No video

Nilikua Mrembo Sana Lakini Nitazame Nilivyo Sasa,Baada Ya Kutoka Oman Mume Wangu Alitaka Kuniua

  Рет қаралды 525,155

Afrimax Swahili

Afrimax Swahili

Күн бұрын

ILI KUMSAIDIA,
Wasiliana Nae Kwa Namba
Hii ni Historia Ya Mwanamke Aliekatwa Mapanga Na Mumwe Wake.
Kumbuka :Asili ya Video Hii Iliundwa Kwa KISWAHILI&KIFARANSA Chini Ya Afrimax Ltd,Ikimaanisha Tunamiliki Haki Yake kwa 100%,Hili Ni Toleo La Kiswahili,
#afrimaxswahili #truly #historiaisiyoyakawaida #trending #tanzania #rwanda #viralvideo #matukioyatanzania #matukio
Usisahau Kubonyeza Alama Nyekundu (Subscribe)kisha Alama Ya Kengele ili Uwe Wa Kwanza Kupata Video Zetu AFRIMAX SWAHILI

Пікірлер: 395
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 9 ай бұрын
Uyo ni muuji akitoka jela uyu dada maisha yake bado yako mashakani anahitajika ulinzi uyu mwanamke
@pendombinga3584
@pendombinga3584 8 ай бұрын
Kabisa usemacho wwla ujakosea
@thuraiyathuraiya401
@thuraiyathuraiya401 9 ай бұрын
Dada yangu unajuwa mungu kakuokowa shukuru mungu huyo alikuwa ni muuwaji acha tu serekali ihukumu nawewe endelea na maisha yako Lea watoto wako ❤
@dorothymella4719
@dorothymella4719 9 ай бұрын
Pole sana mwanamke mwenzangu. Mungu amekuponya atakutendea mambo makuu usiyoyajua
@GloryWorld254
@GloryWorld254 8 ай бұрын
She is still very beautiful ❤️. Lots of love 😘. May she heal ❤and may God strengthen and comfort her .
@khadjamhozya
@khadjamhozya 9 ай бұрын
Mtangazaji unajua pia unasauti nzuri sana❤❤❤
@user-fq1gg8rj9i
@user-fq1gg8rj9i 5 сағат бұрын
Subhana Allah 😭 😭 laa illa haillah 😭😭😭😭. Hii ni mitihan ya duniya ... Yarrab ..utilinde wanawake wenye imani na waume zetu...utulinde Yarrab 🤲.... wanaume..mnatutowa roho jaman... subhana Allah
@ZaituniNyanje
@ZaituniNyanje 2 күн бұрын
Dadangu pole sana,,,,yani nime sikia ii story,,navile niko huku ugaibuni kutafuta maisha kwaajili ya watoto wangu na mumewangu nimevunjika moyo kabisa 😪😪😪
@hawamuya6981
@hawamuya6981 9 ай бұрын
Mungu atakulipia ishi na watoto kwa amani kila shari itakuepuka Inshaallah
@marykinyanjui7827
@marykinyanjui7827 8 ай бұрын
Kisa kama kilichotokea huku kenya lakini nashukuru Mungu sura yako ingali,ungali mrembo sana,dada wa huku kwetu alitolewa jicho lake akakatwa mkono, poleni sana shetani mwenyewe hapendi kuona ndoa zilizo na amani
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu 9 ай бұрын
Pole sana dada mungu nimwema sana kwako pia akutunze wew na watoto wako
@faridamaamary9857
@faridamaamary9857 9 ай бұрын
Angefungwa maisha hiyo mume kwa sababu alikuwa dhamira yake kumuua halafu arithi mashamba na kuishi na wanawake hovyo
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 ай бұрын
