PART1:Ndoa Yaharibika Kanisani Baada Ya Mume Kufumaniwa Na Mkewe Akitaka Kuoa Mke Mwengine Kwa Siri

  Рет қаралды 705,399

Afrimax Swahili

Afrimax Swahili

Күн бұрын

Hii ni Historia Ya Mwanamke Aliyemfuma Mume Wake Akitaka Kuoa Mwanamke Mwengine Kwa Siri
Kumbuka :Asili ya Video Hii Iliundwa Kwa KISWAHILI&KIFARANSA Chini Ya Afrimax Ltd,Ikimaanisha Tunamiliki Haki Yake kwa 100%,Hili Ni Toleo La Kiswahili,
#afrimaxswahili #truly #historiaisiyoyakawaida #trending #tanzania #rwanda
Usisahau Kubonyeza Alama Nyekundu (Subscribe)kisha Alama Ya Kengele ili Uwe Wa Kwanza Kupata Video Zetu AFRIMAX SWAHILI

Пікірлер: 395
@user-mx9th6ky6o
@user-mx9th6ky6o 2 ай бұрын
Pole sana mama kwa kuachwa bila hata kupewa talaka,Mshirikishe Mungu akupambanie katika hilo
@VanisyJonathan
@VanisyJonathan Ай бұрын
Exactly 😢😢😢
@HappynessLombo
@HappynessLombo Ай бұрын
Pole sana dada wanaume wanaroho mbaya sana
@rosemichael5268
@rosemichael5268 6 ай бұрын
Asante mchungaji napendekeza afungwe miezi 6
@RashedaSalem-mk3yb
@RashedaSalem-mk3yb 3 ай бұрын
Pole sana dada fumilia mwenyenzi munguako na wewe atarundi
@janejoshua433
@janejoshua433 6 ай бұрын
O God bless this woman because of this kids o jesus of nazarethe remember this woman
@RobertRange-uf3rf
@RobertRange-uf3rf 4 ай бұрын
Kama umegundua kuwa afrimax ndio walimzanua huyu dada kwamba kuna harusi gonga like😅😅
@user-pb6lv2kq1g
@user-pb6lv2kq1g 23 күн бұрын
😂😢😂😂😂😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢🎉😢😂😂1❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤111qq1❤❤
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 6 ай бұрын
Hivo vimapacha mashaaalah,vtakua, lailahailalah,aoe wote, watoto watamlaani,
@JenniferFalanzisk
@JenniferFalanzisk 2 ай бұрын
Mungu anatuona kwa haya tuyatendao analipa kwa wakati muamin Mungu
@josephineariga438
@josephineariga438 4 ай бұрын
I was l was the first lady with children. S8ngeenda kustop their wedding . Ningesahau na nilee watoto wangu na Mwenyezi Mungu.😊
@virginiacarolinewanjiru556
@virginiacarolinewanjiru556 6 ай бұрын
Beautiful twins kids looks like father.
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 6 ай бұрын
Pole sister Mungu Yuko nawe awezi kuacha
@user-ov7td6us4v
@user-ov7td6us4v 6 ай бұрын
🎉Huu ni ukatili mkubwa huyu mwanaume Mungu anamuona kuamua kinyonga watoto na njaa kisa mwanamme Na atashughulika naye
@cleophaxgeremy2148
@cleophaxgeremy2148 6 ай бұрын
wuuuuuuueeeeeeh izi ndoa jamani ndoa jamani,mie Mungu anijalie nikioa nisiwe mume wa tamaa😢😢,na mume naye anaacha mke mwema tena mzuuri zaidi anafuata vitu vya ajabu ajabu, jamani ndoa😢😢
@berthasalim1313
@berthasalim1313 5 ай бұрын
Aaa
@naslaahmada5187
@naslaahmada5187 4 ай бұрын
Yaan wanaume waongo kwel katelekeza familia nakwenda kuoa tena daah
@vailethdaudi-tb9jb
@vailethdaudi-tb9jb 2 ай бұрын
Ahsante Mungu kwa kunipatia afya njema
@jacquelinelukambuzi5085
@jacquelinelukambuzi5085 6 ай бұрын
Ee Mungu amhurumie huyu mama na kumuinua kwa ajili ya uzao wake tu, wanawake tunapitia mengi jamani🙆
@ANNASTACIAMWENDE-bo7dw
@ANNASTACIAMWENDE-bo7dw 3 ай бұрын
Sana
@user-rn3yh6ed5k
@user-rn3yh6ed5k 3 ай бұрын
Tena sana
@wilper6318
@wilper6318 18 күн бұрын
Machozi ya huyu mama na watoto Mungu mkumbuke, mhifadhi, mtajirishe.
