HIGHLIGHTS: SIMBA 1-1 ASANTE KOTOKO (SIMBA DAY 8/8/2018)

  Рет қаралды 1,592,064

Azam TV

Azam TV

6 жыл бұрын

Mabingwa wa soka wa Tanzania Bara, Simba SC wametoka sare ya bao 1-1 na Asante Kotoko ya Ghana katika mchezo wa kirafiki uliochezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Katika mchezo huo maalum wa kuadhimisha Siku ya Simba (Simba Day) uliopigwa kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam, Asante ndiyo walioanza kupata bao dakika ya 44 kupitia kwa Obed Owusu, na Simba kusawazisha kupitia kwa Emmanuel Okwi dakika ya 76.
Katika mchezo huo pia Simba walikosa mkwaju wa penati kupitia kwa Adam Salamba.
Tazama highlights za mchezo huo kwa mfupi.

Пікірлер: 209
@FootballHighlights-zv5bc
@FootballHighlights-zv5bc 5 күн бұрын
First game fo Mwamba wa Lusaka Clatous Chama.... Fantastic player
@izraelsaimon1023
@izraelsaimon1023 4 жыл бұрын
Naingalia hii gemu 2020 mulioangalia mwaka huu tujuane hapo chin
@juliusmichealy1397
@juliusmichealy1397 3 жыл бұрын
2021 still watching
@adrianomtanzaniano6310
@adrianomtanzaniano6310 3 жыл бұрын
Tuliorudi kumuangalia Yacoube tujuane
@perfecttz2690
@perfecttz2690 3 жыл бұрын
Jamaa wamoto
@rhodabenz8412
@rhodabenz8412 3 жыл бұрын
Mimi hapa
@zunguleunardo9292
@zunguleunardo9292 3 жыл бұрын
Tupo babaa
@caroxmedia1036
@caroxmedia1036 3 жыл бұрын
Tupooo jangwani moja mzee ding from chuga hiyo
@christian7tv762
@christian7tv762 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@sekeyifabian9517
@sekeyifabian9517 6 жыл бұрын
Asante Kotoko wazuri sana.
@benimagaya7966
@benimagaya7966 6 жыл бұрын
Simba Nguvu Moja Pamoja Sana
@shabanimiyumbaniki9376
@shabanimiyumbaniki9376 4 жыл бұрын
Simba raha sana
@thobiaskatoyo8622
@thobiaskatoyo8622 2 жыл бұрын
Fantastic game for simba day
@edenbaraka7533
@edenbaraka7533 3 жыл бұрын
Salama kuondolewa simba ULIKUWA sahihi kabisa bado ana utoto
@hussenmwinyi1165
@hussenmwinyi1165 3 жыл бұрын
If you love simba sports club gonga like hapa
@mayalakulwa4740
@mayalakulwa4740 5 жыл бұрын
Simba hii mtaisoma
@patrickugula3300
@patrickugula3300 6 жыл бұрын
Salamba ni Mchezaji mzuri, usife moyo kwa kukosa penati, tena kwenye friend mechi. Hixo ni changamoto za mpira. Tuliza akili, na ongeza bidii ya mazoezi na hizo penati pia. Muda si mreru utajibu uanjani kwa vitendo. God is Great and so good all time.
@waziliLyamosi
@waziliLyamosi 6 күн бұрын
Naangalia game 2024
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 2 жыл бұрын
2021 September mwamba naingia kuangalia Simba day.... nimesoma comments chache na zinazomhusu Salamba aisee yaliyosemwa yametimia...Salamba kapotea.
@seiduibrahim5817
@seiduibrahim5817 5 жыл бұрын
The referee is a bomb Im Asante kotoko supporter
@richardgole5836
@richardgole5836 5 жыл бұрын
Seidu Ibrahim
@amospaul8225
@amospaul8225 Жыл бұрын
@@richardgole5836 aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@sammwasomolamwasomola6292
@sammwasomolamwasomola6292 6 жыл бұрын
Haters wanajitahidi kukoments lakini koments zao zimejaa husuda hii ndio simba sports club
@severinpascal6514
@severinpascal6514 3 жыл бұрын
Ila huyu goalkeeper wa KUMASI ASANTE KOTOKO FELIX ANANI ni mzuri sana
@lulukibanga8152
@lulukibanga8152 3 жыл бұрын
Always Simba is the best
@Randomuniverse-qn6cc
@Randomuniverse-qn6cc 3 жыл бұрын
Ghanas finest asante kotoko ...
