GWAJIMA Mbele ya IGP SIRRO - "WANANCHI MNAHAKI KULAUMU JESHI LA POLISI"

  Рет қаралды 76,141

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

GWAJIMA Mbele ya IGP SIRRO - "WANANCHI MNAHAKI KULAUMU JESHI LA POLISI"
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 86
@lubatikoseme9412
@lubatikoseme9412 2 жыл бұрын
Asante officer... Uzazi wa mpango
@wajinajecha5029
@wajinajecha5029 2 жыл бұрын
Sirro jiuzulu kazi imekushinda nenda kawe mwana siasa hiyo ndio fani yako
@SamsungGalaxy-kx2zj
@SamsungGalaxy-kx2zj 2 жыл бұрын
Panya road wa Dar ni mafurushi police watowe amri wauwawe popote wanapo onekana awe na silaha au hana jela haita wafaa
@abdulkareemchacha2625
@abdulkareemchacha2625 2 жыл бұрын
Hongera sana Kamanda Sirro.... wazazi wenye watoto wahalifu wachukue hatua bila shuruti wasingoje jeshi la polisi lichukue hatua....
@manpollobeatsug
@manpollobeatsug 2 жыл бұрын
Really
@omarikessy2339
@omarikessy2339 2 жыл бұрын
Sirro ukweli ameweza kabisa kuondoa ujambazi na bunduki atusikii ujambazi walaaikum bumduki Sasa 👍🏿👍🏿👍🏿
@martinmngeni5319
@martinmngeni5319 2 жыл бұрын
Mm nahoji kwamba Tanzania tuna wanajeshi kazi yao ni ipi? 2 hivi kumbe panyarodi na jeshi wenye nguvu ni panya rodi , ushauri : naomba jeshi la polce lihamie Apo kwenye tukio ndani ya wik Nina amini jesh letu litafanya kazi yenye kuwapa matumaini wananchi na kuwaondolea hofu walio nayo wananchi hatulaum Ila ni ushaur
@happymhuli725
@happymhuli725 2 жыл бұрын
Wounderful!!!!!!!!!!😃😃
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 2 жыл бұрын
Machinga walipo fukuzwa tuliwambia kuwa hili lingetokea na linaanza sasa na wala Polisi hamtawaweza watu wenye njaa .
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
Wasipewe simu hadi miaka 18
@emmanuelpeter5686
@emmanuelpeter5686 2 жыл бұрын
Sema hivi msije mkailaumu polisi Sio mnasema msije mkailaumu jeshi
@dubaidubai9807
@dubaidubai9807 2 жыл бұрын
Ashakua hatoshi huyu IGP NIBORA AKAE PEMBENI APISHE WANAO FAA . UKIWA IGP HUWEZI KUONGEA SIASA KATIKA ISHU YA KUHATARISHA USALAMA WA INCH ETI NIPIGIEN MAKOFI . DUHH HATARI HII
@rashidramadhan7708
@rashidramadhan7708 2 жыл бұрын
Eti nimeskia "Hebu nipigieni makofi hapo kidogo" 😃😃😃 Nchi ngumu sana hii
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
Kama wabunge kidogo makofi 😂😂🤣😂🤣
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 2 жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@saidkhamisi6883
@saidkhamisi6883 2 жыл бұрын
Hana ubunifu Kamanda Siro. Kazi yako imekwisha hicho kizazi cha digital, wewe yako Analogy! Wapishe wengine!! Utaongea vitu ambavyo havipo katika jamii
@happymhuli725
@happymhuli725 2 жыл бұрын
Sio Dar hata huku Mwanza matukio yamezidi Tena karbu nakituo Cha polisi
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
Bunduki munaitumia Zanzibar kila Uchaguzi
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 2 жыл бұрын
Dah cijui nikutunze nn maana imewapasua kichwa
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
@@aishaaisharagp9381 haki haipotei hapa duniani inapote ila kwa mwenye mamlaka yte haipotei 😊😇
@amorich_tz824
@amorich_tz824 2 жыл бұрын
Warudie ajira watu walijiajili kulitulia sana mmewatoa mitaani vibanda mmevunja sasa wamejiajili upya
@JumaRashidi-qu6nv
@JumaRashidi-qu6nv 2 жыл бұрын
Yaaaani Kama ni amri yangu hao wote ni kupiga risasi Tena hadharani ili kutoa fundisho kubwa kwa wengine,
@msomimosomy9812
@msomimosomy9812 2 жыл бұрын
Mm toka tz ipteuhulu haijawahi kupata IGP bola Kama silo silonibolasana ila mm nizaifu Sana naanamnyimamolali wakazi IGP wetu
@maghanighanichali9519
@maghanighanichali9519 2 жыл бұрын
Kamanda unaanza mafunzo tena hapo.asiyefunzwa na maamaye hufunzwa na ulimwengu.Kazi yako ww ni kuwashika na kunyongwa.
