No video

HOUSE GIRL EP 47 || love story💞💕

  Рет қаралды 156,901

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

#bongomovie #housegirl

Пікірлер: 669
@KhadijaAbdallah-kx8oi
@KhadijaAbdallah-kx8oi Ай бұрын
Chiko kitakuja kumlamba mm nipo ap wanaoamin chiko kitamlamb nomben like zenu jmn
@GraceMlay-pv6bc
@GraceMlay-pv6bc Ай бұрын
Wanaomkubali Tasha gonga like tujuane
@HyasintaWisdom
@HyasintaWisdom Ай бұрын
Wanaosem mke wachiko sio mgumba twanga like ap❤😂😂
@SalvinJastin
@SalvinJastin Ай бұрын
Kabisaa chiko kinamramba sio mda mrefu🤣🤣
@OlyUpowerfuljesus
@OlyUpowerfuljesus Ай бұрын
Wanawake wakiona mwanaume haeleweki wanagoma kushika mimba
@Sayd-pi5lq
@Sayd-pi5lq Ай бұрын
Ukiwa unafatilia kwl hii movie unajua waz km chiko hana mbegu😂😂😂😂😂
@user-xo7ns7bc8c
@user-xo7ns7bc8c Ай бұрын
Ww wifi siku yako yaja unafurahia mateso ya wifi yako ilhali ww ni mwanamke na umeolewa
@user-un5yq5wh8x
@user-un5yq5wh8x Ай бұрын
Tunajua kabsaaa mke wa chiko wala sio mgumba ila chiko ndo ana shida😢😢
@DaisyNyabuto
@DaisyNyabuto Ай бұрын
Jamani neno uvumilivu kumbe Lina uzito namna hiii😢😢candy jamani utawezana kweli ?? Team zuuh njooni tuungane hapa 🫂🫂🫂❤❤🎉🎉
@AmanDaud-h9d
@AmanDaud-h9d 27 күн бұрын
🌹🌹🌹🌹👏
@hajimwendo
@hajimwendo Ай бұрын
Jamaan like kama zote kwa zuuuh ❤❤
@faustashisha
@faustashisha Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@user-hx5vv5do8i
@user-hx5vv5do8i Ай бұрын
Anaeungana nakuona kabisa candy anaenda kuzurumiwa nyumba na Dada ake masozy gonga like
@SunGod-i4b
@SunGod-i4b Ай бұрын
😂😂😂🎉🎉
@JosephaSulle-yi4zr
@JosephaSulle-yi4zr Ай бұрын
Nyiee kama namwona mandevu yule
@user-rm2lk8se3w
@user-rm2lk8se3w Ай бұрын
Nyumba imeenda Kwa madevu tiyari
@user-kg1hx6zc8s
@user-kg1hx6zc8s Ай бұрын
Nyumba ishachukuliwa nadevu mchana kweupe
@user-bb6oy5dl6y
@user-bb6oy5dl6y Ай бұрын
Ambao jana walisubiri adi saa sita like hapa tujuwane 😂😂😂
@Mwanajumahassan-tg3zg
@Mwanajumahassan-tg3zg Ай бұрын
😂😂😂jamani caddy huyu anavituko loo shukran nyote Mr Tasha kua makini nyoka huyo ajificha tu mambo moto thnx all muko sawa
@user-zf8jx2zj9u
@user-zf8jx2zj9u Ай бұрын
Umejuajeeeeee😂😂😂🎉
@NdiwaIvone-eo9hh
@NdiwaIvone-eo9hh Ай бұрын
Tupo😂😂😂😂😂
@user-ck7gb7rf2b
@user-ck7gb7rf2b Ай бұрын
Maskini Sania😭😭😭
@CelenaJacob
@CelenaJacob Ай бұрын
Nipo nlikaa had saa7😢😂😂😂
@user-lz8kb9ds8k
@user-lz8kb9ds8k Ай бұрын
Waaah watu hawalali jamani mmmmh haya basi mimi nimefika nko hapa haya kama unafuatilia hii movie gonga like hapa tukisonga mbele❤❤❤❤❤❤❤from kenya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@fatuma6011
@fatuma6011 Ай бұрын
Candy shida yako huwez kunyenyekea hilo ndo tatizo huwez kujishusha
@turehemungailo8048
@turehemungailo8048 Ай бұрын
Ok
