No video

Hemedy PHD - Nitaoa Hamisa Mobetto, nikiwa na miaka 45 / Wema Sepetu, niache niishi. Part 2

  Рет қаралды 85,396

LilOmmyTV

LilOmmyTV

Күн бұрын

Naogopa kufa, naogopa kuoa, Wema Sepetu na Hamisa Mobetto sishtuki!
Angalia Part 1 hapa; • Hemedy PHD - Mwamposa,...
Part 3 ~ • Hemedy PHD Alia MACHOZ...
#LilOmmyTV #Podcast #HemedyPHD

Пікірлер: 150
@khadjaiddlis283
@khadjaiddlis283 2 жыл бұрын
Kila mwanadamu anakiogopa kifo nakwakuwa twaogopa na huwa kinakuja hafla kikubwa tujiandae kwa safari hakuna kingine tuombe toba ili tuwe salama inshaallah
@munam7104
@munam7104 2 жыл бұрын
Wewe ni kijana wakislam wataka kuzini mpa ufikishe miaka 45 mungu akuongoze
@shakaykelvin9403
@shakaykelvin9403 Жыл бұрын
azin na,ww au
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 жыл бұрын
Jamani hemed mungu akupe miaka Mia,🙏🙏nakupendaga Sana nakumbuka ukiwa ndogo pale kinondoni nikiwa kwa mama jofrey,mama yako atafurah ukifunga ndoa🙏🙏
@kairatiswahilli7024
@kairatiswahilli7024 2 жыл бұрын
Nilikupenda tangia enzi za mzee mwajuto sharo baro nilikuwa mdogo Sana na nitaendelea kukupenda mungu Akupe mri mfrfu ishallh
@princessbim6096
@princessbim6096 2 жыл бұрын
Unaogopa kufa na kuoa kuzini inabidi pia uache ili uwe mtu mzuri
@shakren427
@shakren427 Жыл бұрын
mjinga kweli huyu kaka utazani si muisilam.yani kuliko akose starehe bora amkose mwenyezi mungu
@rebeckyusuph8058
@rebeckyusuph8058 2 жыл бұрын
Hemedy mwanaume wa ndoto zangu huyu jamani nilimpenda Sana kipindi nakuwa
@rahelihaule1621
@rahelihaule1621 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤸🤸🤸🤸🤸😂😂😂
@edwardboaz5572
@edwardboaz5572 2 ай бұрын
Rudi nyumbaniiiiiii haaaaaaa bonge la ngoma🔥🔥🔥🔥
@abouassifmabrouk8110
@abouassifmabrouk8110 2 жыл бұрын
Acha zinaa wewe mtoto wa kiislam tafuta mke uoe eti nitaoa nikiwa na miaka 45 unajua miaka uliopangiwa kuishi wewe Ya Rabbi tuongoze njia ilionyooka na utujaalie mwisho mwema 🙏
@imamuhamisi4421
@imamuhamisi4421 2 жыл бұрын
alafu anasema anaogopa kifooo hatareeee 🤣
@karimchindema9823
@karimchindema9823 2 жыл бұрын
Muombee Dua
@boymsafii645
@boymsafii645 2 жыл бұрын
Usimseme Bari muombee dua kama wewe umeweza kuoa basi ombea dua nayeye aoe kuoa sio jambo la kukurupuka
@swalehshumishee1193
@swalehshumishee1193 2 жыл бұрын
Ameen
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 2 жыл бұрын
in the world of music, I really like your music, it has never bored me.utafikiri nakwambiaga hisiya zangu ndiyo uimbe big up bro you are the best one 👌👌👌👌👌
@obeydmwemezi3663
@obeydmwemezi3663 Жыл бұрын
Phd..nakuelewa sana...kujiamin nimcngi wa mafanikio🤝🤝🤝
@mrjagenmuuz5704
@mrjagenmuuz5704 2 жыл бұрын
Zınaa tuu ndounaendekezaa ndomana unaogopa kufa
@farahanafarer7588
@farahanafarer7588 2 жыл бұрын
Unaogopa kufa wakati unataka kuendeleza zinaa 24/7. Unakataaje ndoa na unaona kuishi kizanaa ni bora😂
@juliemukovi1239
@juliemukovi1239 2 жыл бұрын
Big salute from DR CONGO 🇨🇩🇨🇩
@rehemabajuta3084
@rehemabajuta3084 2 жыл бұрын
Hemedi nimeoupenda bure mungu akubariki saana akupe haja ya moyo wako
@stevenalex360
@stevenalex360 2 жыл бұрын
This guy man, I enjoy listening to. PHD
@millymack1370
@millymack1370 2 жыл бұрын
He's so fckin real..what u see is what you get.i like his honesty.
