Gift Kuna time anaongeaga point sana huyu dada ila watu hamjui TU nakupenda buree gig
@jamiramussalubwaza6137 Жыл бұрын
Unazungumza point Sana g nice
@innat042 жыл бұрын
Giggly angesoma angekua mbali sana, she is very clever.
@mohamedhaji2200 Жыл бұрын
@Humai_d8 umeona eehh
@winfordmwangonda5375 Жыл бұрын
"Mtu unaweza kumjuwa jana, lakini leo humjuwi, watu hubadilika kila siku"... this girl is very smart.
@morinejoseressiriam4581 Жыл бұрын
I love you gigy...! Upon mkweli...sanaa
@sumatanjunior2312 жыл бұрын
This lady is so beautiful.
@kanyangeadidja2178 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉ukweli usemwa Gigy ukojuu❤❤much love
@bellahariminshi5149 Жыл бұрын
Nakupenda sana Gygy😍 . Me huwa nakuelewa saana.
@neyhsangawe6188 Жыл бұрын
Uko vizuri sanaaaa giggy
@khadijamseya2344 Жыл бұрын
Nakupenda sana GIGY 😍
@aliseif564 Жыл бұрын
Mumeskia apo kuna desperations nl Gigy ni depression bana unatuaibisha😂
@sashahauke20322 жыл бұрын
Sema nini gg akili kubwa sanaaaaaa kuna kitu fulani hivi anatakiwa apunguze
@jackyluns82242 жыл бұрын
Kitu gan apunguze
@mohamedhaji2200 Жыл бұрын
@@jackyluns8224 bangi
@naomicoin88852 жыл бұрын
Love you mama mayla no matter what❤❤❤🥰
@mbuyancholla2852 Жыл бұрын
Mama Mayla keshasema 😂😂😂 good job 👍
@sureiamboo2 жыл бұрын
GIGY IS TOO REAL 😍😍
@jumalihumbo89372 жыл бұрын
Napenda sn interview za gigy is so really
@terashangwe2552 жыл бұрын
AISEEEH nakupenda sana Dada Yangu Kipenzi yani Cover yako na Kilichopo ndani yako ni zaidi YA Gold
@josephnemgosi8804 Жыл бұрын
Ruge aliiona kichwa cha gigi yuko freshh
@marymtui2501 Жыл бұрын
Yani huyu dada nampenda kulko maelezo she is really na anaongeaga point sana
@iddahchimwenje55142 жыл бұрын
My gigy nakupenda bureee🥰🥰🥰
@christianedward10922 жыл бұрын
Penda Sana wee Gigi mamai Mayra❤️❤️💅
@annasteshamsimba8862 Жыл бұрын
Ila dad gigy aisee natamn hat ningekuw nakaa dar nikiw sin kaz nakuj tu kukuanglia nakupendg bureeeeee🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@celinegeraldbenjamin95372 жыл бұрын
Tuone na interview zingne za gigy atta ya video ake m nampenda uyu dada jmn🥰🥰
@malaikamzuri66042 жыл бұрын
Ummm ati wanasema GG hayuko sawa 🤣🤣🤣nyie twende mbele tu mana nyUma matukio n chini ya 18 yrs🤣🤣 GG acha tuendelee kuelewa…kuna sehem nimesema I WISH kwa sauti jamani 🤣🤣🤣💥
@heriethmichael61382 жыл бұрын
Huyu nae kujifanya kila kitu anajua mmmh
@trillhappybeautypoint9874 Жыл бұрын
Gigy anaakili sana 👏👏👏
@amazing_grace53922 жыл бұрын
i love gigy😍😍
@hawaaomar51482 жыл бұрын
ila gigy jmn 🤣🤣🤣eti simjui 😅😅nakupendea hivyo tu kuongea ukweli ♥️♥️♥️♥️
@zahraesmail615 Жыл бұрын
Nakupenda sana ww dada
@janethedward1533 Жыл бұрын
Gg akili sana ila punguza bange na pombe utafika mbali 😉
@irenebeddah65242 жыл бұрын
I luv u gig..
@gentillehassan3018 Жыл бұрын
My Gigy ❤❤❤❤
@khadijatirionaire2510 Жыл бұрын
I love you Gyg ur good
@benatusmarwa83602 жыл бұрын
Gigy Leo umefanya nimekupenda sana
@fainessperson80102 жыл бұрын
I love you gigy😁
@thauratsaid2373 Жыл бұрын
Replies
@yunislemnge5558 Жыл бұрын
Gigi una akili.sana .unaongea vizuri kingereza gigi uko smat kichwani .
