Haya Ndo Maneno Ya Mke Wa Kikwete Kwa Mumewe Kama Birthday Wishes. | HappyBirthDay JK

  Рет қаралды 58,927

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Жыл бұрын

Katika kusheherekea Birthday Ya Rais Mstaafu WaAwamu Ya Nne Mhe. Jakaya Kikwete Mke Wake Mama Salma Kikwete Atoa Maneno Mazuri Kwa Mumewe

Пікірлер: 73
@hemedrashid2921
@hemedrashid2921 Жыл бұрын
Alhamdullilah rabbi mungu akupe Afya njema wewe na familia yako Mkuu wetu Rais mwema Safi kbs
@mlolengwada1499
@mlolengwada1499 Жыл бұрын
HBD Mzee wetu,Allah mwingi wa rehma akuhifadhi,Akulinde na akuepushe na husda.
@feisal6592
@feisal6592 Жыл бұрын
Mashallah mum umebarikiwa umrii mrefuu chamuhimu tobaa tu kwa kubarikiawa umrii mum
@gladnessglam7037
@gladnessglam7037 Жыл бұрын
Happy birthday J.K 🥂 Live long
@princes6045
@princes6045 Жыл бұрын
Mungu awatunze sana nawapenda
@omuze1290
@omuze1290 Жыл бұрын
Amazing/wonderful family. May Almighty God keep you all. HBD - JMK
@edgarcruzee5223
@edgarcruzee5223 Жыл бұрын
Mh Kikwete na Salima Mungu awasimamie tunawaombe na ni nawapenda Sana.
@tumainichirwa1945
@tumainichirwa1945 Жыл бұрын
Hongera sana kwa mr and mrs jakaya mrisho kikwete,bado mnawaka kama nyota.mheshimiwa hongera sana kwa kutimiza miaka 72 ya uhai wenye furaha na mafanikio.
@divaimafuru6844
@divaimafuru6844 Жыл бұрын
Jk tunakupenda sana watanzania na mama yetu akutunze vyema
@gladnessglam7037
@gladnessglam7037 Жыл бұрын
Woow so lovely ❤️❤️❤️
@urassahonest
@urassahonest Жыл бұрын
daah this is so good❤️
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 Жыл бұрын
toka day one wewe ni favorite president wangu na magufuli HBD my former president
@mwaadamadenge1649
@mwaadamadenge1649 Жыл бұрын
Nawapenda sana hawa
@pastorvictoria8937
@pastorvictoria8937 Жыл бұрын
Mzee wetu barthday Yako ungeitumia kuhutubia taifa mfumko holela wa bei za vyakula na na ahitaji ya watu watu hali ya chini wanateseka na baba wa taifa upo.
@Inzaghi809
@Inzaghi809 Жыл бұрын
Uliwuwa magufuri we freemason
@ezratumain3093
@ezratumain3093 Жыл бұрын
Mzee wetu hazeeki hongera good life style
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 Жыл бұрын
Atakatika tu Maana hazeeki anapesa nyingi za maskini
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 Жыл бұрын
Hongera mstafu wetu
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 Жыл бұрын
asante sana mam
@jescarwegoshola1754
@jescarwegoshola1754 Жыл бұрын
Ahahaaa,mamisap wahenga tupoo👍
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Happy Birthday JK, you are a beacon, your laughter is contagious
@Nur_nun
@Nur_nun Жыл бұрын
Heri ya kutimiza miaka 72.Hongera kaka
@grasherchavala2732
@grasherchavala2732 Жыл бұрын
Hongera sana Mhe. Rais wetu kwa kutimiza miaka 72 mungu akupe maisha marefu na mama pia awe na afya njema akutunze vema.
@charlesmayilla2926
@charlesmayilla2926 Жыл бұрын
Hapo sawa baba
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 Жыл бұрын
Ishi Tu Mzee Wa Msoga Una Baya
@dianamsuya4854
@dianamsuya4854 Жыл бұрын
Daaah mpk raha
@mshangaemmanuel8964
@mshangaemmanuel8964 Жыл бұрын
Duuh pesa noma yaan jamaa ana miaka 72 lakin kama ana miaka 30 mzeee tunakutakia miaka mirefu
@feisal6592
@feisal6592 Жыл бұрын
Aslm alykum mheshimiwa jee ceki ikotamu shida ni mpishi wa ceki
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 Жыл бұрын
Hbd kwako
@paulinekamau9633
@paulinekamau9633 Жыл бұрын
72 he looks so good.
@hassanchauluwa7308
@hassanchauluwa7308 Жыл бұрын
Maisha marefu mzee wetu mcheshi
@abasimagwiza6340
@abasimagwiza6340 Жыл бұрын
Mzee wa msoga rafiki wa odi kisinga hbd Mr President
@zuenahamoud1532
@zuenahamoud1532 Жыл бұрын
Hovyoooo mbwaaaa Hawa wauwaji wakubwa
@faidahalisi2083
@faidahalisi2083 Жыл бұрын
Pendant Sana mama k
@pauloegbert515
@pauloegbert515 Жыл бұрын
Mama naye ni mheshimiwa
@akramsaidi1965
@akramsaidi1965 Жыл бұрын
Hongera saana kiongoz
@jiweg-unit1048
@jiweg-unit1048 Жыл бұрын
Huyo lazima atafutiwe sniper afurahishwe
@karaoglan9444
@karaoglan9444 Жыл бұрын
@@jiweg-unit1048 huwezi kenge wewe! Mpelekee Sniper Baba yako kama rahisi!
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 Жыл бұрын
Hbd to you Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
