No video

Hamisa Mobetto kafunguka Mahakama kumsuluhisha na Diamond 'Ugomvi wa familia uacheni tu'

  Рет қаралды 403,543

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Leo February 8, 2018 Mwanamitindo Hamisa Mobetto amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya usuluhishi na mzazi mwenzake, Diamond Platnumz kuhusu malezi ya mtoto wao. Hamisa Mobetto amezungumza na AYO TV kuhusu hilo.

Пікірлер: 507
@moseskisingi7696
@moseskisingi7696 6 жыл бұрын
Wasichana wa siku hizi Bwana, yaani mtu anasema hana mpango wa kuolewa lakini yuko tayari kumvulia nguo na kuzaa na mwanaume yeyote atakae mwona ana pesa, kisha mtoto atumike kama kitega uchumi, = Watu kama huyu binti kuolewa labda, Mahause girls (wadada wasaidizi wa kazi za nyumbani wawe wameisha) =Ninyi subirini tu tutafute pesa Kidogo tuwahonge na ili kuona hicho cha ziada mlicho nacho,kisha tuwaambie machoni kuwa hamna cha ziada tulieni, =Hata huyo mzazi mwenzake kama kuna cha ziada angekikuta msingefikia Mahakamani,
@marylinekatikilo6753
@marylinekatikilo6753 6 жыл бұрын
uyo mwamke yupo powa sana kama umemkubali gonga like
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 6 жыл бұрын
Duh.!! Ka-win BINGO .!Anajua ku-invest.! She has blight future in front of her.
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 жыл бұрын
Mashallah Mobetto wewe ni mrembo sana, nakupenda sana mpenzi.
@ashaali7154
@ashaali7154 6 жыл бұрын
Vizuri kabisa leeni mtoto wenu acheni mabifu ya mashabiki ambayo hayawasaidii chochote.
@hassanimtasiwa5820
@hassanimtasiwa5820 6 жыл бұрын
Safi
@lisalizzi8690
@lisalizzi8690 6 жыл бұрын
asha ali wakiwa wana Tombana wasi weke wazi kufaidisha mashabiki utamu walisikia wao Mpaka kutuma Video kuahakikishia Simba kaaniitomba na kuniitia mimba hehehe koma.So Next Time Think about it befor you do something watajiju
@mathewshedrack8382
@mathewshedrack8382 6 жыл бұрын
Mmefanya vzr kumaliza tofaut zenu
@bilalbinali1227
@bilalbinali1227 6 жыл бұрын
kweli
@mukamugenzifrancine4995
@mukamugenzifrancine4995 6 жыл бұрын
Kahamisa nakapendeya kitu kimoja kanajiamini na kanamoyo wasubira hakayumbishwi na maneno kajanja kuliko hata kina wema big up hamissa 😍😍😍😍
@barazasila4051
@barazasila4051 6 жыл бұрын
Mashallah, hapo ndio usolome uliwafikisha yaani kotini.
@renegerald3289
@renegerald3289 3 жыл бұрын
i know I am kinda randomly asking but does anyone know of a good place to stream newly released movies online?
@musafinnley4163
@musafinnley4163 3 жыл бұрын
@Rene Gerald I use Flixzone. You can find it by googling =)
@hendrixsergio5474
@hendrixsergio5474 3 жыл бұрын
@Musa Finnley yea, I've been watching on FlixZone for since april myself =)
@renegerald3289
@renegerald3289 3 жыл бұрын
@Musa Finnley thank you, I signed up and it seems like a nice service =) I appreciate it!!
