Рет қаралды 6,424
Hosptali ya Rufaa ya KCMC mkoani Kilimanjaro iko mbioni kuanzisha huduma ya kurutubisha mbegu za kiume na kupandikiza mimba kwa wanawake wenye changamoto ya ‘kushika’ ujauzito.
#MaxAmepatikana #AzamTVUpdates #AzamTVApp #AzamTV #AzamTWO