No video

H.BABA: Niliuza gari zangu tano sababu ya HARMONIZE, tulifanya ATTITUDE alipe FADHILA akanigeuka

  Рет қаралды 73,734

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

H.Baba anaanza kufunguka sababu ya kukosana na Harmonize licha ya kuwa mtu wake wa karibu na kumpigania katika vita yake na WCB
#chillnasky

Пікірлер: 473
@hatari9591
@hatari9591 2 жыл бұрын
Maoni yangu binafsi siegemei upande wowote: 1. H.BABA hongera sana, kwa kumsaidia Harmonize mdogo wako, wakati anapita kwenye wakati mgumu. 2. Harmonize Hongera kwa kumsaidia H.BABA kwa sababu alikuwa amezimika kabisa. huwenda hujampa pesa ila ulivokubali kushirikiana naye umemtoa tena kwa upya.
@elijahclassicboy8228
@elijahclassicboy8228 2 жыл бұрын
Kabisa
@geomangi6123
@geomangi6123 2 жыл бұрын
well said
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 2 жыл бұрын
Mimi nawapenda sana watu kama nyinyi.wasema kweli.hakuna unafki hapo.big up kaka au dada sielewi
@joleenmasha
@joleenmasha 2 жыл бұрын
Kabisa true Talk
@umutoni-roussel5233
@umutoni-roussel5233 2 жыл бұрын
Akuna kusayidiya Hbaba again ye niyuda 🤷🤷.
@softsoftbby8013
@softsoftbby8013 2 жыл бұрын
Pole sana H Baba kweli umepita kwenye mambo mengi sana japokua wakati mungine huwa unaongea upuuzi ila hapa umeongea kweli na Hamornize kweli kakosea laiti siku zote ungekua unaongea hivyo watu wangekuheshimu
@mercynadia3140
@mercynadia3140 2 жыл бұрын
Hata Mimi nimemuelewa sana
@mercynadia3140
@mercynadia3140 2 жыл бұрын
Konde mchoyo sana tatizo
@AbuBakar-fu9ov
@AbuBakar-fu9ov 2 жыл бұрын
Pole sana h.baba kiukweli ni hadithi ngumu yenye pata potea kumfanyia mtu upendo na bila kuyajua malipo yajayo h.baba kalibu usafini mzee
@magangasaidi468
@magangasaidi468 2 жыл бұрын
Utafika mbali sana bro kimafanikio yako ww ni mkweli sana konde anazingua sana
@happynelson1180
@happynelson1180 2 жыл бұрын
Eti gari tano wasanii wa bongo wanapenda sifa sana angekuwa na gari tano asingekuwa chawa
@meshakinelisoni1176
@meshakinelisoni1176 2 жыл бұрын
.ila kweli
@rajabukipara3008
@rajabukipara3008 2 жыл бұрын
C ndo hapo Sasa 😂
@jaysbalkajay4598
@jaysbalkajay4598 2 жыл бұрын
Sasa hapo kwa gari
@emmanuelngendakumana3361
@emmanuelngendakumana3361 2 жыл бұрын
Inauma sana kabisa. Pole sana H.B
@nz6181
@nz6181 2 жыл бұрын
@🇬🇧🇬🇧🇬🇧 Siwezi comment though H BABA ana point. Sky omba interview na Harmonize
@majaliwa_tz5004
@majaliwa_tz5004 2 жыл бұрын
H baba Leo Ameongea Vizuru Kwenye Magari Matano Tumepigwa
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 2 жыл бұрын
Huenda ni IST 5😀😀😀😀😀
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dah! Magari 5 antupija changa la macho.
