Highlights | Yanga Princess 1-3 Simba Queens | Ligi Kuu ya Wanawake 25/04/2024

  Рет қаралды 253,987

Azam TV

Azam TV

3 ай бұрын

KARIAKOO DERBY | Simba Queens imeendeleza ubabe wake dhidi ya watani wake wa jadi Yanga Princess kwa kuichapa mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya wanawake #TWPL uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
Magoli yote manne yamefungwa kipindi cha pili, Aisha Juma Mnunka akifunga mawili dakika ya 49 na 90+2, Jentrix Shikangwa dakika ya 66 huku la kufutia machozi likifungwa na Kaeda Wilson dalkika ya 90+5.
Tazama highlights....

Пікірлер: 154
@user-qc5kq2zm2b
@user-qc5kq2zm2b 2 ай бұрын
Tunaoikubali Simba queens tujuane hapa kwa likes.
@DoreenDaniel-wm3yg
@DoreenDaniel-wm3yg 2 ай бұрын
Mwaaaa
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 2 ай бұрын
Hawa yanga princes wanagawa sana uloda ndo maana wanafungwa sana na watani wao
@victorcephas3618
@victorcephas3618 2 ай бұрын
Simba Queens ndiyo Simba pekee wanaotupa furaha
@CosmasSengenge
@CosmasSengenge 2 ай бұрын
Goli la 3 la simba na kaeda, the best
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 2 ай бұрын
Hongera simba queens kwa kupiga changu za utopol
@saidsalum6101
@saidsalum6101 2 ай бұрын
Afazali simba wanawake mmetukomboa sana shida ipo kwawanaume huku
@MbaroukKhalifa
@MbaroukKhalifa 2 ай бұрын
Ningeshangaa mzinga angemaliza hii ningeuliza huyu mwamba mwakalobo Jr yyko wp mwamba kwel kwel huyu👏👏
@BadwaiserBw
@BadwaiserBw 2 ай бұрын
i love simba quens ila wanaume wanatuangusha❤❤❤❤❤❤
@ROSEMARYVALENCE
@ROSEMARYVALENCE 2 ай бұрын
Nawapenda timu yangu Simba qeens na wafalme wa nyika wanaume king of lion
@bernaberna4159
@bernaberna4159 2 ай бұрын
Simba queens watu wa maana kabisaa ❤❤😂
@patrickymkoma3558
@patrickymkoma3558 2 ай бұрын
Safi sana
@BadwaiserBw
@BadwaiserBw 2 ай бұрын
simba ni wa moto kinomaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤i love u simba
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 2 ай бұрын
Hongera Simba quuns
@morristz8149
@morristz8149 2 ай бұрын
Safi, mgunda waoneshe kuwa wewe ni kocha waviwango, ninaimani na mgunda heya heya🎉
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 2 ай бұрын
Viwango vyake kwa wanawake
@franccoz94
@franccoz94 2 ай бұрын
​@@mahmoodalghefeili5370umesahau mwakaja zile 2 au unajisahaulisha
@user-zh6jg8mk6p
@user-zh6jg8mk6p 2 ай бұрын
Tuimbe kwa pamoja 😂😂😂😂
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 2 ай бұрын
Nyie watanzania nao hamna akili kwa hiyo ww unataka wanawake washangilie mpira wa wanaume,alafu wanaume wasishangilie mpira wa wanawake,acheni ushambenga..kusupport soka la wanawake ni vizuri,watu wamejipatia ajira hapo
@MaywaTifurukwa
@MaywaTifurukwa 2 ай бұрын
Usipende kutumia ujumla kwa Mtu mmoja, " Watanzania hamna akili" kumbuka si wote washabiki wa mpira
@patrickymkoma3558
@patrickymkoma3558 2 ай бұрын
Piga utopwax
@sangajackson301
@sangajackson301 2 ай бұрын
Wa kwanza Leo azam tv
@mzenjikichaa8695
@mzenjikichaa8695 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada 2 ай бұрын
Aisha mnuka amerithi mikoba ya opa clement
@JoshuaJulius-jk7ct
@JoshuaJulius-jk7ct 2 ай бұрын
Huyu dada inabidi akacheze timu ya wanaume atusaidie kufunga make anauwezo mkubwa sana kama kagere wa simba
@AbdallahIssaShekhan
@AbdallahIssaShekhan 2 ай бұрын
Na hii ndiyo asili ya muanzilishi wa Timu hawa Wanaume c wanashobokea cjui tuwaeleweje
@giftgondwe1674
@giftgondwe1674 2 ай бұрын
Mtulie wana yanga mambo yatakaa sawa 💚💚💚
@Teach161
@Teach161 2 ай бұрын
We want simba goalkeeper in Rayon spor
@julianmsele3880
@julianmsele3880 2 ай бұрын
YANI MGUNDA NI BONGE LA KOCHA EBU ANGALIA BOLI INAVOTEMBEA , KWANINI MATOLA ASILETWE HUKU MGUNDA ARUDISHWE TIMU YA WANAUME?
