Naaam Sheikh Uthman sisi tuko na kufuata vizuri sana ila kujitahidi kurejeaga kwenye mada kwa wepesi
@abbymaher2172 Жыл бұрын
Shekh apo ktk kuzama na kuchomoza kwa jua inahitaji maelezo mapana
@suuahmed71 Жыл бұрын
Maa shaa ALLAH shukran kwa faida
@mungasalim3756 Жыл бұрын
Mashaalha
@mungasalim3756 Жыл бұрын
Subhanalha
@sidesentrali1665 Жыл бұрын
Zulikanaini mwambaa
@user-yv7ij4zh4k Жыл бұрын
Masheikh mnatuchanganya. Nilimsikia Sheikh Sule anasema Dhulqanain ni Mfalme Koresh (Cyrus the Great) ambaye huyu Kihistoria anajulikana ni Mfalme wa Waajemi ila wewe unasema Dhulqanain ni Alexander the Great. Tumuamini yupi sasa? Japokuwa kwa maana halisi ya Dhulqanain kweli ni mtu mwenye pembe mbili na huyu hata Historia inakubali aliyeitwa jina hilo ni Alexander the Great peke yake. Hebu tuwekeni sawa hapa
@YahyaYahya-vp2pp Жыл бұрын
Hjackiza vizul mwanz ww
@sanaf836711 ай бұрын
Dhulqarnayn sio Alexander the great mashekhe ni watu wa kukariri tu sio wafasiri wazuri hata kidogo. Kar tafsiri ni pembe so mfalme wa pembe 2. Kuna mfasiri 1 tu niliowahi kumsikia akisema pembe inaamanisha zama/enzi so mfalme wa zama 2. Zama iliopita na ya mwisho na ukiona nguvu power inatokea maeneo ya black sea ambapo aliwathubiti juuj wamaajuj ujuwe zama za mwisho pia za power ya kuadhibiwa kwa wanaoleta fasad ktk ardhi na uonevu ni utakua wakati wa kuwaonea huruma wanaodhulumiwa na kukandamizwa.