HAJI MANARA ALIVYOIKANA YANGA/HATA HELA ZOTE ZA BANK SIWEZI KUFANYAKAZI YANGA/LABDA NIFE

  Рет қаралды 243,911

TimesFMTZ

TimesFMTZ

6 жыл бұрын

Haya ni mahojiano ambayo Haji Manara aliwahi kuhojiwa katika Kituo cha Radio Times FM wakati huo akiwa ni Ofisa Habari wa Simba, alipoulizwa kama yupo tayari kufanya kazi Yanga, hayo ndiyo yalikuwa majibu yake.
All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 212
@ezrahtossi7793
@ezrahtossi7793 6 жыл бұрын
hahaaaaaaa manalaaaa umetisha
@busililimshosha6996
@busililimshosha6996 6 жыл бұрын
Karibu sana kanda ya ziwa hususani Masumbwe mkoa wa Geita uonane na wanachama na mashabiki wa Simba
@adamupesapesa1126
@adamupesapesa1126 4 жыл бұрын
Busilili Mshosha wafungwe gori 3 simba noma
@meshajoni5662
@meshajoni5662 3 жыл бұрын
@@adamupesapesa1126 aaaa,wemsumbwatuu,kumbeeeeer,
@marcomwaimu3979
@marcomwaimu3979 6 жыл бұрын
Well said Haji Manara Simba ni famous sana kwasasa
@maigathomas2353
@maigathomas2353 4 жыл бұрын
Safi sana manara
@peterbayo4677
@peterbayo4677 6 жыл бұрын
Hongera sana! Haji Manara uko vizuri nakukubali sana mbali na ushabiki. Hata kisiasa umeiva. Ukigombea ubunge iko wazi kufanya vizuri..
@sadickbisega8719
@sadickbisega8719 5 жыл бұрын
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@jmvuna2792
@jmvuna2792 4 жыл бұрын
Usimjaze, kijani atachemka! Na itakuwa na madhara kwa wanachama wa club yake
@tressbamazing5256
@tressbamazing5256 6 жыл бұрын
kaka uko vizuri
@jafarishekhalaghe3362
@jafarishekhalaghe3362 5 жыл бұрын
Hana lolote huyo unajua b.o.t au walipija tu
@amirimsofe2460
@amirimsofe2460 4 жыл бұрын
Ila sio siri manara ana kipaji
@jackemanuel4697
@jackemanuel4697 4 жыл бұрын
manara tunakuombea kwa mungu ukigombea ubunge mungu akujalie upate ushindi
@halunilongo2336
@halunilongo2336 4 жыл бұрын
Nakuombea kwa mungu ugombee ubunge
@gadielpaulo8925
@gadielpaulo8925 Жыл бұрын
Njoo Uone MANARA After 5 Year's 😅😅😅😅
@meddyroshan74
@meddyroshan74 Жыл бұрын
Ana follows wake wa 4😂😂😂😂
@enoshmhemakapaya
@enoshmhemakapaya 4 жыл бұрын
Haji ndo habar yamjiniiii,,,,,gonga like hapa kama unaaminiii....njoo channel yangu uone mambo
@masoudabakinatimbyemzngkis7077
@masoudabakinatimbyemzngkis7077 6 жыл бұрын
good
@bobanamourmlindimla8163
@bobanamourmlindimla8163 6 жыл бұрын
Mm mshabuki kubwa wa yanga. Manara good
@eliasjillanga999
@eliasjillanga999 6 жыл бұрын
Hahahaaaaa Duh Manara we ni zaid ya wasemaj wa hapa Tz, nzima
@henrytawa1191
@henrytawa1191 6 жыл бұрын
Kweli kabisa nakukubali sana tena sana
@hamidumsolla2306
@hamidumsolla2306 5 жыл бұрын
Hivi nyie watangazaji mbn makenge sana
@dailummala3792
@dailummala3792 6 жыл бұрын
manara nakukubali sana ww una kipaji cha usemaji
@ashanasoro1739
@ashanasoro1739 6 жыл бұрын
nakukubali sana manara
@hamisishaibu9865
@hamisishaibu9865 5 жыл бұрын
simba nguvu moja
@aloycemwakatala2634
@aloycemwakatala2634 6 жыл бұрын
Nimekusoma computer umezungumza kwa hekima sana nimependa.
