Рет қаралды 39,835
LYRICS
INTRO
Aaaa heya ah ah
Aaaa heya, aaaa
VERSE 1
Mapenzi, ni sawa sawa na wizi
Huanza tu kwa uporaji wa hisia bila idhini
Mapenzi, yana matukio ya kishenzi
Hisia kurukaruka kama panzi
Na saa zingine kuraruka ka mavazi
Aaaa heya ah ah
Aaaa heya, aaaaa
Mapenzi, haihitaji ujasiri
Na pia tena haina siri
Tulia nami basi tusafiri
Na mapenzi
Wacheza ngoma ni wawili
Ibusubusu siisubu tu
Isiyokuhusu usithubutu
CHORUS
Ipambe, Ipambe ua
Ikuche, ikuje na jua
Me ni wewe
Tuwe na ndoa bila doa
Ipambe, Ipambe ua
Ikuche, ikuje na jua
Me ni wewe
Tuwe na ndoa bila doa
VERSE 2
Lemme be your bogibenda
Breakfast kwa kitanda
Tuburudike siku yote Rhumba
Hatimaye dinner itupate Rwanda
Lemme be your pacesetter
Popote nitaenda
Niahidi utanifuata
Imma show you the way
Imma be your Papa Wemba
BRIDGE
Aaa nikiamka unanituliza
Na nikianguka unanipuliza, dada we
Na kila ukiugua inaniumiza
Aaaa
CHORUS
Ipambe, Ipambe ua
Ikuche, ikuje na jua
Me ni wewe
Tuwe na ndoa bila doa
Ipambe, Ipambe ua
Ikuche, ikuje na jua
Me ni wewe
Tuwe na ndoa bila doa
--End--
Audio : Esque The Beat Killa
Guitar : Komora (Acoustic Lead)
Keys. : Thinji (Likizo)
SUBSAHARA STUDIO
Find us on social media:
Facebook: / halisi-678341135578344
Twitter: / halisitheband
Instagram: / halisitheband