@shedy_marie
@shedy_marie 4 жыл бұрын
Daah mech tamu san naipenda simba
@wilemasero712
@wilemasero712 4 жыл бұрын
Mambo vp murebo
@shedy_marie
@shedy_marie 4 жыл бұрын
@@wilemasero712 poa tuuu
@japhetmatuma7808
@japhetmatuma7808 3 жыл бұрын
Usajil.
@bestmanboakye627
@bestmanboakye627 2 жыл бұрын
This game was more than a final match been played
@mariselimagazi8428
@mariselimagazi8428 2 жыл бұрын
Simba geita gorod
@bisekomazigo4950
@bisekomazigo4950 2 жыл бұрын
Kagele msimuache sana simba wanzangu maana mayanga waliwaloga. Wachezaji wetu
@tasilogreyson3221
@tasilogreyson3221 6 жыл бұрын
Okwi ni unawezo mzur sana katka football
@frezoomuna5687
@frezoomuna5687 6 жыл бұрын
timu ipo vyemaa muhimu kocha kuinganisha timuuu Ndoooo vnzr zaidi ili iwe na coordination nzur kuanzia nyuma katikati na mbelee
@frezoomuna5687
@frezoomuna5687 6 жыл бұрын
it really international football Jana ila kocha afanyie kaz makosa madogo madogo ili tupate muunganiko mzuri WA kikosi chetuu
@AmaniKasekwa-uw8hp
@AmaniKasekwa-uw8hp 11 күн бұрын
Utopolo Wana keleka Simba nguvu moja
@geofreysolomon8532
@geofreysolomon8532 6 жыл бұрын
Kwa mambo aliyotufanyia Okwi mpaka sasa. Okwi acheze mpaka awe kikongwe. Then tumkabidhi timu akuwe kocha tu. Jamaa tangu ujana wake simba ipo damuni. Anajituma, anatafta nafasi kiukweli ndio messi wetu. Na kingine.... Kichuya kichuya kichuya kichuya... Tutakaa muda mrefu tanzania hii kuja kupata mtu kama kichuya
@bernardchibwana2564
@bernardchibwana2564 5 жыл бұрын
Kabisaaa okwi mpaka azeeekeee
@oxleo8214
@oxleo8214 5 жыл бұрын
Km
@martinwilliam4179
@martinwilliam4179 5 жыл бұрын
OK Wii
@emmanuelmgogo5265
@emmanuelmgogo5265 6 жыл бұрын
Wata pata tabu sana wapinzani wangu yanga mnyamaaaaaaaaaaaaaaa
@mohamednassormohamed3027
@mohamednassormohamed3027 6 жыл бұрын
Emmanuel Mgog bado hatujaogopa kwa kikosi hicho kazi mnayo wanamsimbazi km yanga hatochukua basi azam atabeba au ht costi union
@lucasshirima2880
@lucasshirima2880 3 жыл бұрын
Salamba alianza kuonesha ubinafsi tangia hii mechi.
@billyrique
@billyrique 6 жыл бұрын
watani mna timu nzuri. Washambuliaji wanatakiwa umakini tu kama wa Okwi sijajua kwanini wabongo tukifika golini mpaka mtu ukose mara 10 ndio ufunge 1 sasa tukienda kimataifa ni nani atafanya mikosa mingi hvyo ili uje kufunga? Pili sioni kama ile ilikuwa penati labda kwa vile refa alikuwa position mbaya.
