Hello !! Amjambo Naitwa Founder Tz naweletea official video ya NITATOKAJE naitaji sapoti yenu ya kuniwesha hili nifike usisahau #SUBSCRIBE #LIKE #COMMENT #SHARE Artist : Founder Tz Song : Nitatokaje Producer : Spadebeatz
Пікірлер: 7 300
@FounderTz11 ай бұрын
Shukrani sana kwenu maana sina cha kuwalipa 🙏🙏🙏🙏
@alfayotumaini11 ай бұрын
Dogo uko fiti sana kila la kheri katika safari yako ya mziki usikate tamaa dogo
@muhugokandiga575711 ай бұрын
Pambana mdogo wangu tumeshaona kipaji unacho Huwa napost mpaka Whatsapp kazi zako mfano Ile ya mnisapoti kusaport tu japo sikujui
@TITOtz11 ай бұрын
Dogo inakuwaje trending haupo una 103k for 1day na ommy dimpoz ana 73k for 1 day yupo trending how? Jitahidi uijaze account yako ya youtube yaani founder tz ni nani zaidi kama jina lako la kiserikal kama Diamond platinumz alivyo jaza na mitandao mingine uliyonayo kama Spotify etc.
@ElizaZaina11 ай бұрын
@@TITOtzcomment mzuri sana iyo nikweli kabisa kama hajawa basata ajitaidi sana kwasababu upanda wa views Yuko powa sana
@microstrategyliveser11 ай бұрын
Lets go hit song
@skmwenyewe0711 ай бұрын
Team gulf wenye tumekuja ku support huyu Dogo juu ana kipaji piteni na likes jameni🇰🇪🇶🇦
@DanielmashaGona11 ай бұрын
Ausio 🎉
@janemzenge711911 ай бұрын
Tuko hapa❤❤❤
@salmaalimusa680911 ай бұрын
Tumooooooo
@jayclassicke816311 ай бұрын
Kijana yuko vizuri
@flinchclassic153111 ай бұрын
Dogo anajua mpka anakera
@MsMarry20234 ай бұрын
Kama huna mkubali huyu dogo kwa mziki wake weka like
@JOAKIMKIFARU22 күн бұрын
haha 😂😂
@ESTHERMUTHONI123410 ай бұрын
Simba plus konde boy pamoja,,,much love from Kenya,,, congrats younger BT talented,, keep it up 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@rashidimkechi419411 ай бұрын
Kama unamkubali founder naomba likes yako pleas 🙌🙌 mungu akubariki sana mdogo wangu tupo nyuma yako
@majaliwaramadhan11 ай бұрын
Sisi wengine tuna hangalia kazi za ma director sio mpaka wasanii tu 😁😁
@rashidimkechi419411 ай бұрын
@@majaliwaramadhan Kojoa ulale
@gabrielkipamba474010 ай бұрын
Umeshatoka mdogo wangu Mungu akulinde uliko good job
@alhamdullilla510810 ай бұрын
Mashaallah namkubali dogoooo Mashaallah
@HawaTito-bl9sd8 ай бұрын
Nakubali dogo
@Jofuboy11 ай бұрын
Nimewahi sana tupite na like kwa mdogo wetu founder tz ili twend sawa❤❤❤❤
@user-ue8rz3om4hАй бұрын
UNYAMA ni Mwingi Dogo ..jipe kwa mola utatoka Dogo inshallah 🙏🙏big love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kenya
@user-bx5vb6ev4hАй бұрын
From Zambia for the first time to hear the song of this young boy congratulations 💐💐💐🎉🎉🎉🎉🎉
@user-bx5vb6ev4hАй бұрын
Thank God ❤🎉❤❤🎉
@husnaarafat272511 ай бұрын
Walio msuppoort mdogo wetu Mungu awabariki sana, much love from Kenya 🇰🇪
@hydratz975011 ай бұрын
Wakati wasanii wengine wanahangaika na Amapiano, Dogo katuletea bongofleva Safi kabisa, embu tumsapoti🔥🔥🔥🔥
@DavidMido11 ай бұрын
Kweli kabisss
@epafrapaulo713711 ай бұрын
Akitoboa anaanza kuhangaika na amapiano😂😂😂
@ramadhankijana944211 ай бұрын
Yaani dah kweli kabisa
@Kalssambabo-gv6uh11 ай бұрын
@@epafrapaulo7137😅😅😅
@DanielNoel-ck5mj11 ай бұрын
Mungu amsaidie
@catherinemukami419010 ай бұрын
Mtoto yuko vizuri sanaa Mungu akusaidia umeshatoka tayari