@EditaMaro
@EditaMaro 4 ай бұрын
Mungu amjalie huyu Dada ampe nguvu ya kushinda majaribu haya
@umfahad2609
@umfahad2609 7 ай бұрын
Naomba serikali ichukue hatua ya haki, kwa huyu baba. Ili iwe fundisho kwa wengine.
@evansanyona9499
@evansanyona9499 6 ай бұрын
Police cannot force a man to love a woman he doesn't love, But watoto wake anafaa kushughulikia.
@user-in1et7yx2m
@user-in1et7yx2m 7 ай бұрын
Mungu amwone Huyo mwanaume Hana hata huruma ya watoto Kuna kesho yake
@zarafimnyamafitv
@zarafimnyamafitv 6 ай бұрын
watoto bdo wadogo
@RosemaryMakoye-r9w
@RosemaryMakoye-r9w Ай бұрын
Pole dada Mungu atakutetea
@StellaHailonje
@StellaHailonje 21 күн бұрын
Jamni Pole sana dada MUNGU yupo na ndio msada wako binadamu ni wasaliti lakini MUNGU hasaliti i atalipwa jipe moyo
@KayagoAziza
@KayagoAziza 7 ай бұрын
Mbona ya zamani
@user-ls2nq2eq3l
@user-ls2nq2eq3l 7 ай бұрын
Hata mm niliwai kuiona au nimovie tu
@mwitaagness455
@mwitaagness455 7 ай бұрын
Danaaaa😮
@jospinemokeira
@jospinemokeira 6 ай бұрын
Hii ni ya zamani
@user-hd5bg8qw1b
@user-hd5bg8qw1b 6 ай бұрын
WENGINE NDIO TUNAIONA LEO.
@ShadiaIdrisa
@ShadiaIdrisa 15 күн бұрын
Pore sana dada
@marthakagiri5873
@marthakagiri5873 7 ай бұрын
Huyo mwanaume alaaniwe sana na Mungu
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 7 ай бұрын
Kweri huyo mwanaume chòzi la mke wake litamugalimu sana
@MaggyGesare
@MaggyGesare 5 ай бұрын
Dada yangu mungu hakushindie majaribu🙏
@Irriswhartirris
@Irriswhartirris 6 ай бұрын
As women we need to stop letting these men get away with this. If a man finds out that you got a child he didn't know about.. He would leave you without thinking twice even if it was a lie.. But a whole woman with children come crying at your wedding and the pastor continues to officiate and you just stand there like it's nothing.. God is not with you and that marriage, if he can do this to his own family then he will show you flames 😮😮😮
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 6 ай бұрын
Mungu Simama na Mimi nikuombaye Mke mwema hutoka kwako nijaliye hitaji la moyo wangu liwe takatifu,maana dunia ya Leo Mungu bila wewe atuwezi,Mungu naamini sitakuwa na stress ya Mke ni pesa tu nitatafuta kwa nguvu zote Amen
@kassimukipingu7917
@kassimukipingu7917 7 ай бұрын
Duu hii ni hatari sana mungu aniepushe na tamaa hizi Maana siku zangu za kuishi siinyingi
@user-dk4vp6np1r
@user-dk4vp6np1r 6 ай бұрын
Pole San dada
@KabulaJoin
@KabulaJoin 2 ай бұрын
Pole Sana dada
@MildredNamalwa
@MildredNamalwa 3 ай бұрын
Pole dadangu ni ujungu sana
@JaneKathenya
@JaneKathenya 3 ай бұрын
Pole sana mama kwa hiko
@VeronicaGasper-v1t
@VeronicaGasper-v1t 19 күн бұрын