@jenniferevaris5216 Жыл бұрын
I love you sister ❤️❤️❤️❤️
@imanuelmallya6172 жыл бұрын
GIGY MONEY ILOVE YOU MY SISTER
@mergaton2 жыл бұрын
Ook
@rosebruno67762 жыл бұрын
Nimempenda Bure jaman some time anaongea point
@mamuumuu4999 Жыл бұрын
Mtoto wangu ni baraka kwangu 😁😁😁😁😁😁
@johnkasambula3452 жыл бұрын
Gig uko poa sana dadaangu mungu akutunze daima unaongeaga fact sana lov u gg
@adamsengo18692 жыл бұрын
Yani nashangaa watu wanavyomuona Tunda eti ni pisi kali aisee daah 😁
@halimangumbao5574 Жыл бұрын
😂😂😂
@brigidmua25482 жыл бұрын
Tunda has baby no 2....na wote wa whozu...mbona giggy
@halima238622 жыл бұрын
It’s her business ajali maisha yake sio sawa
@glodynkondo98002 жыл бұрын
uyu dada anaongeyaka ukweli sana watu awaelewake
@jazeerajuma47462 жыл бұрын
Watamuelewa tuu one day inshaallah, mie namuelewa sana
@mariamselemani1366 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@anthonbudoda34202 жыл бұрын
Sema gigy jaman anajielewa kuliko mastar wa bongo mkubal mkatae NAKPENDA SANA S*
@saumumuya5908 Жыл бұрын
Kuna muda anaongea point balaaaa
@bwambaleaugustine82392 жыл бұрын
Good
@saumumuya5908 Жыл бұрын
Ila tunda Kuna maisha inatakiwa ayaache la sivyo atakuja kujuta akishakuwa jioni
@monicacyprian91372 жыл бұрын
Hii interview tamu jmn Gigi aliua sana jamani
@ashurajengela39262 жыл бұрын
ila gigy umeamua kusemea na mahusiano ya wenzio 😂😂😂🙌🏻
@sophiahmedza9292 жыл бұрын
😂😂😂😂😜😜😜
@winfridangoloke19162 жыл бұрын
Akati yake ndo mazito haswa🤣🤣🙌🙌
@marymissb52312 жыл бұрын
Stress za maisha za pesa anatak mtu aishii kifahar pes ana
@jizzotheking9238 Жыл бұрын
Gigy money jiandae ni zamu yangu kuzaa na ww
@irakozeahmed12192 жыл бұрын
Huhuhu
@jaymwadzi68562 жыл бұрын
weeeh Gigy anajielewa bana!
@imelda6495 Жыл бұрын
👌👌👌
@yama_virginhairthequeen10652 жыл бұрын
Wozu akome si alichukua huyo demu kwa abdel
@tumakassim62862 жыл бұрын
Halafu kumbe huyu Gigi ana akili sana.
@rachelphilbert73942 жыл бұрын
Sana na anauwezo mkubwa sana wakureason sema tu maisha
@hahmadhabibu20762 жыл бұрын
@@rachelphilbert7394 she is Gemini huwa wanafiki araka sana to come up with solutions
@klalenshmlelwa77362 жыл бұрын
Gigi uko vizuli
@rajabushabani7681 Жыл бұрын
No kweli kabisa
@mwigakatumpula68522 жыл бұрын
Siku zote matatizo huwa haya tatuliwi na akili zile zile zilizo sababisha matatizo husika, Sasa gigy ana pata wapi huo ujasiri wa kujadili mahusiano ya watu wakati yeye mwenyewe yamezidia 🙆🙆🙆🙆🙆🙌👆🤣
@masalakulwa76012 жыл бұрын
Nimeshangaa balaa
@misungwikids5632 жыл бұрын
Ukiacha kufuatilia ya wa2 gigi....hkna utajua ipi ni njia sahihi ya ww kua na strong relation🤔
@vanessalaizer43632 жыл бұрын
Sasa asingejadili ungekoment wapi dear?? Em acha unafki basi, mbona hakuna baya alilosema jamani
@mwigakatumpula68522 жыл бұрын
@@vanessalaizer4363 mambo ya Mitandaoni yasikunyime hamu ya chakula kwaiyo ukiambiwa huna akili basi ndio utaamini kuwa hauna akili wakati una jijua una akili kwaiyo wewe calm down 😃😃😃🙌🙌
@maryombella24092 жыл бұрын
Wanawake tunatabia ya kutambiana bu ujue kama mwezio kaachwa na wew ujue utaachwa,ambacho hupend kutendewa usimtendee mwenzio la sivyo utaumizwa sanaaa mama mtafute Mungu na akuongoze kutafua pesa
@vivianephraim18702 жыл бұрын
Nakupenda gig money unaongea ukwel
@aikhasospeter20342 жыл бұрын
🥰🥰🥰
@dapparadio91292 жыл бұрын
Sepalentliiii😁😆
@ruthcharles20742 жыл бұрын
Mahusiano yana changamoto sana
@shetijay Жыл бұрын
Gigi ni fala,yuajifanya mzungu...dada kizungu sichako ongea kiswahili.
@dianakamsoka24752 жыл бұрын
Kwan wameachana ????
@azzamahamdu70392 жыл бұрын
Poor whozu 🥲😍 Tunda will regret soon🤔 Tunda hakui yule mtoto khaa Nahic kanadekezwa sana kwao😝
@agnesslebayo90212 жыл бұрын
Sana whozu anger chukua tu mtoto wa mkulima mwenzake
@aishaibrahim56072 жыл бұрын
Kama penzi latunda na whz halikunoga bs nikama penz lake gigy nauyo bwnaake
@ashahassan21202 жыл бұрын
Uyunae kwaiyo leo hujui dunda aha mdomo
@ruthmshashi21592 жыл бұрын
Ninakukubali sanaaa Gigy.