@EmmanuelKishiwa3 ай бұрын
Mdgo angu nipo pamoja nawe usisite kuwa mpambanaji utafika mbali sana kusema kweli MUNGU awe nawe kila SIKU na azidi kukupaisha see you at the top 🎉🎉🎉
@laurentwilson-db4ir11 ай бұрын
Songs Kally sana kama unakubali gonga like apa ✊🙄😒❤❤❤❤
@KravitzKenya11 ай бұрын
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ikishaitikia brother count yourself a celebrity already.guys let's support this massive talent 💥🏆
@TeresiaWanjiru-jz5vh11 ай бұрын
That's a must
@shazardmahrezwalulaca21111 ай бұрын
Ndo ina zidi ku sambaa🇰🇪
@damascusshady695411 ай бұрын
WHo lied to you...kenya hamjui kuimba so why should we need approval from yourl...lol
@universal31811 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@chiroshow-ri2nd11 ай бұрын
@damascusshady6954 we don't know but without us ,akuna mtaenda tu
@mkasykhamisi2587Күн бұрын
Congratulations mdogo wangu Mungu akuinue ufikie malengo yako kwa jina la yesu kristo 🙏🙏❤❤
@user-fs8jl6uk6yАй бұрын
Huyu dogo, mambo mbaya naomba Diamond usimuache huyu dogo,atapeleka WCB to the next level,lo❤ from 254
@robertsimba508111 ай бұрын
Ushatoka bro ...niko Kenya nasubiri🇰🇪#2023
@shadyarif65311 ай бұрын
254..Kenya.. tunarudia mara isiyohesabika...ebu wakenya leteni likes hapa🎉
@urugendorwubuzima609511 ай бұрын
Wanaobaki muda Kwa muda kusukia hii ngoma tujuwane love from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@wilaslupson11 ай бұрын
Mpeni mauwa yake huyu dogo jamani,wimbo mzuri mno!Mungu akutangulie kwa kila atuw ya kazi yako dogo🙏🙏 ,this is a natural Talent 👌
@mwanaashahamisi55411 ай бұрын
👑👑👑👑👑💯💯💯💯🥀🥀🥀🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@montanahamad697411 ай бұрын
Daaah guy's tumpeleke trending huyu dogo hii nyimbo kalisana
@ramadhanallygwajil252010 ай бұрын
Nakubali Mdogo wangu, Shabiki yako namba 1 nakubali sana kazi nzuri endelea kupambana mafanikio ya Mziki yapo mbali Sana
@christopherthuo3409 ай бұрын
Hongera sana young lion ngoma iko sawa kipaji kipo.Hakuna kurudi nyuma hiyo ni mwanzo tu
@user-ls4sj3fv7t11 ай бұрын
Wa kenya kumbe ninyi ni wapenda maedeleo,, toka Congo DRC 🇨🇩 nime wa kubali, sapoti yenu kwa mdogo wetu ni nyingi sana ,gonga Link apa wa kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ronniebertin356311 ай бұрын
Mkimbizi toka congo anaishi Tanzania sio kenya
@user-ls4sj3fv7t10 ай бұрын
@@aminata3702 mimi comenti yangu, bahada ya ku ona wa kenya wana ji tokeza kwa uwingi ku msapoti dogo, ndo happy nikawa nime sema kuwa wa kenya ni wapenda maeneleo, ku sema kweli dogo, ni mkimbizi toka congo, ambae ana ishi Tanzania, na anaye sapotiwa na WA kenya, bonjour my dada
@aminata370210 ай бұрын
@@user-ls4sj3fv7t Saw a😊 ila dogo si mkimbizi tena kashakuwa raia wa Tz ,Na kuhusu wakenya ku support Tz hiyo ni kawaida
@mujahidibnimrani3058Ай бұрын
Kiukweli mm mwenyewe nmewakubali wakenya hawana husuda bali wanaombea kila mtu mafanikio hilo nmeliona kwa kila komenti
@farajalongo452811 ай бұрын
Kutoka kambini mpaka duniani. Mungu hana mshirika 💪💪💪💪 #Nitatokaje 🙌🙌
@user-yr9tx2dn3w10 ай бұрын
Kazana mdogo wangu Mungu azidi kukuinua viwango vya juu❤❤❤🙏🙏🔥
@AlexThadeo-fh1dsАй бұрын