Naombeni hao mapacha
@EstherClement-wb4jo
@EstherClement-wb4jo 3 ай бұрын
Pole sana
@BrendaWaningu
@BrendaWaningu Ай бұрын
pole dada
@hawamafuru6791
@hawamafuru6791 3 ай бұрын
pole Sana mama uchungu wako umenikumbusha mbali nikama umeniotonesha kidonda Ina Uma Sana
@yoabuboaz6854
@yoabuboaz6854 2 ай бұрын
pole San mama mushukur mung Kwan jambo Hilo ipo siku mung atainuw uzao wako tu
@user-tu1yc6du6m
@user-tu1yc6du6m 6 ай бұрын
kweli wanaume nimitihan aiseeeee mungu atuongoze daima
@NeemaSamweli-mt7ho
@NeemaSamweli-mt7ho 18 күн бұрын
Hyo ndoa haitadum kwa jina la yesu
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
MWANAMME NA WATOTO TELEE. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
@umfahad2609
@umfahad2609 7 ай бұрын
Inaskitisha saana. Baadhi ya wanaume ni wanya nyasaji kwa wtt na wake zao. Wakipenda mwengine, mke wa mwanzo ana telekezwa. Ila na huyu mpa ajue. Na yeye itafika cku pia yatamkuta km yalio mkuta mwenake. 😢😢
@ExcitedAurora-gd8mp
@ExcitedAurora-gd8mp 6 ай бұрын
Jama uyo ni panya
@Mtumishi-je6el
@Mtumishi-je6el 3 ай бұрын
Ee Mungu utuhurumie cc wanaume
@fraidamsemwa5518
@fraidamsemwa5518 6 ай бұрын
Hiyo ni dharau iliyopitilizaa Mungu amhukumu kwakweli
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 6 ай бұрын
Hii inauma sana haki huyu mwanaume amelaaniwa kweli, Mungu anakupa Mke anaye kupenda na uko na Watoto naye alafu unamkimbia Mke wako😳 wanaume wenzangu tukioa tukuwe na msimamo kujua kuona ni pingu za maisha,mpendwa mtunze mkeo,tamaa za Nini,eeh Mungu nimesimama na wewe ninajiheshimu sana nakupenda sana najielewa na sitakaa niwe Mme wa kumtesa Mke wangu nitampenda na kintunza kwa Upendo wangu wote daah hii inauma sana 😢😢
@CesiliaGodwin
@CesiliaGodwin 5 ай бұрын
🎉tupo pamoja kwa maombi
@lazarojembe8532
@lazarojembe8532 7 ай бұрын
Polesana
@valenakomba7686
@valenakomba7686 6 ай бұрын
NA HIYO KANISA SIYO YA UKWELI . MAANA MUNGU NI MMOJA . HUWEZI KUFUNGISHA NDOWA MARA MBILI KAMA NI MCHUNGAJI.
@antonelatweve478
@antonelatweve478 28 күн бұрын
Malipoo nii dunian na Soo mbingunii dadaa utiwee nguvuu na bwanaa maan Soo mchezoo
@happynesskizuri7948
@happynesskizuri7948 4 ай бұрын
Mungu atakulipia dada atakufuta machoz
@crispakyando8854
@crispakyando8854 6 ай бұрын
Du,Inauma sana
@shedracklesudai95
@shedracklesudai95 6 ай бұрын
Hakika Mungu aingilie kati kweli kwenye ndoa
@user-rh2tm9cd8i
@user-rh2tm9cd8i 5 ай бұрын
Pole sana dada
@elfapaul4191
@elfapaul4191 7 ай бұрын
Sio kwa mwanaume tuu, huyo bb harusi mpya anapaswa kujiuliza kama mwenzake kafanyiwa hivyo yeye atakuwa salama hapo baadae ??? Ukiona mwenzio ananyolewa za kwako tia maji.
