Fix You: Unahisi unamjua vizuri mpenzi wako? Fikiria upya, subiri hadi ufunge ndoa! Fahamu haya

  Рет қаралды 7,936

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

9 ай бұрын

Tembelea www.sns.co.tz kwa habari nyingi zaidi
Subscribe kwenye channel yetu ya WhatsApp
whatsapp.com/channel/0029Va84...
Follow kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti
/ simulizinasauti

Пікірлер: 52
@dayana5513story
@dayana5513story 9 ай бұрын
Yani uyu dada yawezekana kazaliwa January maana mind yake iko full package👏👏👏
@homeandaway2811
@homeandaway2811 9 ай бұрын
Very nice talk, asanteni tunajifunza. Napenda sana wageni wako, kama huyu ni balaaa anajua halafu anajua tena. Mbarikiwe
@elieshistephen1534
@elieshistephen1534 7 ай бұрын
Hongereni Wadada. Mungu awabariki na kulinda ndoa zenu. Maswali na majibu yamejitosheleza.🔥🥰
@neemashayo1686
@neemashayo1686 9 ай бұрын
Ukiweza kuangalia hii interview mpaka mwisho na haujaondoka na kitu basi iko shida 😅. Ahsanteni dada zangu mmeupiga mwingi 🎉
@Sharifarajabudebe
@Sharifarajabudebe 9 ай бұрын
yan sijaimaliza nimejifunza mengi san
@tusekonga3030
@tusekonga3030 9 ай бұрын
Kabisaa❤❤
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 9 ай бұрын
Yeah
@binguihimedi
@binguihimedi 9 ай бұрын
Kabisa
@user-dx4qp7sg4w
@user-dx4qp7sg4w 8 ай бұрын
Madam mko vizuri.
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 9 ай бұрын
Nlichompendea uyu dada anamtanguliza Mungu ktk kila jambo lake.. nakupenda dada Sizya japo sikujui
@annethbeerbattle6395
@annethbeerbattle6395 9 ай бұрын
My sis sizya uko vizuri siku zote…Mungu akufikishe mbali zaidi….Am so proud of you
@nadiabernard6573
@nadiabernard6573 9 ай бұрын
Dk zilkua chache sanaa. It was nice having her
@Udindigwa
@Udindigwa 8 ай бұрын
Anaujumbe Bora Kabisa Amina
@ashaidd2912
@ashaidd2912 9 ай бұрын
Arudi tena japo nimechelewa kuangalia hongera irene
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 9 ай бұрын
Shukran dada nimejifunza kitu
@fadhilalukindo1659
@fadhilalukindo1659 8 ай бұрын
Nimejifunza sana hakika, mbarikiwe wadada wazuri
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 9 ай бұрын
Nkukubali Sana na nawakubali mno unaotuletea kweli wanatufix tulimobomoka amini muda unaokaa na kuyafanya haya mpaka kutuletea humu unafanya sadaka kubwa sana mmekuwa wakufunzi Wema kama tutakubali kufikisixka
@hopechidera
@hopechidera 9 ай бұрын
Welcome back Irene,usipotee sana tena jaman...
@irenekamugisha
@irenekamugisha 9 ай бұрын
😂😂😂 noted
@piliathumani3638
@piliathumani3638 9 ай бұрын
Najifunza mengi mno, tnx dada Irene
@sophiasophia9713
@sophiasophia9713 9 ай бұрын
Nimejifunza vingi, nashukuru sana
@dianatanganyika7602
@dianatanganyika7602 8 ай бұрын
Nimejifunza Vitu Vingi MUNGU awabarikiwee Sana Sana na Mnasaidia Sana Aswa Kweny Mambo Ya Ndoa jinsi y kuichukulia
@ashaidd2912
@ashaidd2912 9 ай бұрын
Irene tunajifunza mengi sana big up
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 9 ай бұрын
karibiya tena sns dada❤
@doreenkimbusu5100
@doreenkimbusu5100 8 ай бұрын
Dada irene nakupendaga the way you are
@irenekamugisha
@irenekamugisha 8 ай бұрын
Thank you darling❤
@OnlyRuky
@OnlyRuky 9 ай бұрын
Jamani mgeni akaribie tena please please kipindi kizuri mpk muda mdogoooo😊
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 9 ай бұрын
akaribiye tena sns
@Sharifarajabudebe
@Sharifarajabudebe 9 ай бұрын
Shukurn dada
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 9 ай бұрын
Hongereni wadogo zangu 👏👏👏👏
@isakariemanuel9524
@isakariemanuel9524 9 ай бұрын
❤ conversation All
@halimoabgal5039
@halimoabgal5039 9 ай бұрын
Hongera irene
@advocatekarama4917
@advocatekarama4917 9 ай бұрын
❤️❤️
@mariagwaje8976
@mariagwaje8976 9 ай бұрын
Nimependa sanaaaaa😅😅😅
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 9 ай бұрын
Cjui ulipotelea wapi dada Iren tulikumiss Sana we unaletaga majembe yaliyonolewa tayari Kwa kukata miti.
@irenekamugisha
@irenekamugisha 9 ай бұрын
Mbona nipoo😅
@officialcandleboy6923
@officialcandleboy6923 9 ай бұрын
Masha Allah haje tena siku nyingine
@mwajumabinwa604
@mwajumabinwa604 9 ай бұрын
Kweli
@officialcandleboy6923
@officialcandleboy6923 9 ай бұрын
Nime faidi sana kwenye hiki kipindi
@JosephinaJackson-ks9if
@JosephinaJackson-ks9if 8 ай бұрын
@dominabebwa4322
@dominabebwa4322 9 ай бұрын
🔥🔥
@mukasabernard1996
@mukasabernard1996 9 ай бұрын
Mmmmh! Kungwi
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 9 ай бұрын
Heeee huyu dada anaongea mazr
@nsazabahizirehema7897
@nsazabahizirehema7897 9 ай бұрын
Yani na not nime chukuwa kbs asante kwa somo hili Irene arudi atufuze kwa kweli tuna kitu tuna ki hitaji kwake Allah Awalipe kila lakheri
@ramagwama
@ramagwama 9 ай бұрын
Kiukwli kila mwnamke afate Ii njia ya apa Pana kitu atajifunza
@neemamgeni5758
@neemamgeni5758 7 ай бұрын
Dada nimejifunza sana kwako ,karibu tena
@AminaAhmed-gb8oy
@AminaAhmed-gb8oy 9 ай бұрын
Yes saana
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 9 ай бұрын
Asanteni sana na hongera umependeza nywele zako ❤
@irenekamugisha
@irenekamugisha 9 ай бұрын
Ahsante sana
@cresenciahonesty6728
@cresenciahonesty6728 9 ай бұрын
Tunajifunza
@lilasuliman552
@lilasuliman552 9 ай бұрын
Mrudishe
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 3,4 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 65 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 205 МЛН
MITIMINGI # 982 USILAZIMISHE UPENDO MAHALI AMBAPO HAUPENDEKI
11:15
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 41 М.
PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
31:59
Jojo: Biashara ya mazao na chakula huwa haimuangushi mtu
18:49
Dina Marios tv
Рет қаралды 11 М.
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 3,4 МЛН