HII NDIO SIRI YA MWAFRIKA INAYOTISHIA USALAMA WA WAZUNGU HUWEZI KUAMINI

  Рет қаралды 196,174

Tricod Media

Tricod Media

4 жыл бұрын

HII NDIO SIRI YA MWAFRIKA INAYOTISHIA USALAMA WA WAZUNGU HUWEZI KUAMINI
Bonyeza Hapa KUSUBSCRIBE kzfaq.info...

FOLLOW TRICOD SKILLS on Instagram!
/ tricodmedia
LIKE TRICOD SKILLS on Facebook!
/ tricod-skills-11524157...
FOLLOW TRICOD SKILLS on Twitter!
/ tricodskills
#wapagani
#waisraelweusi
#freemason

Пікірлер: 454
@TricodMedia
@TricodMedia 3 жыл бұрын
MATAMBIKO 10 YA FREEMASON KWENYE VIDEO YA ALIKIBA MEDIOCRE Hii ni zaidi ya DIAMOND PLATMUZ kzfaq.info/get/bejne/nr6JZ7mFuq_SYok.html
@nesphorimakolobela8591
@nesphorimakolobela8591 4 жыл бұрын
Jamaan mi binafsi naumia sana na malengo ya wazungu, Akijitorea mmoja wetu, tuna shindwa kutoa ushilikiano, mfano mzur n Gaddafi, hebu tuyafanyie kazi mawazo y akina Nyerere, yaan Afrika tuwe kitu kimoja, vinginevyo tuta henyeka vizaz hadi vizaz.
@lorensigaitani-hd5pw
@lorensigaitani-hd5pw 7 ай бұрын
Ndio haiwezekani Teena maana asaivi utandawazi mwingi awezi kutuelewa
@johnmwene3927
@johnmwene3927 4 жыл бұрын
This is the truth about us my fellow brothers and sisters who are Africans 😭😭we are lost please share this video to all Africans ✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿
@magynzioka1122
@magynzioka1122 4 жыл бұрын
Asante kwa masomo yako ila mtu anae soma bibilia kila siku na kuiyelewa anajua wazi kua African's dio wateule wa MUNGU kipenzi chao. Hadam alikua mweusi ukisoma kitabu cha E Volume 6 utapata all story na ukichanganya na kusoma bibilia utakua na ufaham zaidi wa kujua shida ya mzungu ni wivu mahana ana jua ufalume wa mbingu ni wa African na hichi ya hahadi ni ya African's na Yesu alisha lipa deni msalabani tunangoja kihama tu kila mtu alipewe ujira wake MUNGU wetu sie kingeungeu aliweka hahadi taifa dongo dilo litatawala mbinguni na Yesu pia alisema eri ngamia kuingia katika tudu la shidano kuliko tajiri kuingia ufume wa mbinguni wazungu ni waongo kupita kiasi na vita yao na MUNGU itaedelea hata Israel wameivamia na kuweka bedera yao ile bendera ya Israel sio ya wana wa Israel ni ya wazungu kaburi la Yesu ukifika hapo utapata ma kaburi mawili na ulizi mkali uko hapo mlangoni na walizi hao ni wazungu ukifika hapo like watu uwonyeshwa sio la Yesu uwonyeswa kaburi la Yule tajiri alie. Peana mahali Yesu azikwe na watu bila kujua usujudu mzim bali sio Yesu iyo ni siri yao lakini ole wao siku yaja wana wa Israel wata nyakua mahali pao na uzao wa wazungu kuwangamizwa na inchi ya hahadi tutaishi milele
@thestar_tz
@thestar_tz 4 жыл бұрын
Natamani unielekeze nikasome kitabu gani ktk Bible inayoonyesha Adam alikua mweusi.