@turehemungailo8048
@turehemungailo8048 Ай бұрын
Sania utaman kumuingiza box tasha lakin tasha anakwepa sana
@AmanDaud-h9d
@AmanDaud-h9d 27 күн бұрын
👏👏👏👏👏👍👍👍🫂
@user-iw6wi6dt8b
@user-iw6wi6dt8b Ай бұрын
Anaye amini Tasha na zatiti wataoana gonga like hapa
@LovesweetThuva-qj4tb
@LovesweetThuva-qj4tb Ай бұрын
Maji yameshagaza kila mumoja
@rahemh1234
@rahemh1234 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂ilasania ana Force bwana 😂😂
@AmanDaud-h9d
@AmanDaud-h9d 27 күн бұрын
🤫🤫
@user-fk4pd6bp7j
@user-fk4pd6bp7j Ай бұрын
Wanaofurahia candy kutopewa msamah gonga hapa like
@caroleangambe1239
@caroleangambe1239 Ай бұрын
Next episode plz ❤❤❤❤❤❤❤
@MemoryKamutandi
@MemoryKamutandi Ай бұрын
Jaman wewe chiko na dada yako hiyo mutawumbuka kweri😮😮😮
@rinciakhasoah
@rinciakhasoah Ай бұрын
Ndokufika nilikwa maandamano 🇰🇪 🇰🇪 nipeni likes 🎉🎉🎉🎉🎉
@brayoomontana5011
@brayoomontana5011 Ай бұрын
Wa Kwanza kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nipeni like 🔥🔥🔥🌍🌍🌎
@catrinah0277
@catrinah0277 Ай бұрын
Niko nyuma yako😂😂
@ABIGAIL67-tria
@ABIGAIL67-tria Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@user-lk6mj3yh9r
@user-lk6mj3yh9r Ай бұрын
Candy anafurahisha jamani 🤣🤣 Baad ya kumaliz kuomba msamaha aondoke mamaake atamfikiria yeye anamjubu shombk Tena kisa kamkatalia kumsamehe 😂😂😂 hii movie tamu sana
@user-rf2cg9tv3u
@user-rf2cg9tv3u Ай бұрын
Hhhhhh makubwa zuu kawaweka kumtari wote wadangaji daa nyiye wote mna piga magoti daa aaa wapi sio kweli mnaiga tu sio kawaida yenu kendy na rafiki take mmmmh na Cheka tu mie hhhhhhh adabu muhim acheni ujeuri hhhhhhh
@AngelMahenge
@AngelMahenge Ай бұрын
Tunaompenda zuu gong like
@ImeldaGaitan
@ImeldaGaitan Ай бұрын
Kandy unanifuraishaa😂😂😂Huna subira hata kidogo kwa mama duuh!binafsi unanifuraisha kazi Zurich safi
@VenahKemuma
@VenahKemuma Ай бұрын
SI hizi move sometimes Huwa za kweli mungu wangu usiruhusu niyapitie haya
@user-bq9zj5sm7i
@user-bq9zj5sm7i Ай бұрын
Chiko anavyo jishauwa ss ngoja limshuke baada ya kuambiwa mimba sio yakr😂
@Judithopondo-fn9dr
@Judithopondo-fn9dr Ай бұрын
Atajuwa ajui
@chunaamina878
@chunaamina878 Ай бұрын
Ni navyo subir sana pia mm😂😂
@wasule6253
@wasule6253 Ай бұрын
Mmmh Candy umenishinda tabia kumbe msamaha wenyewe unaomba kinafiki
@isabellahchuma
@isabellahchuma Ай бұрын
Wale kwa kusoma comment movie ikiendelea kuja hapa kuto na gumzo😅😅anyway kazi nzuri guys 🎉🎉❤kutoka kenya
@FARAJAJAMESLEONARD
@FARAJAJAMESLEONARD Ай бұрын
Hakuna viumbe mnaoboa kama hawa waomba like yaani mnaniudhi adi siyo poa badala msaport kazi mnakuja kuomba like
@SunGod-i4b
@SunGod-i4b Ай бұрын
Mm wananitoa hata kwenye mood
@NancySaha-kd2ov
@NancySaha-kd2ov Ай бұрын
Mm wamenisinya kweli
@sumayyahmanyasi453
