No video

HABIB MAZINGE UISLAM KATIKA VITABU VYA KALE 1

  Рет қаралды 156,394

AKASHA PRODUCTION TV

AKASHA PRODUCTION TV

9 жыл бұрын

AKASHA DAAWAH TRADERS +254 721310082
KWA WALE WANAOISHI NNCHI ZA MBALI TAFADHALI TUWASILIANE KUPITIA #viber free calling

Пікірлер: 94
@faqrudiinmedia8539
@faqrudiinmedia8539 4 жыл бұрын
Raha mawaidha ya shikh h mazinge Allah akuhifadhi
@mwanamisinyuchi3095
@mwanamisinyuchi3095 5 жыл бұрын
MASHALLAH MANZINGE NDIE KIMBOKO CHA WAKIRISTO WATAELEWA TU
@zacknightjr3387
@zacknightjr3387 3 жыл бұрын
Masha Allah Sheikh Mazinge!! Allah aku bariki
@alimohamedalisaid7040
@alimohamedalisaid7040 5 жыл бұрын
Mashallah mungu akupe afia ameen thuma ameen
@sultanaswaleh8892
@sultanaswaleh8892 5 жыл бұрын
Ameem
@usajilikwanza2017
@usajilikwanza2017 4 жыл бұрын
Masha Allah Allah akujaayliye maisha marefu Ila vp hmna vidio za miaka ya 2018>>>> 2019>>>2020 Naomba mziadi
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 5 жыл бұрын
Masha Allah mungu akuzdishie umri mlefu sheikh mzinge inshallah
@omarfundyhassani1309
@omarfundyhassani1309 Жыл бұрын
Mashaallah shekeh abibu othoman mazinge Mungu akue pushe na moto
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 7 жыл бұрын
Jazakallah kheri. M/MUNGU AWE NAWE DUNIANI NA AKHERA.
@kambanimwanyulu7570
@kambanimwanyulu7570 5 жыл бұрын
Basharah Alhamgarra kwa kuwa anaye wafundisha ni kipofu na nyie pia mtakuwa vipofu zaburi 84 haina aya ya 14 mwisho 12. Na Mungu anaye zungumziwa ni Yehova c Allah kwenye zab 83:18
@abdimohammed3564
@abdimohammed3564 6 жыл бұрын
Ustadhi MUNGU akulinde, akuhifadhi na atujaalie pepo yake InshaAllah. Video zako nazifuatilia na mm pia natumia hizo aya kuchapia makafiri.
@usajilikwanza2017
@usajilikwanza2017 4 жыл бұрын
Akhii ntapataje vidio mpya za huyu ustadhi
@abdimohammed3564
@abdimohammed3564 4 жыл бұрын
Subscribe kwa channel ya Akasha daawa na channel ya mazinge iko picha yake apo kwenye channel ya mazinge alafu ukisha ku subsribe kunakuja kakengele , gusa ako ka kengele ndio video yake mpya ikiekwa unapata notifikeshen na unaiona direct au uta download hiyo video
@saidrashid602
@saidrashid602 8 жыл бұрын
MashaAllah, Ustadh mazinge Mungu akulinde
@rashidimoshi8417
@rashidimoshi8417 6 жыл бұрын
Mungu akubariki sana unanipaga elim ya kutosha
@thomaslandwhale
@thomaslandwhale 7 жыл бұрын
Jazzakkallukheir ustadh mazinge... Allah ya'teek el afyeh
@tourjunior1750
@tourjunior1750 6 жыл бұрын
Allah Akbar
@saidahmed9688
@saidahmed9688 4 жыл бұрын
wawa oman watu wazuri sana
@elizabethfares4650
@elizabethfares4650 6 жыл бұрын
Mashallah mungu akubaliki Sana kwa ku2pa dahawa
@elizabethfares4650
@elizabethfares4650 6 жыл бұрын
Mazinge Allah subuana wA tahala akubaliki Sana kwa ku2pa dahawa
@douglasbahinda9526
@douglasbahinda9526 6 жыл бұрын
Uislamu ndio dini
@myheartjumbe2133
@myheartjumbe2133 4 жыл бұрын
kiboko.ya.makafiri.uyooooooo
@abdullahijuma770
@abdullahijuma770 5 жыл бұрын
ماشاءالله زادكم الله التقوي
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 5 жыл бұрын
MashaAllah,
@dastaniguni5599
@dastaniguni5599 4 жыл бұрын
Nakukubali sana
@ustadhshukrani7629
@ustadhshukrani7629 6 жыл бұрын
Ahsante sh. mazinge
@zulfaalnabhanzulfaalnabhan8653
@zulfaalnabhanzulfaalnabhan8653 8 жыл бұрын
mashaa ALLAH tabarakaLLAH
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 4 жыл бұрын
Unatumikiya ukweli cheikh mazinge Allah atawalipa munafahamisha wenekutaka kufahamika sio kama bibiliya inacznganyamaneno mpaka mutu anazamiya uongo