@ArnoldMarnod
@ArnoldMarnod 2 жыл бұрын
Unazinguwa wewe, Uncle Magu angekuwepo ungetumbuliwa
@amanidicksoni3945
@amanidicksoni3945 2 жыл бұрын
Nyie viongozi mnajitoa ufahamu hayo ndio matokeo machinga mlio watimua ndio hayo hali mbaya
@ramashemngindo5719
@ramashemngindo5719 2 жыл бұрын
Hilo biti sasa mmmmh
@pharmaceuticaladviser1760
@pharmaceuticaladviser1760 2 жыл бұрын
Tatizo kunasungusungu mahiri wanakomeshaga hawa panya road mwishoe huishia jela panya akikutwa kauwawa mfano mzuri uweso wa gongo LA mboto alikua sungusungu aliye komesha panya road kabisa hatima yake hadi sasa yupo jela
@damianmwalyego7870
@damianmwalyego7870 2 жыл бұрын
Mi nadhani wanamdhamini
@kctech868
@kctech868 2 жыл бұрын
Jeshi wapewe nafasi..makofi tafadhali
@richardbituro2386
@richardbituro2386 2 жыл бұрын
Jeshi letu la polisi libadili utaratibu waache kuvaa uniform na wapishane maeneo mfano wa kisutu ashinde tandale asipojulikana, hapo hii nchi itakaa salama, nchi imekuwa kubwa, askari ni wachache kwa hiyo watumie weledi mkubwa.
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
"Wananchi wakichoka hawana namna". Hekima ya Mkuu wazazi tulielewe.
@israelmwanga1786
@israelmwanga1786 2 жыл бұрын
Nimesikia hapa nikulinda raia na Mali zao🙄🙄🙄🙄
@sudaissaid8428
@sudaissaid8428 2 жыл бұрын
mzee umechoka sijui unaongea kuusu nini
@asnaqudra4186
@asnaqudra4186 2 жыл бұрын
Musiwatoe hao watarudi wafunge hadi kufa
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 2 жыл бұрын
Kikundi hiki kifutwe kwenye uso wa Dsm. Hakifai kabisa.
@thomasraiton7760
@thomasraiton7760 2 жыл бұрын
Sheria ni kitu kizuri sana ila kwa hawa panya ilikuwa ni kuwanywesha sumu ya panya mende kunguni viroboto na kutokomeza kizazi chao kabisa, hawafai kwenye jamii hata kidogo ila waishukuru sheria
@ulaweboy3479
@ulaweboy3479 2 жыл бұрын
Toeni ajira watu waache uwizi
@erastomapunda1444
@erastomapunda1444 2 жыл бұрын
Mmezoea kupambana na cdm wananchi hatuna amani mitaani
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 2 жыл бұрын
hv hao panya wanaruzidi ujanja wananchi wote wa dar!!!??
@anastaziastanford3219
@anastaziastanford3219 2 жыл бұрын
Chaanika walivwo zuriwa na panya rodi
@maghanighanichali9519
@maghanighanichali9519 2 жыл бұрын
Cammander unawaomba panyaroad wayatupe mapanga.hao ni kuua tu hamna msamaha.Ukiwabembeleza watasumbua sana shika ua
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 2 жыл бұрын
🤣😜🤣🤣🤣😜 Gwajimaaaaa Ng'ata kisha puliza😜😜
@benardthomas8347
@benardthomas8347 2 жыл бұрын
Tusilaumu wazazi, watoto wasiku hizi wakibalehe wantoroka nyumbani kwenda kufanya huo utapeli, hakuna haja ya kusababisha watu wenye familia kutesa familia kwasababu yakujeruhiwa kwa mapanga, kwanni police wasiwanyaganye hayo mapanga yao haraka haraka?, Au wawalazimishe kuacha kukata watu.