@sumayyahmanyasi453 Ай бұрын
Kusoma comment mpka kuna kera
@Phanny-Nyonge
@Phanny-Nyonge Ай бұрын
Tuko pamoja jamani, yaani mimi wananiuzi vibaya mno🙄
@lulumhapa
@lulumhapa Ай бұрын
Yaani sana kama hawajielewi
@MercySilvester
@MercySilvester Ай бұрын
Niwamwisho kutoka Kenya kama wampenda zuu na Kai wakiowana gonga like 🎉🎉🎉
@UmmyShabir
@UmmyShabir Ай бұрын
Leo nimewahi jamaneeey mwaga like kwa busati tv plz❤❤❤
@HidayaamaniSuleimani
@HidayaamaniSuleimani Ай бұрын
Kai km hujavaa hayo masuti yako unapendeza mashallah
@RazikeRara
@RazikeRara Ай бұрын
Wangapi wanamkubali zuu kwa heshima yake mmi nkiwa wakwanza ❤❤🎉🎉
@salmaseleman3841
@salmaseleman3841 Ай бұрын
Tuliopenda msimamo wa mama shida tujuane
@FurahishaMtendjwa
@FurahishaMtendjwa Ай бұрын
🇨🇩🇨🇩 siye ndo wakwanza mikono yulu
@Nailah736
@Nailah736 Ай бұрын
Wooow 🎉🎉Acha nikae sasa nisikize mafunzo ya leo❤❤
@user-cg8ti1re1t
@user-cg8ti1re1t Ай бұрын
naomben like jaman 🎉🎉pamoja n kuchelewa
@anethvicent5870
@anethvicent5870 Ай бұрын
Watu hawalal wanasubir kwa hamu ongezeni hata dakika jamani❤❤
@neemakoi6635
@neemakoi6635 Ай бұрын
Asalamualeykum kai usitumie jazba tumia busara sawa babangu😊❤❤❤❤🎉
@ShakiraIbrahim-e7c
@ShakiraIbrahim-e7c Ай бұрын
Anapendeza hafu nimzur kwel yan dah!
@fammamourchy2164
@fammamourchy2164 Ай бұрын
Like Leo naziomba mweeeeeh 🎉 Busati TV mko vizuri ❤
@jacksonkahindi3235
@jacksonkahindi3235 Ай бұрын
Hebu ngoja kidogo. Hivi huyu anae taka kuitwa shangazi vpi alizaa ama ni wale kuolewa aaaah 😂😂😂
@SunGod-i4b
@SunGod-i4b Ай бұрын
😂😂😂😂 ndio mawifi zetu jmn😂😂😂
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Ай бұрын
Yani achatu
@user-ie8cu9vm6p
@user-ie8cu9vm6p Ай бұрын
Cand canda😂😂😂😂😂jaman utaniuwa we mtoto nawapenda nyote kaz nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉
@MemoryKamutandi
@MemoryKamutandi Ай бұрын
Tunawapenda nsana jaman wote ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@user-ni8eh1fv4q
@user-ni8eh1fv4q Ай бұрын
Daah watu wanalala KZfaq 😂😂😂 jamani
@DolikasiErisha
@DolikasiErisha Ай бұрын
Mmmh mawizooo tunao natunatambanao😅
@momkhan-hc7zh
@momkhan-hc7zh Ай бұрын
🤣🤣nampenda kaka ake candy yaan huyu muhun kwel
@ElizabethFrank-r4n
@ElizabethFrank-r4n Ай бұрын
Mhun hasw
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg Ай бұрын
Kwhy mambo yanapoenda vbaya ndo unaenda kuomba samahan
@HillarySendeu-ht3lj
@HillarySendeu-ht3lj Ай бұрын
Jamani naombeni like hta 10 wenzangu mnaoangalia movie yetu pendwa
@user-ij2po2jw2f
@user-ij2po2jw2f Ай бұрын
We ndo umeigiza me mnanishangaza badala kuwapa moyo waigizajinata mpewe like mtupishe huko
@HillarySendeu-ht3lj
@HillarySendeu-ht3lj Ай бұрын
@@user-ij2po2jw2f wewe makasiriko yanini?