@AnthonyAnatory
@AnthonyAnatory 7 ай бұрын
Mwanamme huyo n taira San unachukua mume wa mwenzio
@SakinaMyovela-hf2ir
@SakinaMyovela-hf2ir 6 ай бұрын
Machoz ya mtu hayaendi bure.
@irenedaniel3546
@irenedaniel3546 6 ай бұрын
Mimi yalishanikuta sikwenda hata kupinga ndoa yao bt mingu alinilipia ile ndoa haikumaliza hata miez mitatu acheni sina hamu na hawa wanaume
@begumisachristopher4697
@begumisachristopher4697 6 ай бұрын
Maombi ni silaha. Tujitahidi kumaliza matatizo yetu mapema na haraka.viongozi wa dini ni muhimu sana kuwa makini kabla ya kufungisha ndoa,
@marthaonyango9301
@marthaonyango9301 6 ай бұрын
Wanaume sio watu jamani
@PaulineKawira-dn7ph
@PaulineKawira-dn7ph 4 ай бұрын
Ningeenda pia
@user-er1ly3me9l
@user-er1ly3me9l 6 ай бұрын
Na hata mwanamke alie fumaniwa hana akili, angekuwa anazo angemuacha mwanaume papo hp na kuondoka, je angefanyiwa yy angejisikiaje? Kama alifunga ndoa amekosea kwa mkewe si vizuri kutelekeza familia, na hata hy atatelekezwa tu. By mwaipaja . Gua D
@jovitusiinnocent7534
@jovitusiinnocent7534 7 ай бұрын
Hii ni stor bwana kwaiyo kipidi anapigiwa simu camera zilitoka wapi acheni upumbavu
@alexjosephmambo6990
@alexjosephmambo6990 6 ай бұрын
Story tu hii kwani yeye anaishi na camera kila siku au!! Et mpaka anaenda kujiandaa na wanae na camera inaona hiyo haipo snario tu hiyo
@jovitusiinnocent7534
@jovitusiinnocent7534 6 ай бұрын
Kabisa sorry hii
@GetruderMfinanga
@GetruderMfinanga 6 ай бұрын
Hata mm sijaelewa hapo
@erastolyimo2423
@erastolyimo2423 6 ай бұрын
Yaani kituko kabisa, wasioelewa wabaki hivo tulioelewa tumeeleea
@ELM-pv4ou
@ELM-pv4ou 2 ай бұрын
Stor ime rudishwa nyuma sikiliza vizuli
@veronicaUrio-wv5vj
@veronicaUrio-wv5vj 3 ай бұрын
Inauma sana dada pole we mwanaume utaenda motoni
@Kelvinchristopher072
@Kelvinchristopher072 6 ай бұрын
Ivi ni kweli au story ya kuigiza
@hellenwanjiru7989
@hellenwanjiru7989 6 ай бұрын
Asante Mungu. Huu si mwanaume wa kuoa. Hana hisia kwa mke wala watoto. Hata atakayeolewa naye, hatakuwa muema kuliko huyu mama na hatazaa dhahabu iwe atalidhika
@gikaroalexnchagoa8226
@gikaroalexnchagoa8226 6 ай бұрын
Mbona kama movie. Anaanza kupigiwa simu kamera zikiwepo, anaenda Nyumbani kujiandaa kamera ipo, safari ya kwenda kanisani kamera ipo. Duh😂😂😂
@user-gl9tr3ug9o
@user-gl9tr3ug9o 4 ай бұрын
Eeeiih sisi wanawake tunayapitia machungu sana 😢😢
@user-fb7vo2fh4w
@user-fb7vo2fh4w 6 ай бұрын
Enyi wanaume kuweni nahurma kwa sisi wanawake mtuonehe huruma ivi kweli umemzalisha mtoto wamwenzio watoto wote hao leo hii wamfanyia hivo dada .mungu atankulipa ishaallah munagu yupo pamoja nawe jitaidi sana kumuomba mwenyezimungu atakujalia riziki
@adelinaamosi9437
@adelinaamosi9437 2 ай бұрын
Yani tena mapacha mara mbili hushukuru tu
@AnithaPaulus
@AnithaPaulus 4 ай бұрын
Wee mwanume mungu akulaan
@ruzindazajonas8506
@ruzindazajonas8506 7 ай бұрын
Ni laana tu kwa huo mwanaume! Hata huo mwanamke mpya hanamume ni picha tu. Tena yule mke alieachwa ni mzuri zaidi kuliko huo mpya.