@elifasinimpagaritse8925
@elifasinimpagaritse8925 4 жыл бұрын
Myriz Jotokali pia hakuna sehemu inayo onyesha kama wa israel ni weupe
@magynzioka1122
@magynzioka1122 4 жыл бұрын
@@thestar_tz nenda kwa ramani ya dunia angalia mipaka na bonde na mipaka ya bahari na ujifuze kusoma bibilia mwazo hadi mwisho utajua mahana bibilia iko wazi mipaka yake na inaonyesha wazi adam alikua mweusi mahan makazi yake yalikia African labuda wewe usomi vitabu vinavio usu dunia ilivio umbwa na miliki za wanadam na una uzoefu wa kusoma bililia au kuran
@ciekai7356
@ciekai7356 4 жыл бұрын
Niruhusu ni changie kwenye comment yako kwa lugha ya kingereza. Thanks for insight. The Hiburu/hebrew Holy Scriptures states very clear who are the children of Is'ra-el and their genealogy. And also the genealogy of the gentiles, these are the descendants of Ja'pheth and Ham Genesis 10. The land of Kanaan/Canaan is in Afrika. Kanaan/canaan is a black man, his brothers are Kush/Cush is the progenitor of E'thiop-ian, Misiri/miz'raim/E-gyp't is the progenitor of E-gyp'tian and Phut/putt is the forth brother of Kanaan/canaan and of these four brothers are sons of Ham and all are black people clearly you can see Cush/ Kush the father of E'thiop-ian is a BLACK man so is hhis brothers...Genesis 10. Look for the early maps of the world. Go to youtube link of truthunveil777...watch and learn.
@dirkxon
@dirkxon 4 жыл бұрын
Wayaudi si waafrika. Kuna waafrika waliungana na waislamu na wazungu katika hicho kitendo
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
SIRI NZITO NYUMA YA KAFARA YA HARMONIZE MTWARA NA MAPOKEZI YA DIAMOND PLATNUMZ HII HAPA NI NOMAAAA kzfaq.info/get/bejne/f8hio7mCvc66g6s.html
@peterndungu5039
@peterndungu5039 3 жыл бұрын
mimi ni mkenya from canada ,very nice bro waambiye yote
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
HAKUNA HAJA YA KUJIUNGA, ELIMU HII YA FREEMASON ITAKUPA SIRI NZITO ZILIZOJIFICHA KWENYE USO WA DUNIA kzfaq.info/get/bejne/iZmPrLCYvdO3aZc.html
@philimonsengiyumva6017
@philimonsengiyumva6017 4 жыл бұрын
Tricod Media
@naturalist9517
@naturalist9517 4 жыл бұрын
bado uko wrong for being a Christian na kuamini mungu
@rayyanabdul5233
@rayyanabdul5233 4 жыл бұрын
Kwl kabisa😂😂watu wachache tunao jielewa ndy tunajijua black is ever thing😍😋
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Sio kwamba umekosa kiela cha kikalolaiti🤣?
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
rayvanny ft Mrblue waonyesha jinsi ya kujiunga na Freemason LIVE tanasha X Diamond Platnumz KIMYAAA kzfaq.info/get/bejne/f9N3g7KWqaq8nHU.html
@goldmansun5859
@goldmansun5859 4 жыл бұрын
umeongopa sehemu ,Paul hajaanzisha kanisa la Roma,ukiingiza uongo unaharibu ,ntaamini vipi mengine sasa,history ya Paul naijua na kama walivyouwawa mitume wengine na warumi,na yeye aliuwawa hivyohivyo ,hakikisha unafahamu unachoongea otherwise we ni mpotoshaji,elewa ndo uhadithie umentoa kwny mood
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
NAJUTA KUSHEREKEA MWAKA MPYA WATAWALA WA DUNIA HII HAWANA HURUMA HUU NI USHETANI MKUBWA SANA kzfaq.info/get/bejne/r8VoprN7uJyrYHU.html
@swalehgangombe3007
@swalehgangombe3007 Жыл бұрын
Kumbe utumwa uliwnza makarne na makarne kabla kuja kwa Nabii Muhammad, indeed 'truth shall set you free'
@stevenkyanzi5622
@stevenkyanzi5622 4 жыл бұрын
Maandiko yanasema Mungu anaabudiwa kwa Roho na kweli bila kujua ukweli huwezi kumwabudu Mungu so bila mtu mweusi kujua ukweli wa historia yake hawezi kumwabudu Mungu wa kweli na ndo mana waafrika maisha yao yamekuwa ya shida na tabu sababu hawajui historia yao wamemuacha Mungu wao na kumwabudu Mungu wa watu weupe.Angalia wachina wanavyopanda kwa kasi ni sababu walikataa miungu ya mataifa mengine
@sallasmartin1626
@sallasmartin1626 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
Hahahahaha kweli kabisa
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 4 жыл бұрын
We still need to research more because not all African traditions were reflecting the will of the most High,for those traditions were some of the reasons we were rejected and punished(idolatry). The Chinese by all standards are atheists and the progress and success you see ,could be deceptive. Satan rewards his own as well. The terms God,Lord,mungu,bwana,Jesus etc are pagan ,utilised by all religions including the masons.