Mdogo wangu unajua Sana mungu aendelee kukulinda nakuiyongelea kipaji zaid
@iam_masasila11 ай бұрын
Talent from the street camp! MUNGU Hamtupi mja wake Mimi binafsi namuombea Sana huyu kijana MUNGU amuinue kipaji chake
@khadijakimana880911 ай бұрын
Amin
@marthanyabuto863411 ай бұрын
This is another LION in Tanzania, keep going my son much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@pitohtheeG11 ай бұрын
See what other countries are doing 😢😢😢😢...hope kenya watasaidiana hivo
Mimi mwenyewe nimejikuta kumuelewa dogo naombeni like ata mia tu jamani
@bernadetaemmanuel1824Ай бұрын
Kwa wanaamin dogo anaenda kuipeperusha bendera ya Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ulimwenguni kote likes ❤❤hapa
@isayamzaliwa925311 ай бұрын
Ambaho tumerudia Mara 10 gonga tujuane❤❤
@user-io1wu7cc1p11 ай бұрын
Founder Tz anaweza kabixa❤.anashangaza kweli,mtoto wa miaka 15❤❤❤❤❤
@charlesmwai50026 ай бұрын
Kila siku Bongo flava Ina wakuiendeleza much love for TZ
@MRJ13085 ай бұрын
Haki
@kennitoKeАй бұрын
Guys let's all support this young superstar 🙌🙌 @Marioo @Harmonize chukueni kijana msimuachie kopa watamnyonya ila mwenye hali hoi😢
@user-ed3nm9oj9h11 ай бұрын
Very very hit song, mond wa badae keep it up 🔥
@vinaboy925011 ай бұрын
Una kipaji kikubwa sana dogo. We as Kenyans are praying for you that may God lift you up all the days of your life 🙏🙏
@SophiaRichard-nq5gqАй бұрын
MUNGU akufikishe mbali mdgoang,unajua MUNGU abarik kipaji alichokupa kifike mbali❤❤
@MarthaTabindiАй бұрын
This little Boe Jamaniiii He Makes Me feel free the Moment Nackiliza Ngoma zake, Any way Well done ✅, Kazania Pia Na Masomo Mungu Hatokuacha Kaka Mdogo" ❤❤ We Much Appreciate You Moreeee
@masoudathumani62011 ай бұрын
Nyimbo ni kari sana dogo anajua mwenyezi mungu ampe nguvu atimize malengo yake
@mr_convex11 ай бұрын
Kama unakubal dogo atafika mbali bila vikwazo gonga Like 😊👊🏼
@fundikimweri11 ай бұрын
Andika hisia zako acha kuomba omba like
@vailethrafael618111 ай бұрын
Walimwengu hawako kama ww Kila mtu na nafsi yake
@samuelkateerose939611 ай бұрын
😊
@samuelkateerose939611 ай бұрын
😊
@samuelkateerose939611 ай бұрын
@@fundikimwerivoufaaif
@JosaphatThomasMakuta-h1n2 күн бұрын
Asante kijana kazi njema nakuunga mkono toka Congo butembo
@faizaahamd205210 ай бұрын
♥♥♥♥♥tumemisi ngoma mpya CONGRATULATIONS mdogo wangu utafika MBALI♥♥♥♥♥🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤
@zachariamwita392611 ай бұрын
Tanzania Kuanzia Mtoto Hadi Watu wa umri Mkubwa wana Vipaji Ilove My Motherland
@senseiamani468411 ай бұрын
Tuliorudia ngoma hii mara nyingi tujuane apa❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Vincentmucyo9 күн бұрын
Mwendo wakazi Dogo❤utafika mbali ni ukweli💪
@Vanessa-xr4qnАй бұрын
Nakupenda sana yn Japon kuwa hatutokutana live Mungu abaliki kipaji chako
@isaiahndiwa437311 ай бұрын
Kenyans loves good music sisi ndo judge ....let's gang up na liles Kama tuko kimoja🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@laurentwilson-db4ir11 ай бұрын
✊✊
@Sarose_investment10 ай бұрын
Sema nini kigoma wamebalikiwa sanaa upande wa bongoflava kama wewe niwa kigoma gonga like
Kenya 🇰🇪🇰🇪... love the vibe of this young talented man.