@latifar8285
@latifar8285 8 жыл бұрын
MASHAALLAH
@samthomas9286
@samthomas9286 8 жыл бұрын
Safi sana
@jumaamsuya5264
@jumaamsuya5264 5 жыл бұрын
Umesema kweli malim kidume chamakafiri
@husseinmongolare1661
@husseinmongolare1661 3 жыл бұрын
Shukrani
@kinotasontravel3883
@kinotasontravel3883 7 жыл бұрын
subhnaallah
@r.kassimtoutautre3432
@r.kassimtoutautre3432 3 жыл бұрын
Wf67
@majidammanga8659
@majidammanga8659 6 жыл бұрын
mashallah
@jumasal2079
@jumasal2079 3 жыл бұрын
Mawaidha muhimu ndio maana tukawa umati bora
@avosaramadhan5065
@avosaramadhan5065 8 жыл бұрын
MASHALLAH!
@timabushuti7254
@timabushuti7254 8 жыл бұрын
mazinge jazakaALLAH kheri
@salimguya660
@salimguya660 6 жыл бұрын
Safi mzee nakukubali moja kwa moja wewe kiboko kweli
@petromachanga29
@petromachanga29 5 жыл бұрын
Waarabu.mtayajua lini maneno ya mungu..
@kunuzaljannah506
@kunuzaljannah506 3 ай бұрын
Shida yenu mume danganywa na wazungu hamupendi waarabu hio tu
@kunuzaljannah506
@kunuzaljannah506 3 ай бұрын
Eti waarabu hakuna hata kitabu kimoja cha dini kilishuka kwa wazungu
@kinotasontravel3883
@kinotasontravel3883 7 жыл бұрын
sadiq Allah
@januaryyotham8652
@januaryyotham8652 4 жыл бұрын
Tupendekuangalia maandiko pind yanaposomwa..hakuna idd kwenye biblia Kama unabisha somatena Hilo andiko Kwan kasema kumbukumbu 16:14
@walaayuso1764
@walaayuso1764 9 жыл бұрын
love is like a lolipop
@ramadhanimkopi2897
@ramadhanimkopi2897 3 жыл бұрын
Me
@BobgIsmail
@BobgIsmail Ай бұрын
Ujumbe umefika
@kambanimwanyulu7570
@kambanimwanyulu7570 5 жыл бұрын
Zaburi 84 haina aya ya 14 mwisho 12 kasome tena, hilo andiko lipo zab 87:18
@fettyomy6402
@fettyomy6402 5 жыл бұрын
Ila si IPO??? We vep!!!!
@abdulxavi8121
@abdulxavi8121 5 жыл бұрын
Mwambie huyo fetty
@waziriramadhani2198
@waziriramadhani2198 4 жыл бұрын
Yesu anawaita
@richardsifaeli7811
@richardsifaeli7811 5 жыл бұрын
Katoa mfano kwenye biblia wa shamba na akasema manabii wote hadi Yesu alikua muislam sasa asome matayo 28:19 Yesu kaagiza watu wabatizwe sasa hapo ameanzisha ukristo kwaio na yeye ni magugu?je na yeye atatupwa motoni kwa sababu ni magugu?
@rahmaahmed5759
@rahmaahmed5759 5 жыл бұрын
Wajua nyinyi tatizo lenu Ni kufata uwongo wa wawazungu Sasa mkimpata anaewapa ukweli anakua adui wenu bakieni na ujinga wenu wazungu wazidi kuwadanganya.
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 4 жыл бұрын
Yani nyie wakristo hamna akilikabisa mnamwita binadam mungu dah kwelinyie wakristo ndio mnatuletea mabalaa hapa duniani
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 5 жыл бұрын
Mazinge mazinge ikiwa unaijuwa injili yakweli lakini umekataa kuufindisha amin yakwamba ikiwa wew umeshimdwa kumuogopa munngu aliekuumba nabado u naendelea kumping nasis hatutakuogopa wew waisilamu huyo mnae mwita alla subuhana wataala nimungu kafiri maana yakafiri nimpingaji nasubuhama wataala nimpimgaji napia nimuongo visa vyak nivyakubuni alivyofananisha navyakwel nawala mashehe wadiwadangany kuwambia yesu ndio. Isa waongo yesu kwakiarabu ni yasua nawala sio isa na maana yayesu nimuokozi je maana yaisa nimuokozi utagunduwa niuwongo waisilamu mrudieni yesu subuhana wataala hana mbingu mwenye mbingu niyesu ukimkataa yesu utaingia motoni wew nasubuhana wataala wako
@usajilikwanza2017
@usajilikwanza2017 4 жыл бұрын
Allah akuongoze
@Said-gz7mu
@Said-gz7mu 3 жыл бұрын
Allah akusamehe wee kafiri mkubwa