@alexsuleiman9912
@alexsuleiman9912 4 жыл бұрын
Hata mm siwezi kuwa msemaji wa vyura
@wilsonkaseha2034
@wilsonkaseha2034 6 жыл бұрын
Manara piga kazi, safi bhana, ni commitment ya kila mmoja kwa nafasi yake mambo ndo yanaenda. H Manara wewe ni mechi nyingine! ha haaa
@meshajoni5662
@meshajoni5662 3 жыл бұрын
Aaaaaaaa,achakumsifu,uyuzeruu,analolotee,keleletu
@barakaleader1550
@barakaleader1550 4 жыл бұрын
Manaraaa mie wanipa rahaaa
@mustarashid3485
@mustarashid3485 4 жыл бұрын
Hujui kuwa Simba inanufaika nanini kwa manala anacho kisema bcouse akili huna lakini manala anafaida kwa wana Simba we baki kama yang boya we.mustakim kidevu.
@yahayamaulana8215
@yahayamaulana8215 6 жыл бұрын
Hahaha.. Hahaah.. Teh... Teh... Ni Rahatupu kua na Mw. Habari anaejua kuhamasisha mashabiki ili kuisupport team kama unaikubali simba sport club gonga👍
@hamisisaid2328
@hamisisaid2328 5 жыл бұрын
Sawa
@wankabanestory532
@wankabanestory532 4 жыл бұрын
Simba
@JayLastkingof
@JayLastkingof 6 ай бұрын
Bugatiiii.Hahahahaaa Spy moja la kimataifa,pumbavu sana
@elifurahamsuya435
@elifurahamsuya435 5 жыл бұрын
nakupendaga.sana mkweli
@mosaanane2518
@mosaanane2518 6 жыл бұрын
Manala
@masmojree
@masmojree 6 жыл бұрын
Sawa boss wanguuuu
@nimrodmareges3131
@nimrodmareges3131 6 жыл бұрын
David Chungu acha wivu mdogo wangu njoo Simba upate raha
@saudarajabu5504
@saudarajabu5504 5 жыл бұрын
Ni kweli manara unamaasisha sana
@esterisaya.188
@esterisaya.188 6 жыл бұрын
Simba kidume
@allizotv5844
@allizotv5844 5 жыл бұрын
Ok
@thompsonbnapoleon60
@thompsonbnapoleon60 5 жыл бұрын
fungeni vyinywa wa yanga simba oyeeee yanga vinguruweeeeee
@kichuyawatanga5452
@kichuyawatanga5452 4 жыл бұрын
Simbaaaaaaa nguvu moya
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 6 жыл бұрын
Kweli kabisa kujiamini ni mhim sana MANARA
@rashiddaud6531
@rashiddaud6531 6 жыл бұрын
James Ngunda Teresia weweee. msenge. sanaa. makataa huna. lolote. wanaondika habari za simba. ni washabiki uwezi.kubeba kombe la Afrika. mpumbavuu
@rashiddaud6531
@rashiddaud6531 6 жыл бұрын
huyoo. manara mpumbavu tuuu
@danmwn6881
@danmwn6881 5 жыл бұрын
Nakuamin % Kama zote
@husseinjuma5980
@husseinjuma5980 5 жыл бұрын
Manar,nishida mwanang
@frankzominister1473
@frankzominister1473 6 жыл бұрын
Manara upo vzr bro
@deusmwasalanga1495
@deusmwasalanga1495 4 жыл бұрын
Tz hajawahi tokea msemaji km haji ktk soka letu wengine wote huwa wanababaisha tu ila haji ni kiboko yao hata huyo alieajiriwa juzi upande wa pili Hana kitu
@michaelsimwengu7571
@michaelsimwengu7571 4 жыл бұрын
Pamoja mtu wangu
@josejuma103
@josejuma103 6 жыл бұрын
Msemaji bora kuwai kutokea bongo
@mahingilasambichuma1369
@mahingilasambichuma1369 5 жыл бұрын
Jerry Muro alikunyoosha.