@sakinaamani1486
@sakinaamani1486 2 жыл бұрын
Huyu mkka anatamaa yakuishi kiila kukicha hawazi kesho yake anaogopa kifo kwa sabbu zake mana dah ameuchezea cna ujana wake na afya yake mungu mpe unri abadilike kama aombavyo yani atoshrke
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 2 жыл бұрын
Kwaiyo bado unawaza kuzini Adi miaka 45duu mtiani akili azijakua bado ngono zinambeba mda
@zawadimfangavo9677
@zawadimfangavo9677 2 жыл бұрын
Unaweza kuoa na ukaendelea kuzini tu kwaiyo Kila mtu anapanga maisha yake
@hamisisimba9406
@hamisisimba9406 Жыл бұрын
..
@alira3080
@alira3080 2 жыл бұрын
Unaogopa KUFA unaishi na wanawake unazini nao hiyo unaichukuliaje......?
@vickyngoma4638
@vickyngoma4638 Жыл бұрын
Mungu atusaidie wote na kutusamehe na atupe huruma yake
@lareineminah1353
@lareineminah1353 2 жыл бұрын
Ukiwa na hofu na kifo uta ishi kwa ku muokopa na ku acha mabaya
@moussababanla399
@moussababanla399 2 жыл бұрын
MWAMPOSA 🦅🔥🙌
@cutesuu7255
@cutesuu7255 2 жыл бұрын
Astaghafirullah muislam unaogopa kufa instead ufanye ibada na uache uzinzi
@bwanabrainex433
@bwanabrainex433 Жыл бұрын
45 Kwaiyo had sasa unacbr zinaa ila jua kuna kifo tu bro🔥🔥
@sabrasohal7748
@sabrasohal7748 2 жыл бұрын
superstar yupi jamani dah
@helenkambi3918
@helenkambi3918 2 жыл бұрын
Watoto ni blessing lakini sio kuzi na kupata watoto kupitia zina halafu tunasema watoto ni blessing. Unaogopa kufa kwa jili ya nini uichi mda mrefu iliuendelea kuzaa watoto wa zina. Kufa tuta kufa
@zawadimfangavo9677
@zawadimfangavo9677 2 жыл бұрын
Hakuna mtoto wa haramu kumbuka ilo dada Kila mtoto nisawa siku zote watoto ni baraka tele
@switbebyshaheen630
@switbebyshaheen630 Жыл бұрын
​@@zawadimfangavo9677 watoto wa haram wako km hao wa hemedi waliozaliwa nje ya ndoa na kiislam hata haisabiki kama ni baba yao
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
@@switbebyshaheen630 kwahiyo wanakua hawana baba au
@robathcarlos8068
@robathcarlos8068 2 жыл бұрын
Kwamaisha ya Sasa jamaa mshamba anajipamba Sana
@DolloMite-pt9yv
@DolloMite-pt9yv 8 ай бұрын
Love since lil days
@biubwamohd6089
@biubwamohd6089 2 жыл бұрын
Unamaasi ndio mna unaogopa kufa. Mtu akiwa karibu namunguwako hutaogofa kufa nikwambia kuwa karibu namolawako hutaogopakufa halafu pia unaimani lkn imezibwa nachembechembe zamaasi ndiomana imezibwa haijitokezi kwahiyo hujachelewa acha ujana mungu atakusimamia.ukifika huko mngu akuridhie tumche allah dunia sikitu starehe zamda tu
@edwardboaz5572
@edwardboaz5572 2 ай бұрын
Nina picha nmepiga na hemed nkipostig wananisumbua wadada sana yan niwape no yake wakat mm mwenyewe sina😂
@khayratsultan8812
@khayratsultan8812 2 жыл бұрын
Kama unaogopa kufa basi wacha zinaa
@jbmsz2532
@jbmsz2532 2 жыл бұрын
Unyama ni mwingi sana, ✊ nakubali sana the MVP 🙌love from 🇧🇮
@LilOmmyTV
@LilOmmyTV 2 жыл бұрын
Pamoja sana 👍 enjoy
@bekatv1009
@bekatv1009 2 жыл бұрын
Una flirt sio float kizungu mingi sana phd
@shangwefisima3993
@shangwefisima3993 2 жыл бұрын
Hapana HEMMED SIYO HANDSOME KIIVO RANGI TU INAMBEBA
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 жыл бұрын
Kwaivo unahisi uzuri ni rangi?