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 2 жыл бұрын
Tumepigwa na kitu kizito
@andreamwamewa749
@andreamwamewa749 2 жыл бұрын
hahahahaha
@zainabzainab3907
@zainabzainab3907 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Muongo Sana huyu jamaa
@maggiemaroon1570
@maggiemaroon1570 2 жыл бұрын
Dah..leo nimekuelewa sana H Baba
@myselftony3130
@myselftony3130 2 жыл бұрын
Kumbe ulikua unajipeleka mwenyewe unataka Asante gan sasa
@omarybakary1234
@omarybakary1234 2 жыл бұрын
H B umenigusa sana sema una moyo wa jiwe ivyo ndivo wabongo walivo mbele ya macho anakusaidia wakati moyo ana umia
@dicksonsheja251
@dicksonsheja251 2 жыл бұрын
Nawwe Kwa kuwaamini wajinga wenzio,, hovyooo
@lelarubea6405
@lelarubea6405 2 жыл бұрын
Hamo amekosea sana ,hbaba alijitoa sana kwa hamo
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
@@lelarubea6405 alikua anatumwa alikua anaalikwa?
@misschagga8042
@misschagga8042 2 жыл бұрын
We ndio unawajua wa Tanzania vizuri. Hata kwenye siasa ni hivyo.
@franknaiv8513
@franknaiv8513 2 жыл бұрын
Pole sana H baba. Lakini kumbuka kuwa hayo yalikuwa maamuzi yako binafsi sasa usimlaumu mtu mwingine kwa kutoyagharamia. Yaani inakuwaje unatokea kunisapraiz katika harakati zangu alafu niambie nimekuja na Tax inasubiri niiliipie. kama “DANDAJI LA KIUME” jaribu kuheshimu maisha yako, naona kama mshiko wa intavyu unakulewesha. Jitambue au ujifunze kudanganya ili raia tukuhurumie
@chapombecomediantz5671
@chapombecomediantz5671 2 жыл бұрын
Mmmmmmmh pole sana kaka hyo hamo anashida hyo we angalia km mtu amemsaidia mpk saizi tunamfahm anamvujia adabu aje kukueshm wew itakua vigumu ndo uone sasa fadhili za penda ni mateke kk h.baba nmekuelewa sana.
@manmill2444
@manmill2444 2 жыл бұрын
Love kujipendekeza (uchawa utawaua)
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
🗣️🗣️🗣️👍👍
@chany9950
@chany9950 2 жыл бұрын
Eeeeeeee inauma jmn pore kaka mungu atakuripia🙏
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 2 жыл бұрын
Leo ndo nimemuelew H baba
@issaramadhan5040
@issaramadhan5040 2 жыл бұрын
Ashukuru sasa yote alio fanya ..kupoteza pesa sasa c ndo znarudi huko alipo ndo matunda alio fanya konde gang
@BenLeeBl
@BenLeeBl 2 жыл бұрын
Shida huku jipendekez kwa kumuelez nn unataka.. yeye alijua its just love kumb n wew una lengo lako .ulikua unalazimisha ukaribu kwakujifany una show love
@mrlonsman9706
@mrlonsman9706 2 жыл бұрын
When someone acts like he loves you alot, don't care alot just care a little
@iddirajabu4577
@iddirajabu4577 2 жыл бұрын
Dah!leo nimejikuta kumuelewa jamaa, japokuwa tunaweza kumponda kwa kujipendekeza ila,mtu akijitoa kwako basi kumlipa fadhila ni jambo la ki ungwana sana HARMONIZE kazingua
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 2 жыл бұрын
Sio kujipendekeza ni kuonesha upendo tu
@mercynadia3140
@mercynadia3140 2 жыл бұрын
Sanaaa hapa harmonize kazingua mnoooo ,mchoyo sana mtoto yuleee
@adammandeline6565
@adammandeline6565 Жыл бұрын
Usimwamin sanaa,harmonize nayy mbona atakuwa na meng yakuongeaa
@allysuleallysule4967
@allysuleallysule4967 2 жыл бұрын
Serekali yetu ikitaka kujua kuwa life imekuwa ngumu mno wamuulize h.mama
@jovintosssi3287