@issakabelege4800
@issakabelege4800 4 жыл бұрын
Kwer
@petrokatabazy7369
@petrokatabazy7369 4 жыл бұрын
Chama na mpila haviendani,we mtangazaji vipi
@gladismsuya2072
@gladismsuya2072 5 жыл бұрын
waandishii wa habar wasenge kwel hakuna maswali mengne mambo ya nyama na simba na yanga mbona two things different
@aldoba2826
@aldoba2826 6 жыл бұрын
Hata hiyo simba yako Mimi siwezi kuwa msemaji
@bellam.vyampi5528
@bellam.vyampi5528 4 жыл бұрын
Wabongo bwana,,wew si umetibiwa na hela za yanga,Vip simba haikuwako.
@barakatisalum8296
@barakatisalum8296 4 жыл бұрын
akizunfumzia yanga tu kamoyo kanawasukudua
@marcobulili4341
@marcobulili4341 6 жыл бұрын
pesa hatutakuona wake hatukuhitaji yanga! Tuachie Yanga yetu huna lolote na wala si chochote! apandaye ngazi hushuka, tunakusubiri miaka michache ijayo
@abdallahbakari4409
@abdallahbakari4409 4 жыл бұрын
utashuka ww
@allykhalfan5285
@allykhalfan5285 4 жыл бұрын
Swadakta
@aminajohn5472
@aminajohn5472 4 жыл бұрын
Umeona eheee kaka
@homeboytz7881
@homeboytz7881 6 жыл бұрын
Manara Kweli anajua utajiri ni mitihani ongera broo
@twalibuiddy1889
@twalibuiddy1889 5 жыл бұрын
Homeboy Tz kweli mkuu
@isackyohana8028
@isackyohana8028 5 жыл бұрын
ubingwa wa ligi kuu ungekua umechukua kuzidi yanga sijui ingekuwaje!!!au ungekuwa unaongoza ligi heeeee!! hamna cha kujivunia hapo umekalia brand brand..teh teh teh..hela zenyewe za mo d....nawewe mtangazaji unaye muliza eti awe msemaji wa yanga...hujielewi kabisa.
@rosemarykaroli9572
@rosemarykaroli9572 6 жыл бұрын
Kweli kabisa kabisa
@mosesmkoma8703
@mosesmkoma8703 6 жыл бұрын
Rosemary Karoli simba chama kubwa
@mgosisingano8438
@mgosisingano8438 5 жыл бұрын
acha ujinga huwo no wivu,kwani amekuraximisha nani kumsikiliza mchumba we ukikuta crip za manala we pita zako usisikilize shater up,,david
@jacklinefadhili6323
@jacklinefadhili6323 5 жыл бұрын
Ukigombea ubunge nakupa kura
@musaisaack3155
@musaisaack3155 6 жыл бұрын
Mtumishi wa jamii,Mungu akujalie afya njema
@mtengulerashid7868
@mtengulerashid7868 6 жыл бұрын
manara jinsi ulivyoulivyo hata sikutamani
@yasinikimbega5730
@yasinikimbega5730 6 жыл бұрын
anajinad il ateuriwe huyo chama na mpla mbona tofaut
@yasinikimbega5730
@yasinikimbega5730 6 жыл бұрын
Muongo ww
@ibrahimpmilanzi4365
@ibrahimpmilanzi4365 5 жыл бұрын
Akupeni ubunge manara
@saidimpita7945
@saidimpita7945 3 жыл бұрын
Nani Ana mtaka msemaji choga
@babujinga5819
@babujinga5819 4 жыл бұрын
Huna kazi ndio maana unajipendekeza
@mgosisingano8438
@mgosisingano8438 5 жыл бұрын
shika adabu yako devid,
@roberttagaya3498
@roberttagaya3498 6 жыл бұрын
Tatizo la hawa watangazaji walio wengi hawana uwezo wa kuhoji. Kwani karibia maswali mengi niya kukopi na kupest. Maswali haya anayoulizwa Manara karibia yote yamekopiwa ktkt kipindi cha Baruan Muhuza wa Azam Tv Nyundo ya Baruan Muhuza. Hivyo hawana Jipya hawa watangazaji wa hiki kipindi. Wajifunze kuwa wabunifu sio kukopi vipindi vya wengine. Subaaaamit
@fredrickrichard4555
@fredrickrichard4555 5 жыл бұрын
kahoji ww
@hajiabdallah4886
@hajiabdallah4886 5 жыл бұрын
Utakuaje msemaji wayanga wakati bwanaako MO yeye simba utakua auna akili
@mahmoudalasmi9092
@mahmoudalasmi9092 3 жыл бұрын
Asante mkuu jibu zuri sana nimelipenda
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 5 жыл бұрын
Utajir??? Kwa umaarufu gn?