Mbona miaka kidogo ya mumewe alofungwa?? Hakuna waume skuizi weny imani ee mung tusaidie, utuhifadh, utulinde wanawake wote dunian kotee😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@hclever7731
@hclever7731 9 ай бұрын
De same to de girls
@ChristinaDaudlyaga-vg3yg
@ChristinaDaudlyaga-vg3yg 9 ай бұрын
Yani
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 9 ай бұрын
Amiin
@sheyabby7146
@sheyabby7146 9 ай бұрын
@@ChristinaDaudlyaga-vg3yg 😭
@joelnyaga1985
@joelnyaga1985 9 ай бұрын
hakuna wanaume,so babako Sio mwanaume,acha kudharau wanaume,Sio wote wabaya
@waheedaw1953
@waheedaw1953 9 ай бұрын
Pole sana sana Allah Allah atampa uzima na mtu mwenye roho ya upendo
@kleinfassie9730
@kleinfassie9730 8 ай бұрын
You're such a beautiful and strong woman may God keep protecting you 🙏🙏🙏🙏
@marthakibona
@marthakibona 8 ай бұрын
Wanaume wasasa nimashetani2 mungu atusaidie wanawake
@user-zj7tg1nc7v
@user-zj7tg1nc7v 9 ай бұрын
Pole sana dada yangu mungu akulinde namengine lakini kufungo nikidogo sana dada polesana😢💔😭😔
@PiliKhamis-mb6ty
@PiliKhamis-mb6ty 9 ай бұрын
Duuh Pole sana dada mungu azidi kukusimamia😢
@pamelampeyi3004
@pamelampeyi3004 8 ай бұрын
Thanks God for everything God has a reason
@lucyauma1547
@lucyauma1547 9 ай бұрын
God of another chance. Mungu anakupenda dada
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv 8 ай бұрын
Pole sana dd Mungu atunusuru yani mtu alitaka kuuwa pia amekubali shitaka kama alitaka muuwa kweli mkewe bado anapewa kifungo cha miaka minne😢😢😢😢😢mahakama aijatenda itakuwa wameongwa arafu yeye atatoka aendelee na maisha yake mm napambana uku nakusaidia bado unapanga kunitoa uhai
@Olaiserriomunyak1059
@Olaiserriomunyak1059 9 ай бұрын
Mahakama na sheria za Uganda ni hovyo sana..hii ni aibu kwa Afrika ya sasa.
@jolemerci2155
@jolemerci2155 8 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭 Wanaume sio ndugu zetu
@user-gb5yj9ud3k
@user-gb5yj9ud3k 8 ай бұрын
Kweli kabisa
@mansourhamed3328
@mansourhamed3328 4 ай бұрын
Pole. Sana dada yetu mwenyenzimungu akubarik utapona nshaallah Allah is great it's very much sad
@anjelineaoor4140
@anjelineaoor4140 9 ай бұрын
Sorry my sister be strong💪 God will protect you dear 😢😢❤🇰🇪🇰🇪
@SalhaRamadan
@SalhaRamadan 2 ай бұрын
Subhanallah wanaume wengine ni makatili mno asa mwanamke aliyekutoa kwenye wimbi la umaskini unamzawadia kipigo tena mnamshambulia kwa mapanga kweli😢😢😢😢 mungu amlaani huko gerezani afe kifo kibaya😢😢
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 9 ай бұрын
Pole sana dada nimaisha ndivyo wanadamu warivyo
@mariamsaid4167
@mariamsaid4167 3 ай бұрын
Pole sana mungu atakusaidia insha Allah
@strongwomanwithnoregret8234