@johnmbena4412
@johnmbena4412 5 жыл бұрын
mtangazaji upo vizuri
@rankdefire4518
@rankdefire4518 4 жыл бұрын
Acheni tamaa
@elizabethjohn4549
@elizabethjohn4549 6 жыл бұрын
Hata kipindi ligi inaanza mliibeza sana simba lkn mwisho wa ligi mlibaki na aibu
@barakamassawe2454
@barakamassawe2454 6 жыл бұрын
kwa mpira huu yangawatapata taaabu sanaaa
@laurentngowi3052
@laurentngowi3052 6 жыл бұрын
Chama ni moto
@raismwaigombe7179
@raismwaigombe7179 6 жыл бұрын
Kweli kabisa niyonzima akasome ni mzigo kwahuyu Chama Kuna timu itakula nyengi
@mbarikiwalazarowatisa2086
@mbarikiwalazarowatisa2086 6 жыл бұрын
okwi anauponza timu...angekuwepo salamba
@marklimbu8059
@marklimbu8059 5 жыл бұрын
mtangazaji uko vzr napenda ck moja utangaze ck ya simba na yanga
@patrickfrederick6146
@patrickfrederick6146 4 жыл бұрын
Na ombi lako likatimia kwenye game ya moja bila goli la kagere
@saadnahoda707
@saadnahoda707 4 жыл бұрын
Tunampaa baraka mpenja
@stevenmaketa8051
@stevenmaketa8051 6 жыл бұрын
Uuuwiii kwampira huu timu zingine watapata tabu saanaaaa coz hawa Asante kotoko ni Wakali sana Ila Sumba wamecheza Moira mwingi sanaa
@cathymtemvu2351
@cathymtemvu2351 6 жыл бұрын
huyu chama ana laaanaaaa.. hizo assist shida, watapata tabu sanaaaa vpl
@limoshlaizzer9869
@limoshlaizzer9869 6 жыл бұрын
Savi sana Asande kotoko kwampira suriii hao wamatopeni warudi2 nyumbani wanarukaruka2 sioni wanacho kifanya kotoko nomaa sana
@pazihussein4692
@pazihussein4692 6 жыл бұрын
Simba ipo vizuri sana nyuma, kati ila mbele walimu waongeze chumvi na ndimu kidooogo mambo yakae sawa forward wafunge walikosa mengi sana jana ilikuwa kotoko wafe hata 5
@rashidissack8712
@rashidissack8712 6 жыл бұрын
wajipenge vizuru
@denisdejo5033
@denisdejo5033 6 жыл бұрын
This kid Salamba need to improve alot, this is the fourth time am seeing him playing, got nothing special just dreds. He will rotten in the bench. Needs to look at The living legend Okwi.
@nickolaspmaly8732
@nickolaspmaly8732 4 жыл бұрын
FYI
@gilbertrwiza4953
@gilbertrwiza4953 3 жыл бұрын
He is now in kuwait he is among of high earners tz footballers abroad
@petermgogosi2534
@petermgogosi2534 6 жыл бұрын
Noma
@emmanuelleonard5387
@emmanuelleonard5387 2 жыл бұрын
Fri Toto namkubali
@isayalisaleyo8572
@isayalisaleyo8572 2 жыл бұрын
Wana simbaaa
@yusuphjames6869
@yusuphjames6869 5 жыл бұрын
5d
@pendokatindasa2281
@pendokatindasa2281 6 жыл бұрын
Huu ndiyo Mpira.
@jolammoses2195
@jolammoses2195 5 жыл бұрын
pendo katindasa umeona dadaaa
@sekeyifabian9517
@sekeyifabian9517 6 жыл бұрын
Kiukweli kwa Simba hii sipati picha kwa ligi kuu,tabu ipo.
@barnabasstanslaus6895
@barnabasstanslaus6895 5 жыл бұрын
na sasa simba mabingwa TPL 2019 MK 14 NGUVU YA MAMBA.
@michaelkaunda3791
@michaelkaunda3791 4 жыл бұрын
Nikweli simba apewe tu ubingwa
@felixluoga3394
@felixluoga3394 6 жыл бұрын
Hapana gem ilikuwa ngum hawa asante kotoko wanajua sana kupiga mpira ila kiukweli simba ya mwaka huu moto wa kuotea mbali
@abbakarim5587
@abbakarim5587 6 жыл бұрын
asate xan ooookwe
@abbakarim5587
@abbakarim5587 6 жыл бұрын
yanga mwakahuu mtakoma pobafu San simba bele yanga nyuma π√¥€
@felixluoga3394
@felixluoga3394 6 жыл бұрын
Sana mwaka huu mkude,nyoni,wawa,asante,kwasi,kapombe,na chama watakaba hadi nyasi
@mrmkwepu902
@mrmkwepu902 5 жыл бұрын
Felix Luoga y
@silviaasenga1833
@silviaasenga1833 3 жыл бұрын
Jamani huyu yakuba. ni.yule.wa yanga.au
@peterblessed8016
@peterblessed8016 5 жыл бұрын
Safi sana
@abuuhafsah9630
@abuuhafsah9630 4 жыл бұрын
Bora salamba kaondoka
@joshuanyonyi8820
@joshuanyonyi8820 6 жыл бұрын
Yanga wakitulia simba mtapata tabu sana, sijaona mpira wa Professional yeyote timu mzima.