@musafinnley4163
@musafinnley4163 3 жыл бұрын
@Rene Gerald happy to help :)
@wampande
@wampande 6 жыл бұрын
For sure zari is more beautiful
@zungubakathir1761
@zungubakathir1761 6 жыл бұрын
Inallah waina illah rajiun ndomana unaniona nimezaa watoto inje ya ndoa mapema hakika mwenye kufanya mazambi huku anacheka ataingia moton uku analia dunia imeisha duuh nishida
@nabintukadende2388
@nabintukadende2388 6 жыл бұрын
beautiful Misa.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 6 жыл бұрын
Ukizini nawe utaziniwa hata km chini ya dirisha la nyumba yako. Allah atuepushie zinaa cc pamoja na vizazi vyetu.
@mako331
@mako331 6 жыл бұрын
did l hear it right? huamini sana ndoa??? ndio maana unazaa watoto nje ya ndoa? wewe ni role model kweli, kioo cha jamii hicho
@fathiamzee8312
@fathiamzee8312 6 жыл бұрын
Mnashangaza sana nyinyi wazinifu mtoto wazinaaa anadaiwa haki kwa baba ilo sio sahihi maana nyinyi waislam naistoshe din haisemi ivyo nihiari yke .tafuta mume uwolewe utafute hak ya halali
@mgenisalum3721
@mgenisalum3721 6 жыл бұрын
Fathia Mzee Kabisa ni waislam jina tu hao manake huyo mtoto ni wake yeye hamisa na sio diamond na ata wale wa zari pia coz yule tifa anaweza kumuoa dini haimtambui labda wawe wameoana na watoto wapatikane ndani ya ndoa
@dianacharles6965
@dianacharles6965 6 жыл бұрын
hongera hamisa umeamua vizuri akikupa chochote chukua Mdg wangu
@vava1official556
@vava1official556 6 жыл бұрын
That is gud am happy for you guys it will be good that baby to see Mom and Daddy
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 6 жыл бұрын
upo kazuri sana hamisa Mungu akupe maisha marefu,
@shuuathuman9327
@shuuathuman9327 6 жыл бұрын
mond noma umegongaa umemtumiaa hadi raha. Leo umemucha mweupe. BG ap mond kwa kazi zuri. wavue tu bikin hizo ila ukitaka kuoa muoe zari the boss ledy
@mamywardah7960
@mamywardah7960 6 жыл бұрын
umepndezaa hamisa mobetto
@taharayassin6528
@taharayassin6528 6 жыл бұрын
Yaani unapingana na amri ya Allah yaani umeona bora umezaa nje ya ndowa kwasababu huipendi kitu ndowa duh ndokwanza nakusikiya wewe kauli hiyo
@eunicemishel2562
@eunicemishel2562 6 жыл бұрын
Heri kuzaa nje ya ndoa kuliko kuolewa maana bwana akioa lazima atafute mpango wakando.Love to be single forever.Hamisa lea watoi wako 2 is enough just relax and continue enjoy tamu with Mr D
@shedrackboniphace7755
@shedrackboniphace7755 6 жыл бұрын
Live the life you love and love the life you live
@kisianganijob1068
@kisianganijob1068 6 жыл бұрын
Beauty...that is why i need a wife from Tanzania.
@mohammedabdallah6390
@mohammedabdallah6390 6 жыл бұрын
Unajisifu umezaa Watoto wa zinaa huku unacheka daaaah pole sana
@fokasiinnocent3448
@fokasiinnocent3448 6 жыл бұрын
mohammed abdallah mtoto ni mtoto fara wewe,ndo ninyi mnAbagua watoto unavuta bAngi wewe!
@tinivanny7562
@tinivanny7562 6 жыл бұрын
mohammed abdallah aliyekufundisha kwamba watoto ni wazinaa ni nani ? Mana hata kwa Qur'an na sunnah hupati aya wala hadithi inayosema kuwa kuna mtoto anaitwa wa zinaa.Hebu Muogope Allah kwa kuviita viumbe vyake vya zinaa labda ungesema kitendo walichokifanya ndio sio halali .Sasa huyo mtoto unayesema ni wa zinaa nani kamuumba?