@hudhudisonline2040
@hudhudisonline2040 6 ай бұрын
😢😢
@euniceadhiambo228
@euniceadhiambo228 6 ай бұрын
it is Soo hearting
@user-ej9jf5lo5f
@user-ej9jf5lo5f 5 ай бұрын
otek matin
@user-ie1ol8eq6i
@user-ie1ol8eq6i 4 ай бұрын
Pole😢😢😢mama
@user-dm9pe5wu6e
@user-dm9pe5wu6e 6 ай бұрын
Nimeumia sanaa jamn
@DianahOsmundi
@DianahOsmundi Ай бұрын
Fainali uzeeni tutunze watoto wetu tuache kuwafikilia
@sofiaomar9919
@sofiaomar9919 7 ай бұрын
Sio haki kbsa ww uwache famili yako kwa mke mwengine lkn waume kaeni mukijua km mkeo hakua mwema kwako hata huyo pia atakutenda km ulivyo mfanya mkeo mkubwa
@roselinemoshi5008
@roselinemoshi5008 7 ай бұрын
Watoto jamani uwiiiiii 😢😢😢
@nancygitonga3282
@nancygitonga3282 3 ай бұрын
This lady needs justice
@user-nz5dh9mq9s
@user-nz5dh9mq9s 6 ай бұрын
Mungu amtete huyu mama wa watoto,,kwa mwanaume anastahili kuludi kwa mke wa watoto ikishindikana Shelia ichukue mkondo wake.
@marthanahumu6360
@marthanahumu6360 3 ай бұрын
Kuna wanaume ninkatili aiseew
@julyodette6945
@julyodette6945 6 ай бұрын
Miaka ya nyuma ningekuwa kama huyu mama lakini kwa sasa 😅😅😂😂 I dont care kabisa jamani akioa anipe kadi ya harusi ntamchangia kiroho safi 😅😅
@gladysmwatabu9154
@gladysmwatabu9154 6 ай бұрын
Umekuwa na roho kama yangu,hawa wanaume wanatunyanyasa kisha wanalimbikiza makosa kwetu aty sisi ndio tunachagia...sooooo saaad😭
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 6 ай бұрын
Dawa ya kucht ni kutelekeza na kuoa mwngne
@user-ih3cj6em5k
@user-ih3cj6em5k 7 ай бұрын
Inaumiza Jaman
@EverlyneNangekhe-yq3eq
@EverlyneNangekhe-yq3eq 4 ай бұрын
The tears of this woman will torment them
@neziajoseph9726
@neziajoseph9726 5 ай бұрын
Ndugu zangu,sisi ni wanawake na kifupi wenzetu Wana changamoto ila sisi za kwetu ni funga kazi ndio SBB tunakimbiwa mwanaume hawezi kukukimbia hiv hv maana tuna ghubu Sana...na hatuambiriki
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 6 ай бұрын
Vitoto vizuli jamani ivi sisi wanaume tupoje jamani ani kwa mimi ata ikipita siku mbili sijawaona wanangu moyo wangu unakua haupo poa sababu nikiwaza 2 machozi yatitilika kwa maixha yaduniani yalivyo mafupi hii adi nalia jaman😢😢😢😢😪
@user-ze8dy1bk7p
@user-ze8dy1bk7p 6 ай бұрын
Daaa,inauma Sana jamani.
@bitishoriziki5585
@bitishoriziki5585 3 ай бұрын
Pole familia yote ni hatari San dunia Kwisha KBS ndodunia hiyo mzunguko 😭pole dadaa
@zachariaobama8616
@zachariaobama8616 4 ай бұрын
Hiii movie Gani wajameni nataka na part 2
@nahidabooko1446
@nahidabooko1446 6 ай бұрын
Subhana Allah, wallahi uwamuzi wakuu walitoa na mbaya
@HellenMacha
@HellenMacha 3 ай бұрын
Aachane nae...moyo wake haupo naye,akapambane na Mungu hatamuacha.