@JoshuaJulius-jk7ct
@JoshuaJulius-jk7ct 2 ай бұрын
Shida viongoz wet ndo ziro,sunaona jinsi mpira unavyochezwa,unavutia sana kulko wa kiume
@peterokondo4511
@peterokondo4511 8 күн бұрын
Simba queens oyeeeeeeeeee🤫🤫🤫🤫🤫🤫🤫
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 2 ай бұрын
Nataman hawa wanawake waingia kwenye tim ya kiume ,, wanajua kufunga magoli ya kiufundi sana
@MichaelMwangaya
@MichaelMwangaya 2 ай бұрын
Walau nyie akina dada mnatufuta machungu
@JosiaJakson
@JosiaJakson 2 ай бұрын
Pigeni hao maana wananchi siwapend simba chama langu
@user-qh8oh8kx7x
@user-qh8oh8kx7x 2 ай бұрын
Yaan wewe unayesema eti wanaume wasishangilie wanawake yaaan we ni mpumbavu una Mambo ya kizamani kambague mkeo na mamako pumbavu
@paaboytzmedia2571
@paaboytzmedia2571 2 ай бұрын
Panapo na Mgunda yupo ushindi upo pia
@magrethelikanah5110
@magrethelikanah5110 2 ай бұрын
Simba 👏👏👏
@onsetgadnills9780
@onsetgadnills9780 2 ай бұрын
Simba ya wanawake inaonekana Bora kuliko ya wanaume😂😂😂
@aminata3702
@aminata3702 2 ай бұрын
Ata yanga ya wanawake iungane na waume zao mnakandwa 😂😂😂💪
@ChijaLugola-xe5tn
@ChijaLugola-xe5tn 2 ай бұрын
Highlite zisizoonekana duh
@AbisinaRashidi-wg5jt
@AbisinaRashidi-wg5jt 2 ай бұрын
Piga dada zao SS tunainjoi maana hata wao waliteseka miaka minne kwaio hatuna hofu wapigeni hao mademu zao
@dullamuso6955
@dullamuso6955 2 ай бұрын
Yaaan Yanga Princess kuna haja yakuijenga bado tunasua sua
@user-qo6ft7kg6h
@user-qo6ft7kg6h 2 ай бұрын
Raha sana
@BadwaiserBw
@BadwaiserBw 2 ай бұрын
sisi simba sisi ndo mabigwa afrika nzima😅🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JeniphaRobert
@JeniphaRobert 2 ай бұрын
Wameamua waludi kushangilia wadada
@SamiaRashid-up6cg
@SamiaRashid-up6cg 2 ай бұрын
Kwaiyo wadada hawastahili kushangiliwa sio!ulichoandika angeandika mwanaume mngeandamana nchi nzima
@BadwaiserBw
@BadwaiserBw 2 ай бұрын
sisi simba sisi ndo mabigwa afrika nzima
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 2 ай бұрын
Hata ukimuua mtoto wa nyoka Utakuwa umemuua nyoka mwenyewe.
