Ayo ndio mambo ya kuzungumza mungu akupe kauli thaabiti
@razamohammed2700 Жыл бұрын
Alibasaleh Speeches
@saidalmarjibi61123 ай бұрын
Uislamu uliletwa na Waomani…. Na Watanganyika walikuwa na imani nzuri kabla ya kuingia Uislamu, haikuwa vigumu kuwafahamisha fadhili ya mwenyezi Mungu. Wakaja wa European kukamilisha.. wengi tena wakaingia Ukristo--- na hao ndio wananchi wa Tanzania 🇹🇿 leo. ❤
@Rad07919Ай бұрын
Haukuletwa na wa omani, uislam ulikua ushaingia visiwani ila wao waliusambaza sehemu nyingi za East Africa.
@shekhekassim64026 жыл бұрын
Alhamdulilahi Alhamdulilahi Allah akupe janna ya firdausi
@nassorhemedjuma87432 жыл бұрын
ah. tuwaombe dua
@abdulmlawa3024 жыл бұрын
Mungu akuhifadhi
@abdullazizmohammed701511 ай бұрын
Allahumma ghfirlahu warhamhu
@MohamedKasalama6 ай бұрын
Makubwa umetuachia na kutufungua Allah akuhifadhi mahali pema pepon Aaamin
@josephjosephat78265 жыл бұрын
Huyu jamaa Kama ameandka vtabu yanpasa nisome aise
@hizzamtunguja81336 жыл бұрын
allaah akulipe kher
@ramaissa48837 жыл бұрын
Allah akulipe shekh
@AfnanAfshan11 ай бұрын
Allah amraham
@abdallahhadinani66605 жыл бұрын
Allah amjaalie pepo
@AkitakaHuwa7 ай бұрын
Shukran sana
@yahayasumbe40983 жыл бұрын
Allahumma ighifirillah warhamuhu
@Kabeya41011 ай бұрын
Allahu maghfirlahu warahmatu waskanahu filjanna
@hmsrashd7910 Жыл бұрын
ALHAMDULILLAH
@hashimmakeha9586 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi Inshallah
@sprinasadro28511 ай бұрын
Allah akuweke mahali pema peponi amaan
@naifatkhamis28415 жыл бұрын
amin
@munirayusra918 жыл бұрын
Ameen
@nassorhemedjuma87432 жыл бұрын
mashallah
@josephjosephat78265 жыл бұрын
M Joseph mkristu lkn naunga mkono aslmia kubwa Sana maneno yako just kwa huelewa tu wa kawaida kabsa
@jaffarchimbuvu74993 жыл бұрын
Jackobo nime kukubari ikiwezekana njoo huku kwenye uiaslamu kaka zambi zako zote zina futwa,mimi nilikuwa kwenye uslamu👍
@ellsonmkonyi1319 Жыл бұрын
Magufuli where are you??
@alriyamy6133 жыл бұрын
Who's here 2021..?
@abuunajat44503 жыл бұрын
Ukisema ukweli unauliwa dah ! Viongozi wa Tanzania watafute majibu mazuri siku ya kiama
@nassorhemedjuma87432 жыл бұрын
allah. atulinde
@friesinger09637 жыл бұрын
mtoaa post tunaomba utumalizie Historia yote plez hii ni intrested kwa watu wote wanaopenda nchi yao
Shkh kutoka songea mapakka mahrge itachikuwa siku ngapi
@MwanaidMaulid-ou9sk3 ай бұрын
Pepo iwe makazi yako shekhe wetu
@mohammedmussa73782 жыл бұрын
kisha wanasema nchi hii haijamwagika damu
@rshidmwasa84934 жыл бұрын
R.i.p ilunga
@adventsumari5776 Жыл бұрын
Kwaiyo unatakaje mbona mnapenda sana kutufatilia cc wakristo.
@sadikingonyani81245 жыл бұрын
Asalaam Aleykum Ust, naomba kujua kuna dvd ya hiyo histolia? kama ipo nitaipataje?