@officialbasheer13_tz
@officialbasheer13_tz Ай бұрын
Kuomba like tu kuoga aaahh
@HillarySendeu-ht3lj
@HillarySendeu-ht3lj Ай бұрын
@@officialbasheer13_tz😅😅😅
@DariaMichael-xg7pu
@DariaMichael-xg7pu Ай бұрын
Nmewahi namimi leooo😊😊
@user-jn8wk9il8j
@user-jn8wk9il8j Ай бұрын
Waaaaah Sania umenweza leo Tashaaaaa kula chumaichoooo na ww kai wangojwa harkish ukafurahikie uwep wa mchumbaaa
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 Ай бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤
@ashaathman-k4n
@ashaathman-k4n Ай бұрын
❤my favourite movie jana nilisubiri sana
@zanishaikhonge7296
@zanishaikhonge7296 Ай бұрын
Watu hawalali jaman ❤❤❤❤ kazi nzuri
@merinazyd0532
@merinazyd0532 Ай бұрын
Jana sijala 😂😂😂😂Hadi saa saba ila kai amempata zuuu wanawake wote duniani tumuigeni zuuu ❤❤
@MR_RAMSABOYTZ
@MR_RAMSABOYTZ Ай бұрын
Oya Leo nimewahi kidogo team Khai tujuane kwa comment
@ConfusedBabyOctopus-cb2ee
@ConfusedBabyOctopus-cb2ee Ай бұрын
Aiii mbona mnasukuka tu mahali moja
@MwanajumBeyawa-j5w
@MwanajumBeyawa-j5w Ай бұрын
Nipo wallah hongereni
@IrenaFrance-zk8sf
@IrenaFrance-zk8sf Ай бұрын
Sania sania sania upo vzr ngoja namimi nimuoge zuuu😁😁😁
@shigangakelvin1
@shigangakelvin1 Ай бұрын
Nipo Leo mapema kutoka kenya
@WeddyMithika
@WeddyMithika Ай бұрын
Tujuane kwa salamu Leo jamani❤
@HusnaAlly-cx5ms
@HusnaAlly-cx5ms Ай бұрын
Namaste
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki Ай бұрын
Anae mpenda candy ujue nayeye anatabia za candy yaan simpendi Kwa kweli😂😂😂😂😂😂😂😂
@SunGod-i4b
@SunGod-i4b Ай бұрын
❤❤😂😂🎉
@Mamygumbo
@Mamygumbo Ай бұрын
Hakika tasha ni rafiki wa kweli marafiki kam hao ndo wakuwa nao kwan wanakuwa nawe kwenye shida na raha mauwa yako tasha🌷🥀🌻🌸💖♥️❣️
@nancyg8664
@nancyg8664 Ай бұрын
😂iyo simu ya dada ake chiko kama remote
@Marim-sj7oi
@Marim-sj7oi Ай бұрын
😂😂😂😂
@marymele9714
@marymele9714 Ай бұрын
😅😅😅😅yeye mwenyewe anakaa kama hiyo sm
@user-qc5en6fo1u
@user-qc5en6fo1u Ай бұрын
haaah Sania umeishiwa kwa kweli 😂 hivi inafikia ku hali ya kuomba tasha Uwe house girl wake duuh maisha bwana😢😢
@fatmahraseid7019
@fatmahraseid7019 Ай бұрын
Nilitaka nishangae shida huyu huyu amalize salama karogwa au 😂😂😂😂😂😂😂😊
@nadhrakhelef6257
@nadhrakhelef6257 Ай бұрын
Msamaha ni kitu kidogo ktamka lkn nikikubwa ukifanikiwa
@aishaabeid8106
@aishaabeid8106 Ай бұрын
Namkubal sana Mr Tasha❤❤
@user-is4ts6gz6t
@user-is4ts6gz6t Ай бұрын
Leo mapemaaa 😀 kama unaielewa house girl gonga like apa 😊
@lailatbakar5829
@lailatbakar5829 Ай бұрын
Jamani! To be honest mimi nampenda sana Candy kwa uhusika wake... Hongera kwakeeee
@user-of5fe3jj1g
@user-of5fe3jj1g Ай бұрын
Amecheza ipasavyo
@RoseNjoka_23
@RoseNjoka_23 Ай бұрын
Ni kweli kabisa
@MwaliSuleih
@MwaliSuleih Ай бұрын
Yap kabxa anacheza part yake Masha'Allah site tunatambua hii ni movie tuu japo ina uhalisia ndani yake ni big big big movie I say hongera kw washiriki wote ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AminaMjeni-iz8uo
@AminaMjeni-iz8uo Ай бұрын