@zainalarssonHotel
@zainalarssonHotel 4 жыл бұрын
Asante ni nzuri kwa kweli, tuwafundishe watoto wetu
@epiphaniemugwaneza1259
@epiphaniemugwaneza1259 4 жыл бұрын
Amen and Amen God bless you
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
FREEMASON WAIBUKA KIGOMA KWA DIAMOND PLATNUMZ APANDISHWA CHEO HADHARANI HOFU YATANDA INATISHA SANAAA kzfaq.info/get/bejne/obulks-IrLjZpac.html
@luganoesomu5301
@luganoesomu5301 4 жыл бұрын
Hata mtwara wameibuka wamechinja na kondoo wa kafara harmonize akiwa uchi inatisha sana kwa kweli, hebu tuletee hiyo habari pia maana inatisha sana..
@arbaabualy9781
@arbaabualy9781 4 жыл бұрын
Boss... hii ni historia ya muafrika ama ya ukristo na uislamu..? Unachanganya mada babu.
@salimkhankhan26
@salimkhankhan26 4 жыл бұрын
Nice bro that's true i need your video more bro I'm American but i no swahili
@thenaturelover7
@thenaturelover7 4 жыл бұрын
Can we please work on how to interpret this, so that it can reach all blacks all over the world?😭
@barakaelijah4805
@barakaelijah4805 4 жыл бұрын
Iko sawa
@umisidi1816
@umisidi1816 4 жыл бұрын
Asante sana
@rizikivincent9471
@rizikivincent9471 4 жыл бұрын
Ni kweli wazungu walituja duniani kuwatesa watu weusi asira waliotoka nayo mbinguni.ilikuja kutuangukia sisi mungu angetusaidia kutujaza maarifa nasi
@apostlesammymutachicfc.3744
@apostlesammymutachicfc.3744 4 жыл бұрын
Ni kweli kabisa, waisrael wako Afrika, si hao weupe watudanganyo, ndio maana biblia inasema nitawarudisha nyumba ya Israeli ilotawanyika. Let's come together in love and make our African good place.
@joelmoron5896
@joelmoron5896 4 жыл бұрын
Sawasawa kaka together as one
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
Thanks for the love
@raymondjoseph4458
@raymondjoseph4458 4 жыл бұрын
Kweli kabisa waisrael wako nyuma ya mto nile ukisoma zephania 3:9~
@bravominingresources4336
@bravominingresources4336 4 жыл бұрын
Kuna sehemu katika bibie imeandikwa kwamba mataifa yatakanyaga Israel na kudai kuwa wao ndio wayahudi kumbe ni sinagogi la shetani
@swaumukulachi8289
@swaumukulachi8289 3 жыл бұрын
Nguvu moja mpk kieleweke
@nakiguddesonia8695
@nakiguddesonia8695 4 жыл бұрын
Mungu atusaidiye kweli nimejuwe mengi sana kweli
@malengovivan3128
@malengovivan3128 4 жыл бұрын
Kazi nzuri
@thestar_tz
@thestar_tz 4 жыл бұрын
Saafi sana!!!!!!
@liltanz2267
@liltanz2267 3 жыл бұрын
Waislamu tunampenda sana issa ibnu Maryam mana true kwetu ni Masihi na mtume mtukufu wa ALLAH
@janmsekela
@janmsekela 4 жыл бұрын
Utafiti wako haujitetei vyema, kwani umeufanya ukiwa na mkasi na gundi mkononi. Umekata usichokitaka, na umeunganisha ulichokipenda na kukidhania ndiyo sahihi. Ndugu, unafanya maisha yawe ya changamoto sana kwa wapendao kusoma watafiti wazalendo!
@benitamusembi6685
@benitamusembi6685 4 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni nahakuzindishie amani na ulizi unapo tufundisha hayo amen
@muirurinjoroge7117
@muirurinjoroge7117 4 жыл бұрын
Soo tulilaniwa dio mpaka sasa sisi ni watumwa hakuna inch inawapenda watu mweusi kila mahali tunaeda tunathalauliwa chai.....😭😭😭🖤
@user-xt4rc9so3l
@user-xt4rc9so3l 8 ай бұрын
Hapo sawa
@mikayona5431
@mikayona5431 4 жыл бұрын
pa1 sana tricod wavivu wa kufikir hawatokaa wakuelewe
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
Asante sana ndugu pamoja sana nakusoma nakusoma
@malimanyanja4248
@malimanyanja4248 4 жыл бұрын
Nakukubali Mwamba Arakati Nzuli
@paschalpeter9099
@paschalpeter9099 4 жыл бұрын
all the best from Africa,
@estherwambui334
@estherwambui334 4 жыл бұрын
God created us all in His own image Black, White, Yellow, Red, Brown, We are all children of God and we are precious to Him. We belong to one race HUMAN RACE. The fact is all Human beings are guilty of discriminating and hating each other based on their colour, tribe etc. Even you where you come from there is that group of people that you look down upon and believe that you are better than them based on their tribe, country, colour etc.