@angelomalimi244411 ай бұрын
Jinga sana hilo shehe chochezi la vulugu
@aminasaid655511 ай бұрын
Huna adabu,inaonyesha namna gani akili yako Giza Hadi unabishana na marehemu
@sumayasumaya645510 ай бұрын
Sawa.., haya sema wewe usio uchochezi kuhusu hili jambo analoongea...
@MackameHassani2 ай бұрын
Hakuna alie mwema Kati ya mzungu na mwarabu kwa Muafrika hata siku Moja, dini hizi sis tumeletewa jmn sisi waafrika tusijazane chuki hapaa kila mtu aiheshimu dini ya mwenzie.
@user-ij9te1ck9pАй бұрын
Ss ulitakaje chaguwa kushuka au kunyowa mitume aliwachaguwa Allah kuja kuwatangazia njia aitakayo yeye na baada kuondoka kwao maulamaa ndio warithi WA mitume na Kila ummah unashahidi.kazi kwako kutia pamba sikioni au laa usisahau kaburi
@mohamedmtoi87738 жыл бұрын
TWAYBU
@idrisabakari5849 жыл бұрын
Mwenyezmungu akupe kiwanja kizuri kuliko vyote katika viwanja vya peponi iwe ndio makazi yako ustadhi ilunga kapungu tulikupenda sana mno ila imeandikwa kua sote ni wa mwenyezmungu na kwake yeye tutarejea
@rashidothman62517 жыл бұрын
amiin
@omarymsangi50787 жыл бұрын
Rashid Othman poa
@omarshaaban91204 жыл бұрын
M.mungu akujalie pepo yafirdaus
@ramadhanikaogo50163 жыл бұрын
Vizuli avidumu
@oscarramazani12893 жыл бұрын
Wasio waisilaam walio hai no bora wasilim kabla ya umaut
@MohamedKasalama6 ай бұрын
Akili zenu fupi hata kama jina ni la kiarabu huyo muarabu mkiristo anatoka wapi? Mtamuelewa tuu sheikh
@abdulbarri59154 жыл бұрын
Magufuli
@aminasaid655511 ай бұрын
Kafanyaje?
@godfreymwamaso2424 Жыл бұрын
Siyo majina ya kiislamu ni majina ya kiaraabu okey weka hoja yako vizuri mzee
@aminasaid655511 ай бұрын
Vijiba vya roho chuki kwa waarabu zitawauwa
@msukuma12 жыл бұрын
Acha uchochezi ww
@libetztanzania-kiswahilina2845 Жыл бұрын
SUMU inapandwa 😂
@aminasaid655511 ай бұрын
Yani mnabishana Hadi na marehemu loooh!
@deokasomambuto1288 Жыл бұрын
Ielezwe shule ili isaidie nini?
@aminasaid655511 ай бұрын
Kwani inakuhusu?
@lazarusbasil1762 Жыл бұрын
Hakuna jina la kiislamu ....kuna majina ya kiarabu
@amourworldbeats Жыл бұрын
Unayajua Majina Ya Kiarabu Ni Yapi Na Kiislamu Ni Yapi?
@aminasaid655511 ай бұрын
Vijiba vya roho chuki uzanditi juu ya waarabu itawauwa
@charlesmazigo8106 Жыл бұрын
She anakosa hoja,atambue kwamba hizo ni zama uislam ulikuwa ndo dini yenye nguvu,maeneo mengi ya afrika,hiyo ni kabla ya ukoloni,ukoloni ndo ulisaidia kueneza ukristo,pili hao majimaji hata Kama walikuwa waislamu,hawakuwa wakipigania dini,walikuwa wakipinga ardhi Yao na nchi Yao kutwaliwa na wajerumani.dini yoyote ambayo ingekutwa na wajerumani Bado vita vingepigwa
@aminasaid655511 ай бұрын
Sasa kuelezea Historia ndio kosa?
@charlesmazigo810611 ай бұрын
@@aminasaid6555 off course,ni kosa kupotosha kwamba waislam ndo waliopigana na mjerumani,hao walikuwa watanganyika