Mr tasha the genius mwenyewe hongera sana broo kwa kuwashauri wenzako ili jambo lifanikiwi
@Gene-x2w
@Gene-x2w Ай бұрын
Nakupendasana Tasha ❤❤nawapa ongera sana wangu awawezeshe da zuu usi ace kupigagoti❤
@user-rz7hz6hz1i
@user-rz7hz6hz1i Ай бұрын
Nilikuwa naosha nyumba naomba like hata mm hapa😅😅😅
@CarolyneNyanchama-yk1gf
@CarolyneNyanchama-yk1gf Ай бұрын
it's candy si mwingne 😂😂😂 hajui kunyenyekea
@aishalovesesibe
@aishalovesesibe Ай бұрын
Zuuu unajuwa kuigiza kbs nakupenda sana ubarikiwe❤❤🥰🇧🇮
@ignitiussilungwe7930
@ignitiussilungwe7930 Ай бұрын
Ivi chiko na Dada yako zamu yenu ipo subiri kicha Candy aanze kuwa mwagia uga ndomta jua kua Ndondo siomboga zakulia ugali . Candy! siomvumilivu atakido subira uvuta kheri. Zuu! fulahia penzi lako muke mwenzako yupo kuhanga ikakuomba ladhi kwamzazi wake inashindikana jivunie uwepo wa Kay! Mungu ayibariki Ndoa enu. Sania! Ndoa tamu umea mua kuomba u HOUSE GIRL . Pole sana mpenzi mbashala🎉🎉❤❤
@user-oy4ew3tp6r
@user-oy4ew3tp6r Ай бұрын
Walahi akuna mtu amenipendesa kaa Sania ❤❤❤❤
@user-rf2cg9tv3u
@user-rf2cg9tv3u Ай бұрын
Wifi acha ubaya sio poa Leo kwa wifi Yako kesho kwako ma wifi mh hayo ndio mambo yenu
@nahimanabella2478
@nahimanabella2478 Ай бұрын
Kwani yeye alitegemea nini?? Hivi kweri kuipeleka caisse kwa ndugu wa mme unategemeaa watakuskiaa kuliko mtoto wawo na ndio maana wifi kamupa kicambo cakueleweka hiii filamu inamafunzo sanaa
@merinazyd0532
@merinazyd0532 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Sania 😂😂😂😂😂 anatafuta mbinu 😂😂apate mume 😂😂
@user-qu4qy3lp8y
@user-qu4qy3lp8y Ай бұрын
Namuona zuu Mrs Kay naipenda hii couple❤
@NuruIbrahim-ue1if
@NuruIbrahim-ue1if Ай бұрын
Sijawahu omba laki ata moja ila kama unasema Tasha atakunali ombi la Sania gonga lafiki hapa
@user-sx6zw1pr1w
@user-sx6zw1pr1w Ай бұрын
Kila siku huchelewa tu mm team strong 💪 twendeni tukaoshe hamamu 😁😁😁
@user-vm6kj2zx6p
@user-vm6kj2zx6p Ай бұрын
Cendy huna adabu bado,,Kaa mjinga upate radhi ya mama😂
@Hidaya-os1pg
@Hidaya-os1pg Ай бұрын
😂😂😂😂 candy akili zako zikoje 😂 unaombasaha kibabe jaman we kiboko akili zako na jins ulivyo mnafanana du hatar😂
@user-ck7gb7rf2b
@user-ck7gb7rf2b Ай бұрын
Zuu kaumbika jamani alfu mungu kampa sura yakuigizia😂😂😂 nkupenda zuuuuuu
@Mr.franckayo
@Mr.franckayo Ай бұрын
Watat jaman naombni lik
@jedenecosta
@jedenecosta Ай бұрын
Nimefurahia filamu Hi naitazama naupendo wadati❤❤hongera sana
@RehemaKipanga-k4l
@RehemaKipanga-k4l Ай бұрын
Candy keshachemka duh huyu jeuri imepitiliza hatobarikiwa ng,o
@user-ki9le1jy8e
@user-ki9le1jy8e Ай бұрын
Leo kidg nimewahi pongez kwen wan busat TV bila kusahau kuomba omb like namim😅😅😅
@PriscaMhawila
@PriscaMhawila Ай бұрын
kwan like zinàfaida gani 😂
@user-wt1dn2dy6o
@user-wt1dn2dy6o Ай бұрын
😂😂😂 jmn Sania Leo kapiga gotiii😂😂😂😂
@user-rf2cg9tv3u
@user-rf2cg9tv3u Ай бұрын
Mama uyo shida usimsamehe kabisa anahitaji tu mambo yake yaende sawa uyo hana adabu tu hhhhhh hhhhh nimecheka apo alivo vuwa hizo ganga kweli kendi kiboko hhhhhhh