@fokasiinnocent3448
@fokasiinnocent3448 6 жыл бұрын
Bibibabu Fumba kaka mungu akubariki
@jumbeybrowney7310
@jumbeybrowney7310 6 жыл бұрын
Huyo Mohamed Abdallah anaishi maisha ya USINGIZINI...he doesn't even have tangible stance over his delusional remarks....
@abdallahhemed3527
@abdallahhemed3527 6 жыл бұрын
mohammed abdallah .kaka watu watu hawjitambui baada ya kuomba msamaha kwa Allah ndio kwanza wanajisifu ni hatari sana Mungu anamchukia SNA MTU ambaye amefanya mazambi usiku Allah akamsitili alafu asubuhi anaeleza mazambi yake kwa watu
@tatianatataa1489
@tatianatataa1489 6 жыл бұрын
Beautiful hamissa
@magrethmagretotwara6521
@magrethmagretotwara6521 6 жыл бұрын
tena safi sana baba lea mwanao
@simbavevo7318
@simbavevo7318 6 жыл бұрын
hamissa Huyo mtoto wako na simba sawa.lakini usifanye mtaji Huyo mtoto kwa kutegemea pesa kwa mond ..eti kwa mwezi 10million kwani kitua cha yatima hicho ..kuwa na akili sometime utafell ...Fanya yakoo
@margarethkalembwe7636
@margarethkalembwe7636 6 жыл бұрын
simba Vevo Hizo 10 millions unamsemea?mbona yeye hajatamka kitu kama hicho?
@zubeidaabdalla5096
@zubeidaabdalla5096 6 жыл бұрын
familiya umeolewa na unajisifu umezaaa njee ya ndoa looo huna Haya wewe
@fridalulu5916
@fridalulu5916 6 жыл бұрын
simba Vevo ndo maanake hakuzaa na MTU ka wewe, live your life nigga
@uledimtumwa3045
@uledimtumwa3045 6 жыл бұрын
Wazinifu wanajiamini sana, haya ndio Madada wanaojinasibisha na uislamu.Anaongea kwa furaha kama katenda jambo jema.Anaemuasi Mungu kwa furaha ataingia motoni kwa kilio.
@fridalulu5916
@fridalulu5916 6 жыл бұрын
Uledi Mtumwa let her live her life n stop judging her...
@abousahalabdoulnuru14
@abousahalabdoulnuru14 6 жыл бұрын
Uledi uko sahihi japo ukweli kila siku umekua kama sumu watu hukata kuambiwa ila huo ndo ukweli
@nchiyangutv2157
@nchiyangutv2157 6 жыл бұрын
Mtoto mzuri huyu jamani
@mwambamkombozi4672
@mwambamkombozi4672 6 жыл бұрын
Inaonekana wazi kuwa wengi wa watanganyika kiswahili sio lugha yao kama tunavyoona mara nyingi wanapoongea kiswahili huwa wanachanganya na lugha nyengine ambazo sio kiswahili na ndio maana tukaambiwa waswahili ni watu mwambao!! Ningpenda kuwasihi watanzania wanaopenda kuongea kiswahili kama ni lugha yao ya taifa basi wajivunie kwa hilo na wajifunze zaidi kiswahili kwakua kiswahili sasahivi imekuwa lugha moja kubwa sana ambayo inaheshimiwa kimataifa na ni lugha inayongoza kuwa juu katika bara la Afrika, tusikubali kuwa watumwa wa lugha jivunie na matunda mazuri ya lugha yetu ambayo sasahivi imeanza kutamba duniani kote na mfano zaidi ni huu hapa ambapo wa Oman lugha yao ya pili ni kiswahili, katika nchi ya uingereza sasahivi vitu vingi vikiwndikwa kujuilishwa watu basi kunakuwa na kipengele (option) ya lugha ya kiswahili!! Nimetoa mfano huu ili kuwatanabahisha wale ambao wanahisi nakuona kuwa kiswahili labda ni lugha ndogo isiokuwa na maana wakati hicho ni kinyume chake!! Kiswahili oyeeeee!!!