@mikedon25411 ай бұрын
Ushaatoka kaka❤ 🇰🇪😎🙏 Kama unakubali vaibu ya huyu ndogo gonga like tumtoe❤...🇰🇪
@user-fq9ol4nr9x9 ай бұрын
Mungu ni mkuu bro atainua kipaji chako cha uimbaji na utakuwa msanii mkuu barikiwa sana
@amisiwapole314413 күн бұрын
Nakutabiria makubwa kwenye safari yako ya music. Doctor KIZZOBOY.
@Chris325kenya11 ай бұрын
sauti yake nzuri let's support him please..hawa ndoo watatuwakilisha kesho ..na kesho kutwa..am chris from Kenya uyo dogo ametrend adi radio za uku kwetu nimesikia ngoma yake ..no matter the hard life we go through there is always God's time and blessings
@rodneychidemmamukiza520410 ай бұрын
Check this comment after 10 yrs. This talent is going far. The next diamond of his time. May God help you lil bro❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@scholasticamchokopa6515Ай бұрын
Mungu azid kukuinua kwa viwango vya juu mwanetu wa Tz
@comfort68486 ай бұрын
From TikTok to KZfaq juu yako little boy congrats 👏 and never give up God is always there for you siku moja itakuwa story tu na utaenda far sana wakenya tumependa nyimbo zako all the best 🎉🎉❤
@bakariharry222911 ай бұрын
Founder tz tuko pamoja 🎉🎉🎉 na kazi yako twaikubali n tutaipeperusha kila kono watu wazidi kusubscribe your channel
@gmdavidotz11 ай бұрын
Kama una mkubali dogo ni shida yani ni moto 🔥🔥🔥 wakuotea mbali Founder tz gonga like apa
@aaminaasljbgbvf7455 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🇹🇿🇹🇿
@mbarushimanahassan379724 күн бұрын
watu wa Kigali,Rwanda yanii dogoo tunamukubalii sana keep it up!
@aminapili29789 ай бұрын
Mungu amwepushe na wabaya ili asaaidie mamake na mandugu zake maana waaah mashallah kipaji mungu kamjali
@dominicmkombolewa794511 ай бұрын
Nimekubali.Acha tumwombe Mungu siku moja tupige kolabo ya gospel pamoja🙏🙏🙏🙏
@barberyoung254311 ай бұрын
400k plus viewa in 4 days,,, thats really amazing and nyota ya dogo inangaa ni vigumu sana kupata views hivyo kwa siku chache maze.... Wish you all the best kwenye kioaji chako,, nitafurahi sana nikiona unapiga 1 million plus in two weeks... Kama unatambua dogo piga like tukisonga❤❤
@LocsbyBasha11 ай бұрын
100k kila siku.... In 10 days 1M... 🎉
@CharlesBtz-iw8mzАй бұрын
Dogo hongera sana umetuheshimisha sana wana kigoma, 𝐍𝐢 𝐡𝐚𝐭𝐚𝐫𝐢 𝐤𝐢𝐠𝐨𝐦𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐩𝐚𝐣𝐢 𝐧𝐝𝐮𝐠𝐮 𝐳𝐚𝐧𝐠𝐮
@jumawere6639Ай бұрын
Kipaji unacho kaka , love your music from Kenya. Utatoboa tu Mungu yupo
@HEAVEANDEALS10 ай бұрын
THIS KID IS THE NEXT BIG THING IN TZ... WATCHING FROM ZAMBIA 🇿🇲. YOU WILL ALL WITNESS.
