No video

HARRY MWIJAGE: FUNDI wa NETWORK MARKETING aliyedhamiria kutengeneza MAMILIONEA 1000 Tanzania

  Рет қаралды 7,074

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

Пікірлер: 41
@MrOmarmack
@MrOmarmack Жыл бұрын
Hongera sana Sky, Shukran sana Harry Mwijage. Kiukweli watanzania na waafrica kwa ujumla tumezoea kukariri na kujifunza hatupendi. Haya madini hayaishii kwenye kuona au kusikia, bali ni kwa kuweka vitendo. Ahsante sana
@stanslauschatata3483
@stanslauschatata3483 Жыл бұрын
Wachache sana tunaoview hii interview! Big up sns
@coachnasra5233
@coachnasra5233 Жыл бұрын
My visionary leader bila ya Huyu jamaa mungu kumleta kwenye maisha yangu ningezunguka sana kutafuta biashara sahihi ya kufanya
@silverman6930
@silverman6930 Жыл бұрын
Very intellectual… and again Thanks Sky and SnS … it’s absolutely incredible to hear entrepreneurs digesting great knowledge 🇬🇧💙🙏
@piusduwe3978
@piusduwe3978 9 ай бұрын
Hawa ni wezi tu Q net tayali ishawaliza watu, huyo ni mjanja mjanja tu hata ukimwangalia
@erickkahwa1205
@erickkahwa1205 Жыл бұрын
This is next level I love what I see @Kiba umetisha
@phinerjulius8487
@phinerjulius8487 Жыл бұрын
Asante sana kwa kutuletea uyu mtu .
@ntukamazinadaphrose9969
@ntukamazinadaphrose9969 7 ай бұрын
Umebobea katika kuponda wengine polepole ila umesahau kaka umefanya myaka 5 bila kuingiza chochote the same na Qnet members hiyo inaweza kuwatokea and it's normal in e-commerce marketing. Hongera sana
@mwili_wa_ndoto_yangu
@mwili_wa_ndoto_yangu 10 ай бұрын
Very nice Sky walker kumuarika huyu jamaa katoa elimu nzuri
@maxwellvangulinja
@maxwellvangulinja Жыл бұрын
unyamaaaa mwingi sanaaa big up
@user-yk2wg7li3h
@user-yk2wg7li3h 8 ай бұрын
Wao❤
@ubaoni57
@ubaoni57 Жыл бұрын
Bro Sky ungekuwa unaweka maji au juice mezani hapo natanguliza shukran 🙏
@FlavianaMushy
@FlavianaMushy 3 ай бұрын
❤❤❤
@millionairementorndobandol4724
@millionairementorndobandol4724 Жыл бұрын
Hizi nondo sio za mchezooo
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Nimeangalia Video Zake Mbili hii Ya Tatu Ukweli Anafundisha Vizuri SANA
@tahafifuakasombo6098
@tahafifuakasombo6098 Жыл бұрын
SKY TUPE NA MAUJUZ YA AFFILIATE MARKETING KAMA WAPO HAO WATU HUKU TANZANIA
@enockmkumbo5105
@enockmkumbo5105 Жыл бұрын
Bonge Moja la Elimu
@moodforex
@moodforex Жыл бұрын
Tunaomba ufanye interview na Don_shafineyz yule jamaa mtaalamu wa kitabu cheusi
@amanifesto4792
@amanifesto4792 9 ай бұрын
Kazima IPO juu ya steshen
@OnlyRuky
@OnlyRuky Жыл бұрын
Mmmh 😷😷
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️
@user-xb3pi6mk3u
@user-xb3pi6mk3u 7 ай бұрын
Mimi kiukweli nyie siwaelewi hata kidogo sasa wewe utawezaje kumualika mtu kama hujafanikiwa, eti huwezi kuingiza pesa kama hujaalika watu wengine aaah,
@akilimalimali253
@akilimalimali253 Ай бұрын
Ndivyo mfumo wa hii biashara ulivyo
@tanzuaprint
@tanzuaprint Жыл бұрын
Hamna kitu hapo. nonsense, jamaa hana ujuzi anazopewa sifa zote hizo.
@user-xb3pi6mk3u
@user-xb3pi6mk3u 7 ай бұрын
Sasa miaka mitatu simatapeli nyie
@claypeter1402
@claypeter1402 Жыл бұрын
network marketing is a scam!! usipoteze mda wako hautotengeneza hela yoyote
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 Жыл бұрын
Forex na crypt
@millionairementorndobandol4724
@millionairementorndobandol4724 Жыл бұрын
Wewe NETWORK MARKETING inalipa banaaa
@MrOmarmack
@MrOmarmack Жыл бұрын
Amua japo kujifunza tu uelewe. Bila shaka unafanya network marjeting pia bila kulipwa.
@swahiliwellness
@swahiliwellness Жыл бұрын
Wewe una knowledge gap tu ... hujapata maarifa sahihi ya unachokisema ... Ni hatari sana kwa kijana kufunga ubongo wako mapema bila kuelewa vizur utakosa vingi.. Biashara ipo Dunian zaidi ya miaka 40.. kutoijiua wewe haimaanishi hailipi au haifanyi kazi... Hapo umedhihirisha usichokijua kwa kujifanya mjuaji
@claypeter1402
@claypeter1402 Жыл бұрын
@@swahiliwellness oteza muda wako na biashara hiomwenyewe!! watakao tengeneza pesa ni wenye biashara sie wewe.... utaingia hasara
@emmamga5495
@emmamga5495 Жыл бұрын
Sky unaarika matapeli,Huyu jamaa Ni mzee Qnet et Good morning 😁 Hana lolote
@millionairementorndobandol4724
@millionairementorndobandol4724 Жыл бұрын
Acha uongo bana we ndo ulimuunga Q NET??
@MrOmarmack
@MrOmarmack Жыл бұрын
Hakutaja Qnet mbona. Tulia usikilize vizuri kwa lengo la kujifunza, ameelezea bidhaa za Afya ambazo ni za lazima kwenye jamii inayotuzunguka. LEARN THEN EARN
@swahiliwellness
@swahiliwellness Жыл бұрын
Jenga mazoea ya kujifunza vitu uelewe kwa undani kabla ya kuhitimisha mtizamo hasi kuhusu jambo lolote itakusaidia mno.. Watanzania wengi tunakosa faida ya vitu kwa kutanguliza ujuaji kama huu
@tommyegan3000
@tommyegan3000 Жыл бұрын
They are all the same. Mtu anajoin Kwa mtu->This is a pyramid scam!
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 4,8 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 19 МЛН
Harley Quinn lost the Joker forever!!!#Harley Quinn #joker
00:19
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 28 МЛН
BIASHARA INAYOLIPA ZAIDI DUNIANI |SCL Harry mwijage🇹🇿
35:45
Jinsi ya kutoka kwenye madeni sugu.
1:03:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 108 М.
Mambo 5  Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa
21:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 264 М.
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 4,8 МЛН