@SunGod-i4b
@SunGod-i4b Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂🎉🎉
@user-gz5ud2xm2d
@user-gz5ud2xm2d Ай бұрын
Watu mbona hawalali jamani 😂😂 nipeni like na mimi basi
@user-lz1qv1xe4w
@user-lz1qv1xe4w Ай бұрын
Watu wa kuomba like mnabo😅
@dalilaabdulkarim4458
@dalilaabdulkarim4458 Ай бұрын
Zuu ndie mke sahihi kwako kai😊
@MariahJuliuss
@MariahJuliuss Ай бұрын
Ahsantee sana mwendelezo tafazali brother
@user-pg8og1gp1u
@user-pg8og1gp1u Ай бұрын
Namba one today
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 Ай бұрын
Yani lisubiri na kuchungulia umu kila muda kama nasubiri mume wangu jamani kahi ww❤❤🎉
@fatumamasoud
@fatumamasoud Ай бұрын
Jamani hivi huyu candy atakua lini chini ya mamake kweli anavyo lipika kwa mama bt hakuna kama mama
@user-hf7pk2lx4v
@user-hf7pk2lx4v Ай бұрын
Kwa kweli mwenye alipea candy hiyo part kwa kweli alijua anajua kuingiza kazi nzuri candy
@RahimaRahima-ig6vm
@RahimaRahima-ig6vm Ай бұрын
Wewe 😂😂😂 Leo Cha asubuhi timu zuu and kai😅😅😅🎉🎉
@Marim-sj7oi
@Marim-sj7oi Ай бұрын
❤❤❤
@user-ql7to3rm3p
@user-ql7to3rm3p Ай бұрын
Jamami nimefika 🎉🎉🎉🎉
@-kagerayetubw9jx
@-kagerayetubw9jx Ай бұрын
Nimechelewa lakini ndio mimi uyo❤
@baiyatwaha8824
@baiyatwaha8824 Ай бұрын
Tatizo candy uwezi kuvumilia ata dakika kumi usemwe 😂😂 iyo ndio shida yako Kama jina lako
@AminaKavuo-gj3oc
@AminaKavuo-gj3oc Ай бұрын
Hahaha 🎉🎉🎉kamukonde wew unataka kazi ya ndani 🎉🎉🎉
@user-wy7uw1ih5r
@user-wy7uw1ih5r Ай бұрын
Leo candy kajiita shida😂chakunifurahisha kasahau nayenye ya memubeba😂😂😂
@janethgenes1074
@janethgenes1074 Ай бұрын
Huyu wif na kakake wataumbuka vibaya. Usilolijua ni sawa na usiku wa giza
@Aishaahmed-r6k
@Aishaahmed-r6k Ай бұрын
Wooow jmn mbona house girl tamu Ila sijui ratiba maana sijui kina peperushwa juma ngapi naomba usaidizi wenu
@RizikiZiki
@RizikiZiki Ай бұрын
Jamani dakika 4 nimekua wa 40😢yani kunawatu hamulalami ikiingiya tu munayo haya twende kazi busati tv hatulali🎉🎉🎉🎉🎉
HOUSE GIRL EP 48 || love story💞💕
24:02
BUSATI TV
Рет қаралды 168 М.
MY MOTHER EP 01  | Love Story 💞💕
21:05
BUSATI TV
Рет қаралды 32 М.
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,4 МЛН
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 3,1 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
HOUSE GIRL EP 37 | S2 | love story💞💕
16:48
BUSATI TV
Рет қаралды 11 М.
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI  | Love Story
40:44
DONTA TV
Рет қаралды 1,2 МЛН
MBUZA | Ep 1 | Love Story ❤
20:03
MWISA_09
Рет қаралды 2,2 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /30/ #love
37:10
BabaJoan
Рет қаралды 373 М.
MSAKO | FULL MOVIE |
1:08:44
KIM VEVO
Рет қаралды 147 М.
HOUSE GIRL EP 30 | S2 | love story💞💕
21:05
BUSATI TV
Рет қаралды 115 М.
HOUSE GIRL EP 29 | S2 | love story💞💕
19:33
BUSATI TV
Рет қаралды 110 М.
GUBU LA MAWIFI_Ep_2_Final
22:53
kijiti media
Рет қаралды 90 М.
HOUSE GIRL EP 31 | S2 | love story💞💕
27:17
BUSATI TV
Рет қаралды 116 М.
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,4 МЛН