@fisadikiwembe9787
@fisadikiwembe9787 5 жыл бұрын
beautiful
@boikamoha2227
@boikamoha2227 6 жыл бұрын
Acheni kujipakazia nyiee. Mimba za wengine kupeleka kwa mwengine nomaaaaaa. Inakua mkate bba🔥🔥🔥
@ivanmcdonimcdoni7890
@ivanmcdonimcdoni7890 6 жыл бұрын
Mimi kwetu ni Mozambik. Nimependa sana njizi ambaye mumefanya.Glückwunsch (Ongera) Diamond Platnumz na Hübsche Frau (mrembo nzuri) mwenye Macho kama mdori. Acey you are beautfull
@youngracemst9241
@youngracemst9241 6 жыл бұрын
Beautiful Hamisa 😍😍😍😍😍
@railamypresidentrailamypre629
@railamypresidentrailamypre629 6 жыл бұрын
Youngrace 254 mondi akiona coment nyingi n za kumsifu hamisa atahama kwa wema na zari arudi kwa hamisa 😀😀😀😀😀😀
@youngracemst9241
@youngracemst9241 6 жыл бұрын
Raila my president Raila my president 😂😂😂😂
@timelessbeauty5677
@timelessbeauty5677 6 жыл бұрын
+Youngrace 254 kwani Raila ako hapo
@youngracemst9241
@youngracemst9241 6 жыл бұрын
sipendi jubilee 😂😂 Yeah ako hapo lol
@timelessbeauty5677
@timelessbeauty5677 6 жыл бұрын
+Youngrace 254 we are mad of our president Raila till tunaeza tu mtaja popote?
@nimubonashabani2827
@nimubonashabani2827 6 жыл бұрын
MISS HAMISSAA ANAJUA KUJIELEZAA.
@apansiakyabu4334
@apansiakyabu4334 5 жыл бұрын
Mambo mengine yaaibu, mlipanga kuzaa alikuambia hana watoto! Au ulijua kuzaa mondi ndio kuoleawa na Zari alikuachia olewa sasa!
@moringelangas7276
@moringelangas7276 6 жыл бұрын
Nakukubali sana we mtoto mzuri wa kariakoo
@mountcholo7039
@mountcholo7039 6 жыл бұрын
Ana tamaa kweli uyu dada, milioni tano kwa mwezi jamani anakula makontena
@margarethkalembwe7636
@margarethkalembwe7636 6 жыл бұрын
Nassor Hamadi Nassor Comment according to the post!Hakuna aliposema anataka 5 million, sasa wewe umeitoa wapi?Acha rumors hiziooo👌👌👌
@bilcquiminzasheila5511
@bilcquiminzasheila5511 6 жыл бұрын
Nassor Hamadi Nassor millions tano umetowa wapi ????? Na amesema kiasi cha pesa ni family secrets
@tejawamapenzi1958
@tejawamapenzi1958 6 жыл бұрын
Nassor Hamadi Nassor Sikiza Kwanza kabla Huja Comments
@allyamiri9784
@allyamiri9784 6 жыл бұрын
Hakiamungu kk duuuh tamaa huyu wote umaskini tyu huoo
@mwajumakweli6753
@mwajumakweli6753 6 жыл бұрын
Nassor Hamadi Nassor Hahahahahaha et Ana kila makontena
@rozeeroz2515
@rozeeroz2515 6 жыл бұрын
Haya wajaze watoto wengi nnje yandoa hiyo moja ya biashala
@roseanthony7754
@roseanthony7754 6 жыл бұрын
nakupenda hamisa wng we ni mzuriii mnoo
@mctidohondoa1652
@mctidohondoa1652 6 жыл бұрын
Haya ni balaaa pitieni na kwangu kuna vitu vizuri bonyeza picha kushoto
@milkanjoki1138
@milkanjoki1138 6 жыл бұрын
Like mama like binti
@adhifachongera1681
@adhifachongera1681 6 жыл бұрын
dully the coming simba in wcb for life
@AzaAlhabsi
@AzaAlhabsi 6 жыл бұрын
Kaongea vzuriiiiii afu mwsho akaharbuuuuu.eeh binadam hujui ya kesho.pumzi ya mungu.hapo ukzmika mara moja utajutaaaaa Kwa kufanya kusudi Na kujtapa kuzaa nje ya ndoa.din zote HAZKUBALI.TAFAKARI.
