Hatumo kati ya wasitao❤❤ ni umenibariki sana wimbo huu❤❤❤❤
@estherkwaangwa8195 Жыл бұрын
Mubarikiwe watumshi wa MUNGU
@josiahmasumbuko91973 жыл бұрын
Hii Nyimba nimeipenda sana niliiona Upendo TV mpaka nimeitafuta huku aisee Huduma nzuri sana Mungu awabariki
@finehaskinganga85982 жыл бұрын
Yaani Mimi pia nimeiona Upendo TV
@veronicaheliya48472 жыл бұрын
Mimi pia aisee niliupenda Sana huu wimbo
@vinaah34372 жыл бұрын
Mm asaiv nmekuja kuitafta nliona upendo tv nikaipenda sana najiskia kubalikiwa kuptia wimbo 🙏❤️
@emmanuelkaombwe4058 Жыл бұрын
Jaman nimebarikiwa sana na hii nyimbo yenu.. mnapatikana wapi.. naombeni mawasiliano yenu naitaji hii album
@AMBOKEGE Жыл бұрын
Karibu sana Kwaya hii inapatikana KKKT Mtaa wa Kisukuru-Tabata Kisukuru Dar es salaam
@user-pp7uq2jd4w6 ай бұрын
Mungu akumbuke huduma yenu watumishi nawapenda
@estherkwaangwa8195 Жыл бұрын
Ma solo had rahaaa
@alphabee51303 жыл бұрын
KAzi nzuri Vijana...Karibuni sana KKKT Kurasini
@AMBOKEGE3 жыл бұрын
amen tutakaribia Utukufu kwa Mungu
@marrybernadio47743 жыл бұрын
napenda kisukuru jamn
@gracemfangavo48243 жыл бұрын
Mungu awabariki sanaa team yang, tuko pamoja
@user-gr6vi2ft3k2 жыл бұрын
Kwan mko kwa party
@gracefadhil6742 Жыл бұрын
Mungu aendelee kuwatunza kwa ajili ya huduma yake ❤️
@abduelmsemwa533 жыл бұрын
Mbarikiwe Kaz nzur
@kwayayavijanakisukurukkkt_19453 жыл бұрын
KARIBUNI SANA KUITAZAMA VIDEO YETU MSISAHU KUSUBSCRIBE! MUNGU AWABARIKI
@elibarikiulomi64492 жыл бұрын
Daah wimbo mzuri sana. Hata mie niliuona Upendo Tv, ikabidi niufuate huku. Mungu awabariki sana. MMEIMBA KWA KUMFANYA MUNGU RAFIKI MWEMA. MNAMFANYA MTAZAMAJI AMUONE MUNGU ALIVYO RAFIKI MWEMA.
@godfreynsunza47852 жыл бұрын
Hongera Sana kwa kazi nzuri Mimi Mch. Toka morogoro naomba no. Yenu pls