@cyrabrown8609
@cyrabrown8609 4 жыл бұрын
Nitakubaliana na wewe kwasababu wazungu walihakikisha wameleta dini kusahaulisha culture Ya Africa
@J4MOVESWAHILI
@J4MOVESWAHILI Жыл бұрын
sana kaka me nakufuatilia sana mungu akubariki sana 🙏
@Ahungu
@Ahungu 4 жыл бұрын
Ndugu yangu tubia kwa Mungu wako kwa kujaza UONGO. Wapi Uislamu ulienezwa kwa upanga? Iweje Mtume Muhammad SAW aishi na WAYAHUDI na Wakristo Madina? Jeshi gani la Waislamu lilieneza Uislamu Indonesia? M/MUNGU amewakataza Waislamu kulazimisha watu dini. Soma Sura 2 Aya 256. Tofautisha UKRISTO, UYAHIDI na Uzayuni. WAYAHUDI wachache sana ni Wakristo. Pakua Brother Nathanael kwenye You Tube akuelemishe. Wewe ni mfuasi wa Wazayuni sio wa Nabii na Mtume YESU AS. Pole sana.
@festuskahindiyaa3703
@festuskahindiyaa3703 3 жыл бұрын
Ushawahi kumuona Mwarabu ama Mzungu mwenye Jina LA Kiafrika?Ni kwa nini tunang'ang'ania majina yao? Are we lesser people ? Mungu ni yule mmoja aliyeumba mbingu na nchi ila ibada hufanywa kulingana na tamaduni za jamii mbalimbali .Hapa Afrika pia kuna Mungu.God is not only in Asia or Europe.
@mastolehmastoleh3763
@mastolehmastoleh3763 3 жыл бұрын
May God bless black people
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
Masikini SIMBA baada ya kufungwa na MTIBWA nimefanywa vibaya na YANGA Mume wangu HANITAKI TENA kzfaq.info/get/bejne/m7iSmZCmr7-dnZ8.html
@benitamusembi6685
@benitamusembi6685 4 жыл бұрын
Thanks
@alesham254
@alesham254 4 жыл бұрын
Inaelimisha basi nipe like za 254
@sallasmartin1626
@sallasmartin1626 4 жыл бұрын
Tunaendelea kujifunza ngoja nikupe like
@edgarndossi9835
@edgarndossi9835 4 жыл бұрын
Hello Alasham
@alesham254
@alesham254 4 жыл бұрын
@@sallasmartin1626 kweli
@alesham254
@alesham254 4 жыл бұрын
@@sallasmartin1626 poa
@alainkiss3848
@alainkiss3848 4 жыл бұрын
Pokeya ya ela yote
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 4 жыл бұрын
Sasa waafrika mtafanyaje ili wazungu waache kuwanyanyasa ivi Sisi wenyewe tunavo tesana mtaokoka kweli, uchawi, maendeleo hamtaki , ukijenga shida fitina lini ,kusifiya wazungu tu nakuona ngozinyeupe ndio wanastahiki kuwa matajiri , mtu mweusi akiwa ata nayakubadili mboga basi nifrimason , ningekuwa na mamlaka ninge muuwa kila mwanga. Tuombe tu mwishomwema
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
Hahahahaha kweli
@blacklionentertainment6574
@blacklionentertainment6574 4 жыл бұрын
Hata nawazungu wanafanyiana mambo ila2 wao wanaficha
@blacklionentertainment6574
@blacklionentertainment6574 4 жыл бұрын
Hiyo sio issue bro
@minyekobondo9307
@minyekobondo9307 4 жыл бұрын
Nimeipenda sana hadithi hii,
@prospermruma1825
@prospermruma1825 4 жыл бұрын
Kaka uko vizuri
@curtislugalia1077
@curtislugalia1077 4 жыл бұрын
I love this bother you are woke. continue spreading the truth
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
Thanks
@luganoesomu5301
@luganoesomu5301 4 жыл бұрын
Mjinga uamini kila neno
@luganoesomu5301
@luganoesomu5301 4 жыл бұрын
Jifunze kusoma vitabu vya dini sio kuckiliza mitazamo ya watu KZfaq
@luganoesomu5301
@luganoesomu5301 4 жыл бұрын
Soma kitabu chako cha dini, you tube itakuponza we semaga truth truth hivohivo
@curtislugalia1077
@curtislugalia1077 4 жыл бұрын
In this age of information ignorance is a choice
@miggosingle5241
@miggosingle5241 4 жыл бұрын
Imekaaa pw san
@lorrainegalado516
@lorrainegalado516 4 жыл бұрын
Leo mmetuandalia jambo zuri sanaaaa💪👏👏👏
@cassandamedia_tz1551
@cassandamedia_tz1551 4 жыл бұрын
Hi
@fredericksibomana4512
@fredericksibomana4512 4 жыл бұрын
Adam na hawa walikuwa watu weusi asante sana ndugu
@paschalpeter9099
@paschalpeter9099 4 жыл бұрын
You may bro
@josaphatmwishakibancha611
@josaphatmwishakibancha611 Жыл бұрын
Vremment, inaleta uzini, Mungu wetu n'a Mungu wa mababu zetu atukumbuke
@starmakervideos1984
@starmakervideos1984 4 жыл бұрын
Gud content.