@petromtakati2975
@petromtakati2975 6 жыл бұрын
Kumbe ww unataka hela kulingana nA uwezo wa diamond Ila we dada nimekuzalau sana, hayo sio maisha inaonyesha diamond Akija filiska utakuja mgeuka useme sio mtoto wake.... Acha mambo yako bhana aaaaah unazingua naww
@wilhelminastanley2221
@wilhelminastanley2221 6 жыл бұрын
We hamisa ni mswahili balaaaa
@joycejohn7754
@joycejohn7754 6 жыл бұрын
nakupenda! wew ni mwanamke kusmamia haki ya mwanao unajiamn sana
@user-mm5tf7yn6p
@user-mm5tf7yn6p 5 жыл бұрын
Tama mbaya binaonekana hawutaki agusaidie unataka diamond
@tabuyahya6481
@tabuyahya6481 6 жыл бұрын
Vizuri sana mleeni mtoto wenu msiyasikilze ya pembneni shetawadu huwa wananguvu za kugombanisha watu harafu wao kimya yanini sasa mleeni mtoto wenu mazingira mazuri na baba uwe unakwenda kumuona mwanao Achana na mambo ya watu.
@baroseliasbaruani1102
@baroseliasbaruani1102 6 жыл бұрын
Kutoka USA MAREKANI TEXAS DALLAS, tumewapata, lakini mbona wakati mlipokuwa mnapendana hamjaanza mapenzi yenu mahakamani ? Kwa nini mahakama ihingilie kati huku haikujua ni wapi mlikoanzia ? Na ni wapi mtoto alikopatikana ? Amisa iweni na fursa za kuwedhesha watoto mnao wazaa wasije wakawacheka baadae . Angalisho sana na swala hili ulilo fanya . Haijaleta sura nzuri. Hatumo tunapita njia tu. Tunayaangalia na macho kodo.
@catherinemsofe8020
@catherinemsofe8020 6 жыл бұрын
nakupebda, mzuri na uko smart kichwani na maongezi yako pia yana akiki
@zombetvonline7591
@zombetvonline7591 6 жыл бұрын
Simpendi huyu dadaaa ah
@sabahumedia7053
@sabahumedia7053 6 жыл бұрын
Tumche Allah dunia hadaa kwa mujibu wa dini ya kiislam watoto wote wa mondi hawatomrithi hata akioa leo akazaa basi itahesabika ndo mtoto halali hao wengine hata wakila robo ya mali ni dhulma kidunia ni rahisi tuendapo pagumu haramu yoyote ukila wala moto Allah atunusuru na moto
@aishaabdallah5523
@aishaabdallah5523 6 жыл бұрын
nusraty mohammed inshallah mola wetu atunusuru mama dunia inapoelekea dah
@slyvian5885
@slyvian5885 6 жыл бұрын
Hamisa take care of your Family .jini Kisirani alikuwepo toka enzi za "Mawazo" Who listens to Haters
@bilalibenteke5904
@bilalibenteke5904 6 жыл бұрын
wecheka mungu ana kusubiri dada tubia kabisa kabla hujafa ohooooo.
