WASAFI FESTIVAL DAR ES SALAAM,VIWANJA VYA POSTA KIJITONYAMA 09/11/2019 BALAA ZITOOO!!!!
Пікірлер: 214
@miriammworia12974 жыл бұрын
Jamani kama hujawahi ona uhandsome wa hemedy nipe like
@sadakhamis66844 жыл бұрын
Anajuwa kuekiti move kweli wala siongo nakkubali
@khalidcadabra49824 жыл бұрын
PHD nakukubali tangu naanza nakufahamu mpaka leo respect kwako my brother
@queen.christelle14 жыл бұрын
Khalid Cadabra zilipendwa
@juniorborbo4 жыл бұрын
Hemedy interview mzuri sana unajibu masuali kama pro kabisa. you are over the top
@fatmaabdallah87434 жыл бұрын
Hemedy hongera toka nimekujua nakuona unazidi kuwa mwigizaji bora zaidi. Na ungekuwa unashindana ungepata tuzo kila mara
@sabrahmashema8424 жыл бұрын
Nimekukubal sana hemedi mwanamke waaina ulochagua 😍😍😘😘😍
@brightonfrank73374 жыл бұрын
Kaa chini toa chozi lia mnyamwezii🤣🤣🤣 tisha sana phd
@LoverBoy-xv6ld4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@patrickoptatus81904 жыл бұрын
Wakwazaaa kuangalia na ku like wasafi nipen ata tunzo na mm
@queenwinnie2564 жыл бұрын
Bora mwenzio kashafufuliwa sasa anatamba, jikubari sana na uko vizuri, Mungu ni mmoja,
@Rashidmhedhery4 жыл бұрын
Queen Winnie : JIKUBARI !!!!! OVYOOOOOOOOOOO!
@queenwinnie2564 жыл бұрын
@@Rashidmhedhery pambana na hali yako
@salmasaeed93574 жыл бұрын
True hemed ni handsome
@fadhilimadirisha4 жыл бұрын
Mungu anakuona
@queen.christelle14 жыл бұрын
Eti handsome mungu anakuona akilii na wewe huna yani hamnazoo
@mapenzikatana99904 жыл бұрын
Hemed nakupenda bure kwa kazi zako wewe ndo uko Kama kanumba kwa kazi zako big up broo
@iddybarua66794 жыл бұрын
naishiaga like 1 tu
@ifgodsayyes.nobodycansayno17964 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 WACHA NIKUPE YANGU LEO PIA
@mathewungani97244 жыл бұрын
Lia,mwaga Chozi Bro
@jellysemwali35094 жыл бұрын
Respect brother usiwe kama mlela
@issanaseeb76994 жыл бұрын
Hemedy Falaa sanaa mwishoni nimecheka sanaa🙌🙌🙌😂😂😂😂
@ramamanyama29444 жыл бұрын
Hauwez kupata mwanamke mwenye hofu ya mungu wakat wew hauna hofu ya mungu
@stevenmaketa80514 жыл бұрын
Pamoja saana hemed shabiki yko sana mm
@sleymohamed9354 жыл бұрын
Nakukubali sana hemed
@sadickhamis93434 жыл бұрын
Wewe unaofu ya mungu
@yuzotv4584 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂,kaa chini lia mnyamwezi ayeee!!!!.
@zaxonthebest95854 жыл бұрын
Yuko vzr
@bornmazungu93254 жыл бұрын
Woshiiiiiiiiiii show kali
@mkushplatnam15954 жыл бұрын
mwanaume utamwiitaje handsum mwanaume mwenziyo,
@mgayatz16594 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀
@hildababyabdullah56274 жыл бұрын
Anamuita mwezi handsome yy hajion km handsome
@bonifacejuma84474 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@hahmadhabibu20764 жыл бұрын
Mbona kawaida sana..wafrika bhanaa
@jovintosssi32874 жыл бұрын
Kazngua 😂😂😂
@rehemashaban68584 жыл бұрын
Big up brother
@nicetv64184 жыл бұрын
Unajikubali sana
@neemasalome5774 жыл бұрын
Unamjua mungu hongera
@hamisimnyili34454 жыл бұрын
daaaaah et lia
@marsonbuffett73574 жыл бұрын
Lia mnyamwezii...