@hangimasunga5959
@hangimasunga5959 6 жыл бұрын
simba maraarufu Maradufu zaidi ya yanga! acha uongo manara
@georgesamwelchacha7680
@georgesamwelchacha7680 6 жыл бұрын
Mbona Habari zenye maana Mnafupisha nyoooo
@temuramadhani6582
@temuramadhani6582 4 жыл бұрын
iyo radhi yanga ndio iliokuleaa na kukusomesha
@norbertmtaki8296
@norbertmtaki8296 4 жыл бұрын
Ww ndio msemaji mkuuu wa yanga
@emmanuelmkeba7901
@emmanuelmkeba7901 6 жыл бұрын
Hawa waandishi wana matatizo sasa ccm na Simba au Yanga wapi na wapi mbona wanataka kutugawa si njema kuhoji maswali kunapaswa weredi na usomi mambo ya kutafuta chokochoko hapana hatukubali hata kidogo hivi ni vilabu msiharibu sifa za vilabu...
@georgemarwa1440
@georgemarwa1440 6 жыл бұрын
hatuwezi kuwa na msemaovyo
@mgohamwende7785
@mgohamwende7785 6 жыл бұрын
Abel Mhehe
@mgohamwende7785
@mgohamwende7785 6 жыл бұрын
Mnakosa sana kutusi watu kwa kuwaita mabwege, binadamu atakuwaje bwege kisa tu kakukosoa kwa kujinasibu kwake. Tuwe waungwana basi wa kuzikubali changamoto zinazotukabili
@majidnyamzungu4921
@majidnyamzungu4921 5 жыл бұрын
Kweli watangazaji wengi hawaijui kazi yao ccm na Simba wapi na wapi au anaanza kuingiza oh Malaya dismasi ten Hawa watangazaji wetu wanashida
@issabonge6219
@issabonge6219 5 жыл бұрын
Emmanuel Mkeba
@remigiusyustinian200
@remigiusyustinian200 5 жыл бұрын
Kuongea Sana kwenye mitandao timu ndo kupata Matokeo??
@simbadaudi492
@simbadaudi492 5 жыл бұрын
safi sana
@nyavaelly5450
@nyavaelly5450 4 жыл бұрын
Biashara matangazo
@salehdogo2782
@salehdogo2782 4 жыл бұрын
Yanga niombaomba
@dullawezere2432
@dullawezere2432 3 жыл бұрын
Sasa yanga wewe inakuhusu no ongelea simba maana naona wewe unaongelea yanga kuliko simba ata hujulikani msemaji wa tim gan
@emanuelmollel22
@emanuelmollel22 6 жыл бұрын
Manara ametufanya watu tuipende sana simba
@petermtweve9638
@petermtweve9638 5 жыл бұрын
Ww mwongo sana
@nicolausnsollo1901
@nicolausnsollo1901 4 жыл бұрын
Ata yanga hawakufikilii
@charidofaraja4210
@charidofaraja4210 6 жыл бұрын
HAPA NDIO NAONA TOFAUTI YA MSEMAJI NA AFISA HABARI
@piusnkwale
@piusnkwale 5 жыл бұрын
Nani akuruhusu uwe msemaji wa yanga ?unafikiri usemaji wa timu ni uropokaji .