@jovintosssi3287 2 жыл бұрын
True
@adammandeline6565
@adammandeline6565 Жыл бұрын
Kabsaaa asee
@badymedia9648
@badymedia9648 2 жыл бұрын
The problem is ulikua wafanya kwa love lakini inside ukikuwa wategemea ulipwe hela ,bro you were finding money no love kwa harmonize ,as It was a business na ukikosa assume biashara ilifeli, Kama hukutarajia hela usingekua walalamika ,samwaleku
@moussaayubuchris7491
@moussaayubuchris7491 2 жыл бұрын
Bro ata kwenye mapenzi ya kawaida money inachangiya kuongeza mapenzi so unapokua ata na demu wako ila akuna chochote unamuonesha wakati uko unaingiza pesa ila unakaushiya nakwambiya ayo mapenzi yenu lazma yapunguwe Baba😂😂😂so kwa H.B msimuoni afayi ila hela Mze Baba kwani WCB Harmo akuwayi kulalamika juu ya mkataba eti umekuwa wakunyonya? Apo ni wakati izo ndogo anazipata japo anaziita zakunyonya ... maisha ya kila siku unapo pata Baba ni vema kidogo ao kikubwa kukichangiya na ndugu zako na wanao kupambania
@jemaarsen6996
@jemaarsen6996 2 жыл бұрын
Anachosema h b ni Kwamba alicho Fanya kama love ni vile alijochojitoa kwenye show zake harmonize lkn sio kufanya nyimbo,lkn ukizingumzia kufanya nyimbo na harmo hio ni biashara hicho ndio analalamikia Sasa sijui hamumueli Kwa lipi h baba au ndio ushabiki tuu
@rizibonemgaya2645
@rizibonemgaya2645 2 жыл бұрын
@Diamond Platnumz 6.68M kwel
@husseinhcube1310
@husseinhcube1310 2 жыл бұрын
Hicho anacho kiongea nikweli kabisa nimeambiwa na mtu wa karibu sana
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 2 жыл бұрын
Kumbe umeambiwa nikajua ulikuwa shahadi wa hilo pumbavu
@winfridantandu2870
@winfridantandu2870 2 жыл бұрын
🤣😂
@twalibusikilinde6255
@twalibusikilinde6255 2 жыл бұрын
Uwo niu dhalili 😭kaka hamisi H BABA mungu yupo
@damaspmtz1018
@damaspmtz1018 2 жыл бұрын
Yaani Safari ya kwanza tu, ulikuwa unatakiwa kuondoka nyie ndie huwa mnaolewa bila kujijua hivi mtu uyo Kesha kufanyia hivyo bado unakuwa na matumaini ya kukupeleka Dubai angekuacha uko, ungefanyaje sema na wewe ulikuwa na tageti Ila amekushinda tageti yako ikawa wamesha Ijua
@johnjonath6687
@johnjonath6687 2 жыл бұрын
😹😹😹😹
@lulually5209
@lulually5209 2 жыл бұрын
Kabisa kamshtukia
@priscillaamossen8249
@priscillaamossen8249 2 жыл бұрын
Lakini H.B wewe mtu wa mungu , ungemuachia mungu, and let karma do his work…Hata hao unawafuata watakuumiza tena vibaya.. mwachie mungu.
@msalabanireko1518
@msalabanireko1518 2 жыл бұрын
Akuna mwanadamu anaweza kumwachia mungu kwasababu wanadamu atukamilika ni mungu pekee ndio mtimilifu utajitaidi kuficha Ila moyo utakataa tu
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 2 жыл бұрын
Pole sana HBABA JMN
@jastinsimon5677
@jastinsimon5677 2 жыл бұрын
Pole Sana h. Baba
@marymanoni5536
@marymanoni5536 2 жыл бұрын
Ww tulia harmo ndio kakurudisha mjini
@zenabaziga3620
@zenabaziga3620 2 жыл бұрын
Pel h.baba mungu atakulipia
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 жыл бұрын
Ww mwishooo utakuwa kwa king misic am tell you bt u good guys big up congrats jah bress you
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
hawezi kufika uko
@muamudoamade6912
@muamudoamade6912 2 жыл бұрын
H BABÁ senge sana wewe totó ha wewe totó?