@vicmagina4394
@vicmagina4394 2 жыл бұрын
Polisi wamejikita hasa Trafiki kubambikiza makosa na faini onevu hasa maeneo ya barabara Arusha Moshi
@joycekusalula9732
@joycekusalula9732 2 жыл бұрын
Polisi mmewashindwa panya rodi tuelezeni tatizo ninini
@samwelseverine7838
@samwelseverine7838 2 жыл бұрын
Huyu mzee zmeruka kidogo
@dostovan5142
@dostovan5142 2 жыл бұрын
Sirro bado yupo tu?viongozi ndo walaumiwe
@AfricabeyondtheLimits
@AfricabeyondtheLimits 2 жыл бұрын
panya road mbona kipindi cha magu hayakuepo???…. miaka 5 hamna uu ujinga
@haroldtarimo3115
@haroldtarimo3115 2 жыл бұрын
kwani magu alikuwa ni police wewe pambana na Hali yako magu Kesha tangulia
@ArnoldMarnod
@ArnoldMarnod 2 жыл бұрын
Tokea magufuli amekufa na wewe umebadilika umekuwa "DABWADA"
@SamsungGalaxy-kx2zj
@SamsungGalaxy-kx2zj 2 жыл бұрын
Watoto wadogo wa kulaumiwa ni wazazi
@rafikingango
@rafikingango 2 жыл бұрын
Wimbo " Uko mwema " is out now 🎶🎶🎶🎵🎶🎵🎶🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼 kzfaq.info/get/bejne/ebp7eNlou7vUgpc.html
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Msitutukane sisi tusiokuwa na watu huko juu serikalini, vijana wetu Wana degree na kazi hawana mnajiajiri wenyewe tu. Ondoeni umaskini watu wanakula mlo mmoja Kwa siku na mmewahamisha hovyo wamachinga mlitegemea nini?
@richardmganyasi6963
@richardmganyasi6963 2 жыл бұрын
Aggi unaakiri kweli kwenye kichwa chako.Yaani hata huwaonei huruma hao waathirika wa mapanga unacho jua ni ajira tu
@binmasoud6237
@binmasoud6237 2 жыл бұрын
Bibi aggi kwa namna moja au nyengine unashiriki kwenye haya matukio naliomba jeshi letu la polisi lipate maelezo ya kina kutoka kwako coz vijana wako wanashiriki kutokana na maelezo yako
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
@@richardmganyasi6963 well labda sina akili na hongera wewe mwenye akili lakini tukitaka kutatua tatizo lazima tuangalie root cause ya tatizo
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
@@binmasoud6237 nikupe address yangu au namba yangu ya simu au email address ili hao serikali ije kunihoji, Mimi naiheshimu serikali siiogopi, so waje tu, kama nilivyomjibu mwenzio, ukitaka kutatua tatizo angalia Kwa kina chanzo chake, Kwa nini hao vijana wamekuwa hivyo. Hata kama wanavuta bange mitaani ni Kwa sababu gani, sio kututukana wazazi tuzae watoto wachache tunao wamudu wakati kuna wasomi hawana kazi vijiweni ambao tumewasomesha Kwa hela zetu kazi Wana peana wenyewe Kwa wenyewe
@richardmganyasi6963
@richardmganyasi6963 2 жыл бұрын
Aggi Bibi angel Mungu akupe ufahamu wa mambo.Hao panya road unao wasikia ni watoto chini ya miaka kumi na saba Ambao kimsingi walitakiwa kuwa shule.Hao ma bosi zao wanao unda hiyo magenge ni wale ambao waliwahi kuwa waharifu na wakafungwa na Leo wametoka jela na kuanza uharifu tena.Hapo kati ya hao hakuna aliye soma na KUKOSA ajira.Sasa hapo polisi unawalaumu kwa lipi au wao polisi ndio wanatoa ajira kwa watoto siku hizi hebu kuwa na hata chembe ya huruma kwa hao waathirika wa MATUKIO haya.
