Рет қаралды 3,210
Mahitaji
Mdalasini
Tangawizi
Swaumu
Karafuu
Bay leaf
Uzile
Pilipili manga
Chumvi
Mbegu za giligilani
Kidonge cha supu
🔼🔼vyote kijiko cha chai kasoro uzile ni kijiko cha chakula
Vtunguu viwili vikubwa
Viazi vitatu
Mchele nusu
Nyama nusu
Supu ya nyama litre moja
#pulao#pilaurice#pilao