@bennyngoye8707
@bennyngoye8707 2 жыл бұрын
Harmonize kakusaidia sana pia,mshukuru Mungu wengne hata tusingekujua Leo hii.Unapata ubarozi na interview SNS, ni noma Mzee.
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
😁😁😁kabisa
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 2 жыл бұрын
Harmonize basi mpe hata million 5 anyamaze🤔
@allysuleallysule4967
@allysuleallysule4967 2 жыл бұрын
Wew mambo yakizamani yameshapitwa nawakati kila kitu namkataba huyu hana mpya yoyte
@josephmollel4526
@josephmollel4526 2 жыл бұрын
Pole sana h dangote umepitia kwa janga mgumu but usijali mungu 🙏 atakulipa
@judithgeofrey1107
@judithgeofrey1107 2 жыл бұрын
Amin
@nurumwenkale3387
@nurumwenkale3387 2 жыл бұрын
Mmmmm gari Tano mi naona unanimalizia mb zangu
@hashimuliloto8017
@hashimuliloto8017 2 жыл бұрын
Bora Diamond ana Roho ya huruma
@josephjuma1929
@josephjuma1929 2 жыл бұрын
H baba kuwa na hakiba ya maneno kakaangu kuna leo na kesho..no long it is
@adamchigamba2862
@adamchigamba2862 2 жыл бұрын
We ulikua unajipendekeza sana ungewachana na yeye ukafata maisha yako
@abrashizorashid117
@abrashizorashid117 2 жыл бұрын
H baba pole sana
@mariamtambwe8665
@mariamtambwe8665 2 жыл бұрын
For me you force to be employed to harmonize. Harmonize nikama mzungu bwana you huwezi ukamwingilia badget eti cz simply you volunteer to his work
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 2 жыл бұрын
Tatizo hukuwajua wamakonde Wana roho mbaya Sana ilo kabila tofauti kabisa na kabila zingnee angekua mnyachu Kama raivany ungekula Bata wanyachu hata awe nacho kidogo anakua Kama tajili
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 жыл бұрын
Mmmh sio kweli we kama ulifanyiwa ubaya na mmakondo mmoja au wengi ila sio wote ndugu yañgu kila mtu mwenyezi mungu kamjaalia roho yake usije nambia awo wamakonde wote wamejaaliwa roho mbaya sio kweli
@mercynadia3140
@mercynadia3140 2 жыл бұрын
Mmakinde ni nyoko Wana roho mbaya sana
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 2 жыл бұрын
Mr Bundara, salimia mama sky
@lundaboytz4912
@lundaboytz4912 2 жыл бұрын
Njaa mbayaaa sana jaman
@muhanjokombaas2099
@muhanjokombaas2099 2 жыл бұрын
Pole hb
@constanciomarcos5484
@constanciomarcos5484 2 жыл бұрын
ww n salit sisi konde gang atukutaki
@makenebartazary2236
@makenebartazary2236 2 жыл бұрын
Kwenye mpira tuna MANARA Kwenye music Kuna H.BABA
@vicenteafonsoafonso
@vicenteafonsoafonso 2 жыл бұрын
Mungu akusaidie Sana H-Baba
@mrautoelectrician8964
@mrautoelectrician8964 2 жыл бұрын
Kwa jicho la kando harmo hana makosa yoyote wewe ulijitolea kulingana na tamko lako lengine hamna mkataba alafu kimbelembele chako ndicho kimekutia hasara kama hujakaribishwa mbona ujifanyie mambo alafu hamo alikua haitaji kunyanyuliwa na mtu alijitoa akijua atapitia hayo.