@yekoniakusiluka338
@yekoniakusiluka338 2 жыл бұрын
Hutoshi
@haarunsaidabdillahi4082
@haarunsaidabdillahi4082 2 жыл бұрын
Ameshindwa kazi huyu
@kamlkaml4509
@kamlkaml4509 2 жыл бұрын
waludisheni machinga wizi utaisha uwo
@kamlkaml4509
@kamlkaml4509 2 жыл бұрын
watu awana seemu ya biashara ndoo maana wanatumia nguvu kuiba
@JK-uq1tv
@JK-uq1tv 2 жыл бұрын
Machinga wa nn wee vp sheria za Nchi lazima zifuatwe siyo kila mahali nipakufanyia biashara wafuate utaratibu wa sheria za Nchi
@mzanzibariwakweli1312
@mzanzibariwakweli1312 2 жыл бұрын
Ww siroo muwaji kama Wauwatosa wengine
@daudabdallah7843
@daudabdallah7843 2 жыл бұрын
Tatizo ni pale raia mwema anapoenda kumripoti muharifu akikamatwa muda mfupi analudi na moja Kwa moja anamfuata yule mtoa taarifa na kumfanyia fujo, baadhi ya polisi hawafichi siri
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
Kweli
@mzeesuliman3158
@mzeesuliman3158 2 жыл бұрын
YULE SAMIA MUUAJI KAMUUA JPM NA MAWAZIRI WAKE WOTE MPAKA KINAMKAPA MENGI WOTE WALIKUWA WANASAPOTI MAENDEREO
@freefiretanzania4049
@freefiretanzania4049 2 жыл бұрын
Mjipange vizur inamaana mnaogopa panya roud Hao kuliko wamjegeje bwana hamza
@danielmwambeje3336
@danielmwambeje3336 2 жыл бұрын
Angalia kauli zako hizo zitakuponza!
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Ww zoro. Ndo mpuuz kbs ww unafugqqjqmbqzi unakata. Panya rodi
@mzeesuliman3158
@mzeesuliman3158 2 жыл бұрын
WATANZANIA MSIKUBARI WATOTO ZENU WAULIWE HAPO YULE RAISI AJIUZURU YOTE YANAOTOKEA NI YEYE
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 2 жыл бұрын
Akju udhuru akaongoze mama ako na baba ako wacha uchonganishi
@fantsonmpango7502
@fantsonmpango7502 2 жыл бұрын
Chadema hawafurukuti kwa polisi, mbona panya rd ni tishio kwa polisi?
@maswamills3161
@maswamills3161 2 жыл бұрын
IGP SIRRO namwaaminia Sana kwa kazi yake. ,wote hao panya watakamatwa na wataumia watapata tabu Sana.. na sisi wananchi tutoe ushirikiano kwa polisi .
@giftmasawe3780
@giftmasawe3780 2 жыл бұрын
Payarodi
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Huduma hiyo sasa😂😂😂
@ramashemngindo5719
@ramashemngindo5719 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣gwajima mbona Kama ..............
@khamismaulid6839
@khamismaulid6839 2 жыл бұрын
Wewe mshenzi ka washenzi wengine
@rahasaidi3553
@rahasaidi3553 2 жыл бұрын
Jamani kiponza bamia wauzabangi wanapigana mapanga wenyewe Kwa wenyewe
@mrishojumbe4572
@mrishojumbe4572 2 жыл бұрын
Gwajima upo sawa kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zake sasa wanaitaji raia walipe 1000 ya nini wakati kuna tozo kibao amani wanahivunja wao wenyewe
Why UK 🇬🇧 is going Bankrupt? : Detailed Economic Case Study
20:37
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 28 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 12 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 57 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
😄UBAYA UBWELA | MOSE IYOBO NA MASHA LOVE - SIMBA VS YANGA
1:01
Wasafi Media
Рет қаралды 1,5 М.
WAZIRI WA AFYA  AWASHA MOTO OCEAN ROAD
6:46
Mwananchi Digital
Рет қаралды 47 М.
🔴#TBCLIVE: KILELE CHA MAONESHO YA NANENANE
TBConline
Рет қаралды 56
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 28 МЛН