@stevenclaus6788
@stevenclaus6788 2 ай бұрын
Simba Quine waamie tyu kule kwa timu ya wanhosha 😂
@EmanuelMhando-ch4qi
@EmanuelMhando-ch4qi 2 ай бұрын
Pls Eng.Heris waambie Yanga princess waache uzizi matokeo yake ndo haya
@stevenkomba4621
@stevenkomba4621 2 ай бұрын
Juma mgumda bonge La kocha yan
@ClaraCecil-rq4xf
@ClaraCecil-rq4xf 2 ай бұрын
Piga mbwa hao
@swaibushemdoe2143
@swaibushemdoe2143 2 ай бұрын
Pole mzinga
@bakarirajabu3783
@bakarirajabu3783 2 ай бұрын
Bora mmehamuwa kuhamia huku kule kwetu pagum mzee
@bellenoe414
@bellenoe414 2 ай бұрын
Kumbe precious sio mzawa
@user-ej5dq7gx9r
@user-ej5dq7gx9r 2 ай бұрын
Isifutwe kocha sio na wachezaji pia sio tuongeze wachezaji na benhi la ufundi kweli Simba hatuwawezi kila tukikutana nao malanyingi tunapigwa sisi
@huseinaly5163
@huseinaly5163 2 ай бұрын
Yaani huyu KAEDA mzungu ni bora kuli saidoo na fredy koublan
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jm
@ManenoAnthonyMachaku-dt4jm 2 ай бұрын
Azizi K anachakujifunza kwa Mnuka jinsi yakufunga magori ya kula nguzo na kugusa nyavu hii haliitaji VAR 😂😂😂 Joke
@masumbukojonas5510
@masumbukojonas5510 2 ай бұрын
Hvi Hawa hua wanapta ujauzito
@DoreenDaniel-wm3yg
@DoreenDaniel-wm3yg 2 ай бұрын
Haaaa umenichekesha
@mussamussa8181
@mussamussa8181 2 ай бұрын
Ulipata kaenda wa 4 basi umemaliza kaz
@habibuhabibu9728
@habibuhabibu9728 2 ай бұрын
Bora hata kidgo
@jailosibrahim88
@jailosibrahim88 2 ай бұрын
Ukwel kama mm ningekuwa kiongoz wa simba hawa watoto wa kike ndo ingetakiwa wacheze ligi ya wanaume kisha wanaume waende ya wanawake
@MwanaloveBou
@MwanaloveBou 2 ай бұрын
Wewe
@simonjoshua1233
@simonjoshua1233 2 ай бұрын
Ndio maana hujawa maana ungepigwa
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 2 ай бұрын
😂😂😂😂 umevurugwa vibaya mno pole ndugu yangu tuombee Mungu tu timu yetu iwe sawa
@chidimsafi1279
@chidimsafi1279 2 ай бұрын
Mwakalobo unajuaa Sanaa
@SamsonSony-yc3iz
@SamsonSony-yc3iz 2 ай бұрын
Piga hao piga hao
@peterphilipo-fw5zr
@peterphilipo-fw5zr 2 ай бұрын
Ok
@JosephatMushi-ne9hn
@JosephatMushi-ne9hn 2 ай бұрын
Mangunguu oyeee, Kipoozeo
@peterbiz4960
@peterbiz4960 2 ай бұрын
Camera mbovu mno leo
@fetychina3969
@fetychina3969 2 ай бұрын
Mbili za kwao moja la mzubgu wao
@user-kh5zn5vo5z
@user-kh5zn5vo5z 2 ай бұрын
Sasa jamn wanaume mnashangilia wanawake mmekosa kaz aisee kher aib kulik fedheha
@user-js7lr8vr9i
@user-js7lr8vr9i 2 ай бұрын
Yani Hawa ndosimba dume wale wengine ndowanatakiwa kuitwa Simba kweni
@KhamisiEdward-vd7ej
@KhamisiEdward-vd7ej 2 ай бұрын
Kiukwel wanatuumiza sana wanayanga
@HagaiMoses
@HagaiMoses Ай бұрын
I love simba