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
@@BigZhumbe Kwakweli 👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼
@zuhurazabiir3769
@zuhurazabiir3769 2 жыл бұрын
Kweli kbs weupe unambeba
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 жыл бұрын
@@zuhurazabiir3769 Swali lilikua weupe ni uzuri??
@zuhurazabiir3769
@zuhurazabiir3769 2 жыл бұрын
@@BigZhumbe uweupe unamstiri mtu anakuwa na mvuto lkn ukiwa mweusi halafu una sura mbaya huwezi kuonekana
@neemazee1864
@neemazee1864 2 жыл бұрын
Nikivuwa miwani warembo wanasema Aiiiii papiiiii😂😂😂😂...... Jmn mwamposa ana misifa....!!!!
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 2 жыл бұрын
🤣papii Kama papiiii
@obeydmwemezi3663
@obeydmwemezi3663 Жыл бұрын
I deal with those....hahaha fala kweli jamaaaa😂😂😂
@derricksimbeye5717
@derricksimbeye5717 2 жыл бұрын
The MVP the king 👑 him self noma sana bro
@janenachalwe8150
@janenachalwe8150 2 жыл бұрын
Ommy nakukubali sana bro
@nehemajoy2539
@nehemajoy2539 Жыл бұрын
Love hemed bwana he's handsome man
@ahmedialy7355
@ahmedialy7355 2 жыл бұрын
Low profile nimeipenda iyo
@saidanassoro7885
@saidanassoro7885 2 жыл бұрын
Muslim kuogopa ndoa kufa wajib
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Huyu jamaa c alisema mwaka kesho anashusha chuma
@musaomary4610
@musaomary4610 2 жыл бұрын
😀😀😀
@faridithomas4859
@faridithomas4859 2 жыл бұрын
Mtoto wa kiafrica akijichubia haimanishi anaukimbia uafrica
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Kajichubua wap we nae
@giftkhaleed2301
@giftkhaleed2301 2 жыл бұрын
The king🤴❤️‍🔥
@divinebernard1047
@divinebernard1047 2 жыл бұрын
Léo umeongeya 💋💋hadi nimependa,Léo huna mapepe
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Жыл бұрын
Mtangazaji anakupa raha ya kumsilikiza
@watuhuru6128
@watuhuru6128 2 жыл бұрын
Ukienda kumuoa nipeleke.sanduku lataulo mana hayo maji ya mchina mh
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 жыл бұрын
WIVU MBAYA BETTER U MIND YOUR OWN BUSSNES BADALA YA KUMALIZA BONGA POINT
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 2 жыл бұрын
BINADAMU NI WAWILI WAWILI NIKIKUONA HUKUMBUKA MY X BOYFRIEND ILA NIKITAPIKA HUWA SIRUDI KURAMBA MATAPIKO. ANYWAY BIG UP HEMEDI 🇰🇪🇨🇿
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
😂
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 жыл бұрын
Mimi sijui hata nyimbo zako lkn series na movie nazielewa km zote
@riosingingandmore8224
@riosingingandmore8224 2 жыл бұрын
Ray sikiliza Moja Carolina usikie mziki wake anajua kuimba kuliko kuigiza
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 жыл бұрын
@@riosingingandmore8224 poa ntadownload nimsikize
@beatricesamila5407
@beatricesamila5407 2 жыл бұрын
Saidiii aiiiiiii
@chillboo-4328
@chillboo-4328 2 жыл бұрын
Lil ommy unajua saana Mzee baba
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 2 жыл бұрын
Anajuwa nini
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 2 жыл бұрын
@@yousramutwale2463 kuhoji mtu
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
@@yousramutwale2463 🤣🤣asa swal gan ili
@nooromar6233
@nooromar6233 2 жыл бұрын
Kuogopa kufa ni ishara ya kuwa uende njia sawa sio kufanya hayo haya kusaidi uki fika mbele ya mngu uta muambiya nini bora lekeya kwa mngu
@risperladee5718
@risperladee5718 2 жыл бұрын
He is dreaming... unless you have cash to maintain hamissa
@damio_2679
@damio_2679 2 жыл бұрын
Wooi dis nigga give best answerin interviews
@multazramazan4665
@multazramazan4665 2 жыл бұрын
The mvp half main half king of interviews 🙏🙏
@goldenjunior_tz
@goldenjunior_tz 2 жыл бұрын
My brother PAPI 🌟
@christinaluganga64
@christinaluganga64 2 жыл бұрын
Kaka nakubali sana MVP
@opportunities2767
@opportunities2767 2 жыл бұрын
Mahusiano ni uzinifu
@epitomeapex
@epitomeapex 2 жыл бұрын
Na Udhinifu ni DHAMBI
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Makubwa.