@fasterdeule8503
@fasterdeule8503 2 жыл бұрын
Uyu inaweza kuwa alikuwa mke wa pili Kuna utamu kauacha konde gang ndio maaana anahaha
@omarzinga4965
@omarzinga4965 2 жыл бұрын
You talk shit harmonize is a snitch
@sailicekomba8075
@sailicekomba8075 2 жыл бұрын
Mbona muhaho
@johnjonath6687
@johnjonath6687 2 жыл бұрын
😹😹
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 2 жыл бұрын
Point
@fababindawood8363
@fababindawood8363 2 жыл бұрын
Da! Huyu H Baba ninemuelewa sana hapa km alivyosema dudubaya mmakonde anaroho mbaya sana sasa kweli H Baba anaenda kwenye show from tz mpk Burundi kwa garama zake du too sad mmakonde anaroho mbovu sana,hata alipokuwa WCB hajawahi hata kusuport kazi za Mbosso
@cleveronlinemedia820
@cleveronlinemedia820 2 жыл бұрын
Daaah nmeumia sanaa
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 2 жыл бұрын
Hapo itakuwa Chopa to blame not Harmonize. Wakati mwingine management ndo chanzo
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 2 жыл бұрын
Pole sana H.BABA
@stelajoramu5298
@stelajoramu5298 2 жыл бұрын
Basi hiyo Love iendelee
@husseinomar2555
@husseinomar2555 2 жыл бұрын
pole kaka h baba karibu usafini ule hela ujigaragazeee kaka
@princekarani7836
@princekarani7836 2 жыл бұрын
Acheni ushabiki,angalieni ubinadamu na nyie kwani Harmonize ako na pesa ngapi au anaingiza pesa ngapi,sianaingiza pesa nyingi sana.tatizo tamaa nayeye kwani angelimgea ata shoo izo kama kumi si pesa ingelimtosha H.baba,emagine unamcancell mtu kwenye shoo izo na unaweka jina la mtu mwingine,sio sawa
@moussaayubuchris7491
@moussaayubuchris7491 2 жыл бұрын
Unaongeya point mtupu Baba uko sahihi kabisa Bro👏👏👏
@meshakinelisoni1176
@meshakinelisoni1176 2 жыл бұрын
.amuwezi juwa wanajuana wenyewe sababu nafsi yamtu nikichaka acheni kuhukumu bila yakujuwa
@princekarani7836
@princekarani7836 2 жыл бұрын
@@meshakinelisoni1176 naelewa ila harmonize angelimpatia show kadhaa kwani angelipungukiwa na nini??,alafu ihi ishu ya harmonize kumtoa h.baba na kumuweka ibrah kwenye show ya Marekani ilianza kuvuma mda tu,kumbe ni kweli yani angelimpatia iyo tu akapatiwa ata milioni 100 au 50 ingelimtosha mbona,hapo harmonize alionesha tamaa tu alafu sio sawa
@senjiyunvankunzimana9474
@senjiyunvankunzimana9474 2 жыл бұрын
h baba alikuwa anafanya ivo ili aludishe jina lake,kwaiyo iyo ndo fadhira aliyokupa hamonaize
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 жыл бұрын
@@senjiyunvankunzimana9474 kabisa
@umutoni-roussel5233
@umutoni-roussel5233 2 жыл бұрын
Even I don't want hear anything he saying ☹️☹️🤔🤔Harmonize has not even said anything about you!! Oh before it was Diamond and you said alot about him , and now we see you kneeling down praising him as if is God 🤭🤭 , please let it go that was business.Thank you.
@omarzinga4965
@omarzinga4965 2 жыл бұрын
Harmo he is a betrayer he can say shit about this harmo he is a snitch 💯
@geomangi6123
@geomangi6123 2 жыл бұрын
true no one can trust what H baba crying for.
@joleenmasha
@joleenmasha 2 жыл бұрын
Mimi kwanzo I did no h baba ninani true hermonize ndiyo amejulikana
@umutoni-roussel5233
@umutoni-roussel5233 2 жыл бұрын
@@joleenmasha Thank you.