@strongwomanwithnoregret8234 8 ай бұрын
Mungu anakupenda dada uko murembo sana dadangu❤❤❤❤
@user-kk4ow7iz7n
@user-kk4ow7iz7n 8 ай бұрын
Poleni sana😭😭😭😭😭😭😭
@kadijaalsaas6715
@kadijaalsaas6715 8 ай бұрын
Bambi but all in all be strong Allah Who recovered u is with you always 🙏🙏
@janewamaitha4930
@janewamaitha4930 9 ай бұрын
I'm so sorry beautiful girl GOD love you so much ❤❤💪💪🇰🇪🇰🇪
@user-np7uu5ve3l
@user-np7uu5ve3l 9 ай бұрын
Polesana dadangu mungu azid kukulinda ulee wanao nakama alifanyahivyo kwasababu yapesa bas malipo nihapa duniani atalipwa tu ata akitoka huko jela
@HeppinesiBakari-vk7dd
@HeppinesiBakari-vk7dd 9 ай бұрын
Pole sana dada mungu akusaidie
@user-ys4fm5nl7b
@user-ys4fm5nl7b 7 ай бұрын
Pole sana dada yangu mungu na juwa wayoge hatuna guvu domaana upo mushukuru mungu 🙏🙏🙏🙏🙏
@user-pz3py2qu4w
@user-pz3py2qu4w 10 күн бұрын
Pole sana dada
@stamelistameli8461
@stamelistameli8461 9 ай бұрын
Pole sana dah
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 9 ай бұрын
Pole sana uyo fala kafungwa myaka michache sana kama uyu mkewe angekua dada yangu ningeenda kutowa pesa kwa mkuu wa gereza apigwe sindano yasumu afee tu
@estertabu388
@estertabu388 9 ай бұрын
Pole dadangu
@selinawangilisasi5656
@selinawangilisasi5656 2 ай бұрын
Pole sana mungu aendelee kukubariki
@zayumar2955
@zayumar2955 8 ай бұрын
Daaah Mungu akusaidie dada mrembo malkia wa nguvu maana tabu tunazopata uarabuni tunajua wenyewe ila wanaume sio watu wa kuwaamini Sana pole na Mungu atakusaidia 😢😢😢
@awindeawuor1643
@awindeawuor1643 8 ай бұрын
You're a beautiful woman God loves you ❤
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 9 ай бұрын
Angefungwa tu maisha pole dada
@DingDong-ng9jg
@DingDong-ng9jg 8 ай бұрын
Pole sana dada Mungu anamipango yake .Na Mungu akusimamie
@DingDong-ng9jg
@DingDong-ng9jg 8 ай бұрын
😢😭😭 pole sana
@fayjeff3651
@fayjeff3651 9 ай бұрын
Pole sana dear
@NiaNayna-lp9cu
@NiaNayna-lp9cu 9 ай бұрын
Pole Sana mungu ni mwema
@KelvinAmos-ow7pf
@KelvinAmos-ow7pf 3 ай бұрын
Pole sana mungu akusaidie sister
@user-ru1dq2cn1d
@user-ru1dq2cn1d 5 ай бұрын
Mmmm pole sana dada mungu yupo kweli
@user-np8df1hh4j
@user-np8df1hh4j 9 ай бұрын
Pole sana
@user-eq9yi7pz4i
@user-eq9yi7pz4i 9 ай бұрын
Pole sana dada Allah yupamoja na ww na atakusaidia
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 8 ай бұрын
Huyu ni dada ❤❤ mupambananji kbs🎉
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 9 ай бұрын
Miaka minne na alitaka kuua kwanin asihukumiwe maisha 😢😢
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 9 ай бұрын
Hapo si chini ya miaka 30 afungwe. Hao ndio wauwaji wa chini kwa chini wasiojulikana kwenye Nchi.