@muunganoshow4212
@muunganoshow4212 6 ай бұрын
Wawawawa
@gracemecymercy3001
@gracemecymercy3001 4 ай бұрын
yauumiza sana vle ata hao watoto wanalia😭
@tianarest
@tianarest 6 ай бұрын
Ulimkuta binti kigoli mukazaa watoto wazuri 5 leo unamuona hafai ukaenda kwa mwanamke ambaye nae alisha bilingishwa na vijana huko tunaita garasa kumbuka hata warembo wanazeeka kitakulamba wew baba rudia familia yako,
@user-sn2ef2qt8r
@user-sn2ef2qt8r 4 ай бұрын
Duuu aisee sijui alipatwa masawabu gani mume adi kwenda kuoa mke mwingine daaa atuwezi jua siri wanajua wenywe jamani daaa Sema inauma usiombe ikukute😔😢😢😢
@leonardnewschannel2965
@leonardnewschannel2965 6 ай бұрын
GOD Is watching
@DianahOsmundi
@DianahOsmundi Ай бұрын
Nawachukia sana hao kunguru
@josephinemativo390
@josephinemativo390 6 ай бұрын
Hii kinaelewekwa kwa mwenye amepitia haya,Soo paining...
@theodosiamalley
@theodosiamalley 3 ай бұрын
Lilinikuta sitaki kukumbukia jamani,,hajafikiria kabisa alipaswa ajiulize kwann mwenzie kaachwa
@josephmassimba4856
@josephmassimba4856 7 ай бұрын
unaedai wanaume wote mashetani kumbuka mambo mawili baba yako ni mwanaume na uliyenaye ni mwanaume.jifunze kuona Hali na kuikabili Hali sio kugeneralise eadely like that😊
@vailethdaudi-tb9jb
@vailethdaudi-tb9jb 2 ай бұрын
Ee menyezi Mungu nipe moyo wa huruma na upendo kwa watu wote
@hellenkibone
@hellenkibone 6 ай бұрын
That couple will never see peace 😢😢
@Elizaobed
@Elizaobed 4 ай бұрын
Mwanaume Ana mapepo hawajanuombea na wafungisha ndoa wana veranda vya mapepo pia
@victoriarichard8761
@victoriarichard8761 23 күн бұрын
Huyo baba laana ya huyo mke wa kwanza itamfuata popote, alipata mke mwenye baraka tangu uzao baraka za mapacha mara mbili, yani wanaume dah 😢
@user-qg7gj5om4e
@user-qg7gj5om4e 4 ай бұрын
Poleni walimwengu
@user-lm5vo5ev5h
@user-lm5vo5ev5h 7 ай бұрын
Jamaniii nimelia ad bas
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 7 ай бұрын
Mi siwezi laumu yeyote, bali mwenyezi mungu ndiye ajuaye kilicho nyuma ya pazia😢.
@wendie954
@wendie954 7 ай бұрын
, wangwachana through divorce before kuoa tena,Ata kama angesaidia watoto sio kuwatupa na kuoa
@mussamisinzo4934
@mussamisinzo4934 6 ай бұрын
MAAMUZI ya mwanaume huenda yapo sahihi inategemea walikuwa wanaishije!
@user-eq3ui5hs7x
@user-eq3ui5hs7x 6 ай бұрын
Inaumiza san jamn
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 3,9 МЛН
MASKINI:Watoto Wanaomba Kwa Mungu Mama Yao Afe Maana Anateseka Sana|
12:15
tazama namna ambavyo walivyo ingia utapenda
2:06
MC MBONABUCHA SENIOR
Рет қаралды 30 М.
#BABA #ALINIVUA #NGUO #ZOTE
13:09
XPLUS TZ
Рет қаралды 575 М.
PENZI LA DADA WA KAZI 💞 | Love Story
30:06
DONTA TV
Рет қаралды 4,9 МЛН
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН