No video

GB 64 AWACHANA YANGA KUHUSU CHAMA | ATOA SABABU KWA NINI ALITAKA KUHAMIA AZAM FC

  Рет қаралды 516

Main FM Tanzania

Main FM Tanzania

Күн бұрын

#MICHEZO:Shabiki wa Simba Sc maarufu kwa jina la Gb 64 amezungumzia kuhusiana na sababu za mchezaji wao wa zamani Clatous Chama kutopewa mkono wa kwaheri "Thank you" ambapo amejinasibu kuwa tayari alikuwa ameagwa na kwamba mkataba wake ulikuwa umeisha wakati akisajiliwa kwenda kwa watani zao wa jadi Yanga Sc.
Shabiki huyo kindakindaki wa timu hiyo ameyasema hayo wakati akifanya mahojiano na Mainfm na Main Digital na kuongeza kuwa CEO wa timu hiyo alishaweka wazi kuwa Clatous Chama hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo na kwamba hiyo ni "Thank you" tosha kwake ambapo amesema kuwa mchezaji huyo hawezi kuwa pengo kwa timu hiyo.
#MICHEZO:Shabiki wa Simba Sc Gb 64 amezungumzia kuhusu kile alichokisema kipindi cha nyumba kuwa endapo Chama atahamia kwa watani wao Yanga Sc shabiki huyo atahama Simba Sc.
Shabiki huyo amefichua kuwa alizungumza hayo ili kuwatuliza mashabiki kutokana na uliokuwa unaendelea ndani ya Simba Sc na kwamba alitumia akili kubwa sana katika sakata hilo.
Ikumbukwe kuwa Clatous Chama "Mwamba wa Lusaka" tayari alishatambulishwa kwa watani zao Yanga Sc kwa ajili ya kuwatumikia Wananchi.

Пікірлер
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 10 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 8 МЛН
militan politik ARAB aprè liberasyon l fè gwo deklarasyon
3:26
Andre Louis zénith 2020
Рет қаралды 11
The Match That Made Zinedine Zidane Retire
14:37
BR7 Football
Рет қаралды 1,6 МЛН
ALLY BONGE AFOKA NA SAKATA LA MANULA/ MPANZU VIPI! AMPA BARBARA RUNGU SIMBA
22:28
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 10 МЛН