@mauashabani227
@mauashabani227 6 жыл бұрын
katika siku umenikonga moyo wang dada ni leo big up
@judykingoto9494
@judykingoto9494 6 жыл бұрын
Umeongea ndio lakni as a mother I cant afford to fix myself in such a situation may GOD help me
@hassansimba9995
@hassansimba9995 6 жыл бұрын
dunia Mapito tufanye yte lkn kumcha Allah ni jambo jema
@MariamsLifestyle
@MariamsLifestyle 6 жыл бұрын
Amejieleza vizuri 👌🏾👌🏾
@ummali7942
@ummali7942 6 жыл бұрын
Mtoto wakislamu huyu anajivunia kuzaa njee ya ndoa hawa wataenda sema nn mbele ya Allah jamni Yani wanaona hawata kufaa Kesho hawajuwi kama ni hisabuu SubhannaAllah Tz Ni wachache wenye dini kisha hawa hawa ati huweka visomo vya dini hata wale mashekhe wanao wfata ni kama wao Don't think ma3lim wamaana ataenda West tym yke
@fatwimamakungu5456
@fatwimamakungu5456 6 жыл бұрын
fatshayy fatshayy umeona na ww nilijua mm yaninaumia kuona watu wako nyuma kuisoma dini yetu na kujua kua adhabu ya kuburi ipo na inatusubili namuomba Allah atuepushe ss na vizazi vyetu wallah
@suzziejelagatt
@suzziejelagatt 6 жыл бұрын
Wtf ati haumini ndoa ndio maana nimezaa njee ya ndoa. Is that a pride ?...
@slyvian5885
@slyvian5885 6 жыл бұрын
Great Hamisa & Your looking Beautiful with ur natural hair. Would love to see Zari's hair too.
@Ishengoma1
@Ishengoma1 6 жыл бұрын
mtoto hatengenezwi ana tungwa...Mimba inatungwa, sio inatengenezwa.
@florajoseph3565
@florajoseph3565 6 жыл бұрын
Kweli kbisa kwa mi hmisa pendaga weye
@fatwimamakungu5456
@fatwimamakungu5456 6 жыл бұрын
Rashidi Suleiman sio anajicheka anafuraiya anakwambia aamini ndoa wala atamani kuolewa ila kuzina ataendelea subhanallah yani muswiba mkubwa kwa waisilam ambao awataki kuacha zinaa
@fatshayyfatshayy1084
@fatshayyfatshayy1084 6 жыл бұрын
Fatwima Makungu tena khatari hii wallahi na naona ufakhari kujisifia kuwa yeye ni mzinifu sana
@bahatishirima7575
@bahatishirima7575 6 жыл бұрын
Fatwima Makungu mungu atamlipa stahiki yake muache acheeekeleee zinaaa
@fridalulu5916
@fridalulu5916 6 жыл бұрын
Fatwima Makungu let her live her life the way she wants
@rebeccahkerubo4151
@rebeccahkerubo4151 6 жыл бұрын
Matusi ya nini.. Walkway Kwa relationship hamkuwa..wacheni Walee mtoto wao
@shadrackmnjelu5285
@shadrackmnjelu5285 6 жыл бұрын
ukiwa na pesa na umaaruf hat uwej madem wakl wote wakooo mamayoooo mondiiii
@fatumahengo6849
@fatumahengo6849 6 жыл бұрын
Hamisa mashaalah kisweety
@zamzamhamisi7332
@zamzamhamisi7332 6 жыл бұрын
Hamisa nakukubali sana
@zainabukayugwa194
@zainabukayugwa194 6 жыл бұрын
slipendi hili lihamissa afu kumbe niwakawaida sana afu linapenda kujishauwa eti mimi siamini ndoa au wanaume walikukana hawakutaka kukuoa🤣🤣🤣🤣🤣siuseme tu unaogopa nini
@bahatidan4751
@bahatidan4751 6 жыл бұрын
Hamisa get ur bag of money for your baby my love
@lungien8481
@lungien8481 6 жыл бұрын
This chick is young
@danielrobert4838
@danielrobert4838 6 жыл бұрын
Hapo kameshindwa. Kaongooo. Kiingereza hujui unajikanyaga 2
@nuranzubail6825
@nuranzubail6825 6 жыл бұрын
Mtoto wa kiislam anafurahi kuzaa njee ya ndoa kiama kimefika hizi ndo dalili alizozitabili mtume kuwa wanawake wataona kuzaa nje ya ndoa ni kawaida sana na watafurahi . Zinaa ni mbaya tuweni makini maisha ya dunian ni mafupi mno
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 6 жыл бұрын
Hivi unuwezagi chagua lugha moja ya kuongea kama kizungu ongeeni kizungu kama kiswahili ongea kiswahili, eti ciitaji kuolewa ujapata wa kukuoa bado c uwe mkweli tuu mbona kawaida
@TopTenKaliTV
@TopTenKaliTV 6 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/r8qGl8d5nZ_bgps.html
@roseirungo1950
@roseirungo1950 6 жыл бұрын
unaona hamisa kama ni sura mbaya ka yako ata ndo huwezi iyeka kwa profile kuma nina wee....