@makeneraphael7399
@makeneraphael7399 4 жыл бұрын
Leo umenikuna mzee baba nimesabklaib kwa heruf kubwa na kukoment pia
@raynelson4231
@raynelson4231 4 жыл бұрын
Paradise ipo Tanzania ndio maana fuvu LA MTU wakale lipo tanzania ,ndiomaana tunaupendo sana ,hatunatabia ya kulipiza visasi .ukienda Serengeti utajua ukweli.
@benitamusembi6685
@benitamusembi6685 4 жыл бұрын
Nikweli lakini sisi wafrika tuamue tuamuke, shinda sisi niwaonga
@amanimwidowe653
@amanimwidowe653 4 жыл бұрын
Jamani mm cjuw ki2 ila napenda iwe hivo mungu 2saidie 2ijue kweli hii Ameni
@liltanz2267
@liltanz2267 3 жыл бұрын
nakuumga mkono ndugu yangu kabisa mana mtume Mohammad SWALLAHU WALEHI WASALAM katika hadithi alikutana na YESU mwana wa maariam mtukufu Nabii wa ALLAH akionekana akiwa na uso mweusi na nywere ndefu pamoja na sura yake ilikuwa na nuru na wakati huo alikuwa akiwa amelala ktk msikiti wa kwanza ulojengwa na nabii lbrahimu Alei salam... ila AQSWA ni msikiti aliokuwa akiswali yesu na sahaba wake pamoja na waumini wa kiislamu kila (Sabato ) maana yake ni siku ya Saba (ijumaa) ...katika msikiti huo ndipo ulijengwa na nabii suleiman kwa msaada wa Viumbe mbali mbali aliokuwa akiwatumikiaha kutokana na hekma alopewa na ALLAH Mwenyezi mkuu...
@arbaabualy9781
@arbaabualy9781 4 жыл бұрын
Ulipoanza kutia Dini hapo ndo umekosea... ukristo uislamu.
@jiongezehotnewstv7770
@jiongezehotnewstv7770 4 жыл бұрын
Ok
@pendaelileskar6160
@pendaelileskar6160 3 жыл бұрын
kwelii kabisaa
@eliabamayi4344
@eliabamayi4344 4 жыл бұрын
Yeaah mtu mweusi ndio alikua wa kwanza kuumbwa ata huyo yesu sio mzungu kabisaa,,, tena mzungu ni mjanja ataki tujue penye rangi yao nyeupe ilikotokea na kumbe ni yule malaiaka aliemuasi mungu na akarushwa duniani hapo ndipo alianza kuzaa na wanawake duniani na kutoa rangi nyeupe
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
Hahahahaha kweli kabisa
@augustinojohn4764
@augustinojohn4764 4 жыл бұрын
Kwel kbsa
@annemaina4179
@annemaina4179 4 жыл бұрын
Hahahaaaaa
@jumannemzungu1445
@jumannemzungu1445 4 жыл бұрын
Duh naamini Africa ni neema
@GloriousRestorationTV
@GloriousRestorationTV 4 жыл бұрын
Kuna some Truth lkn naona mfafanuaji anagusa juu juu. Africans wametokana na Ham mtoto wa mwisho wa Nuhu, lkn Israelites wametokana na Shem....so be wise kdogo. Na haina maana kuwa watoto wa Ham wote ni weusi, mfano akna Kanaani wote ni asili ya kiarabu tu wayebusi, wahiti, wahivi, etc...