@mariamdullazy8166
@mariamdullazy8166 9 ай бұрын
@@awatifalghanim1106 mana kasababisha kilema kwa mwenzie bado police wana muonea huruma daah
@florencefor4061
@florencefor4061 6 ай бұрын
Pole sana dada .mungu ako na wewe
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 9 ай бұрын
😢😢😢aisee pole sana ila hukumu ni ndogo sana hiyo 😢😢
@mercykariithi7919
@mercykariithi7919 9 ай бұрын
Was the judge bribed why sentence her husband for 4yrs only that's mockery that's not justice he deserves life sentence he might repeat and attempt the same crime again
@hellenadhiambo4816
@hellenadhiambo4816 8 ай бұрын
Correct
@AkinyiOuma-ho1hg
@AkinyiOuma-ho1hg 4 ай бұрын
Miaka 4 whaaaaat nooo that's not fair nawee 😢😢 Respect kwako mama... mwanamke bomba
@shantellemwanakombo3703
@shantellemwanakombo3703 9 ай бұрын
Miaka minne mbona kidogo huyo muuwaji angefungwa hata miaka 50😢
@PiutenziAkhonya
@PiutenziAkhonya 3 ай бұрын
Ingekua kenya uyu jamaa angekua sai kaburini mbona asiukumiwe kifo akitoka jelly atamuuwa huyu dada kabisaaa😢😢😢😢
@user-gx3gl9tw7q
@user-gx3gl9tw7q 5 ай бұрын
Pole Sana mwanamke mwenzangu
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 9 ай бұрын
Pole sn Mungu atakuwezesha
@DamarisDuuTausi
@DamarisDuuTausi 6 ай бұрын
Pole sana mydear bidding yako Yutaka kukuua
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 9 ай бұрын
Namshauri uyu dada asisubutu kurudiana na uyo mwanaume
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 9 ай бұрын
Wallah atammaliza
@sheyabby7146
@sheyabby7146 9 ай бұрын
@@nahlahassan-fd6le 😭😭
@fatumahapesamohamedfatumah4633
@fatumahapesamohamedfatumah4633 9 ай бұрын
Angefungwa milele
@AdejaAhmad-uq4wj
@AdejaAhmad-uq4wj 9 ай бұрын
Pole sana dada mungu atakusaidia
@mediavumbi9243
@mediavumbi9243 9 ай бұрын
Pôle sana mama,Mungu atakuwa musaada kwako
@user-nd8gg4ig7m
@user-nd8gg4ig7m 9 ай бұрын
Pole sana dada😢😢
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 9 ай бұрын
Jamani pole sana
@RebeccaLutego
@RebeccaLutego 5 ай бұрын
Dada pole mwaya
@joharissa2020
@joharissa2020 8 ай бұрын
Pole sanaa😭😭😭 Mungu akutunze.
@MariaThomas-wm9iq
@MariaThomas-wm9iq 5 ай бұрын
Nmeumia jaman😢😢
@PiutenziAkhonya
@PiutenziAkhonya 3 ай бұрын
Ingekua kenya uyu jamaa angekua sai kaburini mbona asiukumiwe kifo akitoka jela atamuuwa huyu dada kabisaaa😢😢😢😢
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 8 ай бұрын
❤❤pole saana KBS dada
@bboyamos
@bboyamos 8 ай бұрын
Sadly story ooooh MY GOD 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 5 ай бұрын
Ndio mahana mie nimeamua kuishi singo na natafuta pesa zangu mwenyewe sitaki mume kwa sasa nipo Oman natafuta pesa zangu zinisaidye huyo mwanaume sio mzuri na wanaume wengi wao sio wazuri wakishapata wanawake wengine tamaha tu yan hata huruma hana
@HhosnaRashid
@HhosnaRashid 2 ай бұрын
pole sana ndugu
@MasatuFrancisco-ux9wz
@MasatuFrancisco-ux9wz 9 ай бұрын
Pole Sana dada
@shabanimngoya3028
@shabanimngoya3028 8 ай бұрын
Pole sana mpendwa
@aishaafricanas7519
@aishaafricanas7519 9 ай бұрын
Pole san dada
@user-mn3ey2yl2n
@user-mn3ey2yl2n 4 ай бұрын
Ilikuwa afungwe maisha maana akitoka atakuja kumdhuru Tena huyo mwanaume ni zaidi ya shetan inauma uwi pole xn dada
@shidashida6060
@shidashida6060 9 ай бұрын
Wangejua tunapitia wakatiegani uarabuni!,wasingetuletea makasiriko yako,mara nyingi wanaume huwa hawapendi kuona mwanamke ana pesa.