@adammasunga6382
@adammasunga6382 5 жыл бұрын
We muongo ndo maana mafundisho ya kiislam wanasema Hata maneni ya uongo yafaaa kuleta upatanisho Na wake kijiji
@rahmaahmed5759
@rahmaahmed5759 5 жыл бұрын
Ndungu yangu hujaelewa ndo maana unasema kua sheikh muongo.. anatoa mfano ili watu waelewe jifunze kuskiliza na kuelewa sawa Allah akuongoza.
@tyyvhhvfhh7694
@tyyvhhvfhh7694 5 жыл бұрын
Baikoko
@popod177
@popod177 5 жыл бұрын
@@tyyvhhvfhh7694 makafiri
@Said-gz7mu
@Said-gz7mu 3 жыл бұрын
@@tyyvhhvfhh7694 Makafiriii nyie
@kasealutajr6492
@kasealutajr6492 5 жыл бұрын
Mazinge usipo tubu kabla ya kifo siku ya kihama wewe ni moto ya milele tu
@ibrahmsafiry1575
@ibrahmsafiry1575 5 жыл бұрын
kase alutaj we wajuw waenda wp
@rahmaahmed5759
@rahmaahmed5759 5 жыл бұрын
Kwanini munamuonea huyu sheikh nyie wanadamu? Wajua mti ulio na matunda ndo unaepigwa mawe..Sasa sheikh Ni mfano wa mti ulio na matunda poleni Sana mtamuonea Sana na ataenda janah ndo makao yake Allah kareem.
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 4 жыл бұрын
Wewe kase alutaj nilijikafiri Kwanza Ata Qiyama unavyo itaja eti kihama dah kweliweninamala kabisa
@mnyamwezionlinetv3998
@mnyamwezionlinetv3998 7 жыл бұрын
Soso hujielewi yaan unakana biblia yako kumbe mmekariri tu.
@SosoSoso-wk9ft
@SosoSoso-wk9ft 7 жыл бұрын
Wacha kupotosha watu wewe ....soma bibiria uelewe usizani bibiria inasomwa kama story book no unahitaji roho mtakatifu ndo uelewe kwnz unaita wakiristo makafiri plz acheni kuita wenzenu makafiri na laiti ungejua kua we ndo umegeuzwa kafiri na iyo Quran ila hujiekewi # Yule alosulubiwa ni yesu mwana wa Mungu na ni Mungu pia bali alikuja duani kw mfano w binadamu ndo mana sote tumeumbwa kw mfano wake ila we kaka jaribu usome bibiria uelewe .....yale maneno alioongea yesu yana maana yake ila nyingi hamuelewi mnachukulia vilevile yalivoandikwa kw sababu hamuelewi. .....we sijui ndo shehe kipofu hawezi kumuongoza mwzk ...Islam religion ni dini ya siri ukiwa na upotofu.I hate the way unaita wengn makafiri na we ndo kafiri ila hujitambui
@peterchuchu5395
@peterchuchu5395 7 жыл бұрын
we nikafir usie jua ki2 hauwezi kupata mwanga bila kuutafuta uko pabaya sana mwenzangu
@amilymawazo7216
@amilymawazo7216 7 жыл бұрын
niny makafir tuu
@fransiscamtei7786
@fransiscamtei7786 7 жыл бұрын
Soso Soso yesu alingia cnagogi na cna gogi nimsikiti jee yesu atakua dini gan
@asiamatitu1573
@asiamatitu1573 6 жыл бұрын
Soso Soso usikariri soma sana mungu atakuongoza in shaa Allah kama walivyoongozwa akina YUSUPH Estes, mussa cerantonio, Neil Armstrong n.k
@rashidimoshi8417
@rashidimoshi8417 6 жыл бұрын
hongera mazing mungu akubariki
@thamanihalisi8194
@thamanihalisi8194 6 жыл бұрын
Huyu muongo mkubwa,,ukristo umeanzishwa na paulo hongo kubwa
@rashidseif6103
@rashidseif6103 6 жыл бұрын
Tupe ukweli wako ktk maandiko ikiwa yy ni muongo. Lkn ujue tu kua yessu sio Mungu.
@ahmedsalum9057
@ahmedsalum9057 5 жыл бұрын
@@rashidseif6103 sawa sawa kaka muache atupe huo ukweli kama huu ni uongo...uislamu ndio dini ya haki
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 5 жыл бұрын
Mungu nimukubwa kutupa mutume wamwisho wazama hizi nakubaki anaumba walimu kama mashehe munatutowa gizani kabisa,wakirisu ata akija nabi Isa wakamuona anasali watabisha sio yeye mutu unaambiwa hausikiyi,ma shekh mumejaliwa Allah atuingize peponi yarabi.yani uisilamu ni catalogue kwa kilicoumbwacocote yani uisilamu raha namuzungu anasilimu akiona coroan inamueidi akili Allah wakbarr Mungu awajaliye walimuwetu