@mhinamanmagazine
@mhinamanmagazine 4 жыл бұрын
fact ...ni true
@elifasinimpagaritse8925
@elifasinimpagaritse8925 4 жыл бұрын
Third view
@furahinimbise1804
@furahinimbise1804 4 жыл бұрын
Wewe ni mpumbavu unapotosha watu wa Mungu! unataka tuuamini ushetani wako freemasons! Huta weza kwa jina la Yesu.
@enockgabriel2853
@enockgabriel2853 4 жыл бұрын
Furahini Mbise umefikiria kwa umakini kweli? Au umeropoka kitu usichojua?
@Godisajudge144
@Godisajudge144 4 жыл бұрын
I love this serious since we are not sleeping
@benitamusembi6685
@benitamusembi6685 4 жыл бұрын
Nikweli tuamke
@rayyanabdul5233
@rayyanabdul5233 4 жыл бұрын
Wapo watao kupinga bro ila unachosema ni kweli kbs
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
Asante sana
@josephmallyah9832
@josephmallyah9832 4 жыл бұрын
Wazungu asili yao ni uongo daima yani shetani amewatawala sana
@rayyanabdul5233
@rayyanabdul5233 4 жыл бұрын
@@josephmallyah9832 waongo sana alafu meme nashangaa tunavyo wapapatikia akati wametutesa xn 😢
@DaughterofUbuntu1988
@DaughterofUbuntu1988 4 жыл бұрын
Nilikua kujua mambo haya mika mitatu sasa but when trying to tell our people the truth they always say clour haimati.
@johnsam4942
@johnsam4942 4 жыл бұрын
Yote ni kweli kabisa tunataseka kwasababu ya adhabu aliyotupa Mungu
@homebujastudio4136
@homebujastudio4136 4 жыл бұрын
Upo vizur bro kwakufatilia mambo nipo sambamba naw big up
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
Asante sana
@chekanas6903
@chekanas6903 4 жыл бұрын
big up
@SelemanKhamis-hq8xv
@SelemanKhamis-hq8xv 3 ай бұрын
Vipi kaka
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 4 жыл бұрын
twajuwa umejengwa na mfalme sulaiman Kwahiyo ulikuwepo kabla, na uislam haumlazimishi wala haujawahi kumlazimisha mtu kuwa mwislam. Na hao walikuwa wakiuzana ni kabla yamtume Muhammad.
@apostlesammymutachicfc.3744
@apostlesammymutachicfc.3744 4 жыл бұрын
Mambo ya uislamu Niya nini
@aminajuma9244
@aminajuma9244 4 жыл бұрын
@@apostlesammymutachicfc.3744 Jamani uislam ndio dini ya haki ukiizingatia manake mitume wote walikuwa Islam(walijisalimisha mbele zake Allah)Ila utabisha lkn habari ndio hiyo nimekamilisha kile muislam ameamuriwa kufanya (Non to be worship only Allah)wengine nimifano tu mtachomwa nyinyi kwakuabudu watu ole wao.
@apostlesammymutachicfc.3744
@apostlesammymutachicfc.3744 4 жыл бұрын
@@aminajuma9244 pole Sana, hiyo ni dini gani, dini ya kumwaga damu, dini isiokuwa na masikiyo, ni waislamu WANGAPI wanaoshindwa na mapepo na majini, wakija musaada kwetu,nangoja WENGINE, juzi nimekuwa na imamu sijui wewe unasema nini
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
Hahahahaha
@aminajuma9244
@aminajuma9244 4 жыл бұрын
@@apostlesammymutachicfc.3744 Hahaha wachekesha pastor wazama hizi waongo Kweli potosheni watu tu mtaenda kukaangwa Kama chips tubuni muache kupotosha watu na kusingizia uislam kisa pesa pthooooo, zitawatobokea nyongo hufi bila hujalipa dhambi zako hapa duniani na kila mtu atabeba mizigo take mwenyewe msiseme yesu kafa kwaajili ya dhambi zenyu 🤭🤭🤭🤭can you imagine eti yesu alisulubiwa kwaajili ya dhambi zenyu 🤔🤔🤔🤔ole wenyu Imani yenye kupotoka .
@kennyknz5724
@kennyknz5724 3 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa hiyo Marsha huru
@joharikitundu
@joharikitundu 4 жыл бұрын
Follow this guy Khalid Mohammed Ukitaka kujua ukweli mfuatiliye huu khalid
@Galgani333
@Galgani333 3 жыл бұрын
22: abraham hakuzaliwa kanaani alizaliwa uru wa wakaldayo.kanaani ni nchi ya ahadi alioambiwa na mungu kua atampa.