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 2 жыл бұрын
Unaogopa kufa wakati unajisifu kuwa ww ni Malaya, utakufa tu sababu ww ni Malaya!
@zuhurazabiir3769
@zuhurazabiir3769 2 жыл бұрын
😂🙈
@yondochristian5168
@yondochristian5168 Жыл бұрын
Mtu yoyote atakufa ata ukiwa unamcha mungu
@yondochristian5168
@yondochristian5168 Жыл бұрын
Ata ww utakuf
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 Жыл бұрын
@@zuhurazabiir3769 mambo
@elizabethachi3049
@elizabethachi3049 2 жыл бұрын
Achen ushamba hemed hajichubui ni kamera labda nimweuoe mno zaidi ya sana
@Zahrazahra-ue7bp
@Zahrazahra-ue7bp 2 жыл бұрын
Kamera iyo imbadirishe rangi mikono braun uso manjano urisikia waapi?
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 Жыл бұрын
@@Zahrazahra-ue7bp kama vp na ninyi mjichubue muone kama mtakuwa kama yeye
@umfahad2609
@umfahad2609 2 жыл бұрын
Unaogopa kufa na kufunga ndoa. Huogopi kuzini.? Na huyo utakae muoa ana kazi. Sbb una wtt wengi wa nje ya ndoa.
@hubimogela9167
@hubimogela9167 2 жыл бұрын
Wananijuaaa💥💥💥
@sharonhappiness2735
@sharonhappiness2735 2 жыл бұрын
Pappy ❣️❣️
@safinacliford4043
@safinacliford4043 2 жыл бұрын
Unamashauzi mengi bhana mpaka unaboa
@esa_traveller
@esa_traveller 2 жыл бұрын
@lilOmmy una mashavu makubwa 😳 😂😂😂😂 big up mapodicastyyyyyyy 💥
@hazrathassan1134
@hazrathassan1134 Жыл бұрын
Jiandae na safar bac usiuze sura tu.......kifo huja ghafla
@happynelson1180
@happynelson1180 Жыл бұрын
Huyo anajichibua mikono yake ni meusi
@kalebyhennry6598
@kalebyhennry6598 2 жыл бұрын
Wabongo mafalasana kwahiyo mnaosema kajichubua kachubua mpaka kichwa maboya knoma oyaaaa phd mnyama unyaman mwanangu sanaaaaa
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 Жыл бұрын
Wivu tu unamsumbua
@kabulapatrick2765
@kabulapatrick2765 Жыл бұрын
kuimba unajua
@hopeharrison6883
@hopeharrison6883 Жыл бұрын
Hemed ni Hiv positive
@nancyg8664
@nancyg8664 Жыл бұрын
Eh😂🙌
@joycemfuru4752
@joycemfuru4752 Жыл бұрын
Hata kama hizo ni personal issue zawatu unaonekana wewe ni limbukeni sana shem on you
@supershopdubaifalis6249
@supershopdubaifalis6249 2 жыл бұрын
Duuu!unatisha mz baba the🇧🇮
@LilOmmyTV
@LilOmmyTV 2 жыл бұрын
Thanks
@williamniragira1257
@williamniragira1257 2 жыл бұрын
Mvp u got my respect brother 👌🇺🇸
@sagreymduda6569
@sagreymduda6569 Жыл бұрын
He is like me i fear so much n death
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 2 жыл бұрын
Mwamposa Saidi aiiiiiii 😂😂😂
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 2 жыл бұрын
Safi
@issufomussa5227
@issufomussa5227 2 жыл бұрын
Unyama
@maryamrashid8499
@maryamrashid8499 2 жыл бұрын
Acha kujichubua USO mweupe mikono baibui
@zuhurazabiir3769
@zuhurazabiir3769 2 жыл бұрын
Kbs 😂
