Mutare ni bonge la mchezaji karibu sana Simba kocha mpange Mutare kwenye namba yake YA 10. Jamani simba tufurahi wanasimba
@anithawidambe75432 күн бұрын
Kocha tunaomba kila mchezaji apewe nafasi yake na namba yake anayochezea. Makocha muwe mnajaribu kuuliza namba aliyokuwa anachezea huko alikotoka ili kupata timu iliyo bora
@charleskuyeko16602 күн бұрын
Mwambieni huyo mjinga asimtaje Phiri tena kati ya waliofeli. Phiri alikuwa hatari sana mpaka alipoumia akicheza dhidi ya Kagera Sugar. Wachambuzi wengine mnakosa sifa kwa ajili ya kuchambua kwenu kishabiki. Mkiacha ushabiki mtakuwa bora.
@user-kn1mr2em5i2 күн бұрын
Alifeli ndyo maana akatemwa hata Djuma Shaban aliwaka ikafika muda akatemwa hapo tunahesabia kafeli kwasababu ameshndwa kuwa kwenye kiwango chake muda wote mbali na majeraha ilibd aonyeshe zaid
@mwana-dodomamedia911122 сағат бұрын
Mbona km POVU flani hv!? 😂😂😂
@gastomkendaMkenda2 күн бұрын
Naomba ratiba ya kipindi chenu Cha mchezo hansi
@Maggab-cl5odКүн бұрын
Karibu mwamba wa kazi
@user-eq6go4hl3c2 күн бұрын
yes
@anithawidambe75432 күн бұрын
Hapo ilikuwa ni tatizo la kocha kuwaweka benchi
@salamSalehhhhhКүн бұрын
Hans 👋👋👋👋 unajua kaka
@salimmalaka2562 күн бұрын
WASIPO ZUNGULIWA WATAROGWA SIMBA MJUWE HILO.
@user-ee8xb1tl5n2 күн бұрын
Hansi Rafael chikwende mwanangu san
@ameirfaki9277Күн бұрын
Napenda ligi yetu iwe mithili ya EPL yaaan timu bora ziwe nying ili tuone ushindan wa hali ya juu...