@tfashy_hub9156
@tfashy_hub9156 3 жыл бұрын
Ni kweli aisee
@DaughterofUbuntu1988
@DaughterofUbuntu1988 4 жыл бұрын
Ones the truth will be out bro all this alter will be down those people they no they cannot bring the truth out because it will be there end, became we were not people to play with our GOD his angry with as but HE promise to bring as back to our fights again and all will be okay cause His the one who put as in this and HE will be the one to redeem HIS people.
@wycliffandole5221
@wycliffandole5221 4 жыл бұрын
Ukweli
@jeremyson7729
@jeremyson7729 4 жыл бұрын
msimamo wako ni upi mzee? tusijivunie kuwa wafuasi wa dini ama itikadi za kigeni.. tujivunie kwa asili za Africa
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
Hahahahaha sisi waafrika bana
@furahinimbise1804
@furahinimbise1804 4 жыл бұрын
Hawa ni Ajenti wa freemasons kazi yao ni kuwapotosha watu wa Mungu na kudai bible inatufundisha uongo, tuwapuuze hawa watu.
@luganoesomu5301
@luganoesomu5301 4 жыл бұрын
@@furahinimbise1804 huenda hata elimu dinia hana,mataifa alio sema waisraeli walihamia uongo mtupu ,mataifavhayo yalitawaliwa na muarabu,na waisrael hawajawahi kimbilia Africa tangu musa awatoe misri,hajui kwamba walikuwa waarabu walio tawala ndomaana uislamu ukaingia,na anasema lile jumba LA Jerusalem lilikuwa kabisa alafu waislamu walijenga msikiti juu uongo lilejumba lilijengwa na suleman kabla ya yesu na musa kipindi hicho hakukuwa na kanisa ,kanisa limekuja baada ya kristo alianza Paulo kuleta makanisa ambayo yalikuwa wafilipi,rumi,wathethalonike n.k yote hayo ni makabila yapo Israel na palestina, zamani kulikuwa na mahekalu au masinagogi ya kuabudia, yaliyokuwa yakiongozwa na wazee, wasamalia waliabudu kivyao wayahudi kivyao sababu wote walikuwa na namba tofauti ya kuzungumza na mungu wao, alafu watu kama hawa usijisumbue hata kuwa sikiliza sababu chini ya video yake amewatag Freemason angalia maandishi ya blue chini pale,
@ellymaz2187
@ellymaz2187 4 жыл бұрын
@@luganoesomu5301 Hayo maandishi ya bluu mbona siyaoni??
@mercyjennifer2592
@mercyjennifer2592 4 жыл бұрын
The bible is a history of black people....ancient Egyptians n Israelites were dark people..... Tumeanza kufunguka macho....Yesu mwana was Mungu ni MTU mweusi kama sisi....wazungu(Rome) wamedanganya ulimwengu na kubadilisha mambo mengi kwa historia
@ahadimasudidaniel2456
@ahadimasudidaniel2456 Жыл бұрын
Niatari
@SilasNdaisabha
@SilasNdaisabha 8 ай бұрын
Naombeni msaada sielewi hii kwa sababu nikiwaza Africa nabakia juu juu ty hv kama kweli Bible anasema Africa [ Egypt] kama kwel ilimliki watumwa ni kipi kiliwafanya wapolomoke hadi wakatawaliwa wao
@danlveking3140
@danlveking3140 3 жыл бұрын
Nc
@amrimzeru2913
@amrimzeru2913 4 жыл бұрын
Huwezi kuamini,sio siri tena hayo maneno mnaiga sana
@titreevents8790
@titreevents8790 4 жыл бұрын
Afu kwanin sikuizi unatuchelewesha sana kutupa habari mkuu nini shida ndugu yetu jose
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
Saiv ntajitahidi kwenda na muda ndugu
@aninzatafilmproduction8256
@aninzatafilmproduction8256 4 жыл бұрын
True story
@imbatokamoyoni2209
@imbatokamoyoni2209 4 жыл бұрын
Hii naona mahali pengi watu wanashea,huenda kuna ufukunyuku wenye kufungua akili zetu,tusubiri na tuone, Kingine ukisoma hizi ukalink na zile za kina enki sjui annunaki, ha ha haa usipokaa sawa utajikuta huamini kitu,,,
@TricodMedia
@TricodMedia 4 жыл бұрын