@marckyymarckson4041
@marckyymarckson4041 4 жыл бұрын
Nan anakutaka wewe kwenda
@danielmaige4415
@danielmaige4415 4 жыл бұрын
Kiazi tyu kwani kuandikwa kwenye media simba inapata ongezeko gani kisoka Manara huna kitu kipya kichwani mwako
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 6 жыл бұрын
😀😀kweli ww simba damu ela zote izo umekataa
@jakayamati3510
@jakayamati3510 6 жыл бұрын
hahahaa hajapewa tu chzea hela za BOT zote ww utakua tu jpo kinafiki
@yugakiyumbi9909
@yugakiyumbi9909 6 жыл бұрын
Asia Upo
@husseinjuma5980
@husseinjuma5980 5 жыл бұрын
Uko panda zip sasa
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 5 жыл бұрын
Mnafiki tuuu
@raymondkimea1939
@raymondkimea1939 5 жыл бұрын
Wewedada mzuri kweli
@hamisihasani8457
@hamisihasani8457 5 жыл бұрын
manara ww nimwema kwnn uwe ccm
@jmvuna2792
@jmvuna2792 4 жыл бұрын
Nashangaa! Eti CCM????!!
@khamisrajabu8341
@khamisrajabu8341 6 жыл бұрын
Jeri mulo ndio kiboko
@jerrymilambo6209
@jerrymilambo6209 6 жыл бұрын
Manara unajidanganya sana wewe, tatizo unaongea bila kufikiria, yanga kwa sasa ipo kwenye shida na simba ipo kwenye raha, lakini amini usiamini simba kuifunga yanga kwa sasa ni ngumu sana, kama utabisha nitafute siku yanga ikikutana na simba,
@MalikMalik-pv4cu
@MalikMalik-pv4cu 5 жыл бұрын
Hata wakatae wewe unajua
@precioussambale1964
@precioussambale1964 4 жыл бұрын
Lakini wee si umekuzwa nahela za yanga?
@michaelsimwengu7571
@michaelsimwengu7571 4 жыл бұрын
Mtapata taabu saana
@ramadhanimostoni8273
@ramadhanimostoni8273 5 жыл бұрын
Klabu bingwa Africa???.
@allyflavour8005
@allyflavour8005 4 жыл бұрын
Simba juu kama obama
@ellsonmkonyi1319
@ellsonmkonyi1319 Жыл бұрын
Chiz
@onionpeeling5822
@onionpeeling5822 2 күн бұрын
Huyu anamafuta yananguvu sana
@mahmoudalasmi9092
@mahmoudalasmi9092 3 жыл бұрын
shukran ya punda ni mateke ww manara umelelewa na yanga huto tupesa tusikuzuzue
@chuimnyama9074
@chuimnyama9074 6 жыл бұрын
MTANGAZAJI NAKUBALI SANA
@georgekyando325
@georgekyando325 6 жыл бұрын
we jamaa nakuelewaga sana
@fabianibrahim2900
@fabianibrahim2900 6 жыл бұрын
Ulza swal lenye maana mambo ya rangi ndo nn
@jacksonedward
@jacksonedward 3 жыл бұрын
Acha maneno Haji pesa ya BOT Ukipewa usiwe msemaji yanga,mbona umeoa shabiki wa yanga😁😁😁😁😁
@nimrodsigulu2053
@nimrodsigulu2053 4 жыл бұрын
Haji huyu Leo analalamika katukanwa...yeye jawaambia mwenzake wanajambishana...haha
@mcjayz8686
@mcjayz8686 5 жыл бұрын
Huna kazi wewe fanya yako sisi yanga sio watu wa maneno maneno sisi ushind tu
@masterngao5538
@masterngao5538 4 жыл бұрын
Vyote hatuna yanga
@ramadhanimostoni8273
@ramadhanimostoni8273 5 жыл бұрын
Kwa hilo la kuwasaidia ndg zetu albino tupo pamoja kamanda mkuu.
