No video

HAYA NDIO MAISHA HALISI YA MSANII MATONYA,,MAGARI YA KIFAHARI NA MAJUMBA,,AMSHUKURU JOSEPH KUSAGA.

  Рет қаралды 31,367

PTVTANZANIA online

PTVTANZANIA online

Күн бұрын

Пікірлер: 47
@ismailinguhwe3473
@ismailinguhwe3473 4 ай бұрын
Matonya nimekupenda unawaheshim fighters wenzako nimeona umewaja kina q,Babylon,sugu,jide,nk kwa. Wema.big up
@raymondmushi8756
@raymondmushi8756 3 ай бұрын
Hakuna maisha hapo wanaishi maisha ya kinafki sana,
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 4 ай бұрын
Good brother nimekuelewa vizuri xana nyimbo zako kila cku mpya hazituchoshi kuzisikiliza❤❤❤❤❤
@witnaofficial
@witnaofficial 4 ай бұрын
Nataka matonya aimbe tena. Nina miaka sasa2024, Mpaka naskia b Vailet.❤❤
@MethodkasyupaMwifyusi
@MethodkasyupaMwifyusi 3 ай бұрын
Matonyaaa ni zaid ya haoo maboyaaa wote mnaowapenda saiz
@manp9091
@manp9091 3 ай бұрын
Sasa mama samia kaingiaje 😂😂😂
@user-wy4fv9vd7w
@user-wy4fv9vd7w 4 ай бұрын
vyombo vya habari havikuwepo sio kama sasa
@DM_15
@DM_15 4 ай бұрын
Huyo wapembeni ya Tonya ni chawa au sielewi anatingisha kichwa utadhani nae ni legend 😂 siunge mpunguzatuu huyo jamaa anajirambarambatuu
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 4 ай бұрын
😂😂😂
@deejaychidybishow176
@deejaychidybishow176 4 ай бұрын
Ndio mwenye gar😂
@EmmmaTembo
@EmmmaTembo 4 ай бұрын
Ni kwabahati mbaya tu amejisahau😂
@DM_15
@DM_15 4 ай бұрын
@@deejaychidybishow176 😂😂usikute ndiokweli
@user-uo5qq2lu2b
@user-uo5qq2lu2b 4 ай бұрын
Chawa anakenua tu 😊😊
@sapatdiary1238
@sapatdiary1238 4 ай бұрын
culture of describing artist with terms that dont make sense....Matonya kawa mkongwe aje....very old person...really anyway respect to Matonya and if you love good music checkout Moyoni by Mr Lenny
@KabiSaidi
@KabiSaidi 3 ай бұрын
Wape.. uqwel kaka
@user-oe5eg9ji4h
@user-oe5eg9ji4h 4 ай бұрын
Ata uku kuetu adi leo iko pale pala🇲🇿
@alphatwaha3701
@alphatwaha3701 4 ай бұрын
Umeongea vzr sana
@raymondmushi8756
@raymondmushi8756 3 ай бұрын
Alitaka kunizulumu hela yangu ya nauli huyu fara, na kafeli hana lolote mlevi wa kutupwa
@hilalmohd8941
@hilalmohd8941 4 ай бұрын
sina uhakika na life yake ila hana baya❤❤❤🎉🎉🎉
@yusuphswai6851
@yusuphswai6851 4 ай бұрын
Maisha anayo kweli uyo jamaa
@user-pt4ft7ow1s
@user-pt4ft7ow1s 4 ай бұрын
Wa 1
@user-ti1ol3ti9j
@user-ti1ol3ti9j 3 ай бұрын
Kwanini wa Tazania munakuwaga na wivu nawezenu kwanini hanakitu anayishi kwako acawujinga🎉🎉🎉🎉🎉
@karmalyshaft9742
@karmalyshaft9742 4 ай бұрын
Mmmh toka lini
@sethstiven3393
@sethstiven3393 4 ай бұрын
Pesa anazo ila madawa yanaua watu wao wanapata pesa
@kingkendrickk
@kingkendrickk 4 ай бұрын
Tonya time
@saidilome-ue2df