Hahahahaha kweli kabisaa
@imbatokamoyoni2209
@imbatokamoyoni2209 4 жыл бұрын
@@dignapaccoh8221 stay put huwezi,kuwa mjinga nalo ni tatizo elewa tu sio lazima uamini,kuwa tu na taarifa inatosha
@khalilyjmsuya5478
@khalilyjmsuya5478 4 жыл бұрын
Uislamu uusome utauelewa usiangalie waislamu soma uislamu hayo unayoyasema yanapandikizwa ndani ya familia fulani kuuchukia uislamu tunayajua hayo
@lilianluhasi7685
@lilianluhasi7685 4 жыл бұрын
Samahani kuna waliomshika Yesu kabla ya ukristo wa Roma, tena wlinshika Mungu kweli, pia Mimi siamini kama binadamu alianza na nyani
@michaelmuchomerson2658
@michaelmuchomerson2658 4 жыл бұрын
So bright
@mussayohana7828
@mussayohana7828 4 жыл бұрын
Soma vizuri maandiko bro na uchunguze history ya Rome upya. Paul hakuwa mwanzilishi wa kabisa la Roma, chunguza history vizuri utaelewa nachomaanisha. Ingia maktaba tafuta history ya Rome na ya council of Nicea (Constantine) utaelewa nachomaanisha usiseme Paul kaanzisha Roman Catholic. Paul alikuwa Myahudi Kama alivokuwa yesu na nitumie wake
@mhogomchungu7882
@mhogomchungu7882 4 жыл бұрын
Jamaa hajui kutangaza kanipotezea mudah tu....
@wingratiakahindo4938
@wingratiakahindo4938 4 жыл бұрын
Kinacho nishangaza sana ni kwamba watakatifu ni wazungu tuu na picha za yesu na mungu niza wazungu tuu lakini picha ya shetani niya mtu mweusi 🙆😭😭
@bertinaafonsorapaz8345
@bertinaafonsorapaz8345 4 жыл бұрын
Nimecheka sana,eti tuliibikua kwa kimbunga,dahhh ukweli mtupu ila wazungu wamezunguka ubongo wetu😢
@billmotlz2499
@billmotlz2499 3 жыл бұрын
Nmekupata broo makin xanaaa
@elifasinimpagaritse8925
@elifasinimpagaritse8925 4 жыл бұрын
Kwanini tuwekewe ushaidi sis ina bidi tunganganize tuujue ukweli adi hizi za madini
@benitamusembi6685
@benitamusembi6685 4 жыл бұрын
Twafaa sisi wafrika tuwe kitukimoja natuamuke ubaya twaweza haza kitu tukiwawengi lakini watuwaache wengine pekee wajiondoe
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 4 жыл бұрын
Kweli kabisa,tunasubiri mengi utuletee.
@egidenkeshimana7905
@egidenkeshimana7905 4 жыл бұрын
🇧🇮
@LissaAugustino
@LissaAugustino 5 ай бұрын
Hakika kitu pekee tunachohitaji kujua ni Mbingu ipo pia jehanam ipo na kila mtu atapale kulingana na maisha yake na Mungu wake kama biblia isemacho
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 жыл бұрын
Binadami wa Kwanza hajafanana na nyani, siyo kweli
@gemumathayo9490
@gemumathayo9490 3 жыл бұрын
Ukitaka kujua zaidi mfollow Dr. Ray hagins utajua ubatilisho wa maandiko kwenye bible
@elibarikkiakyoo
@elibarikkiakyoo 4 жыл бұрын
Dakika ya 24
@OmariTube
@OmariTube 4 жыл бұрын
Human evolution
@adoniaceisaya700
@adoniaceisaya700 3 жыл бұрын
Evolution ndo ushuzi wenyewe
@LissaAugustino
@LissaAugustino 5 ай бұрын
Mtu na asiwadanganye maandiko husema injili ingehubiriwa hata kama kwa chuki na unafiki ko wazungu hata hivo walikuwa katika kutimiza maandiko na pamoja na hayo maandiko hayataji rangi wala kabila lolote hapa duniani bali huku kubakana ni kwa vile tuko na chuki zetu binafsi.
Increíble final 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 106 МЛН
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 4,7 МЛН
Meet the Press NOW - June 19
50:11
NBC News
Рет қаралды 475 М.
Kim Jong un drives Putin during state visit to North Korea
1:39
The Times and The Sunday Times
Рет қаралды 5 МЛН
De Dagelijkse Weg Naar Verlichting - Jan Geurtz #175
2:14:35
Eindbazen
Рет қаралды 154 М.