Рет қаралды 1,092
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kujenga msingi imara katika Kristo. Ni somo la muhimu sana kwa mkristo anayetaka kuishi maisha ya ushindi. Uimara wa maisha yako ya rohoni unategemea uimara wa msingi wako katika Kristo.
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Instagram Page: / holyspiritconnect
Facebook Page: / holyspiritconnect