@AllyMhonda-kb8pe
@AllyMhonda-kb8pe 2 ай бұрын
Mgunda kaacha kitu
@user-vw4fn5pj3n
@user-vw4fn5pj3n 2 ай бұрын
Hapo hakuna kocha kaka
@AllyMhonda-kb8pe
@AllyMhonda-kb8pe 2 ай бұрын
3:31 3:33
@HappyBwire
@HappyBwire 2 ай бұрын
Mm ni wakwanza
@MkapaJr-cs9cf
@MkapaJr-cs9cf 2 ай бұрын
Ndio hapo kuna mkewang
@albinusnyaiyo2614
@albinusnyaiyo2614 2 ай бұрын
Mgunda njoo hku nbs
@MamaPrince-un2nu
@MamaPrince-un2nu 2 ай бұрын
nyooooooooo tunaijua iyo
@user-vy9pz7sk4z
@user-vy9pz7sk4z 2 ай бұрын
Kipa awana yanga wala mabek
@jaffjeff6912
@jaffjeff6912 2 ай бұрын
Hakika
@MbaroukKhalifa
@MbaroukKhalifa 2 ай бұрын
Kwann lkn Joanitha amemzuia Mnunka 😅😅😅😅😂
@alistairelias536
@alistairelias536 2 ай бұрын
Labda alikuwa na kadi ya njano 😃
@barakamhalule3236
@barakamhalule3236 2 ай бұрын
🤗🤗
@adozenaziz8362
@adozenaziz8362 2 ай бұрын
wee ni mnyamwezi
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-ps8of7ct5x
@user-ps8of7ct5x 2 ай бұрын
Picha mtihani
@SalimRamsei-ok9el
@SalimRamsei-ok9el 2 ай бұрын
Mgunda kafanya mambo
@user-so9bh8mh6v
@user-so9bh8mh6v 2 ай бұрын
Kipa taira huyo
@officialshelomwangole256
@officialshelomwangole256 2 ай бұрын
Tatizo ni mwamnyeto😢
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
Eti 😅😅😅😅😅
@amosimilanzi68
@amosimilanzi68 2 ай бұрын
Kiukwel toka moyon awa yanga princess uwa siwapend kabisa japo mimi ni mwanyanga maana kila nikiwafatilia mechzao zid ya simba queens uwa ni watu wakuboronga tu kama vip ii tim ifutwe tu aina maajabu
@user-qi1bx2zq4y
@user-qi1bx2zq4y 2 ай бұрын
Umeonaeee hamuna kitu hapo aisee
@selealli990
@selealli990 2 ай бұрын
unajua viongozi wanafokas na timu ya wanaume kwanza ikikaa sawa ndio wanaamia uko tuwe na subla
@Johansenjoshua1271
@Johansenjoshua1271 2 ай бұрын
😂😂
@FaridiMohamed-dd4hr
@FaridiMohamed-dd4hr 2 ай бұрын
Hapo Badoo 😂
@cannetv2080
@cannetv2080 2 ай бұрын
Kwan madrid ipoje japo hata mimi inaniuzi ila najua kila taasisi ina vpaumbele vyake huenda yanga hiki sio kipaumbele chake
@innocentchuwa5269
@innocentchuwa5269 2 ай бұрын
Hawa wadada mbona wanafunga magoli mazuri kuliko wanaume kweli mpira hauna adabu
@bellenoe414
@bellenoe414 2 ай бұрын
😅
@RehemaMasebo
@RehemaMasebo 2 ай бұрын
ukweri hta mmi siwaelewi kbisa waende kuolewa huko
@rachelsamwel5359
@rachelsamwel5359 2 ай бұрын
Hawa Yanga princess siwaelewagi kabisa
@aminata3702
@aminata3702 2 ай бұрын
Bado hujasema 😂.Unaielewa timu ikiwa vizuri tu
@EmanuelMwambu
@EmanuelMwambu 2 ай бұрын
Watanzania tumekula Nini,tunatukana ovyo tu,tunawatukana wa dad's zetu,kwani umelazimishwa kushangilia Mpira,mbona wa wanashangilia Mpira wa wanaume.tubadilike.