@umutoni-roussel5233
@umutoni-roussel5233 2 жыл бұрын
@@geomangi6123 Thank you very much, can't trust that guy nooo way .
@kadushimediatz
@kadushimediatz 2 жыл бұрын
😀😀😀😀 Tz Rahaa sanaaa
@diamond9191
@diamond9191 2 жыл бұрын
Love
@emanueljohn5643
@emanueljohn5643 2 жыл бұрын
Nimesoma comment nying nimegundua aslmia kubwa wanamtukan h baba na wote wanaotukan ni washabiki wa harmonize ila Kwangu mm naon h baba anachoongea ni kwel kabisa
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 2 жыл бұрын
Ukweli unauma ndio maana wanamtukana🤣
@khadijarashid3926
@khadijarashid3926 2 жыл бұрын
Konde ameshndwa kusaidia hata wasanii wake sembuse ww
@furahachuma9039
@furahachuma9039 2 жыл бұрын
Maneno matupu bila ushahidi na mikataba ni kazi bure. Hata mimi nisingeka chochote.
@emanueljohn5643
@emanueljohn5643 2 жыл бұрын
@@furahachuma9039 we nae si wale wale choko ww
@furahachuma9039
@furahachuma9039 2 жыл бұрын
@@emanueljohn5643 Asante Emmanuel, ila jina lako haliendani na matusi. Emanuel maaena yake " Mwana wa Mungu", jitafakari...!
@thomasmayunga3092
@thomasmayunga3092 2 жыл бұрын
Inaonyesha jinsi gani wewe ni chawa bado hujawa mkomavu kifikra, umri wako wote huo unawezaje kuuza gari ili ufanye collaboration kwa faida ya mtu mwingine. Acha mbwembwe ushakuwa mtu mzima brother
@kelvinndokole8367
@kelvinndokole8367 2 жыл бұрын
Uyo mwamba namjua alikaa kazin kwangu mwez mzima na mke wake .hbba nilikua namuona Sana alikua anakuja kumuona mala nying
@mohamedefranciscoxavier4440
@mohamedefranciscoxavier4440 2 жыл бұрын
H baba 🥰🥰🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Kwafrola upeleki hela Leo unasema ulitumia 3000million
@ashaashanalinga3635
@ashaashanalinga3635 2 жыл бұрын
😢dah ivi unauzaje gari zako kwasababu yamtu ambaye mmekutana mjini tu 😢 Kama nikwelii hbaba ameuza gari zake kwa ajili ya harmo basi uyo jamaa ana upendo wa kweli dah ila inauzunisha sana kwakweli
@judithgeofrey1107
@judithgeofrey1107 2 жыл бұрын
My dia nasikiaga roho nzuri anayo ,tumekaa na ndugu yake mwanza
@nassirsalim6679
@nassirsalim6679 2 жыл бұрын
Leo nimekuelewa kbs
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 2 жыл бұрын
Leo sasando nimekuelew Kaka H,baba
@molomiraj809
@molomiraj809 2 жыл бұрын
Sasa siulifanya love yanini unalalamika kweny social media
@nyandamisana3630
@nyandamisana3630 2 жыл бұрын
Pole mwamba
@kennix6457
@kennix6457 2 жыл бұрын
Ok sipendi kuingililia sana ila kama harmonize hajakulipa anafaa akulipe sio juu ya kuuza magari zako juu ulipenda mwenyewe ila kama kwenye ngoma upo unafaa ulipwe
@jeybullaz9323
@jeybullaz9323 2 жыл бұрын
Hii pat 2,,nimeitazama zaid ya mara saba,,, Huyu anesemwa hapa ndie msanii pekee niliemsubscribe youtube,,,namkubali sanaaaa Ikiwezekana bro #Sky mtafute na mlengwa japo kwa sim tu tuweke ⚖️ mizan sawa😔😔
@saidasimba9979
@saidasimba9979 2 жыл бұрын
Mnazid kumpaisha harmonize
@beatrice3671
@beatrice3671 2 жыл бұрын
Yani leo nimemuelewa Hbaba mnooo... yani kumbe duh!