@user-xl6qp8pr7b
@user-xl6qp8pr7b 9 ай бұрын
Acha kabisa
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 9 ай бұрын
Kaeni kwenu. Pole sana.
@user-iv3vw2yk4g
@user-iv3vw2yk4g 6 ай бұрын
Ninastaili.kuzalisha.pesa.nyingi.zaidi.Amina
@YohanaKagwata
@YohanaKagwata 7 күн бұрын
dada pole sana huyo afungwe maisha
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 9 ай бұрын
Pole sana mama jamani dunia imekwisha
@AbdallahAboubacar-sc8sr
@AbdallahAboubacar-sc8sr 9 ай бұрын
Mbona mume wake japewa miaka michache sana😢
@Shehushagari19
@Shehushagari19 9 ай бұрын
Angelifungwa Bora myaka kumi
@emmyEliasi
@emmyEliasi 7 ай бұрын
Mungu yupo kipenz utampata mumwe kutoka kwa mungu
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 8 ай бұрын
Pole Sana
@julithamuhale7271
@julithamuhale7271 8 ай бұрын
Kisasi chako machine Mungu ndiyo atakulipia sawasawa na alivyokutendea huyo mbwa!
@user-gx3td7vu7j
@user-gx3td7vu7j 6 ай бұрын
Pole sana mdada
@faridapandu7579
@faridapandu7579 5 ай бұрын
😢😢😢wanaume mtatuwanjeeee pole Sana dada
@user-ll7np8td7x
@user-ll7np8td7x 8 ай бұрын
Pole dada
@officialsharifa
@officialsharifa 5 ай бұрын
pole sana njoo tuishi tz utaoleka na utasavaive vizuri TU😭😭😭
@shukurukihwelo3084
@shukurukihwelo3084 8 ай бұрын
Pole sana mungu akutie nguvu
@edsongamuga7375
@edsongamuga7375 9 ай бұрын
Pole😢
@JumannehassaniomaryJumannehass
@JumannehassaniomaryJumannehass 4 ай бұрын
Nimependa sana huyo mdada
@NuruNdegwa-yg2bm
@NuruNdegwa-yg2bm 8 ай бұрын
Mungu akupe nguvu 😢
@kitimwango9286
@kitimwango9286 8 ай бұрын
hee pole Dada aki
@AngelaMollel
@AngelaMollel 4 ай бұрын
Mhmmhmh 😂😂😂😂😂 pole sana dada
@user-th8bo9lu8n
@user-th8bo9lu8n 3 ай бұрын
Imenikumbusha 😢😢nilipigwa mpka kichwa kuimba nkaenda kupiga ex seketule ee Mungu wangu
@TheSalma1999
@TheSalma1999 9 ай бұрын
Yani siku hizi hamna wanaume kabisa it’s very sad dah sasa tutaolewa na nani jamani wanaume wenyewe ndio hao wauwaji
@GloryWorld254
@GloryWorld254 8 ай бұрын
Don't lose hope. God has sons. Sometimes I ask God the same but God has sons.
@user-yj3gy4jc1t
@user-yj3gy4jc1t 5 ай бұрын
Polesana
@faudhahamisi7588
@faudhahamisi7588 9 ай бұрын
Pole san mwanamke mwezangu😢😢
@CalmMacawBird-co7gz
@CalmMacawBird-co7gz 5 ай бұрын
So sad so sad . Waume wengine hawana shukran kabisa
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 16 МЛН
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 47 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 16 МЛН
MASKINI:Watoto Wanaomba Kwa Mungu Mama Yao Afe Maana Anateseka Sana|
12:15
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 16 МЛН