"I am not going anywhere" Joho's FIERY SPEECH amid ODM Succession Debate
Пікірлер: 35
@ReverendKanguTv2 ай бұрын
Joho my friend, was it necessary to say Oparanya na Uzee jameni 😂😂😂😂
@Zack_the_great_6022 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@okothpascal2 ай бұрын
Why is Joho tensed this much! Kuna kitu fiche hapa ODM
@orlandomajid70772 ай бұрын
You dnt know what you are saying
@bkr5282 ай бұрын
Kwenda kabisa. Si hivyo ndio mlisema 2022 lakini ona sasa.
@emilyadhiambo80752 ай бұрын
Mwambia Baba Raila Amolo Odinga ati sauti ya Mungu ,Mungu alimchagua aongoze Kenya si kuwCha kenya kwenda AU Mungu ajabariki hii AU Baba tafadhali ti Mungu Wako.
@Tedd642 ай бұрын
Mimi ni mtu wa Mombasa na siezi mpa kura uyu.Lakini mimi ni ODM.
@b.truthful2 ай бұрын
Sawa hayo ni yako binafsi kila mtu ana yake ila shukran kwa kutujuza ya kwako
@lifelenswithken2 ай бұрын
Wengine tunampa. Joho is ready for this 💯
@raphaelmwaura16482 ай бұрын
Ata heri ungetuambia 2032 lakini ni sawa juu ni kwa ndoto zako kiti hupewi kwa kusema kama noma noma
@b.truthful2 ай бұрын
Ata manabii pia walikuwa na wapinzani usihofu tumezoea watu kama nyinyi usihofu tumia haki yako upendavyo
@timggdvs79812 ай бұрын
Habari ya kagege😂😂
@paulkirum61832 ай бұрын
Congratulations MR.CHAIRMAN
@Livenation-254Tv2 ай бұрын
Sultan mwenyewe
@jav8562 ай бұрын
But don't destroy our boys
@jameskamau24352 ай бұрын
Wewe wacha mudomo tumewazoea kila uchaguzi munaundaSerikali sahau serikari wewe kijana maongeo ya kıtoto mingi
@b.truthful2 ай бұрын
Samahani sikuwa nimesoma jina lako vizuri maana kidogo nipoteze wasaa
@kimwacilia80072 ай бұрын
Wajinga walai tuko wengi
@b.truthful2 ай бұрын
Poleni
@pastorhenry552 ай бұрын
Joho leo amekosa hekima za kuongea huwa haongei hivo kuna kitu kinaendelea kwa ODM soon mtasikia
@georgemaina-go1gm2 ай бұрын
Wee hakuna mahali unaenda
@b.truthful2 ай бұрын
Jina lako lajieleza usihofu
@georgemaina-go1gm2 ай бұрын
Jst go back to school
@elizabethobai632 ай бұрын
001 karibu ulikua umetutia wasiwasi kwa kimia chako umuhimu tu ungane na tupendane tuwe kitu moja
@saadmbarak19032 ай бұрын
Huyu jamaa nimjinga kweli sasa hiyo kama noma noma mbaya mbaya ndio inasaidia nini ww peana sera zako kwa wanainch na sio hiyo ujinga bana
@jameskamau24352 ай бұрын
Wewe na yeye mulitoloka ata wewe hukua kwa maadamano wewe kijana wacha hakuna kitu unaelezea watu enda mombasa
@b.truthful2 ай бұрын
Jina lako ni gumu kama langu
@lifelenswithken2 ай бұрын
Iyo wachana nayo. He took a break from active politics to collect himself… he is recharged
@GM-xy1ny2 ай бұрын
What did you say in 2022? Just a fool.
@user-sp2fq5xu6v2 ай бұрын
Joho angalieni mbali,muinuee Coast
@Dennis_Okelo2 ай бұрын
This guy is taking ODM by storm
@panafrican.nation2 ай бұрын
Where was during maandamano?
@b.truthful2 ай бұрын
@@panafrican.nation ask Raila he knows better than you do as they are always together
@panafrican.nation2 ай бұрын
@@b.truthful I don't have access to Raila to ask him. Maybe you do