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 5 жыл бұрын
Yani wawo kwa akilizao hawaoni kama ndani ya bibiliya kunamucanganyiko wa injili mbili? Na ya yesu ndiyo catalogue yakufanana na uisilamu yesu amepananjiyazake naakaziaca kwasababu amejuwa kunawatakujageuza maneno nyinyi fatanjiyazangu musifati ya uyo mutu,na anawambiya kwakuwaaga atakuja kiongozi nyumayangu na atawaongoza awapekweliyote,coroani iko emo kilakitu tunaona duniyani iyo bibiliya unatafutakitu waliandika unakosa kazikufatiliyayaliyopitatu ujinga mutupu. Nakupoteza watu muzungu anasilimu kwasababu anaona nimrtengenezakitu nimrkikuta coroani mungu alishakifundisha afu ca ajabu zaidi mutukafunzwanamalaika akalete kitabo kwamutu bitalinganawapi namaagizo ya ujinga naakili zamutu iyo bible imetengezwa mupoteye nawameitengezakabisa bila hupati shekh akushikiye fimbo kama kipofu ashikiwafimbo hutoki mwa uyo moto ivi yesu atamukata Muhammadi nduguyake awapende nyinyi na ukirisu ungekuwadini malaika angesema
@francinensavyimana5601
@francinensavyimana5601 5 жыл бұрын
Yesu akija atawakana namukifa hamurudi,kuliko kutengenezeni maisha mungalinayo njomana Mungu anasema mutatamani murudi kutubu,kubatizwa njonini yohana kawambiya wanginemutabatizwakwamoto kwasababu wanajuwa vizurisana uzao wa ibrahim ni agano mbili njo Mungu kawategeya apo visa vyoote nimutego ila nyinyi wakirisu hamunakujifikiriya muncoambiwacoooote ni ndio izo ibadazenu zamaagizo yagisimunataka kwa Mungu sio ivo kwa Mungu nitegeko anaco amurisha ni ico ico hupinduwiwewe binadamu impossible ulizawatuwa nuh walikua hawaambiwi kama nyinyi makirisu basi mutumekweli ashaaca anasema sikuyatano njo kitasimama basi mutakuwamukowapi nyinyi wakirisu hamuoni kama mutaangamiyaga???kisimame waisilamu wakowanasali nyinyi vipi kinaconiumiza zaidi wanatiya uongo mbaka wanakuja kutowawatu mu uisilamu makafiri nyinyi njomana nimewatoka. Hamuna ata mafundisho kazi micanganyiko wawasicana na kurukaruka makanisani iyo bibiriya yenyewe hamuofati inakataza kuiba.
@SosoSoso-wk9ft
@SosoSoso-wk9ft 7 жыл бұрын
I wish ningeonana n wewe uso kw uso yani unaongea tuu kaa ambae Mungu ni uncle yako na huogopa kutukana wengine. ....u r brain washed
@imranabdirizak2684
@imranabdirizak2684 5 жыл бұрын
Welldani
@ustadhshukrani7629
@ustadhshukrani7629 6 жыл бұрын
Ahsante sh. mazinge
HABIB MAZINGE   UISLAM KATIKA VITABU VYA KALE 2
30:47
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 443 М.
HABIB MAZINGE   UISLAM KATIKA VITABU VYA KALE 4
29:17
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 161 М.
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 18 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 63 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 3,6 МЛН
MAZINGE KUKURU KAKARA.
54:09
KENYA DAWAH TV
Рет қаралды 49 М.
ALAMA ZA KUPENDWA NA ALLAH || SHEIKH KOMBO ALLY FUNDI ||
3:58
ABUUKHUBAYY
Рет қаралды 2,4 М.
Hawa ndio watu Wanafiki. Sh. Hilali Shaweji(Kipozeo).
49:29
OBA Online tv
Рет қаралды 115 М.
011 OTHMAN MAZINGE....MTUME MOHAMMED NDANI YA BIBILIA
1:26:24
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 46 М.
Othman Maalim - Sunnah Ya Maisha
1:05:07
Khidhry 29
Рет қаралды 83 М.
Wakristo mnawaoa mama zenu   Mazinge
18:11
Malundi online Tv
Рет қаралды 563 М.
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 18 МЛН