@thezedjrlecturer.401910 ай бұрын
I totally agree with you my fellow Zambian. I'm also watching from ZAMBIA ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Learnswahilism.94438 ай бұрын
True
@sheilarehema103511 ай бұрын
Mombasa Kenya ndio daraja la kwanza la musiki wako mdogo wetu uko vizuri imepenya na bado chupa lina pasua anga Keep it up GOD bless your efforts kijana wetu EAST AFRICA to the world
@EMMANUELLONYUDUKАй бұрын
Uko na kipaji dogo wangu,me apa from Kenya 🇰🇪 ndugu I like your speed in music
@weecoclea927311 ай бұрын
I was suggested here while listening to the song “Dupe - Dost” 😅😅
@danielbyenda50111 ай бұрын
Félicitations mon frère. En RDC nous sommes fiers de toi. Congo 🇨🇩🇨🇩na tanzania🇹🇿🇹🇿 tuko familia.
Thanks,God 🙏 kwakumpa kipaji mdogo wetu naeaikomboe family yake naiman Mdogo wangu Founder Tupo nyuma yako nenda nenda Mdogo wangu Nyimbo kali sanaaaa unaweza namwnyzi Mungu akupe Maisha marefu sanaa nadhan waTanzania tumekuona tupo kutimiza ndotozako nausimwache Mungu ktk Maisha naiman atakutendea wakati sahihi my blood❤✍️🎶🎵🙏🇹🇿
@user-lq9tq8ze9j5 ай бұрын
The love I have for this boy😍His songs are so emotional 😔May God see him through 😍
@muzigemunanindambwemwenemb603510 ай бұрын
Hongeza sana dogo kwakwinuwa kipaji Cha wakimbizi
@HistoriTv11 ай бұрын
From Kenya, This boy has a huge talent, may God see him through 🙏
@ashleyandeka11 ай бұрын
Watching from kenya 🇰🇪 we love you Founder na our prayers to you ni God akuzidishie kipaji zaidi..tuko apa kwajili yako sisi kama team strong 💪🏼
@alexmogusu23377 ай бұрын
Ongera sana kijana mdogo tz oyeeee🎉🎉🎉
@victoriashiko71728 ай бұрын
Jameni muzimuzi huyo mototo jamani👏🏽🙏🏽 wayazani
@EzzyK43811 ай бұрын
Kama unaamini dogo huyu tayari katoka weka likes hapa tumsupport
@lukassuleiman476711 ай бұрын
Mimi si fan wa Bongo na I've never been a fan of any bongo artist, but kwako natangaza kuwa fan wako mkubwa hapa Kenya. I wanna grow with you to your greater heights
@allykhamisi64711 ай бұрын
He has talent wallah may allah help him amen let's support this young boy please world wide please
@AfshaBibi-ws3ow9 ай бұрын
Courage bro utatoboa🥰🥰🥰🥰❤️❤️nimepe iyi song yako🥰🥰💪
@faiqaanwar72689 ай бұрын
Mashaala mungu ndie mpaji .mungu akuongoze akutangulie ishaala amin
@DoctorEvarist11 ай бұрын
I Hope itafika 1M soon 🔥🔥🔥✅✅ Tukutane kwa like wanao amini ilo 👍👍
@Ziki-wrld11 ай бұрын
Hongera sana Founder Tz kwa safi unayoifanya nyimbo nzuri naipenda hii..pia hongara kwa speed beat na director wa video hi ni kali sana aisee dogo utafika mbali twakuombea sana ufike level za juu 💖💖💖
@husnaarafat272511 ай бұрын
Kabisa hivo ndo twaomba dogo afike level ya juu
@africanentertainment212411 ай бұрын
kzfaq.info/get/bejne/fbiIq9Znrc2YYIE.html
@productiontolo174711 ай бұрын
Asante sana by director tolo
@hajitwalibu59519 ай бұрын
Mdogo wetu unajuw kuimba,Big up kwako👏👏👏👏👏
@thee_jimmie25410 ай бұрын
Ebu subiri.............❤❤ duh.kijana unaenda mbali