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 2 жыл бұрын
Hajichubui huyo anakaa mda mwingi kwenye AC , hapigwi na jua wala sio mtu wa mizunguko mingi ya kutembea tembea kwa miguu ,, so ipo ivyo my
@aliysaid2232
@aliysaid2232 Жыл бұрын
Hmn sure yke iyo
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 Жыл бұрын
@@aisharamadhani1948 mambo
@filkeysharo982
@filkeysharo982 2 жыл бұрын
King nakubali bro 🇿🇦🎤
@shamomar629
@shamomar629 2 жыл бұрын
Hajichubui ni camera angle tu
@mohamedihamisi292
@mohamedihamisi292 Жыл бұрын
😂😂😂PHD Kama ulikuwa una mawazo au mipango ya kwenda U. S. A futa maana umetamka wazi wazi unamkubali adui yao mkubwa Osama Bin laden
@esthycashofficial1293
@esthycashofficial1293 Жыл бұрын
Lil ommy ww pia umeanza kuweka captions zauongo 🙄🙄
@joynnko8997
@joynnko8997 2 жыл бұрын
Kumbe anajichubua
@hawahawa6132
@hawahawa6132 Жыл бұрын
S vingeeeza navyo
@zakialashku2549
@zakialashku2549 2 жыл бұрын
big IQ.
@aliysaid2232
@aliysaid2232 Жыл бұрын
💯
@kimzymamy6594
@kimzymamy6594 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@mshamandamngu3108
@mshamandamngu3108 2 жыл бұрын
Jamn hajichubuwi poda hizo
@kanghanhankang1440
@kanghanhankang1440 2 жыл бұрын
Mtoto mzur san ivi asili yake wapi hyo jamaa wapi🤣🤣🤣
@ibrahimsuleiman7061
@ibrahimsuleiman7061 2 жыл бұрын
So sick of love song
@royalprince4321
@royalprince4321 2 жыл бұрын
Uyu jamaaas
@zehe449
@zehe449 Жыл бұрын
5
@jacklinekema6698
@jacklinekema6698 Жыл бұрын
Mnavyomfikiria nitofauti huyu Kaka ni mtu mwenye huruma Sana anaupendo anajua kujali anaelewa Nini anafanya nawala hajichubui kwanza anahofu na mungu ❤️
@flavourboyke
@flavourboyke 2 жыл бұрын
Video imevuja Diamond wakiwa na Harmonize kzfaq.info/get/bejne/nbV1aLuBttS5iZs.html
@isaachayes9783
@isaachayes9783 2 жыл бұрын
Mchafu tuu huyu, mapozi meengii 😒
@zananahassan960
@zananahassan960 2 жыл бұрын
😂😂😂makasirikoooo
@djbless6201
@djbless6201 2 жыл бұрын
😂😂😂
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 жыл бұрын
Mjinga anasifa uyu🤣🤣🤣
@thelyrics5165
@thelyrics5165 2 жыл бұрын
Video ya hemedy akiwa na kzfaq.info/get/bejne/ip6jppSotMemcYU.html
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 46 МЛН
Lehanga 🤣 #comedy #funny
00:31
Micky Makeover
Рет қаралды 29 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
00:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 3,2 МЛН
Schoolboy Runaway в реальной жизни🤣@onLI_gAmeS
00:31
МишАня
Рет қаралды 2,3 МЛН
TID : WEMA SEPETU / ANANUKA MDOMO
33:37
Wasafi Media
Рет қаралды 306 М.
Wema Sepetu aelezea jinsi alivyo anza mahusiano na Kanumba
7:40
Mkasi - SO6E10 with Hemed PHD
31:00
MkasiTV
Рет қаралды 208 М.
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 46 МЛН