@enedylaizer985 Жыл бұрын
I love you baby girl
@imaculathamhagama74242 жыл бұрын
Mwiten na tunda
@chaliiyatunda2 жыл бұрын
Kadiiibiiii😅😅😅😅😅
@aaliyamiracle6504 Жыл бұрын
She looks like cadi B
@trinityasengah75402 жыл бұрын
Hata sijaelewa ...
@DavisEnglishTv2 жыл бұрын
Tunda she is expensive..Mmh!
@waridicleaningfumigation7322 Жыл бұрын
Mie siku zote nawaambia huyu dada nyie mnaona chizi ila huyu anaongea vitu vya maana sana
@anetjoseph18262 жыл бұрын
Totally gift ni chizi simwelewagi,anaongea pumba tu
@rahmadavid24792 жыл бұрын
You see, chz huyu
@midilastahans7188 Жыл бұрын
utamuelewa tuu.katika watu wakweli.waungwana na wenye HOFU ya Mungu NI huyu dada. Gygy asie nielewe huyu mtoto nikichaa tuu.nampenda mno natamani hata kuwa na number yake nimpongeze tuu.mtoto .zur na mikweli mno.
@barikaali18612 жыл бұрын
Gigy kama gigy
@elipendomkumbo7669 Жыл бұрын
Anaongea kitu real kumbe anaakili kumbe!
@deusmboya8692 Жыл бұрын
Huyu Dada huwa na mwelewa hana mambo mengi very very smt
@mwamvitashabani1747 Жыл бұрын
The psychological shit is really and too bad Tanzania few people take it seriously
@monicahmoni87792 жыл бұрын
Tanzanian cardi b so dramatic i love her from kenya
@pendokimaro1380 Жыл бұрын
Gigy umekua sasa
@giliadbrauson3368 Жыл бұрын
Oky
@priscaluwanga7962 Жыл бұрын
Nampenda sana Gigi ase
@jafnasog14932 жыл бұрын
Bila kudanga gigy ana akili nyingi sema tatizo demu akishatoa chini kwa wanaume wengi Yale maji yanaendaga kwenye ubongo that why madanga akili zao azikuagi fresh 100% laasivyo gigy ana akili nyingi sema pia maisha yamemfunza vitu vingi
@immeldantausigafoundation37952 жыл бұрын
Exactly
@hellenchiristian33682 жыл бұрын
Huna hakiri kabsa ww kaka
@crershawmafia10092 жыл бұрын
Gigy ameanza uhuni utotoni ila ameshakuwa na kuelewa maisha kwa sasa ana admit japo its late. This is so common kwa watoto wenye asili ya kinyaki na ndio style zao ila angetulia shule she would been very good ana confidence na nyota ya kukubalika.
@leahmlagwa2842 жыл бұрын
Fact
@janemhangomhango58412 жыл бұрын
Gigy money anaongea ukweri Tunda anakera kwakujionesha nawanaume mtandaoni
@lavenderslim94952 жыл бұрын
Kizungu ilikuja na meli
@agneszacharia50342 жыл бұрын
Gigy mungu akulinde na ngurumbili
@khadijahali48372 жыл бұрын
Vido kicheko chako cha unafiki 🤣🤣
@djmeza411a582 жыл бұрын
Uyu bint uwezi kundanganya kitu
@baibe...rino..2 жыл бұрын
Acha ufala gigy usiharibu mahusiano ya tunda....fala wewe kafie mbali
@fauziakarama85812 жыл бұрын
Huyo Gigi ana matatizo ya mapenzi mbona anamsema Tunda wakati yeye ana yake kibao, huwezi kumchukia mtu wakati ni baba watoto wake mbona yako Tunda hakufatiliii haeleweki kwa kweli.
@batulimabewa69532 жыл бұрын
Nashangaa interview ni ya kwake lakini anaongelea maisha ya mwenzake
@jazeerajuma47462 жыл бұрын
Jamani kaulizwa kuhusu tunda na whozu sasa asijibu yanayo Jiri hapo?
@didasvalerian72632 жыл бұрын
Kwan interview nzima kaongelea wao angalia tangu ya kwanza ndio muongee kaulizwa kuhus whozu na tunda lazma ajibu jmn
@hedwigjohn62762 жыл бұрын
Punguza uwazi bn ila gig
@omanoman20442 жыл бұрын
Gigi nakupenda san unaongea ukweli
@sarahgaula22202 жыл бұрын
Basi mwenzio anajielewa kama anampa mwenzie mtoto
@maryamtan6822 жыл бұрын
Tunda mda wt Anawaza starehe.
@drjamesjames93372 жыл бұрын
Gigy🙌✌️
@priscaphedrick5970 Жыл бұрын
Gig kama gigi
@adetaurus2 жыл бұрын
Usiusemee moyo, moving on isn’t something imebandikwa kwenye forehead.