@steve_tz
@steve_tz 2 ай бұрын
Uku bwena
@user-zc2ms4wl6r
@user-zc2ms4wl6r 2 ай бұрын
Hongera Wana Simba wenzangu
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 2 ай бұрын
tenaaaaaaaa❤❤❤❤
@user-zc2ms4wl6r
@user-zc2ms4wl6r 2 ай бұрын
@@sakinasakina1286 we sakina mawasiliano mhimu
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb 2 ай бұрын
Bora tuwasapoti dada zetu Hawa kina fredi wajisapoti wenyewe
@jacobsadock3530
@jacobsadock3530 2 ай бұрын
Aiseee umenichekesha sn
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 uwiiiii nimecheka sina mbavu
@VictorGeorge-tv8xj
@VictorGeorge-tv8xj 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ben_digital
@ben_digital 2 ай бұрын
Simba tafutien furaha yenu huku kwa dadaz
@mariamshibanda3358
@mariamshibanda3358 2 ай бұрын
Utajua mwenyewe 🤣🤣🤣🤣
@husseinally4932
@husseinally4932 2 ай бұрын
Wachezaji wa yanga tatizo ni mawasilino tu
@shaurimtanda8285
@shaurimtanda8285 2 ай бұрын
hawatumii lain za tigo
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-rj8cb9tq3w
@user-rj8cb9tq3w 2 ай бұрын
Yanga princesses watafute kocha
@riziwanikupaza8713
@riziwanikupaza8713 2 ай бұрын
Mnuka wewe
@ZaidyMussa-cz6ok
@ZaidyMussa-cz6ok 2 ай бұрын
Uongoz wa Simba qweens uje Simba yawanaume upo imala sana
@LatifahMuhammed-ub9uj
@LatifahMuhammed-ub9uj Ай бұрын
Kweli kabisa
@HamisMomba-mh4zp
@HamisMomba-mh4zp 2 ай бұрын
Mgunda anajua
@user-ry4ie9tl8b
@user-ry4ie9tl8b 2 ай бұрын
Yanga Pcs watafute coacher yan timu haina mawasiliano kabixaa🤔🤔😠😠😠
@bellenoe414
@bellenoe414 2 ай бұрын
Bundi😅😅
@majidyjames1245
@majidyjames1245 2 ай бұрын
Yani mpira wa wanawake utadhani wanajichezesha Hauna hata radha
@athumanmsuya2688
@athumanmsuya2688 2 ай бұрын
Yanga princess weye robo yauuma
@MshumiSingo
@MshumiSingo 2 ай бұрын
Acha wajifarijii
@aminata3702
@aminata3702 2 ай бұрын
Acha tuwabonde
@wigon127
@wigon127 Ай бұрын
kzfaq.info/get/bejne/qppdfMWZs7i0YaM.htmlsi=UrNiRFddBTB3poL6 karbu kuskilza sauti za busara
@BadwaiserBw
@BadwaiserBw 2 ай бұрын
simba ni wa moto kinomaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤i love u simba
@BadwaiserBw
@BadwaiserBw 2 ай бұрын
i love simba quens ila wanaume wanatuangusha❤❤❤❤❤❤
@JoshuaGodifreyJoshua
@JoshuaGodifreyJoshua 2 ай бұрын
Safi sana
@MuhammedSuleiman-tz9ut
@MuhammedSuleiman-tz9ut 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@husseinally4932
@husseinally4932 2 ай бұрын
Goli kipa wa yanga tatizo lake ni position tu
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 64 МЛН
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 23 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 59 МЛН
FEI TOTO AKICHAFUA KATIKA SOKA
3:28
AZBEEN TV
Рет қаралды 41 М.
IMPOSSIBLE Acrobatic Goals In Football
9:10
GrdArena
Рет қаралды 6 МЛН
Ronaldinho Gaucho Goals That SHOCKED The World
7:01
iLance7i
Рет қаралды 8 МЛН
The Day Ronaldinho Became a Barcelona Legend
15:14
BR7 Football
Рет қаралды 3,4 МЛН
The Goat in 2012 #shorts #football #goat
0:24
ENBYAENGN
Рет қаралды 3,5 МЛН
What is your favorite soccer player?
0:18
Jay cok
Рет қаралды 2,7 МЛН
Владимир Минеев vs Магомед Исмаилов 3. Бокс.
0:55
😂 Самый "сообразительный" футбольный фанат
0:16
ИТАК, НОВОСТИ!
Рет қаралды 1,8 МЛН