Kucheleweshwa kidunda kupro lilikua kosa kubwa.na mabondia wengine wengi waliokua jeshini wamemaliza vipaji vyao vilivyokua viwape mamilioni ya pesa kwa urasimu tu wawatu wanaosimamia michezo.Wangeweka umri wa miaka mitano ukitumika ngumi za ridhaa basi uwe huru kupro.Leo champion kama kidunda amedrow kwa sababu ya umri tu.Tanzania ingewaachia boxers wajeshini wapro tungekua na mabingwa wa dunia wengi sana nchini.tena wenye uwezo mkubwa