@barakahussein1314 жыл бұрын
Sawa kaka umeuwa kinoma noma
@emmanuelvenance19444 жыл бұрын
Jamani wazuri hamuwaoni kweli eti jemedi mzuri duh ayaaaa
@danielarapmoi30414 жыл бұрын
Yani sjui amemalizia na comedy hyo chizi freshy🤣🤣
@brownmpemba84604 жыл бұрын
hemedi unahitaj maombi broo😋😋😋
@ifgodsayyes.nobodycansayno17964 жыл бұрын
HEMEDI NIKIKUONA TU HAKI HUNI KUMBUSHA MY FAST BOYFRIEND X HAKI BINADAMU NI WAWILI WAWILI MUCH LOVE YOU ❤🇰🇪🇨🇿 NANA PENDA KAZI ZAKO
@fadhilimadirisha4 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@rajabudau74784 жыл бұрын
Ayeeeeh
@josphinedarani62034 жыл бұрын
Hermed ni mweupe si handsome
@pegpeg40654 жыл бұрын
Josphine Darani Kweli kabisa. Bora na we umeligundua hilo
@johnsindotuma2492 жыл бұрын
Yap, sababu ni mweupe tuu, na watu weupe wote wanaonekana ni handsome sababu ya rangi zao tuu, Ila hemedi ni WA kawaida tuu
@fainnamvungi43644 жыл бұрын
Hemedy Bro hahahaha eti alie Kitenge nae juz alitoa hiyo kauli so wanaume muwe mnalia 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mohamedalkindi82834 жыл бұрын
Ninemuona ebilela kwa mbaaaaali Hahahhh. .mzee wa reality show
@2pacdaud294 жыл бұрын
Pappy sana mnyamwez
@LoverBoy-xv6ld4 жыл бұрын
Kaaachini toa chozi liaa wew
@muuelano67944 жыл бұрын
Nkupend Papiiiii hhhhh
@brigitamash20074 жыл бұрын
huyu hemedy nampenda move zake
@abdulkarimjr97464 жыл бұрын
Kanumba unaongea vizuri sana 😀😀
@kbdmsafi_tz80944 жыл бұрын
unajua Mdogo Wangu
@abbysule23904 жыл бұрын
Uyu ni mweupe sio hb
@elkanaalkado5354 жыл бұрын
Life u are life
@geraldthomass11534 жыл бұрын
Nakuelewa mnyamwezi
@zainakwemai34824 жыл бұрын
Hahahaaaaa kaka Hemdi nomaaaa
@Platformshow2574 жыл бұрын
ahhahahahahahahhha apo sehem yakuliya umenimaliza
@babarahmababarahma604 жыл бұрын
Kuna handsome kapatikana huku manyara anaitwa Laizer
@petermkalipa77414 жыл бұрын
Haya
@sophiasophia19224 жыл бұрын
Mmnmm ety handsam hamfik hubby wang mung shaidi
@ezekiambise25954 жыл бұрын
Hahaha!dah kulia tena!ila sometimes Sawa.
@ali2lovely734 жыл бұрын
Huyu jamaa msenge kweli
@frankmanyesela32264 жыл бұрын
Lia Sana.
@SalminWapaziSL4 жыл бұрын
Lia broo amekupenda huyoo
@lukasmsowalukasmsowa70944 жыл бұрын
Hemedy namkubal Sana kwenye Kaz zake na yusufu mlela
@edsonkazimoto14294 жыл бұрын
mhhh et lia
@enockjama78014 жыл бұрын
xana phd xema unazngua kuweka movies zako KZfaq
@graceenno48594 жыл бұрын
Hemedi umesema kwel nakukubali brother kweny hela ya kufulia nguo za ndani wanaume wengine hawatambui Hilo mtu anakurudishia nauli ulikuja nayo Kama ni 2000 hiyo hiyo unapewa hàta njiani ukikanyaga nyanya bahati mbaya Kama huna akiba mfukoni unalo!!!
@musaasali76154 жыл бұрын
Ni kweli lkn pia tambua nawe unawajibu wakumpa mpz wko hiyo hela ya sabuni ili kudumisha upendo wenu,sio tu kwa kuwa wewe umeacha familia kwenda kwake bac unampenda sana hapana kwani hata yy anapokuita ameacha ving
@saidjagger.55434 жыл бұрын
swali lako phd limenifungua ufaham sho next ntafanya ivoooo,,,,
@Muba33044 жыл бұрын
Liaaaa
@eddy49982 жыл бұрын
Huyu mtangazaji vp unamuita mwana ume mwenzio handsome boy vp ww acha huo usenge huo uchoko ndugu yangu
@marthatido16774 жыл бұрын
Nice
@hamisichande93194 жыл бұрын
wapili leo c haba
@christopherkiteme22344 жыл бұрын
hahahahaha hapo mwixho ametxha xn hemed ndy maana namkubalig
@gracedelence91634 жыл бұрын
Nisaidieni jomoni iki kilio cha bwana hundsam nikilio gani vile?