@shydollwaalihajj5142
@shydollwaalihajj5142 6 жыл бұрын
kweli kabisa
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 6 жыл бұрын
Rose Irungo wewe haya matusi ni ya kwangu? sasa wewe unasema neno zito kama wewe c mwanamke Rose ukikojoa unachutama au unasimama? Na huko unakokuongelea vibaya c ndipo ulipotokea au wewe umetokea kwa nyuma mwezangu?, "bi...sit down and be humble " in kandrick lama's voice
@abousahalabdoulnuru14
@abousahalabdoulnuru14 6 жыл бұрын
Rose tuwe wastaarabu katik maongezi yetu mbona tunapenda sana kutukan matusi makali why??
@OfficielSamJr
@OfficielSamJr 6 жыл бұрын
Hyo milion 100 wameitaja wote
@seifmohamedseif9384
@seifmohamedseif9384 6 жыл бұрын
wakati mna anza kuvuana mbona hamkuanzia mahakamani
@p.kasongot979
@p.kasongot979 6 жыл бұрын
Seif Mohamed Seif hapo sasa
@lisalizzi8690
@lisalizzi8690 6 жыл бұрын
Seif Mohamed Seif 😂😂😂😂😂
@leilamohamed950
@leilamohamed950 6 жыл бұрын
wazinzi wakubwa nyie,
@leilamohamed950
@leilamohamed950 6 жыл бұрын
+leila mohamed she's proud kuzaa watoto nje ya ndoa coz hakutaka ndoa mapema, innalillah wa Inna illaih rajiuun. Pole sn, hayo si mafanikio ww Na huyo mzinzi mwenzio
@jacobmlelwa7616
@jacobmlelwa7616 6 жыл бұрын
Seif Mohamed Seif ...umenena
@salmasalim6055
@salmasalim6055 6 жыл бұрын
Utakuja juta na kujuta lakini wapiii tumuombe Allah atupe kizazi chema na wawe wenye kumpendezesha Allah.ammin
@albertinamichel3230
@albertinamichel3230 6 жыл бұрын
Jeuri
@richardpondo5139
@richardpondo5139 6 жыл бұрын
Kweli msichana akiwa mzuri lakini Hana akili zitakazoumia NI sehemu zake za Siri,,, unaona fahari kuzaa nje ya ndoa,,, !!!
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 жыл бұрын
Richard Pondo 😂😂😂😂
@mariamangel1264
@mariamangel1264 6 жыл бұрын
Uko na tama kweli daaaa looooooo yani km ana uwezo utafanya nn
@jacobmlelwa7616
@jacobmlelwa7616 6 жыл бұрын
Mwanamke mzm unampeleka mahakaman mme wa mtu eti oooh matumizi haleti , huoni haya kama wew ni mjasiliamari na unapenda u boss Lea mtoto kuliko kujizalilisha kama bwana ana mtt anafaham majukumu we Lea MTT ili awe wako mwanamke pambana na hali yako uwo ndio u strong women si kuonekana kwenye TV tu
@just_b999
@just_b999 6 жыл бұрын
Hamisa knew what she was doing from the beginning. She kinda a girl who can sleep even with someone who is on life support machine for the sake of money.