@saidilome-ue2df 4 ай бұрын
Watu wengi ni wajinga sn,wasani wa zamani wamefanya vzr zaid.saabu kulikua hamnaa social media km ss.hata sim za mkononi zama hizo ilikua hamna.ndomana utaskia kibanda cha sim
@DavizJohn
@DavizJohn 4 ай бұрын
Matonya hana kitu acheni kupotosha
@judithsimon7892
@judithsimon7892 4 ай бұрын
Hii nimeilewa..inaweza kuwa kweli
@user-gj1go3bq5m
@user-gj1go3bq5m 3 ай бұрын
content za bongo hazinaga ushahidi
@antidote254
@antidote254 3 ай бұрын
ziko wapi izo nyumba
@barakasandey1980
@barakasandey1980 4 ай бұрын
Ivi mnatuona sisj nimanyumbu huyu jamaa namjua vizuri nijirani yangu matonya hana maishaa niungaunga mwanaa
@karmalyshaft9742
@karmalyshaft9742 4 ай бұрын
Ha ha ha ha ha haa akamkomboe kaka ake faraji south uko kula unga
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 4 ай бұрын
Akamkomboe kwani yeye ndio alinshawishi aule? Alichagua unga basi umtengeneze halafu nyie mnaosema anaunga unga inawezekana pia maisha yenu ni mabovu kuliko yake sababu rijali mtafutaji hawezi kuongea pumba kwa muhangaikaji mwenzie, labda uwe uwe mtu wa rangi rangi😅 ndio unaweza kuwa na tabia za umbea.
@ikokijuma-zv7wd
@ikokijuma-zv7wd 4 ай бұрын
😂
@salmamakweta1198
@salmamakweta1198 3 ай бұрын
Kaka yake ni muarifu, acha sheria ichukue mkondo wake
@MM-pb7fw
@MM-pb7fw 3 ай бұрын
hicho kijamaa kimekaa hapo pembeni kina lamba lips kinafanya nini hapo?
@BabuuErick
@BabuuErick 3 ай бұрын
Kitu kivp yan ww unanini matonya yupo sawa
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 4 ай бұрын
Kwani wewe shoga unavaa hereni
@user-mi3ro2jt5b
@user-mi3ro2jt5b 4 ай бұрын
Hana kityu huyo
@EmilianKomba-sb4kn
@EmilianKomba-sb4kn 4 ай бұрын
Acha uboya na wivuuu Hawa wamefanya makubwa katka indry....ya mzikiii . Wewe SI ulikuwa mdogo boya wewe
@sarapy3163
@sarapy3163 4 ай бұрын
Njoo madale umuone maisha yake halisi tapeli mkubwa huyu kaka Hana kituu ,,,
@DavizJohn
@DavizJohn 4 ай бұрын
​@@EmilianKomba-sb4kn hana kitu kweli sio wivu,alipata akachezea sa hivi anatafuta kiki tu
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 3 ай бұрын
Unafki wa watanzania
@malikeyndotopopote
@malikeyndotopopote 3 ай бұрын
Roho chafu
CHEKESHA: FUNDI CHEREANI | NAPIMA T TATU
9:10
CHEKESHA TV
Рет қаралды 80 М.
الذرة أنقذت حياتي🌽😱
00:27
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 11 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 129 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /29/ #love
43:38
BabaJoan
Рет қаралды 272 М.
CHEKESHA : MPOKI, MARCREGAN KIPALA | MAHALI TUMELETA BATA
10:57
CHEKESHA TV
Рет қаралды 43 М.
Masanja na Mama Emma | Ukaguzi wa Wafanyakazi
11:12
CHEKESHA TV
Рет қаралды 55 М.