua kwa siku zako afu ukafanya romance lakini hakukuingia je hio ni vipi.Allah atusamehe
@hafsaramadaan9966
@hafsaramadaan9966 2 жыл бұрын
Yarab turuzuku nahaya makosa tunayoyajua na tusoyajua hakika yy ni mwing wa rehema
@hclever7731
@hclever7731 4 ай бұрын
😢😢😢
@aishadula21
@aishadula21 3 жыл бұрын
mashallah
@nguvuyafikramedia1202
@nguvuyafikramedia1202 2 жыл бұрын
May Allah protect us from fornication
@salimosolomon1005
@salimosolomon1005 3 жыл бұрын
Sijaowa ustazi
@eliagitumbe
@eliagitumbe 4 ай бұрын
Mm nina swali je kama hamja halalisha ndoa yenu na mkafunga swaum yenu inakubalika
@BashiraKwezi-in7hw
@BashiraKwezi-in7hw Жыл бұрын
Kwa hiyo unataka kuhalalisha vunja jungu
@fatmarashid3137
@fatmarashid3137 2 жыл бұрын
Je ikiwa ni mume anataka tendo mchana wa ramadhani nn hukmu yake?
@OmarMohamed-bp9ix
@OmarMohamed-bp9ix 2 жыл бұрын
Hukumu yake afunge miezi 2 mfululizo bila ya kuacha,,na Swaumu yake alipe,,,,
@haafidhaboubakary3097
@haafidhaboubakary3097 Жыл бұрын
Mchana imeharamishwa
@ishaqmchungu7876
@ishaqmchungu7876 2 жыл бұрын
shekh ikiwa mwanamke kaolewa pindi ana ujauzito ambao ni wa nje ina swihi au la? na hukumu yake ni ipi?
@masoulupapa5587
@masoulupapa5587 Жыл бұрын
Mm nn swal je hzo sku 60. Za kufunga n baada y ramadhani au sku30 za ramadhani n unafunga sku30 zngne nd znatimia 60
@haafidhaboubakary3097
@haafidhaboubakary3097 Жыл бұрын
Baada ya Ramadhan nd unafuatisha mfululizo Na Allah ndio mjuzi zaidi
@hams9896
@hams9896 2 жыл бұрын
As salam alaikum warahmatullah wabarakatuh, nina suali kuhusu wenye kufunga ndoa hali yakuwa na mimba alafu uka endelea una inchi na mwanamke ao mwanaume huyo pka mwezi wa ramadhan huku wakijuwa kuwa ndoa ina makosa wakawa wana fanya tendo la ndoa usiku. Je vipi swaum yao ????
@mudrikyoungcee770
@mudrikyoungcee770 2 жыл бұрын
Haram haizuii halali kufanyika...ikiwa wataoana kitakachofanyika ni halali kwa muda ulioruhucka kisheria
@hams9896
@hams9896 2 жыл бұрын
@@mudrikyoungcee770 kuoleka kwenyewe kuna makosa naamini ivo nauliza kuhusu swaum zao ziko aje???
@mudrikyoungcee770
@mudrikyoungcee770 2 жыл бұрын
@Hams me nikuulize hv ndoa na mimba iliyopo kip ni haram?
@mudrikyoungcee770
@mudrikyoungcee770 2 жыл бұрын
@@hams9896 et kuolewa na iyo mimba kip ni kharam?
@hams9896
@hams9896 2 жыл бұрын
@@mudrikyoungcee770 ninavyo juwa kisheria hakuna ndoa huku mwanamke ni mja mzito, ima ndoa yenyewe ni halal ku bebesha mimba kitendo ndo haram lkni mtoto atabaki kuwa safi yeye.
@IHSANTV574
@IHSANTV574 6 ай бұрын
V
FATWA|Jee inafaa mtu  kumuoa mwanamke aliezini nae? Na ipi hukmu ya ndoa baada ya kufumaniwa?
17:23
UKIANGALIA MIZIGO MWEZI WA RAMADHANI FUNGA YAKO INAENDA BURE
16:26
Wasafi Media
Рет қаралды 16 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 10 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 27 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 42 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
HIVI NDIVYO VITU 10 VINAVYO HARIBU SWAUMU YAKO SIKILIZA KWA MAKINI
9:39
SHUHADAA ONLINE TV
Рет қаралды 6 М.
FATWA | Je! Ipo Toba kwa Mtu aliyezini na Mke wa Mtu bila Mume wake kujua?
10:40
FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
Рет қаралды 4,8 М.
FATWA | MJAMZITO AMEFARIKI, JE ANAZIKWA NA MTOTO WAKE? | SHK. MOHAMMED AL-BUSAIDY
7:41
Masjid Al-Tawba Makorora Tanga
Рет қаралды 11 М.
FATWA | Nini hukmu ya kujitoa Manii kwa Mkono?
4:35
FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
Рет қаралды 8 М.
KUNA MAKUNGWI KAZIYAO MATUSI TU //SHEIKH NYUNDO
19:13
arkas online tv
Рет қаралды 114 М.
HAYA NI MAWAIDHA MAZITO SANA
33:36
Sheikh Muhammad Bahero
Рет қаралды 220 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 10 МЛН