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 5 жыл бұрын
Joshua Nyonyi utaona ukija chezeshwa kichura chura siku hyo we hujui mpira umejaa husda tu mpaka uje kupigwa nndio ujue kama ni wazr mtapa tabu sana
@yustomwaisomania2587
@yustomwaisomania2587 10 күн бұрын
​@@EmedroadtocanadaAya Yanga tumetulia mmekula Tano😂😂
@machinefannatic99
@machinefannatic99 6 жыл бұрын
Salamba mavi sana
@peterkibuga401
@peterkibuga401 3 жыл бұрын
mwaka huo sikuiangalia ila 2020 kuna mtu amenifanya niiangalie kwa umakini zaid
@tubiajuma1542
@tubiajuma1542 4 жыл бұрын
Kwa tulioanza kuangalia ubora wa chama tangu hii mech tujuane
@celeone2655
@celeone2655 6 жыл бұрын
Wanajangwan rudn gm kumenogaaaaaa#msimbaz
@mkalifanny4555
@mkalifanny4555 3 жыл бұрын
Yacouba sogne😅😅😅 kwan Ligi inaanza lin
@severinpascal6514
@severinpascal6514 3 жыл бұрын
Kwamba?
@emmanuelmussa8331
@emmanuelmussa8331 5 жыл бұрын
Salamba garasa since day 1
@benardjackison3002
@benardjackison3002 4 жыл бұрын
V
@elizabethjohn4549
@elizabethjohn4549 5 жыл бұрын
Jaman azam ,tuwekeen bas mchezo wa simba na kmkm ulioisha mda huu
@zawadnkyami7563
@zawadnkyami7563 4 жыл бұрын
,simba na ruvu shutingi
@zawadnkyami7563
@zawadnkyami7563 4 жыл бұрын
Simba na ruvu
@timothyhandy2408
@timothyhandy2408 6 жыл бұрын
simba bingwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@jolammoses2195
@jolammoses2195 5 жыл бұрын
timothy handy kweli ban
@amirlehao8945
@amirlehao8945 4 жыл бұрын
Hii mechi ndo ilionesha ubora wa simba uko wap na ndo hii ilifanya vizur mpaka kufika robo fainal
@lazarojr8923
@lazarojr8923 6 жыл бұрын
Huyu Chama ni 💥💥💥
@sadamulugongo69
@sadamulugongo69 5 жыл бұрын
Simba
@seifngakoma2537
@seifngakoma2537 5 жыл бұрын
Umeona uyu dogo nyota
@harunimfaume6280
@harunimfaume6280 4 жыл бұрын
Hiii ndo ilikua simba wanakuja kwaacha wachezaji wa maana wakalitea magalasa mambayo kwa simba hii hatakama tunaongoza ligi ila kimataifaa tutapgwa saana
@emanuelshijakagondi6010
@emanuelshijakagondi6010 6 жыл бұрын
imezihilisha kwamba pesa za simba zinanunua majina sio wachezaji
@BontamLee
@BontamLee 5 жыл бұрын
Ndio mechi pekee ya kirafiki AFRICKA kwa vilabu vya ndani,kushuhudiwa na watazamaji wengi.
@martinswai8031
@martinswai8031 3 жыл бұрын
Yacouba alikuwa mtamu kipindi icho
@naiiemkosovo8132
@naiiemkosovo8132 5 жыл бұрын
YAKUBA AJE SIMBA
@chrintonsasuni3818
@chrintonsasuni3818 5 жыл бұрын
okwi ningependa abakie simba mpaka stafu yake tumfanye kama mess na Barcelona
@saadnahoda707
@saadnahoda707 4 жыл бұрын
Toka hapa
@adubimpong4095
@adubimpong4095 2 жыл бұрын
Felix Annan was too good. We ended his career, hmmmm
@dawayao2837
@dawayao2837 6 жыл бұрын
Mh simba ina mpira mwingi sijui ligi kuu itakuwaje 😀😀😀
@elizabethjohn4549
@elizabethjohn4549 5 жыл бұрын
Kwa mechi watu waliiponda sana simba sasa sijui bado wanakumbuka maneno yao hhhaaaahaaa
@francisremji3930
@francisremji3930 5 жыл бұрын
salamba alikuwa mzigo to
@rajabuviva3160
@rajabuviva3160 2 жыл бұрын
Hiii ilikua bola sana mechi tam
@allyjuma5640
@allyjuma5640 5 жыл бұрын
simba vsz mtibwa
@nurdinrashid9722
@nurdinrashid9722 Жыл бұрын
Kumbe huyo yakuba kosa kosa sana kitamboo!
