Our mission is to bring people together,entertain and educate people that's why we create content that does exactly that
Пікірлер: 64
@mbeguofficial66463 күн бұрын
Mungu awafanyie wepesi ndugu zetu wakenya - from Tanzania
@blessedggithinji61924 күн бұрын
Jeshi chukueni ushukani inKenya🇰🇪🙋🏼♀️🎤💃 aresign😢 hatutaki kuzika watoto tens my son wife karibu akufe jana live bullet ilitupwa kazini mwake nimempeleka hosi leo na hakuwa in protest Ruto resign wakenya wamekukataa🇰🇪🙋🏼♀️🎤
@issashekh47263 күн бұрын
This guys are so talented and curious for their national issues
@RandaAoun-bh1qd4 күн бұрын
Trump is just an Hyena like Ruto they play the same game ...but ruto anasahau Kenya sio kaa US. gen Z let's fight for our country
@samxx4114 күн бұрын
Hawa wakenya au ??? Kazi ipo kweli...wananikumbusha university life 😅😅😅
@user-id4tb5yf4n3 күн бұрын
Vle kunaenda jamaaa aresign tuuu hakuna future kaa maandamano haishi watu hawamtaki ama akikataaa atang,olewa hyo sioni hta akifika 2025 ngojeni muone watu wangu💪💪
@damaschengula14333 күн бұрын
Sorry our fellows Kenyanian people, for all happened nor one who are above the roles and nor one can fire out the right.
@mohamediabdalah76504 күн бұрын
Laaana kwarutto hii duh awaombe sana samahani
@martinmurathi94184 күн бұрын
A little comedy in such tough times in our country is not bad😅
@geofreymamboleo70912 күн бұрын
Its time people knew this is our country
@user-bp7ry5ey1f3 күн бұрын
Nimefurai vile mwizi yuwafanwe😂😂😂😂
@user-bw1wn3sz4z4 күн бұрын
Ruto atoke madarakani aende
@deonicemollel42054 күн бұрын
😂😂😂😂ruto kazi unayo haki mungu
@tida37273 күн бұрын
Huyu anahitaji delivarance yakumwaga damu haina hatia..huwez ongoza while demons r still with you..u need deliverance Sir😢😢
@ElizabethMutuku-r8m4 күн бұрын
Wiliam of ruto
@salmamlokela19873 күн бұрын
Kwa maandamo aya na mlivoharibu vitu hali itakuwa mbaya zaidi kiuchumi
@emmanuelidd52624 күн бұрын
Nimefrh san
@jameskenny18083 күн бұрын
Wa Kenya kweli muna sahau haraka kabisa ruto katenganisha Congo DRC AND Kenya ruto ka muuwa mkuu wama jeshe ya Kenya hapa juzi leo hii ata wa hurumia? Jeshi la kenya lina pigana Congo upande wa waasi hayo ha muyaoni?
@ZubeirJuma-up7kb4 күн бұрын
Uyo mwamba alorukia picha ya ruto na kumpiga ngumi
@blessedggithinji61924 күн бұрын
Kenya inawaka moto
@user-ib2ew9ec3d3 күн бұрын
Wamama wanaongea kwauchungu Yani wapo tayari wafe wao vijana wao wabaki Yan had machozi yamenitoka japokua Mimi sio mkenya poleni sana wakenya akinamama wanaumia said
@RobinsonLifeTv3 күн бұрын
😢😢
@TumbaMbayo3 күн бұрын
Mama anasema kweli muli ambiwa na hamuku sikia leo muna kumbuka uhuru na Baba na bado
@user-ih4kw5eb3d3 күн бұрын
Sasa siwewe umesoma 4m4 sasa haujui chochote😂😂😂😂
@exaverysimon10644 күн бұрын
M NGEKUWA RUTO NGEJIUZU 😂😂😂😂 KUONGOZA WATU KAMA HAWA N STRESS
@GladysPerfection-gn5yf4 күн бұрын
Sasa hii utoto usikizwe na nani? Wazimu wenzake
@chemotokaula-ew1zn3 күн бұрын
Kumbe hata hamjui kizungu?
