nataka kujua je ukubwa wa kikombe ulichotumia ni hicho hicho kwa kila kitu
@YoungJoram-us5vq Жыл бұрын
Maziwa kiasi gani dear ❤️
@malkiafoods Жыл бұрын
1+1/2 cup soma comment nimepin hapo
@YoungJoram-us5vq Жыл бұрын
@@malkiafoods ❤️🙏
@a.856 Жыл бұрын
Asante
@deboradavid7833 Жыл бұрын
Waooooooooow,i will try this
@malkiafoods Жыл бұрын
Enjoy babe
@user-pg3pw1rn9j Жыл бұрын
Unga mzuri kwa cake ni upi adi cake iwe white ivo
@Madamnancee6 ай бұрын
Can you share the ingredients of your home made mixed fruit essence?
@jazilambaji2789 Жыл бұрын
Naje umetumia measuring cups??au vya kawaida vya chai?
@gloriakamwela5094 Жыл бұрын
Nice❤maziwa kiasi gani dear
@malkiafoods Жыл бұрын
Kikombe kimoja na nusu dear
@TeddyMashayoАй бұрын
Maziwa kiasi gani
@makhobiomondi41562 ай бұрын
Da malikia jaman hivi vipimo vya hii cake unaweza kutupatia kwa gram na mls maana hii ya 1+1/2 inachanganya wengine vipimo vyetu vipo tofauti tusaidie kwa g and mls ili walahu tupime kwa mizani na vile vikombe vyenye specific number dada🙏
@zoey2635 Жыл бұрын
Beautiful, je naweza kutumia prestige badala ya mafuta ya maji?
@malkiafoods Жыл бұрын
Sawa
@isegealphonce7270 Жыл бұрын
Habari , nilijaribu kupika cake mara tatu ila haiumuki, na baking powder ninayotumia ni ile ya box yenye rangi ya blue bahari
@nataliamhina9583 Жыл бұрын
Asante sana. Unatumia unga brand gani dada.
@malkiafoods Жыл бұрын
Hey babes ppf
@jazilambaji2789 Жыл бұрын
Ktk vipimo naona umeandika 2+1/2 inamaana vikombe viwil na nusu??
@neemazame16589 ай бұрын
Hbr madam naweza kuweka maziwa ya unga halafu nikaweka na maji kidogo
@SharifaYassin-vd9kb2 ай бұрын
Ukisema kikombe kimoja ni sawa na mls ngapi Yan robo nusu au kiasi gani yan
@gladysgeke3194 Жыл бұрын
Hii keki nilichotoaa 😂😂😂😂😂
@makhobiomondi41562 ай бұрын
Ilikuaje mom
@theresiashayo21474 ай бұрын
Hapo kwenye vipimo umeandika 1+1/1/2 cjaelewa,,, na je mbona mm cake zangu hazichambuki vizur ivo
@faustawilliam1318 Жыл бұрын
Cake zangu haziumuki vizuri, naweza kuweka kwenye tin mmoja na isijae 😢 pia ku balance moto kwenye oven ni tatizo😂
@malkiafoods Жыл бұрын
Pole, labda baking powder yako huweki kiwango cha kutosha. Pia moto, jitahidi kuisoma oven yako ujue inataka moto kiasi gani
@judithmongi6980 Жыл бұрын
Hand mixer kwa Mbeya napata duka gani?
@malkiafoods Жыл бұрын
Maduka ya vyombo
@GudillaMarandu-pq8is Жыл бұрын
Hello dear chumvi ikizidi kwenye mchuzi unaweka nini kipunguza
@saidamandwanga3042 Жыл бұрын
Viaz mviringo or mbatata
@levinamyemba55696 ай бұрын
Hii Recipe inafaa kwa biashara???
@agabachristian6697 Жыл бұрын
hzo cups in grams please 🙏
@malkiafoods Жыл бұрын
MLS 250
@dianarajab238711 ай бұрын
Tusaidie vipimo kwa gram na mls tafadhali
@monicanzali11 ай бұрын
Ambao hatuna oven tunataman kupikia kwa mkaa mnatusaidiaje??
@monicanzali11 ай бұрын
Na pia maziwa unachemsha kwanz au unaweka yakiwa mabichi??
@NAJATHMVULA-bh5hv Жыл бұрын
Sorry vipimo hujatuwekea?
@khadijahmndeme9239 Жыл бұрын
Nimependa na nitajarbu ila nilkuwa napenda kujua hivyo vikombw ulivyotumia kupimia hizo ingredients
@malkiafoods Жыл бұрын
Nunua vikombe vya kupima "measuring cups
@christerkilamlilo7013 Жыл бұрын
Asante kwa kushare nitaijaribu kisha nitakupa feedback