@lwimikoyusuph4388
@lwimikoyusuph4388 6 жыл бұрын
Uyu chama atareeeee
@allysaidy8808
@allysaidy8808 6 жыл бұрын
Simba sports club imeiva ligi sipati picha
@ifaozil325
@ifaozil325 6 жыл бұрын
Kwa simba hii mm sisemi memgi ila chama noma
@hussensaid2228
@hussensaid2228 4 жыл бұрын
Ifa Ozil kenya
@mickymtenga8919
@mickymtenga8919 4 жыл бұрын
Simba zidi ya nkana downloads
@sospeterilagila5277
@sospeterilagila5277 4 жыл бұрын
Okwi alko kwa sasa
@footmobonline
@footmobonline 3 жыл бұрын
Adam Salamba ni bonge la gharasa.
@agyengkwakuantwi1510
@agyengkwakuantwi1510 5 жыл бұрын
Seriously? what a dubious penalty
@MultiMbongo
@MultiMbongo 3 жыл бұрын
Clear penalty may be you are new to this game
@agyengkwakuantwi1510
@agyengkwakuantwi1510 3 жыл бұрын
ill skillz I don’t think so!
@rahimmchopa5163
@rahimmchopa5163 5 жыл бұрын
tarehe 30 sizani
@andrewsayi5515
@andrewsayi5515 5 жыл бұрын
azam tv
@chazally8273
@chazally8273 10 күн бұрын
Ssa uyu salamba alkua anacheza nn
@amurubashiru7748
@amurubashiru7748 6 жыл бұрын
good gam
@pendoelias4822
@pendoelias4822 3 жыл бұрын
Mm naangalia Leo tar 25/2/2021
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 5 жыл бұрын
okwiiiiiiiiiiiiiiiii
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 5 жыл бұрын
kwa kosi hili yanga hatoki 30/9/2018
@enockpaul7172
@enockpaul7172 5 жыл бұрын
Emed Ibrahim umeona.naww
@charlesbaodi8620
@charlesbaodi8620 5 жыл бұрын
Ask
@anordclemensi9440
@anordclemensi9440 4 жыл бұрын
Imeishaiyo
@suleimanshoble6771
@suleimanshoble6771 2 жыл бұрын
Costco
@siamekellah7528
@siamekellah7528 6 жыл бұрын
kimtazamo,ni gemu la kawaida tu! kumbuka hii ni siku ya simba(simba day)
@richardgole5836
@richardgole5836 5 жыл бұрын
Siame Kellah name
@michaelmartin8344
@michaelmartin8344 4 жыл бұрын
Baba lao
@abdibashal4262
@abdibashal4262 3 жыл бұрын
ITV
@ramadhanamir4636
@ramadhanamir4636 6 жыл бұрын
No penalty
@richardhaule3744
@richardhaule3744 6 жыл бұрын
Refa kawabeba kwa penalty lakn hawajabebeka ☺☺☺
@iddimussa7010
@iddimussa7010 5 жыл бұрын
Wana simba tuipe moyo itashinda
@kiolodo3
@kiolodo3 2 жыл бұрын
Salamba alijipa usupastaa kabla ya kuwa supastaa
@amossgandwez8220
@amossgandwez8220 4 жыл бұрын
Cham
@yudatadeshayo4434
@yudatadeshayo4434 3 жыл бұрын
Yacuba watanii wamepata
@ellyclassic2675
@ellyclassic2675 3 жыл бұрын
Yocoube sogne mali ya yanga🇹🇿🇹🇿
@barakadaffi3409
@barakadaffi3409 4 жыл бұрын
Simb hatariii
SIMBA DAY: FULL HIGHLIGHTS:  SIMBA SC 6 - 0 VITAL'0  - 22/08/2020
26:41
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 44 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 29 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 5 МЛН
SIMBA SC 1-1 UD SONGO: FULL HIGHLIGHTS (CAF CL - 25/8/2019)
36:59
MAGOLI YOTE YAMO | SIMBA SC 4-0 USGN | HIGHLIGHTS
9:32
TV3 TANZANIA
Рет қаралды 1,2 МЛН
Майк Тайсон НЕ НУЖДАЕТСЯ В ОХРАНЕ #shorts
0:30
Тайна ММА
Рет қаралды 1,2 МЛН
Intense Balloon Popping & Basketball Challenge - Who Will Win ?
1:00
SS FOOD CHALLENGE
Рет қаралды 55 МЛН
Не надо толкать, надо бить🥊
0:20
Алексей "Новатор" Сурков Тренер по боксу
Рет қаралды 2,7 МЛН