DARSA YA KU AGANA NA SHEKH OTHMAN MALIM 2019 BURUNDI
Пікірлер: 286
@zuhurambonde69594 жыл бұрын
Shekhe othmani mungu akupe uhai mrefu
@binurusm88864 жыл бұрын
Namshukuru Mungu, Nawashukuru Wazazi wangu kwa Uislamu wangu, Mungu awaangazie Pepo huko mbele za haki, InshaAllah.
@rahillhamidu25445 жыл бұрын
Niombeeni mungu anijaalie katika umri wangu Mara moja nimlete othman maalim, kijijini kwetu kwa uwezo wake Allah, nampenda Sana kwa ajili y Allah
@nureyna6295 жыл бұрын
Aamyn, Allah akuwezeshe
@faridaalwaily42604 жыл бұрын
Allaah Akuhefadhi sheikh othman maalim.uzidi kutufunguwa nyoyoo zetuu.na kutoka ujingani.
@abdallahissa26174 жыл бұрын
Inshaallah Nami ni miongon mwa wa2 wanaomfatilia sana basi Allah akujalie ufikie malengo
@mariamhussein75544 жыл бұрын
Inshallah Allah atakuwesha na me inshallah Allah aniwezeshe nimlete mtaani kwetu.
@laythatsuleiman71844 жыл бұрын
Allah akufanyie wepes na imani yako Allah atakupa unachokihitaji
@zanmedia52254 жыл бұрын
Nakupenda kuliko maisha yangu kwa ajili ya Alla shekh wangu 😢😢 Yaa Alla tujaalie pepo wajawako na shekhe wetu Shekhe Othman Maalim tukawe wote Jannat firdaus Muhammad rasululla akawe ndio jiranietu Inshaalla 🤲🤲
@mussamaulidi39184 жыл бұрын
Allahuma amen
@fatmasaleh38794 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😘🙏🙏🙏
@ibrabofubofu87634 жыл бұрын
Allahuma amin
@mbaroukkhamis75194 жыл бұрын
Aamina yaa rabby
@asmahassan5661 Жыл бұрын
Alahumma ameen👏👏
@adamidrisa92324 жыл бұрын
sheikh mungu amekujaalia hekma sana
@yusuphyusuph43345 жыл бұрын
mashaa Allah, shekh wetu wew ni mfasaha Wa lugha unaeleweka Sana , Allah akupe mwsho mwema.
@bobsule40364 жыл бұрын
MashaAllah Allah akupe umri mrefu amiin sheikh wetu
@emmanuelikua79325 жыл бұрын
Inshallah very soon i like Muslim teaching, mola nifanyie wepesi! .
@shahidaabdul47814 жыл бұрын
Allah akuweke katika kundi hili in shaa Allah
@AminaAmina-kc6yy4 жыл бұрын
Ameena karibu ktk dini ya kiislam Emmanuel
@mbaroukkhamis75194 жыл бұрын
Aamin
@abdillahomar56432 жыл бұрын
@@mbaroukkhamis7519 tfyyfygytfftgt
@abdillahomar56432 жыл бұрын
@@mbaroukkhamis7519 p
@nassirhabibu42734 жыл бұрын
Masha Allah....Allah akulipe kila la kheri sheikh Othman Maalim
@moussabigirimana98234 жыл бұрын
ASALAM ALAYKUM NAMUOMBEYA SHEKH OTHUMAN MAALIM KILA LA KHERI ALLAH AMPE
@asiahmariam39425 жыл бұрын
Allah azidi kukupa afya njema sheikh wetu uzidi kutupa daawa
MashaAllah Allah akulipe kila lenye kheri Sheikh Othman Maalim, na atujaalie na sisi tuwe wenye kuyafanyia kazi maamrisho yake inshaAllah.