@fatwimamakungu5456
@fatwimamakungu5456 6 жыл бұрын
Kweli kabisaa bahati shirima
@dawhiteaissa2522
@dawhiteaissa2522 6 жыл бұрын
pesa zina mwisho !!!!kuzaa bila ndoa ni uzinivu!kweli una tamaa pole
@salimomar2032
@salimomar2032 6 жыл бұрын
Tamaa zitakumaliza
@abdiali6866
@abdiali6866 6 жыл бұрын
Hivi hawa jamaa si waislamu halaf anaona kuzaa njee ya ndoa fresh 2
@roseirungo1950
@roseirungo1950 6 жыл бұрын
Hapo ni sawa kama mmekubaliana kulea mtoto pamoja ....Ata siyo vizuli mtoto kuwa mkubwa alfu aje kujua babake alimtenga ....
@familykabange6328
@familykabange6328 6 жыл бұрын
Dada uko mke mubaya , ujuwe kama diamond awezi kuwa na passion na Yule mtoto ,munge lizungumuza tu nyumbani
@khadijaarkam5701
@khadijaarkam5701 6 жыл бұрын
Mtt atakua tu ishaallah
@fallymetoo191
@fallymetoo191 6 жыл бұрын
hivi hivyo ulivoviongelea kwambahuko tayari kufunga ndoa na ndio ukiona kuzaa nje yandoa ni vitu vyema saaaaana sio? badilika Hamisa tujue kuna Mungu pia
@suedissa7500
@suedissa7500 6 жыл бұрын
Gud naona mmekua sasa watu wazima
@bakarymgaluka9282
@bakarymgaluka9282 6 жыл бұрын
unatamaa ndio ugomvi wafamilia c mgeongea nyumbani umeweka hazarani Kwa tamaaa utazaa asubui jioni mpaka chini kuwe kweusi kama stoo yamkaa
@brigidmua9558
@brigidmua9558 6 жыл бұрын
Kizungu achia wazungu dada
@taniaaugustin9193
@taniaaugustin9193 6 жыл бұрын
sure kizeee
@zombetvonline7591
@zombetvonline7591 6 жыл бұрын
Ana njaaaa huyu dadaa
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 6 жыл бұрын
alisema lakini kaanza na wema kumaliza bifu nawengine watafuata.inapendeza kwakweli namtt mnampa furaha ktk maisha yake.tunamuombea pia bifu ziishe kote na kwababa pia.
@hellenmwayole8715
@hellenmwayole8715 6 жыл бұрын
mmmm haka kadada, Mungu akufungue ufahamu wako
@beatricemapembe8941
@beatricemapembe8941 6 жыл бұрын
Hujui ulipoanzia??? Kwenye mitandao. Kuolewaaaaa!!!!!
@bashirihassani5503
@bashirihassani5503 6 жыл бұрын
Mnazaa watoto mnje ya ndoa laana
@jeanmalilo6128
@jeanmalilo6128 6 жыл бұрын
Kana penda sifa haka kaonekane Na Simba tu
@lisalizzi8690
@lisalizzi8690 6 жыл бұрын
Jean Malilo nii Mjinga Sana
RAIS WA YANGA HERSI AFUNGUKA  'MANARA ATAPANGIWA KAZI NYINGINE'
4:49
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 39 МЛН
艾莎撒娇得到王子的原谅#艾莎
00:24
在逃的公主
Рет қаралды 49 МЛН
My Cheetos🍕PIZZA #cooking #shorts
00:43
BANKII
Рет қаралды 26 МЛН
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 85 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 215 М.
MAMA DIAMOND AJIBU KUHUSU KUMPIGA HAMISA MOBETTO
2:54
Wasafi Media
Рет қаралды 369 М.
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 39 МЛН