@blessedggithinji61924 күн бұрын
He must resign😢
@NdekejaKamuli-sh5pe4 күн бұрын
Hahahahaha kiingereza Kenya bado sana
@jaysmart32774 күн бұрын
Hii ni uwanja wa comedy budi kuwa mwelevu,Pastor Mugogo alisema kuzaliwa Kenya tayari form six upo?
@issashekh47263 күн бұрын
😂😂
@issashekh47263 күн бұрын
Innalillahi wainnailahi rejiun
@user-nq4hs1lb6p3 күн бұрын
Hawa ndio wanajua inglishi
@MoinaminaAmina-qh1jb4 күн бұрын
Kafara hizo kwani hamkuelewa kua Ruto jeuri tena yuko kwenye kikundi cha maframason mashetani ????
@hazmanriess89493 күн бұрын
This was the side effect of very week of education system in Kenya. No moral and good civic attitude in social system. They the Kenyan political like to copy western system. We are so glad that we are East Asian people. More dicipline and good moral.
@mwalimhamad38254 күн бұрын
Fikiria siku wakukute live utapenda
@malkavoice25704 күн бұрын
Niliwaambia Kenya mchawi ni Lugha mkaniona mjinga,mnaona sasa?
@abdallaabdulrahman17493 күн бұрын
They are just comedians trying to entertain the gen Z families and the mass in general but also sending messages and politicising at the same time 😅😅😅...kizungu kilikuja na meli lakini wamejaribu
@mourineanyango20823 күн бұрын
Ruto is cussed
@DuncanKodia4 күн бұрын
Mama wacha ujinga ww wakufe wate mbona munawahacha wahende madamano ya kuiba Mali ya watu
@MoinaminaAmina-qh1jb4 күн бұрын
Uhuru Kenyatta mlimtukana matusi yote nakumfedhehi wazi wazi eti raisi mlevi mhuni mwizi hâta mama yake mama ngina mlimtusi sasa ?????
@DuncanKodia4 күн бұрын
Toka apo mama ww
@jacksongikaria57804 күн бұрын
The devil wears kaunda ruto must go
@DuncanKodia4 күн бұрын
Wacha ujinga ww mama
@DuncanKodia4 күн бұрын
Kwani nyinyi ndio muna Tuma watoto wavuje makazi zawatu ama
@rachelmaina34763 күн бұрын
Where does trump come in.NURU you had very many points in KCPE.Can't you construct a sentence.Wacha kununua certificates.
@khlafanmwassa4 күн бұрын
Hawa ndio Wakenya wanaojinasibu kwa Watanzania kwamba wanakijuwa saana kiingereza, hebu twendeni pamoja hapa { William of Ruto} tuko sawa hapo Watanzania jamani ?
@SoudShuraim3 күн бұрын
Hawajui jambo Kiswahili kibovu,English mbovu,Bora hao wa tz
@othmanmaulid48674 күн бұрын
Sijui Bongo tunakwama wapi
@fatumakidoa40064 күн бұрын
Subutu😂😂
@salmamlokela19873 күн бұрын
Hao maaskar wao si wanawachekea uku utapewa mbao wa uso uamke mwenzi ujao kama ni rungu mguu wote utakuwa chengachenga 😢@@fatumakidoa4006
@alisaadmohammed3 күн бұрын
Anzeni na nyinyi tena TZ IKO NA WATU WENGI KULIKO KENYA
@alihamdan86034 күн бұрын
Sasa mkisemahivo limshaagua mnataka taede wapi sisitul0mshagua nimungu nàkama nyinyi m.imshaguap mngiekua mme mmemutoa kwahivio wachaneni na yeye piriod na muche hio kenya .niyetu sisi wote wakubwa na wa dogo
@khlafanmwassa4 күн бұрын
Wakenya ni wapumbavu wanaua uchumi wao wenyewe kwa maandamano yao ya kijinga tu.
@vickymacharia37903 күн бұрын
😂😂😂
@juliusdonard9334 күн бұрын
😂😂😂😂
@jovitusiinnocent75344 күн бұрын
Acheni upumbavu nyie akuna nchi ilisha wai kwendelea kwa mahandamano pumbavu zenu