@patricknambaka5496
@patricknambaka5496 2 жыл бұрын
Kila anaye mtukana h baba ni mbwa koko sawa
@frankmushi8892
@frankmushi8892 2 жыл бұрын
M mbwa Koko ni wewe unasapoti ujinga una akili
@senjiyunvankunzimana9474
@senjiyunvankunzimana9474 2 жыл бұрын
h baba kweli kufukuzwa kwa hamonaize ilikuuma sana utasema alikuwa mume wako
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 2 жыл бұрын
Haya tumekusikia sasa hilo la kumzungumzia Diamond lilikujaje ama nalo lilikuwa ndani ya love ya Harmonize Kwan ulishindwa kumpushi bila kuwasema vibaya upande wa pili ona sasa mtu mzima umekuja kudhalilika penye hamna ndiyo mjifunze kubalance shobo ovyooo hayo ndiyo malipo ya mjinga Harmonize Safi sana 😆 umetukomeshea mjinga
@cadabrazzerozero1662
@cadabrazzerozero1662 2 жыл бұрын
Well said n point taken
@NR-ll4sr
@NR-ll4sr 2 жыл бұрын
Wasanii wa Tz bhana
@ashuramuhinde3849
@ashuramuhinde3849 2 жыл бұрын
Pole H baba.
@johnmbugua3264
@johnmbugua3264 2 жыл бұрын
Kwani unauza gari kwa sababu ya nyimbo ambayo sio yako kivipi ainingii akilini kabisa
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 2 жыл бұрын
Alitunga yeye na alikua amemtangulizia for mjanja
@darklovely6877
@darklovely6877 2 жыл бұрын
Dj stone 😂😂😂😂He is from Germany Frankfurt and all the way from Naigerian...
@msalabanireko1518
@msalabanireko1518 2 жыл бұрын
Wew h baba ulikua umjui vzr uyo mmakonde muulize diamond alimuokota uyo mmakonde mbagala na bilika ya kahawa tu alimpigania ktk mziki wake na maisha yake mbaka katoboa amekua msanii anaejulikana lkn diamond mwisho wa siku diamond anaambulia matusi kutoka kwa Uyu mmakonde Uyu jmaa hrmo ni msera mavi Sana Uyu ata umfanyie wema gani utaambulia mizarau tu na mitusi basi
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 2 жыл бұрын
Mimi ni team WCB ila WWE ni Muongo
@allyismaili1049
@allyismaili1049 2 жыл бұрын
Huyu jamaa muongo Sana kaka
@lulually5209
@lulually5209 2 жыл бұрын
Kabisa Yani ni muongo wa waongo ananichefua
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Жыл бұрын
Liongo sana na midevu yake km dudu washa 🤗🤗
@sportsfansworldwide4448
@sportsfansworldwide4448 2 жыл бұрын
We dont know if anything anaongea ni ukweli hawa wanalipwa kuongelea mtu anapambana
@jumamofu9573
@jumamofu9573 2 жыл бұрын
Ulicho imba kwenye attitude mbona hata hakieleweki na ww unataka umiliki wimbo fifty fifty
@abdimushi60
@abdimushi60 2 жыл бұрын
Ni dhahiri Harmo na HBaba hawakuwa na mkataba wa kufanya kazi Kwa pamoja. Ila HBaba alitafuta Kik Kwa ku shoo love ktk Kaz za Harmo. Jamaa mzushi tu.
@pickfordjustin3432
@pickfordjustin3432 2 жыл бұрын
Huyu mwamba nimuongo KONDE bado hajarudi BURUNDI kwenye concert tanguaje nawakina Rich mavoko,rayvanny na Q boy msafi. Labda mwezi August 2022 ndo sasa anakuja burundi kutumbwiza.