@shabankawambwa4397
@shabankawambwa4397 4 жыл бұрын
Haji unafaa kuwa mbunge pia kutetea albino
@sebamrope7691
@sebamrope7691 6 жыл бұрын
manara ww kuma tu Yanga huhitaji watu wehu kama ww
@dullawezere2432
@dullawezere2432 3 жыл бұрын
Nimegundua kiki yako ni yanga inaonekana umaarufu wako unaupata kupitia yanga ndio ujue yanga ni club kubwa kuliko zote tz
@leonardmadinda1439
@leonardmadinda1439 6 жыл бұрын
penda xan ww
@limolimo4701
@limolimo4701 6 жыл бұрын
akupe nani hela zote za bank
@aminachipembele6274
@aminachipembele6274 4 жыл бұрын
Hivi Nani kasema tunamtaka manara akome
@michaelsimwengu7571
@michaelsimwengu7571 4 жыл бұрын
Sijui nyie lisemwalo lipo naisi mmewhi kulopoka msijisahaulishe uko😝😝😝😝😝
@emmanuelmkindi9400
@emmanuelmkindi9400 6 жыл бұрын
manara babu tulia maana KILA kitu ni mipango ya MUNGU so apo awali haukuwa na usemi now ushapata usemi kumbuka KILA jambo kwa majira yake
@richardmsyokege9944
@richardmsyokege9944 5 жыл бұрын
Fresh manara
@devothamtewa5309
@devothamtewa5309 6 жыл бұрын
ckupendi hata kidogo we maniro ovyooooooooooooo
@OnlyRuky
@OnlyRuky 6 жыл бұрын
Devotha Mtewa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@hashimabdalah3161
@hashimabdalah3161 6 жыл бұрын
We anakupenda duuuh na utakua mchawi ww
@khadijambuta4360
@khadijambuta4360 6 жыл бұрын
hashim abdalah 😂😂😂
@martinernestsengo893
@martinernestsengo893 6 жыл бұрын
hata hajakutongo tatizo nn muache afanye kazi yake
@innocentjohnson3880
@innocentjohnson3880 6 жыл бұрын
Devotha Mtewa wewe ni young lazima usimpend
@rachelbujuli7151
@rachelbujuli7151 6 жыл бұрын
Hats hivo Yanga hawakutaki kabisa una kelele mno wewe ndo unaandika na unapenda luninga
@joshwaayoma6941
@joshwaayoma6941 4 жыл бұрын
Manara up juu achana nao njaa inauwaua na wanteska sana
@uthaiminlameck560
@uthaiminlameck560 5 жыл бұрын
A lot of pointsless Ongea kuhusu soccer Man
@nasorospati3075
@nasorospati3075 4 жыл бұрын
Aaah wewe ushakula sana pesa za yanga kuptia kwa baba ako
@muhandochesko6913
@muhandochesko6913 5 жыл бұрын
yani ww co bot wakupe zote kwass Yanga hata bure hatukutaki
@mikidadimuhando2315
@mikidadimuhando2315 2 жыл бұрын
Mdomo ni mali yako Haji, hulipii vat wala kodi, Ropoka uwezavyo lakini fahamu mwongo njia yake ni fupi, danganya uwezavyo lakini siku moja utajishangaa kujikuta graph ya mafanikio na umaarufu unavyovitaka mno nafsini mwako havina haki, ulimi wako ukipinda utajisumu
@rehemanassoro1147
@rehemanassoro1147 5 жыл бұрын
kwn Yanga wanamtaka mtu mropokaji? Yanga 2najitambua tembea uko
@michaelsimwengu7571
@michaelsimwengu7571 4 жыл бұрын
Amjui kitu mnamuweza uyo!!!!!!
@mr_alberttz1445
@mr_alberttz1445 6 жыл бұрын
Ahahaahahahahaha
@alexs.mramba5920
@alexs.mramba5920 6 жыл бұрын
Kuiongoza yanga ni kazi kubwa sana pale kuna waya siyo mchezezo
@alexs.mramba5920
@alexs.mramba5920 6 жыл бұрын
Akili Mali. anafaa Sana kuwa raisi wa yanga
@saadashomary3815
@saadashomary3815 5 жыл бұрын
Yanga nao hawawezi pia kukuchukua nani anakutaka wewe
@asmahammis9329
@asmahammis9329 4 жыл бұрын
Povuuuu
MANARA AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MO NA BABRA
36:04
Ngome Tv
Рет қаралды 87 М.
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 18 МЛН
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,5 МЛН
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 36 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Salama Na HAJI Ep 52 | ALIYE KUTWIKA NDIYE ATAKAYE KUTUA PART 1
43:34
AHMED ALLY ATANGAZA VICHEKO SIMBA
1:23
MTEBE TV
Рет қаралды 26 М.
HAJI MANARA NI MUHUNI _ WILSONORUMA
9:16
KITENGE TV
Рет қаралды 52 М.
Крокодил получил по-заслугам! 😱
0:32
КиноСклад
Рет қаралды 27 МЛН