@maikobruno341
@maikobruno341 Жыл бұрын
Pesa haizeeshi mtuu...!!!!
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 Жыл бұрын
Kikwete haishiwagi vituko eti huwa ananituma Sana huyu
@salehmdumbwa6181
@salehmdumbwa6181 Жыл бұрын
Mwanangu sikukubali hata kidogo
@musasabuu2808
@musasabuu2808 Жыл бұрын
Binafsi hua naona hayo ma birthday ni sherehe za wanawake na watt kwa mwanaume naona Haina morali xna
@bosskimaro
@bosskimaro Жыл бұрын
Hapo pooa
@demicratia4071
@demicratia4071 Жыл бұрын
mama ongea kwa kituo
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 Жыл бұрын
hahaha Hilo halina wasiwasi
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 Жыл бұрын
Kwel Huu Ni Zaid Ya Upendo MUNGU awadumishe Kwenye Safar Yenu Mpka Pepon
@mchanikamc1236
@mchanikamc1236 Жыл бұрын
Mfalme wa #Msoga nakukumbuka laiti ktk uongozi wako ningekuwa kwny system sipati picha ningekuwa wapi kwani ulikuwa #fair kwa kila 🇹🇿si hawa wa leo #Chetu Chao na #Chao #Chao,,,, they need 2watch it to #Infinity, the blind z aware now!!!!!
@erasmusgervas2464
@erasmusgervas2464 Жыл бұрын
Ukiongoza watu bila kutumia makirikiri unaishi kwa Raha Sana bila ctrec ,hongera sn Mr,JK mwanadpromasia wa kweli
@jiweg-unit1048
@jiweg-unit1048 Жыл бұрын
Mwizi tuu huyo keshaiba sana Pesa Za Kodi Za watanzania and he's drug dealer
@elizabethpetro1258
@elizabethpetro1258 Жыл бұрын
Pesa alizonazo zinamtesa tu kumbe unahisi ana Raha mbona anatapatapa mitandaoni
@karaoglan9444
@karaoglan9444 Жыл бұрын
@@jiweg-unit1048 wewe ndio Drug Dealer kenge kabisa Mwizi awe Baba yako Labda!
@Jal210
@Jal210 Жыл бұрын
Kwa sababu alikuwa nazo
@msuyatztv5201
@msuyatztv5201 Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/eK6WjLOr263WaKM.html Ujumbe wa masanja Kwa wimbo
@fidelslick2086
@fidelslick2086 Жыл бұрын
Magufuli amejenga Inchi hapa kazi tu.. weye umefanya nini pisse me off
@jiweg-unit1048
@jiweg-unit1048 Жыл бұрын
Fisadi mkubwa Kazi kutembelea miradi wa mwanaume jembe from chato
@karaoglan9444
@karaoglan9444 Жыл бұрын
Kajenge kwenu mavi yako mbuzi wewe
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 Жыл бұрын
Moja ya watu wabaya na katili anakuua huku anacheka ila watanzania hatujui mtu huyu unafikili kwann watu weng kifo Cha magu ananyoshewa mkono yeye nae kujibu ndio aliempitisha magu kua rais
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 Жыл бұрын
Una uhakika kwa hayo unayoyaongea???
@Kibudu
@Kibudu Жыл бұрын
Acha chuki
@hasnuumakame9219
@hasnuumakame9219 Жыл бұрын
Wacha kutoa shutma usizoweza kuzithibitisha, vifo tumeumbiwa binaadamu.. Mwenye kujua ukweli kua ameuliwa au ahadi yake imefika Rais Magufuli ni Mola wetu mlezi pekee na yeye ndio mwenye kujua yote ya siri na dhahir.. Iko siku tutafufuliwa sote na tutaulizwa kwa kila tulilolifanya hapa ulimwenguni..
@jiweg-unit1048
@jiweg-unit1048 Жыл бұрын
@@Kibudu Na wewe unatoka msoga Nini jk Kazi kutembelea miradi wa mwanaume jembe from chato
@karaoglan9444
@karaoglan9444 Жыл бұрын
We Sanga mbuzi kweli! Yani akupitishe mtu kukupa cheo kikubwa halafu akuondoe? Mbuzi kweli wewe
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Жыл бұрын
Mutupe pesa zetu ulizo iba Kikwete
@mwlpierre
@mwlpierre Жыл бұрын
Mbona huna adabu!
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 Жыл бұрын
Unauwakika alikuibia pesa Yako heshimu wastafu wetu walio tuongoza vizur
@iddimuco5204
@iddimuco5204 Жыл бұрын
Mungu awazidishie maisha malefu
@bajagihaji8923
@bajagihaji8923 Жыл бұрын
Elimu finyu
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 Жыл бұрын
Hivi una pesa gani hadi Jk akuibie? Au umemfananisha na panya road? Tafuta pesa zako labda uliweka mahali ukapasahau.. Hebu tuambie ni shilingi ngapi??
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 34 МЛН
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 82 МЛН
RIDHIWANI KIKWETE ATOA NENO WAKATI WA MAZISHI YA BIBI YAKE.
5:06
Global TV Online
Рет қаралды 145 М.
BENJAMIN WILLIAM  MKAPA FOUNDATION
1:35
Benjamin William Mkapa Foundation.
Рет қаралды 24 М.
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
YahStoneTown
Рет қаралды 549 М.
KIPINDI MAALUM CHA SIMULIZI ZA IKULU
32:35
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 47 М.