@muhammadahmedaliyyu38545 жыл бұрын
Alhamdulillahi RabilaAlamina shukran ya RabilaAlamina Mola ajalye safari iLio bardani wasalama! Shukran Jazeelan jazak Allah khayri 🌺 🌹 karibu te naaaaaaa🌻🌻😭😭😭😭🙏🤲🙏Mola akupe umli mrefu wenye khayri na barka teli gutokan kwa ya Razaq akuraisishie kwakirajambo akiweka usahali kwa Chochte ukifanyacho kije nichema ln shaa Allah myaka hio urudi tena 🇧🇮 ❣️💞💞💞💞💞💞
@jumwaaabdull57285 жыл бұрын
Maashaallah allah ampe maisha marefu ili tuzidi kunufaka na darasa za oth. Maalim
@user-ss8mc3jv7e5 жыл бұрын
ما أحلى الكلام Ni maneno matamu na mazuri yalioje Allah Akuhifadhi Sheikh na akujaalie daawa yako iwe ya ikhlaas tuzidi kufaidika na darsa zako tukiwa popote pale na Allah awahifadhi waalimu wetu na masheikh wote wa kiislamu kwani- العلماء ورثة الانبياء
@hassanhamisimwaropia23145 жыл бұрын
Masha Allah, Mungu akupe malipo mema sheikh wetu na akupe mwisho in sha Allah.Binafsi huwa nafarijika Kwa mawaidha yako
mashaAllah nampenda huyu sheikh Othman kwa ajili ya Allah s.w.t sijui ntamuona vp
@aishasalum19185 жыл бұрын
Amin Thumma Amin Allah akujaalie kila lo kuwa na kher na akujaalie mwisho mwema na umri mrefu
@abdulally97455 жыл бұрын
Abdul Ally Mohamed mungu akuzidishie kila jema
@mayaaymaan5105 жыл бұрын
MashaAllah sheikh mawaidha yko ni dawa kubwa kwa wengi Allah akupe kheri na urudi salama nyumbani MashaAllah toka niwe mdogo nilipenda ata niolewa Na ww kwa hakika busara Na imani yako ya dini. Naomba tuelewa kitu kimoja nilichopenda kwa usitadhi ni hakima vijana Siku Hz atuna imani ya dini busara nidhamu naomba vijana tubadilike tuwe watu kma sheikh anatufuza mengi tuwe vijana Wa imani ya dini InshaAllah sheikh wee ni mfano wakuingwe MashaAllah
@abdulramadhan9815 жыл бұрын
Maashallah hukuchelewa pita ktk madrasa yake vjn wake Wana Hekma Kama Sheikh
@aminaabdiabdi71124 жыл бұрын
Mashaallah nikweli kabisa sheikh wetu hyu amejaaliwa hekma na busara na pia amelelewa katika mikono salama ndomana yuko Ivo tumuombee Kwa Allah amjaalie afya na umri mrefu azidi kutuelimisha hakika hyu sheikh nampenda Sana kwaajili ya Allah
@fewminutestv5684 жыл бұрын
Ni natafuta Mke mwema we Uko wapi kwani
@fewminutestv5684 жыл бұрын
0687777137
@user-ws9ek8dj5n5 жыл бұрын
Maasha Allah sheikh Othman na ma sheikh wetu wote Mwenyezi Mgu awatangulie kwa kila hatua munayopiga,awape umri,uzima na afya njema muendelee na kutupa madarsa ya kutangaza mambo ya kheir kila kitongoji In shaa Allah 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
@maimunaathman46645 жыл бұрын
Amiin yarabi
@shammoha52975 жыл бұрын
Ameen yaa Rabbil Alamiin 🤲🏼
@mutaladjasmini48155 жыл бұрын
Ameen Ya Rabbin
@user-ss8mc3jv7e5 жыл бұрын
ما أحلى الكلام Ni maneno matamu na mazuri yalioje Sheikh Allah akuhifadhi ,akujaalie daawa yako iwe ya ikhlaas na akuzidishie ilimu tupate kufaidika na Allah awahifadhi Waalimu na Mashekhe wote wa kiislamu na waislamu wote kwani العلماء ورثة الانبياء...