@chany9950
@chany9950 2 жыл бұрын
Thx sky 👍👍💯
@kazkaz1943
@kazkaz1943 2 жыл бұрын
Unatumia pesa ili mtu acheke😀😀 umaskini hauwez kuisha bara la Africa embu heshimuni kitu kinachoitwa pesa jaman kumfurahisha mtu kwa kutumia pesa ni ujinga na uzuzu wa hali ya juu
@sailicekomba8075
@sailicekomba8075 2 жыл бұрын
Uzuzu kweli wakati ana watoto na wazazi wake si angetoa sadaka
@sadamumohammedi8552
@sadamumohammedi8552 2 жыл бұрын
Chawa mshamba uyo
@kinkinyajangu6436
@kinkinyajangu6436 2 жыл бұрын
Ukulazimishwa Babu ww Kama ulifanya upendo kwani lazima ulipwe,eti niliuza magari magari yapi ayo?Hbaba mtoto wa kiume kumutegemea Sana mtoto wa kiume mwenzio akulipe Ni ufala,
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
We ndio jinga kweli hiv we unaweza ukalima usitegemee kupata mavuno
@kinkinyajangu6436
@kinkinyajangu6436 2 жыл бұрын
@@husseingabo5497 we ndo pimbi Sasa,kwaiyo unashabikia mwanaume mwenzio unamshujudia ili ulipwe,Ukizoea vya kupewa Kuna siku utaliwa TAKO,mtoto wa kiume kaza,sio kushobokea wanaume wenzio
@ngwanasongowelero7153
@ngwanasongowelero7153 2 жыл бұрын
Mmmh pele sana h baba
@Rowdy_254
@Rowdy_254 2 жыл бұрын
Harmonize brought him back to the game 🎯😂😂😂afunge mdomo
@Siti_maroneit
@Siti_maroneit 2 жыл бұрын
Tumasubiria kipande c'ha 2 ila harmonize muuwaji sana hakumuonea hata huruma h.baba mtu anafamila yake na watoto da pole sana Bro ila malipo ni hapa hapa Duniani ahera hukumu tu
@chrissmodo5630
@chrissmodo5630 2 жыл бұрын
Ila unajichanganya Sana aise Mara unasaidia hutaki chochote Mara hatakujiongeza akupe elfu kumi sasa tuelewe vipi wewe nyoosha maelezo kwamba ulitaka awe anakuludishia gharama unazotumia acha KUZUNGUKA sana
@franklawrence5452
@franklawrence5452 2 жыл бұрын
uko sawa, lakini kwanini jitihada hizo usingewekeza kwenye muziki wako mkuu?
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 2 жыл бұрын
Sky umeishia patamu
@shabiruponera4323
@shabiruponera4323 2 жыл бұрын
Lakini hatujasikia upande wa pili ...
@silperaura2480
@silperaura2480 2 жыл бұрын
Ila red flag ungeiona kwa alio tendewa Diamond alive mwinua Malipo ya Harmonize kwa boss ni kumtukana na kumlipa Mafumbo kumkodi Mwijaku mtukane yote mungu analipa kumtaftia
@silperaura2480
@silperaura2480 2 жыл бұрын
Kwahivyo alimdhulumu mzee wa watu ile nyumba ila kiukweli watu wakamtetea Harmonize Mpaka mpaka wewe Hbaba Mlidekeza sana mkamharibu sana
@jwisetv4833
@jwisetv4833 2 жыл бұрын
Watu hawatakwelew ila me nimekwelewa sana, ulionyesha love sana sema mumakonde hana shukuran
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 жыл бұрын
Tunasubiri Hamo aongee
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 2 жыл бұрын
Atamaliza kama ya Said airport
@loganpoul
@loganpoul 2 жыл бұрын
Hemu sema sai liwali na low ujisongeze mwenyewe kama ni rahisi,
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 63 МЛН
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 12 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 39 МЛН
If Barbie came to life! 💝
00:37
Meow-some! Reacts
Рет қаралды 63 МЛН