MashaaAllah je ikisha ramadhan inakuja ile siku 6 ya kufunga je kama huipata ile siku ya kwanza inafaa kuanza ya 2
@salimapaya25814 жыл бұрын
Asanteni sheikh Hassan na Shk Mwakidudu mumefafanua vizuri sana hi hoja. habari tumeipata
@yusufmwangichannel66924 жыл бұрын
Masha Allah, darsa nzuri, shukran Ustadhi Mwakidudu na Sheikh Gatiwi kwa darsa nzuri, Allah awazidishie elimu na awape maisha marefu na awalipe wema hapa duniani na kesho akhera Amiin Thumma