Рет қаралды 52,522
#AFL2023: Ni mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali #AfricanFootballLeague ukimalizika kwa suluhu , kati ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini dhidi ya Petro Atletico de Luanda ya Angola.
Katika mchezo huu, Mamelodi walipata pigo baada ya Mvala kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya pili lakini hata hivyo walifuzu nusu fainali kwa jumla ya magoli 2-0 waliyoyapa katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa nchini Angola.
Tazama Highlights....