@siwalelove38424 жыл бұрын
Penda sana phd
@saifalrajhi50014 жыл бұрын
Ukishajishtukia ujue
@Pratnumzsimba4 жыл бұрын
gonga like na ww kama utaanza kulia
@josphinedarani62034 жыл бұрын
I love hemed phd
@epiconreview44944 жыл бұрын
Kivipi
@josphinedarani62034 жыл бұрын
@@epiconreview4494 he Is a good actor
@epiconreview44944 жыл бұрын
Josphine Darani yes
@humphreymwamasage98054 жыл бұрын
lina piga kazi lakini
@sarajoshuwa62844 жыл бұрын
Kweli waliage Bana 😂😂😂😂😂😂
@janeeliah72564 жыл бұрын
Haww ndio watangazaj wetu
@francalidiaditrick96973 жыл бұрын
🤩🤩🤩🤩🤩
@floramurio84524 жыл бұрын
Ahhahaha wachen watoto wazur waje kwangu the bible say😂😂😂nakupendraaaaaaaa, wasokupenda kaz wanayo
@juliemukovi12394 жыл бұрын
5:30 nime cheka😀😀😀😀😀😀😀
@zakyahya46454 жыл бұрын
Hemed we kiboko acha watot wazuri waje kwa 😂😂😂so kwa kilio iko... Umeongea point kabisa utakuta Dada umejipodoa na kwenda salon mwenyew nauli km ivyo gar 2 alafu unarudi na miafufu tupu na kulegezana maku 😢😢
@bjzee19814 жыл бұрын
Sifanyi huo ujinga. Halafu una achwa anakuja kuolewa ambae haku wahi kutoka kwao kumtafuta
@godfreyally77874 жыл бұрын
Lia sana mnyamwezi hahaha.....
@mpockmtawa14804 жыл бұрын
Godfrey Ally nn
@emmyyahya83584 жыл бұрын
Phd 😘😘
@sekelamwangosi32894 жыл бұрын
Me uyu napendaga anavoimba
@elizadamas20804 жыл бұрын
player boy me napita tu
@nicolausdaniel65594 жыл бұрын
Hapo kwenye menu hapo ndio
@jamaljuma84064 жыл бұрын
Ayee😂😂😂
@fahmikhamis57254 жыл бұрын
Huyu mpemba mwenzangu na ni jamaa yangu kabisa, ila amepotea kimaadili.
@Jeff_Tz4 жыл бұрын
Hemedi ni mtu wa Tanga. Si mpemba bwana, ukweli ndio huoo
@fahmikhamis57254 жыл бұрын
@@Jeff_Tz huyo ni mpemba, usibishe..
@leopoldmwesa69684 жыл бұрын
Kwhyo mlela alishindwa?
@bjzee19814 жыл бұрын
Ndio mana wana kuita shoga. Unataka binti mcha Mungu wakati wewe mwenyewe umevaa ear rings kama shoga? Mwenyezi Mungu amesema ktk Surah ya 24 kwamba: mwanaume mwema na mwanamke mwema. Mwanaume muovu na mwanamke muovu. So hao bibi mama wako ndio size yako acha kuzidi kuchagua. Labda uwe mcha Mungu ndio upate binti mcha Mungu
@brownjulius85144 жыл бұрын
Chuz kaja tena
@veronicadaniel11224 жыл бұрын
Kwamara yakwanza unaongea point
@fadhilimadirisha4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@marwalzzy59834 жыл бұрын
Wapo wazuri kukuzidi wewe hemed
@mosesodhiambo16453 жыл бұрын
Apo ndo mnapo feli wadogo zangu
@zanzibaronlytv34704 жыл бұрын
Kafanana na mm sana.
@queen.christelle14 жыл бұрын
Utakuja kulia utajuta wegine ukawambia ukweli wanaona unawatukana haya Mimi nita wambie siku yatakayo wakuta mtakumbuka haya maneno ninayo ya ogea hapa
@azzamahamdu70394 жыл бұрын
Yan med sio muoaji coz anajilizaaa...
@marwalzzy59834 жыл бұрын
Acha ujinga kukosoa neno la Mungu
@johnmhelela66004 жыл бұрын
Tena ni kejer iyoo
@zabibunduwimana46124 жыл бұрын
Apo ku lia
@peterchoga96244 жыл бұрын
Hapo ndipo mnapofel hahahahahahahahaahahahah umenchekexha mzee baba
@asmetkevtz4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@solalegahinfo44074 жыл бұрын
haaaah! kumamake
@silvatv82942 жыл бұрын
This is furious usitumie phrase ya bible kutafsiri tofauti na meaNing yake
@nice56714 жыл бұрын
Bro umeongea point usichague dini mungu wetu ni mmoja
@zuheorsalim77594 жыл бұрын
Yaan hapo ndo kaongea porojo dini ni moja tu ni uislam zilizobaki zote nj taka taka
@bjzee19814 жыл бұрын
Ila kwa Uislam ni haram
@bjzee19814 жыл бұрын
@@zuheorsalim7759 . Na Allah amesema Mume mwema na mke mwema na mwanaume muovu na mwanamke muovu
@ezekielmanyesela38464 жыл бұрын
@@zuheorsalim7759 umeongea upumbav mptup
@zuheorsalim77594 жыл бұрын
@@ezekielmanyesela3846 Sasa we ni kafiri vp utaelewa umuhimu wa hyo maneno?